Azam FC 0-2 Simba SC | Uchambuzi goli la pili la Simba

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 164

  • @amanmalima940
    @amanmalima940 หลายเดือนก่อน +6

    Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).

    • @KhadijaAli-e7e
      @KhadijaAli-e7e หลายเดือนก่อน

      Allah ndo Mungu wa kwel ambaye hakuzaa wala wakuzaliwa na wala hakuna anayefanana naye, Muumba wa Mbingu na Ardhi na vilivyomo.

  • @jumaali9243
    @jumaali9243 หลายเดือนก่อน +5

    Pale kwenye goli la ngoma sio offside kwa sababu golkipa wa azam ule mpira kaucheza ingekua golkipa ule mpira hajaucheza pale ndio ingekua offside ni goli halali

    • @hassanchiwambo687
      @hassanchiwambo687 หลายเดือนก่อน

      Waache wanaoelewa kutafsiri sisi hatuyajuwi mengi. Hilo ulilosema sio kweli.

  • @hassanabdala7383
    @hassanabdala7383 หลายเดือนก่อน +1

    Goal halalii sababu Goal keeper alishauchezaa

    • @LenatusDismas
      @LenatusDismas หลายเดือนก่อน

      Wachambuzi wa bongo bado naiona wanasiasa sana

  • @timothnakiz-zb4rz
    @timothnakiz-zb4rz หลายเดือนก่อน +4

    Sawa 1-0 bado mnaumiaaaa😂😂😂

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb หลายเดือนก่อน +1

    Basi tuseme moja bila

  • @chancelorharubu2731
    @chancelorharubu2731 หลายเดือนก่อน +1

    Hapo unaweza kuwalaumu waamuzi,lakin on the pithc kuona vitu hivyo kwa haraka si jambo jepesi hata kidogo.hata hao wachambuzi ili kupqta uhakika wanairudia zaidi ya mara tano ndio wanapata cha kusema,iweje yule ambae tukio likipita ndio basi.hivyo hiyo ni kawaida sna kwa wale waliop uwanjani

  • @knowledgeispower1118
    @knowledgeispower1118 หลายเดือนก่อน +11

    Hata mchambuzi anavyoongea unajua ameumia kweli kweli..mchambuzi ni shabiki w utopolo..hawa wachambuzi wa namna hii ndio wanatuharibia mpira...Simba ikiendelea kushinda huyu mchambuzi atakuja kupata ugonjwa wa moyo au pressure akafa masikini...mpeni maji mengi anywe...kwa taarifa yake hii Simba itashinda mwanzo mwisho..ajiandee na magonjwa kama hapendi ushindi wa Simba

    • @andreajoseph5859
      @andreajoseph5859 หลายเดือนก่อน +3

      Kwani ww macho huoni kama hiyo ni of said magoli ya kupewa hayo

    • @NasryMakame
      @NasryMakame หลายเดือนก่อน +2

      Offside kwel tuache uxhabik mpira ws tz unabid uendelee

    • @Mohamedychilungu-t7y
      @Mohamedychilungu-t7y หลายเดือนก่อน +2

      Kamrete mama yako aje achambue mpumbavu wewe

    • @allymanyika3502
      @allymanyika3502 หลายเดือนก่อน +1

      Ndo maana tff wamekataa kuweka VAR walijua watashindwa kuibeba timu kipenzi

    • @SangaliPower
      @SangaliPower หลายเดือนก่อน

      ​@@andreajoseph5859😂😂😂 inauma sana magoli ya kupewa haya kama juzi ken gold walinyimwa goli lao 😅😅😅

  • @zakariakapinga9862
    @zakariakapinga9862 หลายเดือนก่อน +1

    sasa hiyo offside mmeamua ninyi au refa

  • @BonyFasy-c3w
    @BonyFasy-c3w หลายเดือนก่อน

    jaman simba hii ❤

  • @GaspalyFidery
    @GaspalyFidery หลายเดือนก่อน +3

    Kaka najuwa mnatetea ugari bos ili aone mnapenda tim ndio wachambz wabogo mlivyo mnachambua kwenye matukio

