UST SAID KIBOKO KUMBE MPAKA KIHINDI, APIGA KASWIDA NA KUIMBA KIHINDI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • UST SAID AWASHANGA WAHINDI, APIGA KASWIDA NA KUIMBA KIHINDI
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / miladu_tv
    FACEBOOK: / babdeo miladu/
    TIKTOK: www.tiktok.com...
    TH-cam: / @babdeomiladu

ความคิดเห็น • 139

  • @aminaaidarus2387
    @aminaaidarus2387 2 วันที่ผ่านมา +2

    Mawahabi mutasononeka na kuumia semeni mutakacho sisi haturudi nyuma sisi na mtume na mtume na sisi. Hakuna mulonalo elimu hamusomi kazi ni kukejeli

  • @rjqaasam4587
    @rjqaasam4587 3 วันที่ผ่านมา +2

    اللهم صل وسلم وبارك على سيدنا محمد وعلى آله وأصحابه أجمعين
    اللهم صل وسلم وبارك على سيدنا محمد وعلى آله وأصحابه أجمعين
    اللهم صل وسلم وبارك على سيدنا محمد وعلى آله وأصحابه أجمعين
    اللهم صل وسلم وبارك على سيدنا محمد وعلى آله وأصحابه أجمعين

  • @OthmanJaboo
    @OthmanJaboo 2 วันที่ผ่านมา +1

    MashAllah shekhe langu shekh Said

  • @ZubeirHamada
    @ZubeirHamada วันที่ผ่านมา

    Mawahabbi na Masalafi hapo waambiwe nini kwenye ushirikina? Utawasikia hili ni Shirki...eeeti kwahiyo lugha tuu maana hawana wanachokifahamu

  • @DhahirSaid
    @DhahirSaid 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    SWALLALLAHU ALAYHI WASALLAM

  • @nabbeely5295
    @nabbeely5295 2 วันที่ผ่านมา

    Mtihan wallah Allah atuhidi sote

  • @RAMADHANCHARLES-z1v
    @RAMADHANCHARLES-z1v 3 วันที่ผ่านมา

    Lazim mawahabi waumie kwa hii utawasikia maneno Yao tu subir

  • @SaidMhando-y5k
    @SaidMhando-y5k 3 วันที่ผ่านมา +1

    Allahumma swali Alaa seyyidina Muhammad wa alihi muhammad

  • @hakeemprince6868
    @hakeemprince6868 3 วันที่ผ่านมา +1

    yA HABIBI YA MUHAMMAD NUR UL HUDAA

  • @JumaBinAbdallah
    @JumaBinAbdallah 3 วันที่ผ่านมา

    Umiatu,tuna soma maulidi

  • @ukhtyjabutv6368
    @ukhtyjabutv6368 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Swalu Alla rasul

  • @omarbaabad2706
    @omarbaabad2706 3 วันที่ผ่านมา

    Hakika tatizo la uwahabi niele fikra potofu ilyoingizwa kwenye vichwa vyao

  • @rjqaasam4587
    @rjqaasam4587 3 วันที่ผ่านมา

    جزاكم الله خيرا كثيرا

  • @Khalid-r6l6d
    @Khalid-r6l6d 3 วันที่ผ่านมา

    waislamu wasiojua wafanyalo nikila kitu maashaaAllah hta kwa diamond na wenzake woote ni maashaaAllah!

  • @SaidMhando-y5k
    @SaidMhando-y5k 3 วันที่ผ่านมา +1

    Mashaallah yaani ni ustadhi aliyetimia mashaallah

    • @Issah-kh2dn
      @Issah-kh2dn 3 วันที่ผ่านมา

      😂Ckwaupuzi huu😂

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 3 วันที่ผ่านมา

      Wewe unajua Nini kaapembenii usichekwewe ​@@Issah-kh2dn

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 3 วันที่ผ่านมา +1

      ​@@Issah-kh2dnkusifiwa Mtume SAW imekuwa ni upuuzi baba jiangalie unacho kisema

    • @binsule3045
      @binsule3045 2 วันที่ผ่านมา

      Kwenye ubidaa

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 2 วันที่ผ่านมา

      @@binsule3045 kwani huko kwenu uwahabini hamuna Bid'aa Uzushi?

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 3 วันที่ผ่านมา +2

    bendera zenyewe mmefadhiliwa na MASHIA!!

