LIVE:RAIS DKT. MAGUFULI AKI WAAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI ALIO WATEUA, IKULU CHAMWINO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 533

  • @partohmsee5992
    @partohmsee5992 4 ปีที่แล้ว +67

    Nani alisema mkenya awezi pata like Kwa Tanzania!..Mungu Akubariki milele daima JPM

  • @faizabbas4620
    @faizabbas4620 4 ปีที่แล้ว +154

    RAISI MAGUFULI TUNAKUOMBA UKUWE RAISI WETU WA KENYA..
    MM N MKENYA LAKINI MAGUFULI NATAKA AKUWE RAISI WETU WA KENYA..NAOMBA LIKES ZENU WATANZANIA.

    • @mrsochu-hv7bm
      @mrsochu-hv7bm 4 ปีที่แล้ว +3

      😂😂😂😂umeshakua mkenya ww
      Auwez kuwa mtanzania tena

    • @felisterchimtunga7011
      @felisterchimtunga7011 4 ปีที่แล้ว +3

      Sisi wenyewe tunamuhitaji

    • @faizabbas4620
      @faizabbas4620 4 ปีที่แล้ว +4

      @@felisterchimtunga7011 kwan hamujatosheka nae na sisi pia tunamuhitaji plz

    • @KUTOKA-ep2fk
      @KUTOKA-ep2fk 4 ปีที่แล้ว

      @@faizabbas4620 njoo umchukue

    • @evancetesha3836
      @evancetesha3836 4 ปีที่แล้ว

      Njoo mchukue tu!

  • @dicksonrigha7588
    @dicksonrigha7588 4 ปีที่แล้ว +52

    Mimi ni mkenya, ila kwa kweli makufuli ni mwanaume ni kiongozi wa kuigwa, congratulations praying for you sir.

  • @amazingvideomixtv4232
    @amazingvideomixtv4232 4 ปีที่แล้ว +51

    Uyu ndio rais wetu apa akuna cha nani wala nan gonga like twende sawa

    • @maikoshauri7248
      @maikoshauri7248 4 ปีที่แล้ว +1

      Mungu akupe maisha mrefu na kiwezekana uongoze miaka 45 tunakupenda sana

  • @omarshariff8266
    @omarshariff8266 4 ปีที่แล้ว +84

    mimi mkenya lakini wenzangu watanzania nawasihi huyu rais wenu mpeni heshima yake na muithamini sana hii ni bahati yenu musiidharau mukaja jijutia

    • @josephjohn2114
      @josephjohn2114 4 ปีที่แล้ว +1

      😳 we mkenya na hicho kiswahili cha mitaa ya bongo wapi na wap

    • @ezrajuma8970
      @ezrajuma8970 4 ปีที่แล้ว

      Thanks bro we are really appreciate him

    • @lucasjacob9733
      @lucasjacob9733 4 ปีที่แล้ว

      Fanya yako bwana yahuku hayakuhusu wewe upo Kenya

    • @ains1122
      @ains1122 4 ปีที่แล้ว +1

      @@lucasjacob9733 heshima kitu muhimu, ameongea kwa heshima mwenzako

    • @lucasjacob9733
      @lucasjacob9733 4 ปีที่แล้ว +1

      Haya bwana tunataka katiba mpya wenzetu mkate ukipanda tu mnaandamana sisi huku andamaana uone

  • @wilonjahatua2067
    @wilonjahatua2067 4 ปีที่แล้ว +21

    Kama kweli mh rais magufuli anatumika vyema ungana nami hapa👍👍👍🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @faizabbas4620
    @faizabbas4620 4 ปีที่แล้ว +66

    MAGUFULI WEWE UNAFAA UKUWE RAISI WETU WA KENYA TUTAKUPA KURA ZETU ZOTE ....GONGA LIKES WATANZANIA NAWAPENDA SANAA WATZ ....ONE LOVE FROM KENYA

    • @mtangombayaya7000
      @mtangombayaya7000 4 ปีที่แล้ว +1

      Ubarikiwe sana mkenya mwenzetu

    • @kelvinjohn6851
      @kelvinjohn6851 4 ปีที่แล้ว

      Tubashukuru viongozi wameyamaliza.