  • @richardkwayson7202
    @richardkwayson7202 หลายเดือนก่อน

    Timu ya boss imefingwa😮

  • @guyrosemakulila5246
    @guyrosemakulila5246 หลายเดือนก่อน +1

    Wachambue na ya Ken gold

  • @GeorgeElias-p5o
    @GeorgeElias-p5o หลายเดือนก่อน +3

    WANA SIMBA KWA MOYO MKUNJUFU TUNAAMUA KULIFUTA ILO GOLI😂😂 NA YANGA NAO WALIFUTE LILE LAO LA KEN GOLD😂😂😂

  • @AmurJecha
    @AmurJecha หลายเดือนก่อน

    HAYA HAYA KUMEKUCHA ENDELEENI KUCHAMBUA UBWELA WA SIMBA YA YANGA MSIYAONE FUMBENI MACHO FUNGUENÌ TENA SIKU AKICHEZA TENA SIMBA UBAYA UBWELA NDO HUO MKUFANYA TUNAFANYA KUDADADEKI ❤❤❤❤❤❤❤❤

    • @ahmadSeif860
      @ahmadSeif860 หลายเดือนก่อน

      Hahahaha, goli la beki halina offside

  • @rashidimswagilo8292
    @rashidimswagilo8292 หลายเดือนก่อน +1

    Kaombeni kazi TFF sasa kama mnajua sheria

  • @JustinMolinyo
    @JustinMolinyo หลายเดือนก่อน +3

    Sasa hapo simpila ushapigwa wachambuzi bwana yaani jemsi samweli hapo kaumia sana kuhusu ushindi wa simba basi futeni hilo moja libaki moja

    • @dreamleague-uq2gx
      @dreamleague-uq2gx หลายเดือนก่อน +1

      Tatizo magoli yote ni offside

  • @nicholausmahenge8247
    @nicholausmahenge8247 หลายเดือนก่อน +1

    Leo uchambuzi mmeweka kabla ya magori

  • @Emmanuel-r7w
    @Emmanuel-r7w หลายเดือนก่อน

    Saw 1 bilaaa

  • @LaurentMasangwaNyanda
    @LaurentMasangwaNyanda หลายเดือนก่อน +2

    Haiwezi kuwa ofside maana mpira ulirudishwa na kipa hivyo ofside inakuwa imekufa

    • @JohnJohn-fs8ex
      @JohnJohn-fs8ex หลายเดือนก่อน

      Ni kweli mpira ukirudishwa na kipa ama mlinzi ni kama ameanza goal kick hivyo offside inakufa.

  • @AllyAlly-xo1kv
    @AllyAlly-xo1kv หลายเดือนก่อน +1

    Kipa kacheza mpira ndani. Pia hawakuona

  • @jossporahmsw8420
    @jossporahmsw8420 หลายเดือนก่อน

    Lile ni goli halali, ingekuwepo var, refa angepata uhakika kuwa kisheria siyo goli,,,, ❤kwa mnyama

  • @abinaeljuliusmwaikenda8529
    @abinaeljuliusmwaikenda8529 หลายเดือนก่อน +1

    Mnachambua kiushabiki

  • @carlinkikoyo02
    @carlinkikoyo02 หลายเดือนก่อน +2

    Kwa moyo mkuu, sisi mashabiki wa Simba tunaomba hilo goli lifutwe ibaki 0:1, alaf lile goli la Young Afticans vs Ken gold lifutwe alaf goli la Ken gold lililokataliwa lihesabiwe yaan Ken Gold 1-0 Young Africans ili mzozo uishe😊

    • @BintiAboubakari
      @BintiAboubakari หลายเดือนก่อน

      Hapo haswa maana wakishindq simba kesi ila yanga meno ya njano nje

    • @MwanaBaloz-ij6es
      @MwanaBaloz-ij6es หลายเดือนก่อน

      Wee lifutwe?

    • @josephgomalo41
      @josephgomalo41 หลายเดือนก่อน

      hawa huwa wanataka Simba ipoteze .. lakini sio timu nyingine hususan uto..!

  • @kulwastima3993
    @kulwastima3993 หลายเดือนก่อน +1

    Mi yanga lkn acheni Azam wawe wanafndshwa mpira na timu kubwa maana hawana ukubwa wa kcheza na timu hz mbili lbd wabahatishe hata wachezaji wao hkn kitu wanakotoka huwa wanacheza timu gn za ktisha