    • @Sheikhmadaba-cm2hw
      @Sheikhmadaba-cm2hw 3 วันที่ผ่านมา

      Acha roho mbaya

    • @hassanWanjiku
      @hassanWanjiku 3 วันที่ผ่านมา

      Utaskia wakikutusi na huo ndo ukweli ufadhili unatoka kwa shia na yy n kafiri nynyi mtakua pande gani

    • @HUSSEINALLY-b7f
      @HUSSEINALLY-b7f 3 วันที่ผ่านมา

      We unafadhiliwa na shaitwani wa majdi

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 3 วันที่ผ่านมา

      hamzakimaro3764 labda nyinyi ndio muko sambamba na Mashia na pengine nyinyi mumewashinda kwa sababu ikiwa Mashia wanawakufurisha baadhi ya Maswahaba nyinyi mawahabi mumemkufuru Mwenye Ezi Mungu mwenyewe kwa kuigawanya Tauhid ينقسم توحيدإلى ثلاثة أقسم

    • @hassanWanjiku
      @hassanWanjiku 3 วันที่ผ่านมา

      @@abubakaromar6101 wewe na waliosoma Waja wema wakaigawanya baina yako n wao nani hajui anasemaje ukweli acha tuskie akili zako ziliko

  • @AhmadiMadua
    @AhmadiMadua 3 วันที่ผ่านมา

    Mawahabi ni hovyokabisa

  • @Hussein-l6v
    @Hussein-l6v 3 วันที่ผ่านมา

    shekh sayyd up vizurisana hat bachu anakutizama nagengelake

  • @OmarSalehe-e4c
    @OmarSalehe-e4c 3 วันที่ผ่านมา

    Hata ukiimba Kwa kihindi Bado ni bidaa sisi hatuangalii lugha Bali usahihi we zunguka na bidaa Huku na Kule hao wanaokushangilia wakupe na Pepo basi kama wanaweza

  • @AbdallaMwagora-sm1rj
    @AbdallaMwagora-sm1rj 3 วันที่ผ่านมา

    Udijay ni sawa na kusema fanani.

  • @awadhsaleh3929
    @awadhsaleh3929 3 วันที่ผ่านมา

    PESA NI TAAAMUU TUZENI

  • @mchakhamis-fr5nc
    @mchakhamis-fr5nc 3 วันที่ผ่านมา

    Mashaallah

  • @arjunimayagila9500
    @arjunimayagila9500 3 วันที่ผ่านมา

    MaaaashaAllah

  • @RachidaIacine
    @RachidaIacine 3 วันที่ผ่านมา +1

    Said. Ungefuata mtii Allah na kumtii mtume wake muhamad s.w. na ukafuata não zake mtume na massa zake basi ingekua bora kwako na hao wanao kusikiliza, lakini masikini unampenda mtume kwa kupitia uzushi eti sababu nyimbo zinaleta raha unapoimba eti sababu unapikwa wali na watu wanashiba, eti sababu unukia manukatu tofauti, eti sababu watu kupendeza kwa luva nguo mzuri... Nakukumbasha Allah angalii nguo, manukatu, utajiri, umasikini, wala sura zenu. mnajidanganya. Allah anataka ifuatwe curaani yake kama alivo fundisha mtume wake tu basi, piga msitari. Allah atazami sura zenu wala mili yenu.

    • @AbdallaMwagora-sm1rj
      @AbdallaMwagora-sm1rj 3 วันที่ผ่านมา +1

      Kwani amekuambia hajui Quran?tatizo la wahabi ni elimu na ufahamu.

    • @fatnasaidi3027
      @fatnasaidi3027 3 วันที่ผ่านมา

      Yaan hawana kwakweli Kwan awajui quran​@@AbdallaMwagora-sm1rj

    • @hassanWanjiku
      @hassanWanjiku 3 วันที่ผ่านมา

      Kinacho leta raha kwa moyo ni Qur'an ila nynyi kwenye ngoma DJ SAID muogopeni Allah subhannahu wa taala

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 3 วันที่ผ่านมา +1

      ​@@hassanWanjikuwewe mwanzo jifundishe Elimu sisi hatupigi Ngoma twapiga Twari kuna tafauti Ngoma kwa kiarabu yaitwa رقص na Twari laitwa الدف kwa hiyo Twari ni Sunna kupiga

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 3 วันที่ผ่านมา

      Rachidalacine huko kwenu uwahabini hamuna Uzushi? kwenu uwahabini mabid'aa kibao na kuna kitabu kizima cha Uzushi wa mawahabi au hajui hilo

  • @hajilanga8181
    @hajilanga8181 3 วันที่ผ่านมา

    Mashaallah

  • @MAIMUNAABDALA-m4u
    @MAIMUNAABDALA-m4u 3 วันที่ผ่านมา

    Ujue nyie wahabi mna ubaguz San kwani enz za mtume kulikuwa hakun dufu mnanyifanya mnajua din San kumbee mmeoza

    • @idisaidi287
      @idisaidi287 2 วันที่ผ่านมา

      Wakati wa mtume kati ya wanaume na wanawake kina nani waliimba ?

