MNYUKANO MKALI, WAZIRI BASHE AVUNJA UKIMYA SAKATA LA SUKARI, SPIKA AMPIGA MASWALI/ WABUNGE WACHARUKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 69

  • @afraeliazaelayo
    @afraeliazaelayo 3 หลายเดือนก่อน

    Asante Mh. Waziri kwa maelezo na ushauri mzuri na namna ya kujiwekea utaratibu wa kuepuka usumbufu pindi viwanda vinapokuwa vinafanyiwa matengenezo au sababu nyingine yoyote inayofanya uzalishaji sukari kusimama, na pia Wah. Wabunge kwa michango yao kuweka mambo vizuri. Ombi langu kwa Wabunge wetu, hasa wakati mjumbe anapokuwa anachangia jambo fulani,na akawa analizungumzia vizuri, ninawaomba Wah. Wabunge wajizuie kushangilia kwanza mpaka mchangiaji au mtoa hoja afikie mwisho wa sentensi,kwani wanaposhangilia kabla,na mchangiaji akaendelea kutoa material kuna maneno wasikilizaji huyakosa kutokana kukosekana utulivu. Au tumuombe Mh. Mbunge anayechangia anapoona hilo,asite kidogo,ushangiliaji utulie ndipo aendelee kutoa ufafanuzi wa jambo analolizungumzia. Kuna maoni mengine nitataka kuuliza wakati mwingine ,kwa nia ya kuwaonyesha Wah. Wabunge wetu kuwa Wananchi wengi huwasikiliza na kuwaangali sana. Asanteni.

    • @ufundi_tz
      @ufundi_tz 3 หลายเดือนก่อน

      Tunaenda kuuwa viwanda ... kwanini wasinunue kwa viwanda vya ndani alafu watunze .... ili tuendelee lazima tuvilinde viwanda vyetu vya ndani ...

    • @judicalosika7642
      @judicalosika7642 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@ufundi_tzhawatapata fedha!

  • @josephineseruhere-cv4wc
    @josephineseruhere-cv4wc 3 หลายเดือนก่อน +9

    Mimi binafsi nimwombe a Bashe lisimpate kosa kwani anafanya kazi vizuri tangu apewe wizara hiyo Mungu akulinde Be safe Sir I pray 🙏

    • @Kachuba-w9p
      @Kachuba-w9p 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kabisa

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 3 หลายเดือนก่อน

      We mwenda wazim kwel kazi gan nzur anafanya ya kutuibia sukar au

    • @Kachuba-w9p
      @Kachuba-w9p 3 หลายเดือนก่อน

      @@awadhally1052 ndio tulivyo watz kwa kulalamika ingekua ww ndio wazir ungefanya nn ?

    • @hamadtariq2149
      @hamadtariq2149 3 หลายเดือนก่อน

      @@Kachuba-w9phuoni kama anaongopa sukari kiwandani ni 2600

    • @gracemkami1343
      @gracemkami1343 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kama mmechunguza huyu jamaa anapigwa sana vita kuliko wazili yoyote ..... Mafisadi za mawazili wezi wanawaogopa kama mmegundua hilo....... Nakukubali kaka

  • @ufundi_tz
    @ufundi_tz 3 หลายเดือนก่อน

    safi sana speaker ... wabunge wapunguze kupiga makelele ...
    safi sana mwijage ... leo umeongea pointi sana

  • @ufundi_tz
    @ufundi_tz 3 หลายเดือนก่อน +2

    bunge la kuuwa viwanda ... hizi agenda zinaenda kumaliza viwanda ...
    Safi sana Mhe. Shigongo kwa taarifa ...
    Tanzania $2.37 = Tzs 6228
    Kenya $1.30 = Tzs 3400
    Uganda $1.35 = Tzs 3550
    Je, na kenya na Uganda wanafanya huo mfumo wa bashe ?????