    • @brightyona9815
      @brightyona9815 4 ปีที่แล้ว +1

      wakenya bana mnapenda vizuri vyote vije kwenu hatuwapi magu nyie endereen kukaandani mtapewa posho

    • @iascknanyaro9286
      @iascknanyaro9286 4 ปีที่แล้ว

      Faiz Abbas karibu Tanzania tutakupa uraia usijali japo mkijaga Kilimanjaro Marathon mnatunyanyasaga Sana

    • @faizabbas4620
      @faizabbas4620 4 ปีที่แล้ว

      @@iascknanyaro9286 nitashukuru sanaa nataka sanaa kuwa Mraia wa tz ...tz oyeeeee

  • @partohmsee5992
    @partohmsee5992 4 ปีที่แล้ว +48

    Nani mwingine anasema Heri magufuli milele...Hit the like Button Twende sawa

  • @robertambrose1231
    @robertambrose1231 4 ปีที่แล้ว +53

    No Korona Tanzania MUNGU mbaliki magufuri Sana Tena mwakani tumrudishe ikulu Kama unakubari gonga like

  • @wilonjahatua2067
    @wilonjahatua2067 4 ปีที่แล้ว +26

    Kama unamkubali rais magufuli acha majungu na uoga gonga like yako hapa please

    • @angelinasimchimba705
      @angelinasimchimba705 4 ปีที่แล้ว +2

      MUNGU ametukumbuka wa Tanzania baada ya kuteseka kwa muda mrefu toka Nyerere atoke madarakani 1985's.....Ninachoumia na kuwaza sana Huyu mzee akitoka madarakani atakuja rais mbaya mana hatumjui,wa Tanzania wenzangu bora tuandamane mzee abaki madarakani Hata kwa miaka 50 mana atakae mrithi hatumjui wala hatufai haiba wala tabia yake

  • @tugesyegemwakatumbula9857
    @tugesyegemwakatumbula9857 4 ปีที่แล้ว +42

    Wakenya mnamtamani rais wetu tuungane basi kumuombea ili anavyo fanya Mambo mazuri na viongozi wenu waige kutoka kwake 👏👏👏

    • @ains1122
      @ains1122 4 ปีที่แล้ว +1

      Ameen

    • @hesbonbwire954
      @hesbonbwire954 4 ปีที่แล้ว +1

      Tunamuombea sana hapa Kenya ,

  • @abellmainge1023
    @abellmainge1023 4 ปีที่แล้ว +35

    Corona Tanzania pita kuleeeee.! gonga like twende pamoja kuchapa kazi
    🏃🏃🏃

    • @joshualwinga
      @joshualwinga 4 ปีที่แล้ว +1

      Kweli korona pita kuleee ss tuendelee na kaz !

  • @partohmsee5992
    @partohmsee5992 4 ปีที่แล้ว +39

    Kama wewe ni Mkenya na Umependa wazo la JPM Tujuane Kwa Likes!!

  • @partohmsee5992
    @partohmsee5992 4 ปีที่แล้ว +27

    KENYA JAMENI TULIKOSEA WAPI...MAGUFULI KUJA URIDHI KENYA NDIPOSA TUOKOLEWE! KAMA WEWE NI MKENYA NA UNAKUBALIANA NAMI GONGA LIKE TWENDE SAWA

  • @isayalaizer9993
    @isayalaizer9993 4 ปีที่แล้ว +94

    Baba yetu mwenyewe uyoo tunakupnda sana Raisi wetu..weka like kwa JPM

    • @faizabbas4620
      @faizabbas4620 4 ปีที่แล้ว +4

      Tunamtaka na sisi MAGUFULI akuwe RAISI wetu wa kenya

    • @kelvinjohn6851
      @kelvinjohn6851 4 ปีที่แล้ว

      @@faizabbas4620 Aisee bado kwanza acha aipiganie Tanzania yetu. Nyie si mko mbele. 😁

    • @isayalaizer9993
      @isayalaizer9993 4 ปีที่แล้ว

      @@faizabbas4620 karibu Tz

    • @faizabbas4620
      @faizabbas4620 4 ปีที่แล้ว +1

      @@isayalaizer9993 nashukuru sanaaa nitafurahi sanaa wacha corona iishe naja zangu tz

    • @isayalaizer9993
      @isayalaizer9993 4 ปีที่แล้ว

      Ntafurahi sana ukija

  • @mashashijumanne4791
    @mashashijumanne4791 4 ปีที่แล้ว +17

    What a wonderful President! Hakika JPM n chuma cha pua! Mungu akubariki na akulinde zaidi mh Rais