  • @abdallahsaid8157
    @abdallahsaid8157 3 วันที่ผ่านมา

    MashaAllah!

  • @nasrasalum6298
    @nasrasalum6298 3 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂😂

  • @rjqaasam4587
    @rjqaasam4587 3 วันที่ผ่านมา

    Wallwaahi Raha Sana

    • @nasrasalum6298
      @nasrasalum6298 3 วันที่ผ่านมา

      Raha enhee mtaiona raha siku ya siku

    • @rjqaasam4587
      @rjqaasam4587 3 วันที่ผ่านมา

      @@nasrasalum6298
      Hatuna shaka na hilo

  • @hassanWanjiku
    @hassanWanjiku 3 วันที่ผ่านมา

    Kwanza hawa jamaa wa asia huko ndo shida kubwa inatoka hata mkaaimba hadi n kijapani kichina yatabaki bidaa hata mkalia ati n mapenzi zero work dj said kwenye bit rudini nyuma kwa Allah subhannahu wa taala kuna msamaha

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 3 วันที่ผ่านมา

      hassanWanjiku nini maana ya Bid'aa? ikiwa wajuwa maana ya Bid'aa sasa kwani huko kwenu uwahabini hamuna Bid'aa Uzushi? kwenu kuna kitabu kizima cha Uzushi wa mawahabi au hajui hilo

    • @hassanWanjiku
      @hassanWanjiku 3 วันที่ผ่านมา

      @@abubakaromar6101 huko usemako uwahabini hamna n kama unakijua n ww cc sio masufi bana tunaheshima na dini hatutaki kuitia doa kama nynyi upoo

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 วันที่ผ่านมา

      @@hassanWanjiku muna heshima na Dini kumgawanya Mwenye Ezi Mungu ktk Tauhid hiyo ni heshima

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 วันที่ผ่านมา

      @@hassanWanjiku sisi wala yatuyapingi bali pia twayafanya nyinyi mashindano ya Quran Mtume SAW alifanya na kulikuwa na Maswahaba wengi Mahafidh Quran kutushinda sisi au kusoma Quran ktk Nikkah Mtume SAW alifanya hizi zote si Bid'aa za kwenu uwahabini,lkni hatuyapingi

  • @abuurayaan3902
    @abuurayaan3902 3 วันที่ผ่านมา

    Dj Saidi kwa Ubora wake wa kutumbuiza juhalaa wa kisufi

    • @fadhilimusa9732
      @fadhilimusa9732 3 วันที่ผ่านมา +1

      Usiwadharau watu huenda wale unaowadarau nibora kuliko wewe(ndivyo allah alivyotuusia

    • @abuurayaan3902
      @abuurayaan3902 3 วันที่ผ่านมา

      @@fadhilimusa9732
      Duh
      لا دريت ولا تليت

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 3 วันที่ผ่านมา +1

      abuurayaan3902 hata Maswahaba kina Hassan bin Thaabit R.A na wengineo walikuwa wakimtumbiza Mtume SAW na Mtume SAW yeye mwenyewe alikuwa akimwambia Hassan bin Thaabit R.A panda juu ya Mimbar unisifu na Hadithi Swahihi ipo

    • @abuurayaan3902
      @abuurayaan3902 3 วันที่ผ่านมา

      @@abubakaromar6101
      Duh hii Kali aisee haya tuambie walimtumbuiza mtume kwa bendi Gani na hiyo Hadithi uliipata wap wewe

  • @Jumaamsagaty
    @Jumaamsagaty 3 วันที่ผ่านมา

    Mashia HAO

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 3 วันที่ผ่านมา

      Jumaamsagaty nyinyi mumewashinda Mashia ikiwa wao Mashia wanatukana baadhi ya Maswahaba nyinyi mawahabi mumemkufuru Mwenye Ezi Mungu mwenyewe kwa kuigawanya Tauhid yake ينقسم توحيدإلى ثلاثة أقسم hii mumeitowa wapi kigawanyo Cha Tauhid

    • @naimasheikh3055
      @naimasheikh3055 3 วันที่ผ่านมา

      Hii ni ishara kuonesha hukusoma na huna ujualo katika dini wala dunia. Kwanza sio killa muAsia ni mshia. Na mtume ni rahmatun lil 3alameen kwa hivo aweza kusifiwa kwa killa lugha uijuayo na usoijua. Wacha kujipa kazi ya mungu ya kuhukumu watu. Anza kujihisabu mwenyewe kabla hujahisabu watu na hujahisabiwa na Allah.

