THE CLASSIC NURUELLY: FUNDI WA R & B/NLIDHARAULIWA/TAJI ALINISHUSHA STEJINI/MEDIA ZIMEUA R & B BONGO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ส.ค. 2024
  • Moja ya wanamuziki bora na waimbaji bora kabisa muda wote wa Bongofleva ni Nuruelly ,alifanya kazi kubwa kwa karibu miaka 30 kwenye game,ameshiriki katika mamia ya nyimbo za Bongofleva,hii ni sehemu ya hadithi yake alipofika kwenye The Classic

ความคิดเห็น • 33

  • @CoachHafidh
    @CoachHafidh 3 หลายเดือนก่อน

    Hilo pindi lilivyofunguliwa....Nuruelly Kiboko nyinyii. 🎶🔥🔥🔥

  • @melki-kabalu759
    @melki-kabalu759 8 หลายเดือนก่อน +5

    Tuliokua tukisikiliza watu kama hawa, sasa hivi tunasikia kelele tu...Nuruelly, Pure talent!!!

  • @farajiissa560
    @farajiissa560 3 หลายเดือนก่อน

    Ruge mungu anakuona ukae panapostahil

  • @goodneighbour2638
    @goodneighbour2638 8 หลายเดือนก่อน +3

    Nuruelly una ile ngoma UMETUTOKA BABA naikubumbuka sana uliweua

  • @hemedisalim812
    @hemedisalim812 8 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu mshakaji hakua na bahati tu, ila ni bonge la musician. Mkali sana r&b

    • @sidiqmhina7823
      @sidiqmhina7823 7 หลายเดือนก่อน +1

      sio Bahati walimbania maisha

  • @webstersinje7712
    @webstersinje7712 8 หลายเดือนก่อน +1

    Big up Nuruelly collaboration yako na Marehemu Salu Tee "Nyota imedondoka" ulifanya kitu kizuri sana....Kunta...Kinte.

  • @farajiissa560
    @farajiissa560 3 หลายเดือนก่อน

    Iyo nyimbo inayosikika nyuma yaaan sound track inaitwaje daah inaunyama sana

  • @arsenalic23
    @arsenalic23 6 หลายเดือนก่อน

    Nuruelly aliwahi toa goma moja kali balaa linaitwa MNG'ARO WA SILVER sijui yake ile ama alishirikishwa ila ngoma ile kwa utoto wetu enzi zile ilibamba

  • @anoldkivuyohiphopmc1957
    @anoldkivuyohiphopmc1957 8 หลายเดือนก่อน

    Kaka kuvichaka big up sana kwa kazi nziru,mpe hi moruo king daah kitambo sana mwana ,respect for what you're doing broo much ✌️✌️ love

  • @hadserhood2823
    @hadserhood2823 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi umetutoka baba hadi kesho hua ina nili a sana hua nakumbuka mengi sana

  • @shebelezatv1809
    @shebelezatv1809 8 หลายเดือนก่อน +1

    GOOD JOB JABIR WE NEED THIS HISTORY...TUNAPISHANA NA WATU MITAANI HATUWAJUI KUMBE WAMEFANYA MAKUBWA SANA KWENYE MZIKI

    • @KuviFacts
      @KuviFacts  8 หลายเดือนก่อน +1

      yes kaka kabisa kaka ni muhimu sana kaka kuna watu wamepigania mazuri yanayopatikana sasa kwenye game kwa kias kikubwa ,baati mbaya jamii inachukulia poa ,ni jukumu letu kuweka sawa haya

    • @sidiqmhina7823
      @sidiqmhina7823 7 หลายเดือนก่อน

      @@KuviFacts Jamaa amekuambia ukweli, hizi story baadae zitakuwa historia za kutafuta sana , unafanya vizuri sana Bro Jabbir.

  • @jumachillo7329
    @jumachillo7329 8 หลายเดือนก่อน

    Jamaa kammaindi sana
    RG

  • @mawazomedia.6454
    @mawazomedia.6454 8 หลายเดือนก่อน

    Duh pole nuruely

  • @sokastreet
    @sokastreet 8 หลายเดือนก่อน

    Jamaa anajua😮

  • @saidimbwambo6689
    @saidimbwambo6689 7 หลายเดือนก่อน

    Kinywaj kipo vzur

  • @raphaelkaswahili323
    @raphaelkaswahili323 8 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo jamaa aliesimama kavaa kofia nyeusi ni nani😢😢

  • @brightvatta284
    @brightvatta284 7 หลายเดือนก่อน

    Brother anapiga ukweli wa roho sana..

  • @khanafrica22
    @khanafrica22 7 หลายเดือนก่อน

    Interview na kaka Emanuel Nkulila kaka @kuvichaka please

  • @jumakabota1231
    @jumakabota1231 8 หลายเดือนก่อน

    Moja ya kolabo kali ni ile alofanya mapacha inaitwa nipe jibu...

  • @bongeone
    @bongeone 8 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤

  • @patrickjulius5951
    @patrickjulius5951 8 หลายเดือนก่อน

    4 cruese fravour

  • @ubuntubantu2404
    @ubuntubantu2404 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ila mmemkata na kumhamisha uelekeo wakati alikuwa anataka afunguke kuhusu umafia wa radio

  • @mawazomedia.6454
    @mawazomedia.6454 8 หลายเดือนก่อน

    Ismail kipila ndio kaimba rangi yachungwa

  • @defxtro
    @defxtro 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nuruely mkali sana.. Nimesemaje apo? 😂

  • @sidiqmhina7823
    @sidiqmhina7823 7 หลายเดือนก่อน

    Media Kongwe kubwa za Tanzania , zilipoteza wasanii wengi wakali , walikuwa wanachagua wasanii wao na kuacha wasanii wa kali.

  • @azorindege2556
    @azorindege2556 8 หลายเดือนก่อน

    Mtaalamu

  • @fahamuzaidiinvestments1260
    @fahamuzaidiinvestments1260 7 หลายเดือนก่อน

    nimesemaje hapo?😂

  • @ntopangonyani6964
    @ntopangonyani6964 7 หลายเดือนก่อน

    Ruge huyu🤨🤨🤨