  • @nyacherimramba595
    @nyacherimramba595 4 ปีที่แล้ว +38

    Wale wa Singida wenzangu, ebu naombeni like zenu leo jmn

  • @felisterchimtunga7011
    @felisterchimtunga7011 4 ปีที่แล้ว +26

    I love you mh rais ❤❤❤❤💋💋💋💋💋💋 mungu akupe maisha marefu hiyo ndo dua yangu ya kila cku

  • @partohmsee5992
    @partohmsee5992 4 ปีที่แล้ว +17

    Barikiwa sana JPM Akuna Kiongozi mngwana kama wewe Mungu akulinde mchana na Usiku

  • @lubadila359
    @lubadila359 4 ปีที่แล้ว +45

    Mm naona magufuli katumwa na mungu maana sio kwa kazi nzr kama hii.

    • @kelvinjohn6851
      @kelvinjohn6851 4 ปีที่แล้ว +1

      Kweli aisee

    • @victorsanga2229
      @victorsanga2229 4 ปีที่แล้ว +1

      Sisi hatuogopi corona fungua shule tuendelee na shule

    • @hassanmsipi4094
      @hassanmsipi4094 4 ปีที่แล้ว

      Lubadila Tv lakin wapo wajinga watapinga,, japo hakuna mkamilifu

  • @kofiakon2020
    @kofiakon2020 4 ปีที่แล้ว +30

    If every president in Ghana can learn this from this video we can just move forward with light of building our country without limitation.
    This is the president who listen to everyone in the country in the lime light.
    He has come to serve his nation and continent without restriction or selfish interest.

    • @ezrajuma8970
      @ezrajuma8970 4 ปีที่แล้ว +1

      Wow thanks

    • @upendoeliudi5196
      @upendoeliudi5196 4 ปีที่แล้ว

      Jembe letu oyooooooooooo

    • @mahamoudabas8555
      @mahamoudabas8555 4 ปีที่แล้ว

      You heard what the president said? Our economy first, our life afterwards!

  • @ernestmpompo4637
    @ernestmpompo4637 4 ปีที่แล้ว +32

    Jamani hichi chuma kisiondoke mapema madarakani Mana si kwa furaha hi tuliyonayo watanzania

  • @abuuanwar0076
    @abuuanwar0076 4 ปีที่แล้ว +8

    Magufuli Oyeee, piga kazi Baba. Sisi wa Kenya 🇰🇪 tunakupenda Sana. Ukimaliza huko uje na huku kwetu.

  • @husseinmkakile9206
    @husseinmkakile9206 4 ปีที่แล้ว +35

    nani kafurahi kumuona dereva wa RAISI. kama mimi??. gonga like hapa

  • @nancykemunto2899
    @nancykemunto2899 4 ปีที่แล้ว +27

    Raisi mpenda watu wake, mm nimekenya lakini nakupenda Sana Raisi Wa wayonge

  • @luluamri370
    @luluamri370 4 ปีที่แล้ว +63

    Kenyatta njoo umuone mwanaume akiwa kazini

    • @hamidamlanda7331
      @hamidamlanda7331 4 ปีที่แล้ว +4

      Hahahaaaaa

    • @mimakau4490
      @mimakau4490 4 ปีที่แล้ว +5

      lulu amri 😂😂😂💪💪💪

    • @luluamri370
      @luluamri370 4 ปีที่แล้ว +2

      @@hamidamlanda7331 🤣

    • @luluamri370
      @luluamri370 4 ปีที่แล้ว +2

      @@mimakau4490 💪💪💪💯

    • @b.m7998
      @b.m7998 4 ปีที่แล้ว +3

      kabisa. sijawai muona akiongea na wananchi ata

  • @ausmsuya3335
    @ausmsuya3335 4 ปีที่แล้ว +17

    Thanks Sana Mr President may Almighty God guide you, give you healthy and safety...
    Indeed Almighty God is with us
    Stay safe please for our Success

  • @abdallagakweli6366
    @abdallagakweli6366 4 ปีที่แล้ว +15

    Yaani mm ni mkenya lkn cna time ya kuangalia rahisi wa Kenya akifanya mikutano yke isiyosomeka lkn kwa rahisi maghufuli wallah huwa ckosi kuangalia mikutano yke natamani sana niwe Tz citizen cjui tu wp naanzia lkn nataka kuwa raia wa Tanzania 🇹🇿 naipenda sana 🇹🇿