  • @nasrasalum6298
    @nasrasalum6298 3 วันที่ผ่านมา

    Astaghafirullah jamni kumbe mtu anaswaliwa hvyo wallah moto mnao kesho kiama nyie

    • @HafsafakiKhamis
      @HafsafakiKhamis 3 วันที่ผ่านมา

      Ww ndo wapepon?

    • @SaidMhando-y5k
      @SaidMhando-y5k 3 วันที่ผ่านมา

      Sawa mdogo ake mungu maana unaweza kuwaingiza watu moton

    • @ababakryally8827
      @ababakryally8827 3 วันที่ผ่านมา

      Wewe unajua kesho yako wahabi mmoja wee

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 3 วันที่ผ่านมา

      Kwahio ukiongea kihindi Ni motoni? Basi mawahabi wazima kumbee! Yaani wahindi wote motoni

    • @islamseyffden7723
      @islamseyffden7723 3 วันที่ผ่านมา

      Ukiongea kihindia unaingia motoni ?

  • @Al.habeebAl.habaaib
    @Al.habeebAl.habaaib 2 วันที่ผ่านมา

    MIAMBA KULIKO NYINYI
    ABUBAKAR UMAR UTHMAN NA ALI HAWAKUWAHI KUFANYA UPUUZI HUU. NA WAO WANAMPENDA MTUME KULIKO NYINYI

    • @مريمد-ح6ب
      @مريمد-ح6ب 2 วันที่ผ่านมา

      Nenda kasome ndio uje useme wewe hata nadhani hukusoma madrasa ndio wasema maneno hayo nakama umesoma hukufika mbali nenda kasome Kisha uamuwe ... 😊 SHUKRAN KHUI

    • @Al.habeebAl.habaaib
      @Al.habeebAl.habaaib 2 วันที่ผ่านมา

      @@مريمد-ح6ب Hilo ndio tatizo lenu watu bidaa. Mkikoselewa mnakibilia kusema mara kasome au hujasoma
      Hii maana yake nyinyi ndio mliosoma.
      Sasa ikiwa hivi ndivyo ilivyo
      Basi toa ushahidi wa aya au hadithi juu ya upuuzi huu👆👆👆

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 2 วันที่ผ่านมา

      @@Al.habeebAl.habaaib hata nyinyi muna matatizo kuwaita watu Bid'aa kwani huko kwenu uwahabini hamuna Bid'aa Uzushi?au hujui kama kuna vitabu tena sio kitabu ni vitabu vya Bid'aa Uzushi wa mawahabi?

    • @abubakaromar6101
      @abubakaromar6101 2 วันที่ผ่านมา

      @@Al.habeebAl.habaaib sioni faida ya kukupa ushahidi ni wewe tuambie ndani ya Maulid kwa somwa Quran kuleta Dhikri kumtaja Mwenye Ezi Mungu na kumswalia Mtume SAW na mengeneo haya yote ni upuuzi?

    • @Al.habeebAl.habaaib
      @Al.habeebAl.habaaib 2 วันที่ผ่านมา

      @@abubakaromar6101 من عمل عملا ليس عليه امرنا فهو رد

  • @MAIMUNAABDALA-m4u
    @MAIMUNAABDALA-m4u 3 วันที่ผ่านมา +1

    Tatizo wahabi wanadharau dhehebu zingn wao ndo wanajion Wana maan kumbee wameoza wao

