mkali wetu piga kazi, wanaokudisi achana nao, kwanza hatua hiyo tu ni kubwa sana japo hawa vilaza wanapunguza speed, IPO siku tutaonana nikirudi Tanzania, npo ufaransa now, pia kuna kitu niakuwezesha kama zawadi.
Mkali unayumba mzee baba alafu siku hizi makelele mengi hauna ubunifu mwisho wako dizain kama umefika ,Embu kaa upajue ulipoteleza urekebishe vinginevyo hakuna unachokifanya
Basata ebu angalieni na hawa wanaotupotezea muda na bandle zetu wakati vipaji hawana,kaka umechemka kamtafute harmorapa akupe mbinu anaishije kwa sasa maana nae kaamua kupotea baada ya kuona alipata umaarufu kwa Bahati mbaya ila si kwa kipaji chake
Qaliii sana 🔥 .... Ingia kwenye channel yangu bofya tu picha upande wa kushoto uka jifunze vitu mbal mbal vinavyo husu cm za android chakufanya ingia na subuscruib na pia zpo video nyng za mambo ya android trick tu wemwenyewe utaifuraia cm yako.. Usisahau ku subuscruib
Yalaiti angekuwa anapitia komenti za kila clip aitoayo... Sidhanii kama angeshindwa ku change his mind on the comedy... Badilika bado mapema kijana.. Unapoteza viewers
Umechmka,,,,,,,brooo jitahdy kua creativity,,, LA cvyooo utapotea kwny game
Abdulrazaki Kidudu Ndo hyo Creactivity yenyewe au wewe unaelewaje hilo neno
Jomba umetish
Best comedy men mananku 😍😍😍💚💚💚
safiiii
Nimeipenda hiyo mkali irudie tena
😁
hovyooo umemaliza mb zangu...hakuna kitu unapotea
Broo tafta kazi ufanye, kapige ata dili la kuuza kandoro kariakoo, huna lolote!! Unadhani kumedy ni ufagio kila nyumba umo!! Hahaha
Achia ngazi
hina ilipo mkali
Hivi wanazikura aca bongo yako
Ungekua karibu, za Dijaro tano tu zingekutosha 😡😡
mkali wenu mm nimecheka walio kasirika hao wanachuk binafsi
Guud mkali
Hao timamu tangia aondoke mama ashura wamekua ovyo naww ndo hamna kitu kabisa unapiga kelele tu hauna lolote asaivi habar ya mjini anko zumo
hashim abdalah ha ha ha ha
Aaaah huna kitu siku hz
mkali wetu piga kazi, wanaokudisi achana nao, kwanza hatua hiyo tu ni kubwa sana japo hawa vilaza wanapunguza speed, IPO siku tutaonana nikirudi Tanzania, npo ufaransa now, pia kuna kitu niakuwezesha kama zawadi.
lengo kuchekesha au kutukana wachungaj?
we mjinga una uwa ayxeeh
Mkali ww sio mbunifu tafta mtu awe anakutungia vyengnevyo utalala njaa mjini
Unayumba mkalii.....hata haijachekesha
Mhhhhh me simooooo BASATA wanakuhusu
Weee kila kitu inaigiza tu mmnm umechoka sas hvi
Acha upuuzi ww
we msenge jina la yesu halitumiki kwa ajiri ya kuchekesha watu kama huna jipya kalime 2 pumbavu ww
Mkali unayumba mzee baba alafu siku hizi makelele mengi hauna ubunifu mwisho wako dizain kama umefika ,Embu kaa upajue ulipoteleza urekebishe vinginevyo hakuna unachokifanya
Ayah mkari
Your funny
ujui kuchekesha ata rudi kijijini ukalime mjini kuna wenyewe
Unabeep imani wewe
Hana lolote
Shakira Dua 😁😁😁
duuh
Kama umeshindwa kuigiza achia wengine
Kweli kaka yaani haina ladhaa kabsaa
Ally Chaye igiza ww kama hajakurahisha Kaaa kmya bas
+dj chimiz TV anza kukaa kimya ww, anatumalzia mb zetu kwa upuuz wake
Ahaaahaa
Basata ebu angalieni na hawa wanaotupotezea muda na bandle zetu wakati vipaji hawana,kaka umechemka kamtafute harmorapa akupe mbinu anaishije kwa sasa maana nae kaamua kupotea baada ya kuona alipata umaarufu kwa Bahati mbaya ila si kwa kipaji chake
Usijali na watu we piga kz kaka uko vzr sn
Aaaaaa pumbav yako huna jpya
ata mm naweza ivo
Tatizo Ya wabongo buana Kama hajakufurahisha kaa kmya maboya nyie bas igiza vzur ww ili tucheke tatizo Ya wabongo wivu
😁😁😁😁👌
Acha kuchezea imani za watu boya ww
Kama umeishiwa idea kalime hata matikiti
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
Ovyo
Sasa Ndio nn
😁😁😁😁😁
Naona umechoka kuigiza yaani unashindwa kuwa mbunifuuu hata clip haichekeshii
TIBA YA MAGONJWA/MIMEA DAWA/MATUNDA TIBA: th-cam.com/play/PLRMIRcpWDhtxd4HOn6N9NVE9OSkVzfNlO.html
dah
i nachekesha ila wakiristo wamepanic
🤣🤣😂😂😂
Hii haina shobo mzee😏
Qaliii sana 🔥 .... Ingia kwenye channel yangu bofya tu picha upande wa kushoto uka jifunze vitu mbal mbal vinavyo husu cm za android chakufanya ingia na subuscruib na pia zpo video nyng za mambo ya android trick tu wemwenyewe utaifuraia cm yako.. Usisahau ku subuscruib
ATA HAICHEKESHI😕😕😕
Yalaiti angekuwa anapitia komenti za kila clip aitoayo... Sidhanii kama angeshindwa ku change his mind on the comedy... Badilika bado mapema kijana.. Unapoteza viewers
kwa vichekesho vya kuvunja mbavu subscribe Chanel yang noelTz
Gggghu😎🤨🔔🔔😎🗣️
ZARI AKILA BATA DUBAI CLICK HAPA KUTAZAMA th-cam.com/video/Y9ehcuoIub8/w-d-xo.html