    • @bakarikijazi7355
      @bakarikijazi7355 4 ปีที่แล้ว +3

      Karibu. Tunaishi vizuri sana Tanzania. Alhamdulilah tumepata raisi bora soon tutakuwa Mbali sana kiuchumi

    • @abdallagakweli6366
      @abdallagakweli6366 4 ปีที่แล้ว +3

      @@bakarikijazi7355 Ahsante kk na niukweli yaani msikubali kumueka mwengine muacheni amalize awamu zke wengine huwa wanaharibu tu

    • @coffeemuya618
      @coffeemuya618 4 ปีที่แล้ว +3

      Karibu tuishi Kwa Aman na upendo sisi ni ndugu tumeshare makabila mengi kuliko jirani yoyote Kati ya mataifa yaliyotuzunguka

    • @sarayusufu256
      @sarayusufu256 4 ปีที่แล้ว

      Karib dr

    • @joycemwambe3494
      @joycemwambe3494 4 ปีที่แล้ว

      Karibu Tz

  • @dafrozachalukula9745
    @dafrozachalukula9745 4 ปีที่แล้ว +6

    Dr. Rehema chimbi RC nakupenda sana, Mungu akuongoze mama!!

  • @sungitatv9887
    @sungitatv9887 4 ปีที่แล้ว +1

    Sikutegemea wala kutarajia siku moja nitaongea mbele ya rais tena kwa shida kubwa iliyonisumbua muda mrefu shukran kwake Allah kwani nimipango yake mi kufika hapo wala sikua nikifaham kama atakuwepo kiongozi wangu ila Allah aliamua iwe ivo pili ni kwa kiongozi wangu kusikiliza shida za wananchi 🙏🙏🙏

  • @sameermilo2492
    @sameermilo2492 4 ปีที่แล้ว +17

    Well done Mr President . Mungu akubariki sana .. 🇹🇿💯❤️

  • @sylvesterraymond9371
    @sylvesterraymond9371 4 ปีที่แล้ว +10

    Napenda kunukuu maneno ya muheshimiwa waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa kuwa "Mwanamke hupewa hongera na Mwanaume hupewa pongezi(kongore). Namimi napenda kutoa pongezi zangu kwa muheshimiwa raisi kwa kulitanguliza taifa mbele pamoja na wananchi wake.Mungu akulinde na akupe afya njema

  • @rajabukhalfan3026
    @rajabukhalfan3026 4 ปีที่แล้ว +21

    We will always appreciate our lovely President JPM he is a hero who believes in what he Do and if possible he would lead our country for the rest of his life.. if things going well in the country why to change another president who we don't know.. Magufuli is a really Patriot.

  • @saidomar6806
    @saidomar6806 4 ปีที่แล้ว +7

    Najivunia kuwa Mtanzania, nchi ambayo Inaongozwa vyema na Rais wenye upendo huruma na watetez wa wananchi na wanyonge, Ubarikiwe Mh Rais Magufuli kw kaz nzur unayoifanya ⭐🌙🕋🕌🇹🇿

  • @partohmsee5992
    @partohmsee5992 4 ปีที่แล้ว +13

    God bless Your JPM! Your Bright leader and Uhuru should copy you and allow Kenyans hustle while keeping social distance and adhering to safe measures...

  • @halidnangeda1512
    @halidnangeda1512 4 ปีที่แล้ว +16

    Hakika magufuli ni jembe chapa kazi baba 2020 October unapita asubuhi peupeeeeeeee.........
    Ccm oyeeee

  • @gracemwaipopo3209
    @gracemwaipopo3209 4 ปีที่แล้ว +16

    Nakupenda rais wangu, nakuombea saana, natambua unakutana na magumu mengi coz unasimamia ukweli, songa mbele

  • @partohmsee5992
    @partohmsee5992 4 ปีที่แล้ว +23

    KWELI KABISA JPM CORONA ISINJE IKAWA CHANZO CHA MIGOGORO KATI YA KENYA NA TZ...Kama Umeskia Hilo Tujuane na likes hapa chini!!!!