    • @hassanWanjiku
      @hassanWanjiku 3 วันที่ผ่านมา

      Acheni ushenzi maulid yatabaki kua n bidaa hata mkayafanya mazuri vipi

    • @IbraFareed
      @IbraFareed 3 วันที่ผ่านมา

      @@hassanWanjiku Asalaam aleykum warahmatullahi wabarakatu… USILAM UMEKATAZA KUITANA HAYA MAJINA YASIOFAA Surah Hujurat Aya 11 imetusihi mambo haya, unamuita muumini mwenzako SubhanaAllah, aya hii ilikuja kwa walioamini wote tusiitane kwa majina mabaya (ya kejeli), kwani ubaya wa sifa na jina ni utokaji nje wa maadili ya Dini, na yeyote yule asiyetubu (kutubia kwa tabia yake hiyo), basi hao ndio walio wadhalimu. ALLAH ametueleza kuwa “kuitana majina mabaya na utokaji nje wa maadili ya Dini, baada ya kuwa mmeingia kwenye Uislamu na mmeufahamu. basi watu wenyekufanya hivyo ndio watu waliozidhulumu nafsi zao kwa kuyatenda mambo haya yaliyokatazwa.
      ‎يا أيها الذين آمنوا لا يسخر قوم من قوم عسى أن يكونوا خيرا منهم ولا نساء من نساء عسى أن يكن خيرا منهن ولا تلمزوا أنفسكم ولا تنابزوا بالألقاب بئس الاسم الفسوق بعد الإيمان ومن لم يتب فأولئك هم الظالمون
      Tumekatazwa hata kutukana na kuikejeri miungu isio kuwa ALLAH
      ‎وَلَا تَسُبُّوا الَّذِينَ يَدْعُونَ مِن دُونِ اللَّهِ فَيَسُبُّوا اللَّهَ عَدْوًا بِغَيْرِ عِلْمٍ كَذَلِكَ زَيَّنَّا لِكُلِّ أُمَّةٍ عَمَلَهُمْ ثُمَّ إِلَى رَبِّهِم مَّرْجِعُهُمْ
      ‎فَيُنَبِّئُهُم بِمَا كَانُوا يَعْمَلُونَ
      HAPO UMEEENDA KINYUME NA MAFUNDISHO YA DINI YA UISLAM
      Allah سُبْحَانَهُ وَتَعَالَى ametuambia
      ‎إِنَّا نَحْنُ نُحْيِي الْمَوْتَى وَنَكْتُبُ مَا قَدَّمُوا وَآثَارَهُمْ وَكُلَّ شَيْءٍ أَحْصَيْنَاهُ فِي إِمَامٍ مُّبِينٍ
      Hakika Sisi tunawafufua wafu, na tunayaandika wanayo yatanguliza, na wanayo yaacha nyuma. Na kila kitu tumekihifadhi katika daftari asli lenye kubainisha.
      hajo maneno uloyacommemt utakuja kuulizwa ndugu yangu

    • @idisaidi287
      @idisaidi287 2 วันที่ผ่านมา

      Wahab maana yake nin ?

    • @hassanWanjiku
      @hassanWanjiku 2 วันที่ผ่านมา

      @@MAIMUNAABDALA-m4u hayo madhehebu mnasema je mtume salallahu alayhi wasalaam aliacha madhehebu ama alituachia uislamu safi ila nynyi n hayo makundi yenu ndo shida inapatikana

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 3 วันที่ผ่านมา

    hapo manatayarisha DIAMOMD PLUTNAM na akina ALI KIBA!!

  • @AbdulmujibAhmed
    @AbdulmujibAhmed 3 วันที่ผ่านมา +1

    Hata mkimba kikorea huo ni uzushi tu majahili nyie

    • @HafsafakiKhamis
      @HafsafakiKhamis 3 วันที่ผ่านมา +1

      Kasome kwanza

    • @ababakryally8827
      @ababakryally8827 3 วันที่ผ่านมา +1

      Uzushi Ibnu Taymiah anae sema Allah kabebwa na Malaika wajinga wapotevu vibaraka vya mawahabi

    • @مريمد-ح6ب
      @مريمد-ح6ب 2 วันที่ผ่านมา

      Please before abuse go and read and come back and say it again if you will so first stop abusing second sir go qnd read #miladu nabii is not bidhaa​@ababakryally8827

  • @Khalid-mf3iu
    @Khalid-mf3iu 3 วันที่ผ่านมา

    Watu wa Bollywood wamtafuta DJ SAIDI

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 3 วันที่ผ่านมา +1

      Sio Vibaya Ukampeleka Mzee Wako Au Ndugu Yako Yoyote

    • @nasrasalum6298
      @nasrasalum6298 3 วันที่ผ่านมา

      ​Punguza makasiriko anachofanya hpo umkiona wapi kwenye kuran uzushi tu

    • @naimasheikh3055
      @naimasheikh3055 3 วันที่ผ่านมา

      ​@@nasrasalum6298juhisabu nafsi yako. Unayoyafanya wewe yote yako katika quran au hadith. حاسبوا أنفسكم قبل أن تحاسب

  • @Khalid-mf3iu
    @Khalid-mf3iu 3 วันที่ผ่านมา

    Taarabu itamfaa