  • @KelvinConorard
    @KelvinConorard 3 หลายเดือนก่อน

    Nakukubali sana bashe umekuwa mtetezi wa wakulima tangu ukiw mbunge adi leo waziri kazi yako tunaiona sisi wakulima japo unapigwa sana vita pig kaz achan na miemko ya watz

  • @salummichael87
    @salummichael87 3 หลายเดือนก่อน

    Tumien kiswahili watanzania tuelewe

  • @stephenndagalla8183
    @stephenndagalla8183 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mhe Mwijage hana majibu ya maana., akiwa Waziri wa Kilimo alijiita " Mzee wa sound". Badala ya kujibu swali anajibu stori za ziara ya miaka ya nyuma.

  • @YusuphMwegio
    @YusuphMwegio 3 หลายเดือนก่อน

    Kama sukari ni Tsh 1900, Wabunge hawa walilalamika bei Tsh 10000 Leo wanasema bei za ajabu

  • @samochristopherroche9953
    @samochristopherroche9953 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mwiguru lazima umshukuru,c umeingiza sukari afu hamkuilipia ushuru

  • @piusmaduka
    @piusmaduka 3 หลายเดือนก่อน

    kajamaa kanatumia kingereza uchwara wabunge wapiga meza bila kujua wanashangilia kumbe hapo dili limepigwa. pendekezo sifa za mbunge asiwe mwenye kujua kusoma na kuandika tu( kazi yao tumeiona kupiga meza dili za watu zinapita).

    • @judicalosika7642
      @judicalosika7642 3 หลายเดือนก่อน

      Ni uelewa mdogo!
      Kila dakika meza zinapigwa!!

  • @jamesbayo1910
    @jamesbayo1910 3 หลายเดือนก่อน +1

    Bunge litafiti kwanini Sukari ya Tanzania ni ghali kuliko majirani zake. Nyuma ya ughali wa bei kuna nini?

    • @ufundi_tz
      @ufundi_tz 3 หลายเดือนก่อน

      ni ufisadi tu ... alafu wanajifanya wana huruma kumbe wizi tu ...

  • @joctanmtambi895
    @joctanmtambi895 3 หลายเดือนก่อน

    Ungezeni uzalishaji wa sukari usiwaachie walewale wa miaka yote anzisheni viwanda vipya sio kuingiza sukari kutoka nje..

  • @ndiditheodore8272
    @ndiditheodore8272 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu Bwasheer anatoka wapi? Hawa ndiyo mwanajeshi wetu alisema ni watokaaaaaa!!!!! Chunguza hilo.

  • @muhammadalibhaz1390
    @muhammadalibhaz1390 3 หลายเดือนก่อน

    maneno haijengi msingi nakumbuka kauli ya rais mstaafu kikwete watanzania ni mafundi wa maneno wacheni kuwabembeleza wenye viwanda

  • @malisafikaliyao
    @malisafikaliyao 3 หลายเดือนก่อน

    Mbona anaongeaga kama mtu ambae haambiliki. Kuchanganya lugha yani hakieleweki anachoongea

  • @MmbagaMmbaga
    @MmbagaMmbaga 3 หลายเดือนก่อน

    Walaji ndio tunajua maisha yalivyo ni ngumu

  • @rkcomercialenterprises3209
    @rkcomercialenterprises3209 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kampuni za RTC,NMC,UGAWAJI, GEFCO,KAMPUNI TANZU YA TPDC KUFANYA BIASHARA YA FUEĹ ,ZILIISHIA SHIMONI. HII NRA hapa tz kupewa hili jukumu hapana hapana. Misiri ni Misri na tz ni tz. Please don't do a comparison 😢

    • @ufundi_tz
      @ufundi_tz 3 หลายเดือนก่อน

      sure kabsa 🎉

  • @devangandhl2255
    @devangandhl2255 3 หลายเดือนก่อน

    Halafu kwenye kamata kamata kuna maduka ya rejareja mtwara Wafanyabishara walichukuliwa kama wahalifu .aaah watendaji wetu sini inakuaje wakati mwingine

  • @fatumahassanduale4701
    @fatumahassanduale4701 3 หลายเดือนก่อน

    Viwanda tanzania ni wezi.