  • @obadianicodem8512
    @obadianicodem8512 4 ปีที่แล้ว +23

    Covid 19 imekujaaaaa maaaaalumuuu kabisa Tz kukutambulishoooooo mh Rais ukweliiii nmekuelewaaaa saaaaaaana nmekukubali saaaaanaaaaaaa Mungu akutunnze

    • @ameyashey3174
      @ameyashey3174 4 ปีที่แล้ว

      Amin 🙏

    • @tanzanian8847
      @tanzanian8847 4 ปีที่แล้ว

      Hakika Corona imezid kumpa jina rais magufuri

  • @kudraahmad6003
    @kudraahmad6003 4 ปีที่แล้ว +33

    Kiukwel maguful sina cha kukulipa ila Mimi nipo kwenye folen kuanzia Leo kukupigia kura ,namuomba mungu upate asilimia mia ya kura 2020 mwezi wa kumi

    • @tanzanian8847
      @tanzanian8847 4 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa hatuna ch kumlipa rais magufuri. Kikubwa kumuombea dua na kwenda kumpigia kura 10/2020.

  • @jobdismas1947
    @jobdismas1947 4 ปีที่แล้ว +22

    Tunakuomba Mh, Sisi Watanzania tunalizika na utendaji wako na tunafurahia Jinsi unavyotuongoza Na Tunakuomba Utuongoze Mpaka 2045

  • @efrinkana2778
    @efrinkana2778 4 ปีที่แล้ว +18

    Ambao amemuona maguful anacheza na kupiga makofi gonga like yako apa tujuane

  • @upendohalisi80
    @upendohalisi80 4 ปีที่แล้ว +17

    Hebu dereva wangu wewe unakolona eti, hahaaa hii nimeipenda, hatuna corona sisi watz tupo vizuri aise na tunaakiri nyingi sana na tunapendwa na Mungu Baba.

  • @fanuelamuko5462
    @fanuelamuko5462 4 ปีที่แล้ว +17

    I salute you from +254

  • @peterjohn1969
    @peterjohn1969 4 ปีที่แล้ว +19

    Nina kushukulu MUNGU ulie ziumba mbingu na nchi navyote umezihi lisha unama kusudi nanchi ya Tanzania pia asante kwa kutupatia raisi mzuri sana tunampenda kweli kweli

  • @deborahgodda7052
    @deborahgodda7052 4 ปีที่แล้ว +30

    Waaambie baba yetu wanaokuzarau wataumbuka sana

  • @bercahot152
    @bercahot152 4 ปีที่แล้ว +11

    We must believe in this blood!!
    Appreciated

  • @safarikarisa3299
    @safarikarisa3299 4 ปีที่แล้ว +25

    Hongera magu..wewe ndo rais wa maana xna.xio uyu Kenyatta asiye na maana yeyote

    • @teddyoscar6876
      @teddyoscar6876 4 ปีที่แล้ว +3

      😆😆😆muoneeni huruma president Uhuru, tatizo Uhuru ni mtoto wa president Kenyata sasa kakua kwenye malezi ya kitajiri hajui shida ila ndio anajifunza kwa kumwangalia Magufuli sasa, Uhuru mtoto wa mama mwenziwe Magu ni chapa kazi tokea mdogo from poor family.

  • @emanuelminja4846
    @emanuelminja4846 4 ปีที่แล้ว +5

    Mimi nilienda Singida nilishangaa sana vile palivyopendezeshwa na barabara na kile kituo cha mabasi. Naipongeza sana Serikali .wanasingida Muitunze iyo miundombinu msitupe uchafu wala kutupa hata vocha .wafanyabiashara wadogo mufagie maeneo yenu na yanayowazunguka ili pabaki safi kila Muda

  • @aminsamweli1690
    @aminsamweli1690 4 ปีที่แล้ว +25

    Rais mchapa kazi, Embu tujuane wanao ungana na mimi

  • @PharmacyProfession
    @PharmacyProfession 4 ปีที่แล้ว +24

    We always appreciate you Mr. President🇹🇿.