  • @bonifacemollel87
    @bonifacemollel87 หลายเดือนก่อน +2

    Aya toeni hiyo BAO MOJA la Offside tushinde na point Tatu na Bao moja

  • @MichaelMathew-j3f
    @MichaelMathew-j3f หลายเดือนก่อน

    Iwe goli isiwe goli ahhh sawa tu. Twende kazi

  • @alistachiusleo2506
    @alistachiusleo2506 หลายเดือนก่อน

    It was offside,VAR inahitajika

  • @IssacNtacho
    @IssacNtacho หลายเดือนก่อน

    Ahaa,,nilkuwa nmesahau hawa wachambuz kuwa niwafanyakz wa Azam,,

  • @AliAhmed-jf9ys
    @AliAhmed-jf9ys หลายเดือนก่อน +1

    sawa bas fanyeni goli 1

  • @abiboseleman1649
    @abiboseleman1649 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona zibgine hamsemagi hivi

  • @bahibrahima1268
    @bahibrahima1268 หลายเดือนก่อน +2

    il faut parler francais ou anglais pour qu'on puisse comprendre un peu svp
    On suit le championnat tanzanien depuis Senegal Guinee Maroc ...

    • @yonahizza-o8z
      @yonahizza-o8z หลายเดือนก่อน

      It's trué

    • @bisimwamoise284
      @bisimwamoise284 หลายเดือนก่อน

      Swahili est l’une de langue officielle de la Tanzanie c pourquoi ils font les commentaires en swahili.. bref ils étaient entrain de commenter le but de Fabrice Ngoma soit disant que c’était hors-jeu

  • @ShedrackHenry
    @ShedrackHenry หลายเดือนก่อน

    Shida waamuzi

  • @saumsaid1966
    @saumsaid1966 หลายเดือนก่อน

    Hii imeenda

  • @SalimAbdallah-mi1wc
    @SalimAbdallah-mi1wc หลายเดือนก่อน +1

    Ribauns ofsid?

  • @MkaliZuberi-rt3gb
    @MkaliZuberi-rt3gb หลายเดือนก่อน +2

    Ubaya ubwela ndio huo sasa ukiweka moshi mi nawasha moto

  • @nashirkamugisha9425
    @nashirkamugisha9425 หลายเดือนก่อน +1

    Hivi kwanin azam hamkuchambua kwa hiyo mistari kwa mechi ya yanga na kengold?

  • @malugukushaha6764
    @malugukushaha6764 หลายเดือนก่อน

    Azam ni underdog tu kwa mnyama , hakuna offside hapo huo ni ushabiki wa uto..unawasumbua.

  • @Itsmbwambokvn
    @Itsmbwambokvn หลายเดือนก่อน +3

    M n simb lkn waamuz wanatuaribia ladh y football mpir xio uadui bhn wachezesh mpir mzur bhn kil mmoj afraie

  • @makamehaji131
    @makamehaji131 หลายเดือนก่อน

    Kuna waamuzi wa simba na yanga tu😢😢😢

  • @makamehaji131
    @makamehaji131 หลายเดือนก่อน

    Hatuna waamuzi sisi

  • @EnockSDady
    @EnockSDady หลายเดือนก่อน

    Simba n azama hakuna mpira na maigizo

  • @brycesonmathias6112
    @brycesonmathias6112 หลายเดือนก่อน

    Kwa nini VAR Haitumiki kuondoa keller?

  • @SimonAmon-dr8xw
    @SimonAmon-dr8xw หลายเดือนก่อน

    KUMBE AZAM WASENGE MUMEANZA

  • @AgneessJohn
    @AgneessJohn หลายเดือนก่อน +2

    Bas tutoa moja ibaki ivi 1-0 apo vp point tatu bd😅😅😅

    • @JosephPallangyo-fd9kq
      @JosephPallangyo-fd9kq หลายเดือนก่อน

      Kwanz dabi ndo zinakuaga ivo ushind wa 0:0 1:1 1:0😂😂😂😂

  • @Orgy-go1gj
    @Orgy-go1gj หลายเดือนก่อน

    Sawa ni offside 1-0 basi point 3 je toa ya offside na yenyew

  • @Jerie-q1c
    @Jerie-q1c หลายเดือนก่อน +1

    Sio offside.
    Kipa katema mpira mwenyewe tena ndani ya kumi na nane shambulizi likiendelea sasa ulitaka simba wauache 😂😂

  • @hamadshembago7647
    @hamadshembago7647 หลายเดือนก่อน

    ngoma alitoka baada ya mpira kupigwa au kabla ya mpira kupigwa?nilichokiona hapo offside hakuna kwakuwa baada ya mpira kupigwa ngoma alikimbia zaid na mpira ulipomshinda kipa akamalizia lkn sio kwamba ngoma alitoka kabla ya mpira jaman naombeni kueleweshwa maana mpira wa bongo unavitu vya ajabu mno sheria ya offside inasemaje ktk football

