Jussa atema nyongo mambo yanayotendwa na serikali

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 127

  • @salyali7807
    @salyali7807 2 ปีที่แล้ว +6

    Mashaallah.. kila siku nikiamka namtafuta mhe. Jussa .. leo Alhamdullillah namuona

    • @eddynaeem6708
      @eddynaeem6708 2 ปีที่แล้ว

      Baba tuhoi sasa tunakunya bila kujamba

    • @nassorhassan7288
      @nassorhassan7288 2 ปีที่แล้ว

      @@eddynaeem6708 hahahhhhh...nabado maana ndio kwanza miaka2

    • @ZanzibarKamiliTV
      @ZanzibarKamiliTV  2 ปีที่แล้ว

      😀 Dooh pole sana

    • @salyali7807
      @salyali7807 2 ปีที่แล้ว

      @@eddynaeem6708 🤣🤣🤣

    • @mudrikmaulid6000
      @mudrikmaulid6000 2 ปีที่แล้ว

      Hhhhh🤣🤣🤣🤣🤣

  • @nailamohd7693
    @nailamohd7693 2 ปีที่แล้ว +8

    Asante kiongozi maneno ya uhakika na yenye kujenga rais Mwinyi chukua point hizo visiwa nani aliyekodi na manufaa yepi yalopatikana

    • @mudighurayra
      @mudighurayra 2 ปีที่แล้ว

      Ayo manufaa una tka yaje siku iyo iyp

  • @tamimtours6934
    @tamimtours6934 2 ปีที่แล้ว +5

    SAFI SANA ,KISIWA WATU MILIONI 3HATUFIKI, ETI WATU WANANJAA NAHAWANA AJIRA MAENDELEYO MABOVU..NATUKO NAKILAKITU DHULMATU NYINGI WIZI MTUPU LOL

  • @salimharrasy7047
    @salimharrasy7047 2 ปีที่แล้ว +2

    Allah ijaalie Zanzibar iwe salama.
    Ya Allah wape afya wanyonge na maskini wa Zanzibar.
    Mola wetu wape upendo na mshikamano
    Wananchi wote.
    A'miin.

  • @imraniqbal00765
    @imraniqbal00765 2 ปีที่แล้ว +7

    Mungu akulinde baba jussa
    Allah akuweke salama
    NA ukupe umri wenye kheri
    NA mwisho mwema

    • @nailamohd7693
      @nailamohd7693 2 ปีที่แล้ว +2

      Ameen ya rabby

    • @salyali7807
      @salyali7807 2 ปีที่แล้ว +1

      Allahumma ameen

    • @rubenprince8990
      @rubenprince8990 2 ปีที่แล้ว +1

      @@nailamohd7693 huku ulaya hizo mashine mpaka vinyozi wanazo

    • @jambo3751
      @jambo3751 2 ปีที่แล้ว

      @@rubenprince8990 halafu wanaenda kulipa kwa mujibu ya hiyo rekodi ya hizo mashine au ndio wanaambia walipe kwa kukisiwa tu na mamlaka ya kodi(Revenue Authority) kama hapa ZANZIBAR?

    • @tabletennis6296
      @tabletennis6296 2 ปีที่แล้ว

      @@rubenprince8990 na znz ni km ulaya?😂

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 2 ปีที่แล้ว +4

    Jussa we ndo mtetezi wetu hapa zanzibar

  • @salyali7807
    @salyali7807 2 ปีที่แล้ว +6

    Ahsante Jussa... kiboko yake

  • @ibugharib389
    @ibugharib389 2 ปีที่แล้ว +8

    Sema baba wambie,wambie DHULMA wakubwa hao , lakini baba visiwa hivi tabu sana KUCHUCHUKA DHULMA imeanza toka mapinduzi kwa mzizi wa DHULMA bado unaitesa Zanzibar tuombe Salama .Bega kwa bega mpaka KIELEWEKE

    • @papaamasauti5944
      @papaamasauti5944 2 ปีที่แล้ว

      Ili tuendelee lazima tuende na wakati

  • @kinkybanjukome217
    @kinkybanjukome217 2 ปีที่แล้ว +1

    M.mungu akulinde na Shari za ma CCM maana baraka shamte keshachezea kipigo kwa kuhoji

  • @tours15
    @tours15 2 ปีที่แล้ว +3

    Ahsante Jussa

  • @kalrawahy218
    @kalrawahy218 2 ปีที่แล้ว

    Jusa allah akuekee.. Allah akulinde wallah w kama ni mwalim basi nahc hakuna aso kuelewa

  • @mozakhamis7253
    @mozakhamis7253 2 ปีที่แล้ว +1

    jusa masikini. wasije wakakuuwa tu ndiyo hofu yangu. kwani hiyo ccm mwezao. wameweza kutaka kumuuwa kwa kusema ukweli. heee mdongo wangu jusa.