  • @afropatriot7769
    @afropatriot7769 4 ปีที่แล้ว +16

    Baada ya kupiga nyungu za kutosha jembe limerudi kazini,hakuna cha korona wala convid-19 proudly Tanzanian💪💪💪

  • @harrisonhamisi3398
    @harrisonhamisi3398 4 ปีที่แล้ว +22

    Tz mlibarikiwa basi mnaraha

    • @samsonkarume7173
      @samsonkarume7173 4 ปีที่แล้ว

      Harrison Hamisi Africa ni Moja wewe pia Una haki ya kushukuru kuwa na kiongozi wetu mzelendo

    • @harrisonhamisi3398
      @harrisonhamisi3398 4 ปีที่แล้ว

      Ushawai ona rais wetu anafanya kama ivo

  • @Dj_anaetumia_kanda_AloyceG
    @Dj_anaetumia_kanda_AloyceG 4 ปีที่แล้ว +6

    Mwamba Chuma, miaka 100 Mungu azidi kukubaliki 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏

  • @alexsimwa8657
    @alexsimwa8657 4 ปีที่แล้ว +11

    Mimi ni Mkenya, nampongeza sana Mweshimiwa Rais Maghufuli kwa hotuba nzuri, haswa kwa kuimiza umoja baina ya Kenya na Tanzania

  • @nyanda427
    @nyanda427 4 ปีที่แล้ว +20

    God bless you Mr President Dr. John Pombe Joseph Magufuli. Tanzania 🇹🇿 tunaweza

  • @ramadhanichaulembo1329
    @ramadhanichaulembo1329 4 ปีที่แล้ว +17

    kingozi shupavu mungu akirinde daima raisi wa dunia zima

  • @tonymalando9872
    @tonymalando9872 4 ปีที่แล้ว +50

    Hili kamanda linatisha haliogopi hata korona😂😂😂😂

  • @khamismole3679
    @khamismole3679 4 ปีที่แล้ว +15

    If this government could be in Kenya surely we could live a peacefully life

    • @kelvinjohn6851
      @kelvinjohn6851 4 ปีที่แล้ว +1

      😆😆😆😆Khaa Majirani mnataka vizuri vyote viwe vyenu.

    • @kiyabolnjemu9646
      @kiyabolnjemu9646 4 ปีที่แล้ว

      I think u have a strong men like this gentleman magufuli, so its the matter of deciding

    • @nimcoosman3243
      @nimcoosman3243 4 ปีที่แล้ว

      Akuna corona tanzania

  • @tanzaniapatrioticorganizat9413
    @tanzaniapatrioticorganizat9413 4 ปีที่แล้ว +7

    Nchi yetu,Rais wetu,Fahari yetu'!

  • @amazoferare7786
    @amazoferare7786 4 ปีที่แล้ว +6

    Baba Rais Magufuli nasi wa Congomani
    Tuna kuitaji uje ukaitawale inchi ya Congo pia,
    Huku Congo hatuna
    Viongozi Baba, njoo uitawale Congo , upendo wako ni wapekee kabisa , hauna mupaka, Mungu akubariki Baba Magufuli uwe na maisha marefu.

  • @tanzanian8847
    @tanzanian8847 4 ปีที่แล้ว +2

    Rais magufuri mi nakupenda sana mpaka nakosa cha kuongea. Kikubwa na Allah azid kukuongoza ktk haki na akulinde dhidi y maadui.

  • @rukyarukya2230
    @rukyarukya2230 4 ปีที่แล้ว +1

    Allah akuongoze Rais wang katika nafasi yako Tunakuombea san majaribu yakupitie mbali najivunia kuwa na Rais kama huyu Alhamdullah

  • @princembuma3573
    @princembuma3573 4 ปีที่แล้ว +14

    Rais magufuli Kuja Congo ukumaliza term yako Tanzanie tutaku vote

    • @lutulalihim1585
      @lutulalihim1585 4 ปีที่แล้ว

      Kwetu hadi Rais hatoke kivu sisi Ndio tunajuwa uchungu wa kwetu ila Magufuli ni nema Kwa watazama

    • @coffeemuya618
      @coffeemuya618 4 ปีที่แล้ว +1

      Mungu ni mwema Mimi nawapenda Sana wacongo nawapenda Sana Congo wanatupenda Sana watanzania ndio inch pekee ninayo penda kua raia hata kuoa uko

  • @benjaminsimon3715
    @benjaminsimon3715 4 ปีที่แล้ว +9

    Hakika wewe ni kiongozi kila ninapokuona ninafarijika kwa uongoziwako uliotukuka ninakupenda sana raisi wangu chapakazi 🙏🙏🙏mungu ibariki Tanzania mungu mbariki Magufuli🙏🙏

  • @alikhamis6336
    @alikhamis6336 4 ปีที่แล้ว +5

    Rais Allah akuongoze Kwa hakika unajitahidi na Kwa kweli ni mzalendo wa kweli

  • @japhetpeter1692
    @japhetpeter1692 4 ปีที่แล้ว +23

    yule wa kwanza kuongea hana kitu ila anariria amani 🙏: asante mungu kwa kutupa kiongozi bora

    • @sylvesterraymond9371
      @sylvesterraymond9371 4 ปีที่แล้ว +1

      Hata mimi mwanzo sikumuelewa .lakini hakuna kitu muhimu kama kuwa Amani

    • @tanzanian8847
      @tanzanian8847 4 ปีที่แล้ว

      Kwakwel RAIS magufuri anapendwa.