  • @JosephinaLyimo
    @JosephinaLyimo หลายเดือนก่อน +2

    Wamenenepeana kwauwongo 😂😂 ilonigoli alali

  • @famousafrica3344
    @famousafrica3344 หลายเดือนก่อน

    Goli ni halali kipa mpira kacheza ndani ya goli mdaaaaaaaa sana

  • @NasibuAlban
    @NasibuAlban หลายเดือนก่อน

    Sio off side

  • @SilmanOfficial-ss6oq
    @SilmanOfficial-ss6oq หลายเดือนก่อน

    Oky. Km Ngoma alikua Offside, Je Mpira uliopigwa Kichwa na Kibu Kipa wa Azam waliokolewa wapi!? Goli hilo ni halal maana Kipa aliokolea ndani kabla Ngoma kumalizia

  • @eliahyr5271
    @eliahyr5271 หลายเดือนก่อน

    Hakuna ofside hapo Kwan ilepasi ingefika Kwa Ngoma bado kungekuwa na offside....

  • @albertlambert2810
    @albertlambert2810 หลายเดือนก่อน

    Bwana ww. Magoli yetu halali Yana kataliwa, Mungu akunyimi Kila siku.

  • @NasibuAlban
    @NasibuAlban หลายเดือนก่อน

    Huo mpira kibu angeupiga ukaenda kwa ngoma ingekua offside ila kibu alioiga kwa kipa kwa hiyo mpira umetoka kwa kipa ukaenda kwa ngoma hivyo offside imekufa

  • @allymanyika3502
    @allymanyika3502 หลายเดือนก่อน +1

    Ndo maana tff wamekataa kuweka VAR wakijua watashindwa kuibeba timu pendwa yao

  • @JumaBulegeya
    @JumaBulegeya หลายเดือนก่อน +1

    Simba😂😂😂unyama😂😂😂ni😂😂mwingi😮😮😮😮

  • @shaphiasabani5760
    @shaphiasabani5760 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona izi sutu za wachambuzi kama za P didy

    • @mkaliwaojeremaya6327
      @mkaliwaojeremaya6327 หลายเดือนก่อน

      nilitaka nishangae asitajwe p did umu 🤣

  • @AraphaCheki
    @AraphaCheki หลายเดือนก่อน +1

    Ukinyoa upara afu una ela unaonekana kama mfungwa umetoka jera😂

  • @ahmedronga7583
    @ahmedronga7583 หลายเดือนก่อน

    Marefa wa bongo na team zao

  • @abuumbonde
    @abuumbonde หลายเดือนก่อน +1

    Mseme na ile faulo ambayo kipa
    Wa azam alirudishiwa mpira anaushika nje ya box! Au hyo hamjaiona

  • @FAUSTINEPOLE
    @FAUSTINEPOLE หลายเดือนก่อน +1

    Kikubwa point 3 ila ubaya ubwelà unaendelea 😂😂😂😂😂😂 pumzi ya Moto

  • @Hemedyamir
    @Hemedyamir หลายเดือนก่อน

    Wachambuzi bhana haya na ateba tena mtasema ni offside

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 หลายเดือนก่อน +1

    Kumbe nawachambuzi hua ziro kipa akigusa mpila basi anakua ameua offside ila ungegonga mwamba ngoma angekua offside sasa elim ziro😂 😂

    • @BB-qp1ir
      @BB-qp1ir หลายเดือนก่อน

      😂😂😂Hivi unadhani sheria zenu mkiwa mnacheza daso

  • @LaurentMasangwaNyanda
    @LaurentMasangwaNyanda หลายเดือนก่อน +1

    Ngoma kapokea mpira kutoka kwa nani? ,halafu chora mstari wakati mpira unatoka kwa kipa halafu tuone/tutafisiri sheria wenyewe maana naona mnachokitafsiri siyo chenyewe, hoja ni kwanini tafsiri ya mwamuzi ni goli halali?