  • @kisa6022
    @kisa6022 2 ปีที่แล้ว +4

    Jussa mtu mzito

  • @hamednassor9499
    @hamednassor9499 2 ปีที่แล้ว +2

    Mtihani MH jussa mshauri makamo wa Kwanza amwambie MH rais mwinyi angalie upya kuhusu Mali asili kama mchanga mawe fusi kokoto watupunguzie bei kuhusu vibali wanatusumbua zura bei kubwa hakuna tunachokipita zaidi ya hasara maisha magumu tunashindwa kuendesha biashara

  • @solomonadams6337
    @solomonadams6337 2 ปีที่แล้ว

    Asalaam Alaikum Warahmatullah Wabarakatu ¿Maashaallah wewe ni Mwalim fahamu yako ni nyengine kabisa Allah atuekee hii sisi Wazinjibar wewe ni hazina yetu...💯👌

  • @tamimtours6934
    @tamimtours6934 2 ปีที่แล้ว +4

    SERIKALI YA CCM NAVIONGOZI WAKE WOTE VIPOFU ,MBUMBUMBU KABISAA.

  • @fatmasaleh9516
    @fatmasaleh9516 2 ปีที่แล้ว

    M.mung akuweke jusa kwa amani na upendo n akuepushe n Kila Shari wazanzibari Leo tunatawaliwa n wanao jiita wezetu tunanyanyasika km watumw hatuna haki yoyote ewe m.mung unayaona haya yanayo tendeka juu ya viumbe vyako km ndio haki tunavo tawaliwa sawa la sio haki pitisha ilio haki mola wetu mlezi amiin

  • @SKY-fk3fz
    @SKY-fk3fz 2 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah sema baba

  • @kennyrogers4734
    @kennyrogers4734 2 ปีที่แล้ว +1

    Umesema kweli kbs yaan makodi meeengi lukuki adi unawaza nitatoka kweli jmn?maana kila idara kodi yaan unaumiza kichwa kbs

  • @francismapugilo2435
    @francismapugilo2435 2 ปีที่แล้ว

    Mbona na wewe siyo Mzanzibar, tunajua wewe ni mhindi ulijaaliwa kupata Elimu ya Chuo kikuu kwa mgongo wa Watzee. Kiswahili siyo alama ya Utzee.

  • @benjaminimiselya6944
    @benjaminimiselya6944 2 ปีที่แล้ว

    ZANZIBAR (JUSSA) (SHAMTE) Zanzibar Kuna🦉

  • @msabahaali758
    @msabahaali758 2 ปีที่แล้ว +2

    Hakika nchi yetu inako3lekea ni kubaya sana vijana hawana ajira na wakijiajiri pia ni mtihani mkubwa leo masoko yote yamebomolewa

  • @francismapugilo2435
    @francismapugilo2435 2 ปีที่แล้ว

    Ulishindwa ulipo CUF yenye nguvu ya volt 1000 itakuwa kuchukua nchi itakuwa hii ACT yenye volt 200?

  • @nestor384
    @nestor384 2 ปีที่แล้ว

    Tupewe Dr. Mwinyi Bara anatufaa sana Maana ana culture na nia dhabiti sawa na ya hayati Dr Magufuli.

  • @yussufkhamis7230
    @yussufkhamis7230 2 ปีที่แล้ว

    Tunahitaji kisaidiwa tenaaaa heeee

  • @mozakhamis7253
    @mozakhamis7253 2 ปีที่แล้ว +1

    wewe ndio mtetezi wetu. tunakupenda. sana jusa aondoke huseni haijuwi hiyo ninchi ni. inaishi watu wenye akili. zao.