  • @justinenjau3436
    @justinenjau3436 4 ปีที่แล้ว +3

    My president is black.... Mwafrica halisi, jasiri asiye na hofu, ngosha haswa.... Mungu atatuvusha.... Africa is for Africa.... Wabhejaa sana JPM

    • @gt.mkushimakoba531
      @gt.mkushimakoba531 4 ปีที่แล้ว

      Jah hamtupi mwenye haki,
      Njia yake haitapotea na atasimama imara katika hukumu....
      Jah bless Mr President JPM

  • @jacoblaiser7634
    @jacoblaiser7634 4 ปีที่แล้ว +20

    Hongera Mheshimiwa Raisi.

  • @raphaellyela4217
    @raphaellyela4217 4 ปีที่แล้ว +11

    Again, MY PRESIDENT ON TIME, A MAN ON SEASON

  • @kivurichumamwerumungwi1762
    @kivurichumamwerumungwi1762 4 ปีที่แล้ว +8

    Your the king of African kingdom. Oneness spirit of the national..Magufuri your honesty president.. yes we can .when we standing together with king Magufuri.. asante sana Mueshimiwa Rais

  • @yohanasarya448
    @yohanasarya448 4 ปีที่แล้ว +19

    I love you my president

  • @sekiondowarema1786
    @sekiondowarema1786 4 ปีที่แล้ว +4

    Mwenyezi ibariki Tanzania,ibariki Africa mashariki ibariki Africa.
    Raisi Magufuli n jembe kwelikweli.

  • @jovenaryjovenary8428
    @jovenaryjovenary8428 4 ปีที่แล้ว +33

    Safi sana Amili Jeshi mkuu

  • @janetalfred7716
    @janetalfred7716 4 ปีที่แล้ว +19

    Bravo Jpm

  • @dadibindinho3743
    @dadibindinho3743 4 ปีที่แล้ว +13

    Na corona imewakoromea wengi huko😂😂😂
    Nakupenda sn rais wangu JPM

    • @tanzanian8847
      @tanzanian8847 4 ปีที่แล้ว

      Hahaha. Wazungu wemefikishiwa ujumbe kisomi. JPM ni chumaaa

    • @simonspelius3219
      @simonspelius3219 4 ปีที่แล้ว

      Rais 2naye jaman

  • @karimabubakary385
    @karimabubakary385 4 ปีที่แล้ว +7

    nawaza tu kwa sauti hivi kwa mfano tukifumba macho tukajifanya hatujui ukomo wa mgombea uraisi kama miaka 30 hvi hakika taifa hili litakua zaidi ya S.A i love my country i love my President

    • @DrElizabethHLemaND
      @DrElizabethHLemaND 4 ปีที่แล้ว +1

      Yaani, acha tu. Mi naona aendelee tu

    • @krisongalax6278
      @krisongalax6278 4 ปีที่แล้ว

      Wapinzani wataleta vidomo Si wanapenda posho😂

  • @partohmsee5992
    @partohmsee5992 4 ปีที่แล้ว +17

    Bwana yesu Asifiwe Watanzania Wote..

  • @brunompolle1404
    @brunompolle1404 4 ปีที่แล้ว +5

    Mungu akubariki Sana jpm kwakua wewe ni jaguo la mungu so kwauwezo wetu

  • @williamkivuyo8786
    @williamkivuyo8786 4 ปีที่แล้ว +13

    HONGERA MHESHIMIWA RAIS KWA BIDII YA KAZI, MAENDELEO YANAONEKANA,

  • @ayoubkikoti6344
    @ayoubkikoti6344 4 ปีที่แล้ว +5

    Yaaani watu huwa wanashida wasipo mwona MH,Raisi,lkn pindi akiwepo shida huwa zinapotea,zinajaaa furaha tupo,MAGUUU HOYEEEEEEE,