    • @josephgomalo41
      @josephgomalo41 หลายเดือนก่อน

      Hawa wameshaanza kuhisi Simba itafanya yake msimu huu.. mishipa inawatikisika.. hivi wabongo wanapokuwa hawana la kusema kunyamaza kwao ni dhambi? Mimi sijawahi ona mpira wa indirect kick unaokimbiliwa na wachezaji wote ambao kabla ya mpira kuchezwa hawakuwa kwenye offside! huwa mtu anakutwa kwenye offside akiwauwahi mpira wa rebound! Sijawahi ona hiyo! Ndio maana ya mpira wa adhabu..! Ni advantage kwa timu iliyopata nafasi ya kupiga adhabu hiyo..! Haina tofauti na mpira wa penalti inayopigwa ndani ya dakika tisini .. mchezaji wa timu inayopiga adhabu hiyo akikutana na rebound.. anaruhusiwa kufunga .. hata kama yeye sio mpigaji! Na mara nyingi tunaona wachezaji hukimbilia kuelekea golini mwenzao anapopiga penalti ili kuwahi rebound..! Je wasubiri kuwa kwenye mstari na mabeki wa timu inayojilinda, badala ya kuwahi hiyo rebound?? Eti kama mpira uliochezwa na Kibu ulitakiwa uwe umechezwa na Azam ndio iwe goli? kwani kipa ni mchezaji wa timu gani..?

  • @Ba63828
    @Ba63828 หลายเดือนก่อน

    Makolo wakitegemea mapungufu ya referring watapata shida sana ktk matches za CAF na wayadhalilishwa wakikutana na utopolo

  • @ObedMwankina
    @ObedMwankina หลายเดือนก่อน

    Kwenye uchambuzi huu mmetupiga kwamba bwana, kwahiyo ulitaka Ngoma auache mpira siyo..

  • @HarunahusseinHarunahussein
    @HarunahusseinHarunahussein หลายเดือนก่อน

    V A R ziko wapi mlizo tuahid

  • @AziziYassini
    @AziziYassini หลายเดือนก่อน

    Kwani hapo kipa si ndy kavunja offside

  • @MuxxaAlly
    @MuxxaAlly หลายเดือนก่อน +1

    JAMAN OFFSID KAIUA KIPAAA..MPIRA HAUCHEZWI CHUMBANIII

  • @soneakapinga
    @soneakapinga หลายเดือนก่อน

    Ateba pia kaotea pia jamani simba acheni ushabiki maandazi jamani

  • @MuxxaAlly
    @MuxxaAlly หลายเดือนก่อน +1

    Wachambuz leo mmebolongaaa..kipa katema mnasema offside...mbona hamuelewek nyieee

  • @shomarymussa6970
    @shomarymussa6970 หลายเดือนก่อน

    Hakuna off side hapo aliyepigakichwa ndio aliyepiga mpira

  • @SuzanBenjamin-jf1ki
    @SuzanBenjamin-jf1ki หลายเดือนก่อน

    Ooh Kwan Hawa wachambuz ni wa taifa gani yaan kipa atem mpira msemo ofside wivu tu

  • @upepobeka6877
    @upepobeka6877 หลายเดือนก่อน

    Leo makosa ya kibinadam yamekuja malambili

  • @SalimAbdallah-si2js
    @SalimAbdallah-si2js หลายเดือนก่อน

    Ngoma alitoka mbali na spidi Ile Ile na kufunga goli acheni uchambuzi uchwara

  • @RajabuSikabwe-rp1lj
    @RajabuSikabwe-rp1lj หลายเดือนก่อน

    Sasi anajulikana nishabiki watimugani

  • @ManjaHisani
    @ManjaHisani หลายเดือนก่อน +1

    Simba ikifungwa haija unganika je isha unganika?tujuwe mapema tu hatutaki sababu siku hiyo

  • @Yohanankwabi-e9o
    @Yohanankwabi-e9o หลายเดือนก่อน

    Lakin makosa ya jana hamjayaona kama mabwabwa vile au manalinda kibalua

  • @RukiaKhamis-pu9zv
    @RukiaKhamis-pu9zv หลายเดือนก่อน

    Bas tufanye 1:0 maaana maneno meng

  • @Kassim-k6h
    @Kassim-k6h หลายเดือนก่อน

    Clear offside

  • @remidusmwanandenje-yy5gs
    @remidusmwanandenje-yy5gs หลายเดือนก่อน +1

    Maxhabiki wa simba bwana awo wachambuzi wamesomea na ata kama kwani nyie amuoni ani mashabiki wa simba bwana nikenge xana angalieni comenti wanazo tuma duu😂😂😂😂😂 simba bola kabla ajakutana na yanga 😅 yanga bingwa adi 2024 $ 2025🇹🇿

    • @shadrackmgeni89
      @shadrackmgeni89 หลายเดือนก่อน

      Kwa magoli ya ken gold lazima muwe bingwa

  • @bundalakashaga1373
    @bundalakashaga1373 หลายเดือนก่อน

    Wachambuzi mnafely

    • @biggievandar254
      @biggievandar254 หลายเดือนก่อน

      Ongea kimpira wwww hyo ni offside Wacha hisia zako zakijinga

  • @janethelly4986
    @janethelly4986 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂bado hamjasemaaa dadeqqq imeishaaa iyooooo

  • @LumumbaFarhani
    @LumumbaFarhani หลายเดือนก่อน

    hao ndio waamuzi wetu... na mashabiki wanashangilia!!