    • @ufundi_tz
      @ufundi_tz 3 หลายเดือนก่อน

      wamekuibia nn ? au ndio mihemko ?

  • @evelynmwaimu-vd9jo
    @evelynmwaimu-vd9jo 3 หลายเดือนก่อน

    Mnajua kweli kumkebehi mungu suburini bakora yake

  • @nestor384
    @nestor384 3 หลายเดือนก่อน

    Non sense Waziri mwizi huyu baada ya kuiba ndiyo anataka kutunga sheria!…

    • @tazrywiser5126
      @tazrywiser5126 3 หลายเดือนก่อน

      Sasa kaiba nini na wapi ndugu, yaani mtu anakutengenezea ununue sukari kwa 3000 badala ya 6000 mnamuita mwizi, elimu, elimu,elimu

  • @bbclondonulimwenguwasoka6126
    @bbclondonulimwenguwasoka6126 3 หลายเดือนก่อน

    Simamia bei elekezi ya sukari bado wafanyabiashara wanatupiga sisi huku Kg 1 ni sh.3500/=

  • @williammbuzimai5744
    @williammbuzimai5744 3 หลายเดือนก่อน +2

    ³ wezi hutuchanganya na tuingrish twa uongo,
    Mpina mlimuonea bure

    • @ibrahimtesha2733
      @ibrahimtesha2733 3 หลายเดือนก่อน

      Mpina ni mwaminifu mno! Tatizo ni kutafuta fedha kwa kuagiza sukari nje kijanja ili ije kutumika kugharamia kuiba uchaguzi! Wananchi tunadanfanywa kupitia bunge lelemama!

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@ibrahimtesha2733 Hoja ya Mpina ilikuwa nzuri sana lakini tukubali pia kuwa alichofanya Mhe. Mpina ni utovu wa nidhamu.

    • @williammbuzimai5744
      @williammbuzimai5744 3 หลายเดือนก่อน

      @@hajihassan5433 nje ya bunge kila mtanzania anahaki na uhuru wa kumsema mtu ÿo yote

  • @EmmaculateGembe
    @EmmaculateGembe 3 หลายเดือนก่อน

    Maneno yenu mazuri ila utekelezaji wenu unakuwa haueleweki

  • @jiwekichwa2857
    @jiwekichwa2857 3 หลายเดือนก่อน +1

    Pumba tupu

  • @joselisavicent5871
    @joselisavicent5871 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hamna kitu hapo unaongea sana lkn pumba mpina oyeeeeeeee

    • @KelvinConorard
      @KelvinConorard 3 หลายเดือนก่อน

      We umeongea nini au unacompare bashe na mpina utasubiri sana japo najua bashe ulikuwa unamuelewa ila mpina waga ni mpinzani wake fuatilia ata miaka ya nyuma utaielewa siasa

    • @ufundi_tz
      @ufundi_tz 3 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@KelvinConorardhatuangalii historia ... tuna angalia hoja ... upinzani kivipi wKati bashe hana ata miaka 10 kwenye uwaziri ... wewe ni mropokaji tu

  • @bakarikayugwa3295
    @bakarikayugwa3295 3 หลายเดือนก่อน

    Hakuna mbunge anae tetea wananchi ili kupa bidhaa kwa Bei nafuu wengi ni wakomoaji kama sukari inapatika kwa Bei nafuu hata kama nje ya nchi kwanini isiretwe kwa Bei ya chip ira ni kukomoa tu

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 3 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli tatizo Wafanyabiashara sasa nao ni Wanasiasa na wapo hapo kulinda biashara zao. Nyerere alilikemea sana jambo hilo.

  • @charlesmwambinga4355
    @charlesmwambinga4355 3 หลายเดือนก่อน

    Kuruhusu NFRA kuagiza Sukali badala ya kujenga uwezo wa Makampuni yetu nchini ni kurudi nyuma ...hapo kwenye uagizaji ndo patakua na Uchotaji..hapa ni kuvibana viwanda na kuviwekea sera mahususi kuongeza uzalishaji .