    • @temuemanuel4671
      @temuemanuel4671 4 ปีที่แล้ว

      Ni kweli ndugu. Watu wakimwona wanajisikia kushiba kwa sababu wanamjua baba yao vizuri anavyowapenda bila kupendendelea. Watu wana havu ya kumsikiliza kila wakati bila kuchoka

  • @africayetutv329
    @africayetutv329 4 ปีที่แล้ว +7

    This is our beloved president Magufuli the man of God's power, Tanzania oyeeee🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @chuimnyama9074
    @chuimnyama9074 4 ปีที่แล้ว +3

    Mkuuuu wa MKOA upo vizuri Sana

  • @neemamussa7261
    @neemamussa7261 4 ปีที่แล้ว +17

    Mungu akutunze Baba

  • @florianmangasini1269
    @florianmangasini1269 4 ปีที่แล้ว +4

    Mungu akubariki sana Rais wangu natamani ungeendelea kutuongoza hadi hadi tukae sawa.

  • @issackibrahim840
    @issackibrahim840 4 ปีที่แล้ว +21

    Chuma kipo kazn

  • @marwalzzy5983
    @marwalzzy5983 4 ปีที่แล้ว +19

    Mliokua mnamtaka atoke chato gonga like hapa

  • @vincetv3415
    @vincetv3415 4 ปีที่แล้ว +7

    Nakupenda sana raisi wangu sana sana kutoka moyoni MUNGU akulinde

  • @ashamwandu3781
    @ashamwandu3781 4 ปีที่แล้ว +1

    Kila rakheri Rais wangu kipenzi.mungu akutunze akupiganie tunakuombea,

  • @Queen-te3lz
    @Queen-te3lz 4 ปีที่แล้ว +10

    mpaka najisikia raha mm jisi raisi alivyo na upendo na wananchi wake

  • @tinyaanosiatha1118
    @tinyaanosiatha1118 4 ปีที่แล้ว +5

    Simba wa Afrca jpm hongera kwa ujasiri ulinao mungu. Akulide .

  • @saidrusuma8523
    @saidrusuma8523 4 ปีที่แล้ว +14

    Jemedali wa Africa,
    Rais John Pombe Joseph Magufuri!.

  • @mudymudy3132
    @mudymudy3132 4 ปีที่แล้ว +11

    Naamini hata wazungu wanatamani wawe RAIA wa Tanzania na mwaka huu watajaa

    • @bintiiddy7043
      @bintiiddy7043 4 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣😂😂Yani wewe

    • @mudymudy3132
      @mudymudy3132 4 ปีที่แล้ว

      @@bintiiddy7043 sure unazani

    • @tanzanian8847
      @tanzanian8847 4 ปีที่แล้ว

      Hahaha. Hata Trump na Putin wanatamani waongozwe na JPM

  • @johnplacid8885
    @johnplacid8885 4 ปีที่แล้ว +4

    Haya mbowe baba kaja dodoma 🙏🙏 kama umesikia ukichokozwa sana na wew chokoza kidogo😂👏👏 gongalike

  • @f.a6043
    @f.a6043 4 ปีที่แล้ว +4

    YES IN GOD WE TRUST!
    GOD BLESS YOU Dr. JPM

  • @sebajseba719
    @sebajseba719 4 ปีที่แล้ว +15

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿hongera sana

  • @godykenza8286
    @godykenza8286 4 ปีที่แล้ว +16

    Duuuh eti namba tatu G...ebanaeeee huyu mtu noma . Master wa kumeza

  • @ginatiohadson8998
    @ginatiohadson8998 4 ปีที่แล้ว +21

    Hivi UG sioni wakikoment shida kiswahili au wivu tu...ahahaaaaa viva Tz

  • @nelsonimtaturu8115
    @nelsonimtaturu8115 4 ปีที่แล้ว +9

    mungu akulinde rais wangu

  • @papafikiri
    @papafikiri 4 ปีที่แล้ว

    Mzee uko juu sana ww tunakuelewa mno wananchi wako....naona unavyotamani kuwa karibu na wananchi hadi kuwashika mikono....tutengenezee mtu wa aina yako ili muda wako ukipita tuwe salama kama tulivyo sasa...Raisi mwenye msimamo uliyekuja kwa wakati sahihi kabisa....Mungu akulinde na kukuhifadhi daima