CHEKECHE | Wimbi la mapinduzi ya kijeshi linaipeleka wapi Afrika Magharibi?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ก.ย. 2024
  • Burkina Faso imekuwa nchi ya kwanza Afrika kukumbwa na mapinduzi ya kijeshi mwaka huu.
    Wimbi hili la mapinduzi linaonekana kuyazonga mataifa ya Afrika Magharibi ambapo mwaka jana yalishuhudiwa pia Guinea na Mali.
    Je, wimbi la mapinduzi ya kijeshi linaipeleka wapi Afrika Magharibi?

ความคิดเห็น • 22

  • @heredilematuru7814
    @heredilematuru7814 ปีที่แล้ว +1

    Time Will Tell

  • @DaimaNyakunga-jb6do
    @DaimaNyakunga-jb6do ปีที่แล้ว +3

    Bado tanzania

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 2 ปีที่แล้ว +1

    Jifunze quran kusoma kuandika gusa picha yang hapo kama hautojli

  • @davismuzahula907
    @davismuzahula907 ปีที่แล้ว +1

    Jeshi ndo mzalendo namba moja wa kila Taifa, Democrasia ikishindwa kuwaletea watu maendeleo basi jua wanaweza kujaribu jinsi wanavyoona inafaa.

  • @AshrafuJonny-sz4gs
    @AshrafuJonny-sz4gs ปีที่แล้ว +1

    Sio.huko tuu tunafunga nakuomba hata tanzania uingie mfumo huu hutakua tibakubwa kwatanzania

  • @AdnaneissufoMomadeIssufo-jt3ll
    @AdnaneissufoMomadeIssufo-jt3ll ปีที่แล้ว +1

    Waafrika tumeshoka na kuwanufaisha wazungu.

  • @TwahaMpakani-pn4ov
    @TwahaMpakani-pn4ov ปีที่แล้ว +1

    Mimi nawaunga mkono wanao pindua hizi nchi inshu ni anaye pindua anamtizamo gani?kama siyo mbinafsi itasaidia sana na itawaogofya wanao jisahau

  • @InnocentKimaro-c3o
    @InnocentKimaro-c3o ปีที่แล้ว +1

    Yakisasa😂😂😂😂😂

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 ปีที่แล้ว

    Kwanza africa haikupaswa kua na vyama vingi. Je, nchi za wazungu zilianza kua na vyama vingi baada kipindi gani baada ya kupata uhuru

  • @akimu-gl7zp
    @akimu-gl7zp ปีที่แล้ว

    Ziwe zinapinduliwa hivihivi ndiotutakua na akili.

  • @yassinphonyogo2347
    @yassinphonyogo2347 ปีที่แล้ว

    nime kukuba rab we ni mchambuzi ila samtim hua una egemea mahgaribi

  • @salimmohammad3627
    @salimmohammad3627 2 ปีที่แล้ว

    Kuwa raisi iombe elimu tatizo ya wa raisi wakiafrica awana ile Moyo yakusaidia wa raia wao wengi ni ma tapeli na wanasikiya sana ma beberu raisi mwenye ilikuwa naniya zuri sana alikuwa ni mangufuli pekeyake tu....wengine wengi ni wanafki na Moyo mbaya kwenye raia wao...poleni sana ndungu zangu

  • @albertbissaga1425
    @albertbissaga1425 ปีที่แล้ว

    Maandiko matakatifu, kutoka kitabu Cha biblia ,yanasema ,tamaa zetu ndizo zinazo sababisha Vita Kati yetu. Tofauti na hivyo hakuna wa kulaumiwa, tumrudie mungu.

  • @kotadapotar5094
    @kotadapotar5094 ปีที่แล้ว

    Nahuyo mfaransa ndio kamuua gadaffi wacha Afukuzwe African kote

  • @williammabanga4893
    @williammabanga4893 ปีที่แล้ว

    Ni vigumu sana kulaumu mapinduzi ya kijeshi ktk bara ambalo katiba zake sio shirikishi. Nguvu nyingi za utawala huwekwa juu ya mtu mmoja au kikundi kidogo cha watu kwa kisingizio cha vyama.

  • @nelsonjastin2601
    @nelsonjastin2601 ปีที่แล้ว

    Nayaunga mkono mapinduzi barani afrika kwa sababu ya ubinafsi wa viongozi wa kidemokrasia

  • @florencemwanansao834
    @florencemwanansao834 ปีที่แล้ว

    KATIBA ZA KIAFRIKA NI MBOVU. NA NDO CHANZO kikuu

  • @mussaelisha3733
    @mussaelisha3733 ปีที่แล้ว

    Napenda Africa yote

  • @geraldsanzala8119
    @geraldsanzala8119 ปีที่แล้ว

    Wimbi la mapinduzi linatutia moyo saana vijana, na majambazi kama wa hapa nyumbani waendelee kusubiri dawa yao inachemka. Hata huko wanaposikia kulikuwa hivihivi stupid kabisa.
    Unauzaje bandari kwa masilah isiyoeleweka kama Hatima ya kinga za CORONA.
    Ipo siku nyie jifanyeni hamuoni