  • @alexanderkapinga700
    @alexanderkapinga700 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa mi saivi sina imani naye tena mpaka nisikie majibu ya hoja za Mpima.

  • @fredyjeremia7074
    @fredyjeremia7074 3 หลายเดือนก่อน

    Hf
    Why mumkandamize huyu tu!??? Kwani tuna wangapi mawaziri?? Eee!!!! Kwa nini tunaongozwa na mawazo ya watu? Kwani ni SUKARI TU?? MADINI JE? UVUVI JE?.USAFIRISHAJI JE AU !!! tunakesha tuuuu sukari...WHT Z THS!!? VIiongoz wapi tunataka nchi hii like this man??? This people is perfectly!!

    • @ufundi_tz
      @ufundi_tz 3 หลายเดือนก่อน +1

      wengine wanafanya kaz nzuri .. huyu anafanya kazi mbovu ... Wamtumbue tu

    • @judicalosika7642
      @judicalosika7642 3 หลายเดือนก่อน

      ✔️

  • @victorphilipo
    @victorphilipo 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kumbe waziri wa kilo hajui rorote sisi tunanunua dukati 2600 yeye anaongea pumba huyo nitaperi wazili bashe

    • @Kachuba-w9p
      @Kachuba-w9p 3 หลายเดือนก่อน +1

      Jifunze kwanza kuandika kiswahil,mm ninashaka ww sio mtanziani 😢

    • @hamadtariq2149
      @hamadtariq2149 3 หลายเดือนก่อน

      @@Kachuba-w9pbei ya sukari kiwandani ndo hyo 2600

    • @ufundi_tz
      @ufundi_tz 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@Kachuba-w9pkuandika kiswahili ndio nini?
      em wacha kujifanya mjuzi kumbe ushuzi tu

  • @rkcomercialenterprises3209
    @rkcomercialenterprises3209 3 หลายเดือนก่อน

    Shirika la UGAWAJI LILIFAILI ENZI HIZO NI NFRA ITAWEZA KIPINDI HIKI. NOPE

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im 3 หลายเดือนก่อน

    Bashe acha ujanja. Sio watanzania wote ni wajinga. Tenda ya sukari ya mabilioni kwa duka la mobile hiyo umepiga. Mpina ameonewa. Jamani oneni aibu.

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 3 หลายเดือนก่อน

      Acha siasa, maelezo yamenyooka yanaelezeka na yanaeleweka.

    • @Mima-cl2im
      @Mima-cl2im 3 หลายเดือนก่อน

      @@hajihassan5433 hii sio siasa. Hii ni kuwadanganya wakulima na watanzania kwa ujumla. Kuelewa ujanja wa Bashe mpaka uwe na akiri zako timamu

    • @SarahSwale
      @SarahSwale 3 หลายเดือนก่อน

      Acha kupotosha, Weka ushahidi wa ujanja wa Bashe. Tujifunze kufikiri kwa makini Bashe apewe nafasi aisaidie nchi wananchi wapate unafuu wa bei ya sukari.

    • @Mima-cl2im
      @Mima-cl2im 3 หลายเดือนก่อน

      @@SarahSwale Bashe haisadii nchi, anajisaidia mwenyewe. Inakuwaje anatowa tenda kwa watu wasiokuwa na sifa ya kusambaza sukari kinyume cha sheria zilizowekwa? Kati ya wafanya biashara aliowapa tenda ya mabilioni, ni duka linalouza simu, lisilokuwa na sifa. Mpina katowa ushahidi, huku tunaona. Na kumufukuza nje. Mbunge muzima aliyetumwa na wananchi kuwawakilisha.. . Shida yetu sisi watanzania, wengi hatuelewi na viongozi wetu wanajuwa wanaongoza wajinga. Ndiyo maana speaker kafunika ushahidi wa Mpina, na kumwambia atoke nje. Cheo ni dhamana. Bunge ni la watanzania na sio la speaker wala la wabunge. Wote ni wafanyakazi wa watanzania na wanalipwa na kodi zetu. Hatuombi chochote zaidi ya haki kwa wote..