  • @japhetisraelsmafie997
    @japhetisraelsmafie997 หลายเดือนก่อน

    Mnaumia sana ,ila haijalishi,basi bakini nalo ,tubaki na point 9 na goli 8 frog 🐸 wakubwa,rudieni mpka mchoke mnacheka kwa kuumia sana

    • @josephgomalo41
      @josephgomalo41 หลายเดือนก่อน

      Yap..! Simba tubaki na goli moja linatosha!

  • @--------GEO_SPORT_EARTH_EA
    @--------GEO_SPORT_EARTH_EA หลายเดือนก่อน

    Makolo wamepewa magoal ya offside

  • @jacksonchilongani4478
    @jacksonchilongani4478 หลายเดือนก่อน

    Sio off side sababu kipa kapasia mpira kwa mchezaji sababu kipa kautoa mpira please jaribu kuangalia magoli ua manula aliwahi kufungwa magoli ya namna hii

    • @Butondo
      @Butondo หลายเดือนก่อน

      Hio ni offside. Goli kipa ni mchezaji wa mwisho. Hapakuwa na mchezaji mwingine

  • @biggievandar254
    @biggievandar254 หลายเดือนก่อน

    Wanajisifu na magoli ya kuotoea haya tukutane date 19washenzi nynyi kubebwa na wamuuzi

    • @venancymushi
      @venancymushi หลายเดือนก่อน

      😂 tufute basi goal 1

  • @Mrawesome-w5e
    @Mrawesome-w5e หลายเดือนก่อน

    😂😂😂kama unaumia mtaumia sana si hayo hayatuhusu yanga kwa kumkela zaidi tutamfunga la mkono

  • @eliaichimsuya2266
    @eliaichimsuya2266 หลายเดือนก่อน

    Kwa Simba yenu ninyiiiii 😂😂azam angewakamia km anavyomkamiaga yanga msingeondoka hata na goli Moja ninyi makolo

  • @abiboseleman1649
    @abiboseleman1649 หลายเดือนก่อน

    Kwani nyie azam simkataba wenu unasema league hii mnaweka avr sasa vipi

  • @humphreyemmanuel781
    @humphreyemmanuel781 หลายเดือนก่อน

    Kwan pamba walifanyiwaje mbona ime wauma Sana bado hamjasema😂

  • @GideonMalabega
    @GideonMalabega หลายเดือนก่อน

    Makosa yakibinadamu yameanza.....

  • @KhadijaAli-e7e
    @KhadijaAli-e7e หลายเดือนก่อน

    Magoli yote ni offside

  • @MussaLucas-t2n
    @MussaLucas-t2n หลายเดือนก่อน

    Wewe James mbona umewaka sana mpaka suti imekubana wewe ni utopolo? Leo utajunyea

  • @azizmiraji2610
    @azizmiraji2610 หลายเดือนก่อน

    Haya basi ilo sio gori maana mpaka mishipa ya shingo inawasimama

  • @kisubikilozo6128
    @kisubikilozo6128 หลายเดือนก่อน

    Kibu nibora sana

  • @YogweMwakulola
    @YogweMwakulola หลายเดือนก่อน

    Hawa wachambuzi lazma walipitia kwa P Diddy na walipakwa mafuta si bure

  • @JosephPallangyo-fd9kq
    @JosephPallangyo-fd9kq หลายเดือนก่อน

    Aya swa ni 1:0 ila stumeshinda af ii ni dabi kwaio uu ushind wa 1 bila ni kawaida tu inakuaga ivo kwanz😂😂😂

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe หลายเดือนก่อน

      Wao nao wakubali Goli la Ken Gold lililokataliwa ili iwe 1:1 😂😂😂😂

  • @jaffarmagawa3245
    @jaffarmagawa3245 หลายเดือนก่อน

    Mmeshapgwa tulizeni vipara ivyoo😅

    • @JosephPallangyo-fd9kq
      @JosephPallangyo-fd9kq หลายเดือนก่อน

      Na ako kaoffsid lakn teari istoria ishaandikw🤣🤣🤣