  • @othmanali5362
    @othmanali5362 2 ปีที่แล้ว

    Sawa Jusa

  • @OmarAli-zi2jg
    @OmarAli-zi2jg 2 ปีที่แล้ว

    Jussa ni ktk lulu za Zanzibar

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 ปีที่แล้ว

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌👍

  • @dadymanzy1068
    @dadymanzy1068 2 ปีที่แล้ว +2

    Waelimisheeeee,ww nd mbungo bna

  • @uklife5232
    @uklife5232 2 ปีที่แล้ว

    Hakuna CCM hata mmoja mwenye maumivu na wananchi Zaid ya familia zao inauma sana kwa kweli mpaka inafika muda tunaona Bora tukahangaike nje ya nchi bila kutaka

  • @zenj1986
    @zenj1986 2 ปีที่แล้ว

    Jussa umeongea vizuri lakini siku zote najiuliza baada ya mazungumzo yote hayo hawa viongozi hawajali kwaivo inasadia vp?

  • @noffelsalim830
    @noffelsalim830 2 ปีที่แล้ว +2

    Dhulma haijengi.

  • @NadeemKhan-zo8dc
    @NadeemKhan-zo8dc 2 ปีที่แล้ว +2

    Huyu jamaa anasema kwli nimeenda Zanzibar yani hmna maendeleo yeyote zaidi yakuona watalii

  • @knight6757
    @knight6757 2 ปีที่แล้ว

    Pasoa pasoa baba !!

  • @radaonlinetv1922
    @radaonlinetv1922 2 ปีที่แล้ว

    Jussa sasa na nyinyi mumesha tinga ndani ya Serekali ya umoja wa kitaifa. Mpaka leo mumewafanyia nn wananchi wenu?

  • @tamimtours6934
    @tamimtours6934 2 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU YUPO ANAMUONA WAMEPITA WINGI .TUNATIWA SHIDA KWAKUSUDI NA SERIKALI.. UONEVUTU NA DHULMA WIZI MWINGI.

  • @joseeandrew7343
    @joseeandrew7343 2 ปีที่แล้ว

    wananchi wenyewe wanao zungumziwa hapo kwenye katiba ni wale wazalendo wa Zanzibar na sio wale ambao wapo kwa ajili ya waarabu hiyo ndio zamira ya waasisi wa katiba na ndio malengo ya muasisi wa Zanzibar ambae ni jemedari Abedi Amani Karume mzalendo kweli kweli kwa hiyo isije akatokea mtu yoyote mwenye maslahi kwa tumbo lake na waarabu akajifucha hapo kwenye katiba hapo

  • @mussajuma7460
    @mussajuma7460 2 ปีที่แล้ว

    Wazanzibar wengi hawataki visiwa vikodishwe

  • @papaamasauti5944
    @papaamasauti5944 2 ปีที่แล้ว

    Serekali yetu unatenda mambo mazuri ila Kwa Sasa hamutona kitu baada ya 5 years ndio maendeleo yataonekana

  • @yussufkhamis7230
    @yussufkhamis7230 2 ปีที่แล้ว

    Tushachoka

  • @salimally3714
    @salimally3714 2 ปีที่แล้ว +1

    Waeleze mkuu wauwaji hao wamehozi nnchi yetu hawana machungu na zanzibar

  • @janiaoma7093
    @janiaoma7093 2 ปีที่แล้ว +1

    JUSSA NDUGUYAGU UMEISHIWA WEWE USHAPITWA NA WAKATI HUNASHAKO UTABWEKA MPAKA UCHOKE HATA KWEYE NUMBER YA FOLENI HUMO NISAWA NA MPIGA DEBE KWEYE KITUO CHA MABUS

    • @hamadsheni8997
      @hamadsheni8997 2 ปีที่แล้ว

      Ucwe wakujibu,ckiliza anacho sema.halafu ukijua anacho sema.ndo ujbu.

  • @OnlineMathsAcademy
    @OnlineMathsAcademy 2 ปีที่แล้ว +1

    Ina mana tukenda Foro kula mbatata kuna mashine sasa? Dah..bora Foro ianze saa 12 asubuhi...

    • @Humble.....
      @Humble..... 2 ปีที่แล้ว

      Hhhhhhhhhhhhhhhhhhh

  • @it-vw4zj
    @it-vw4zj 2 ปีที่แล้ว

    SMZ ni serikali inayojali matumbo yao tu na maslahi ya waekezaji sio welfare au maslahi ya Zanzibar na watu wake

  • @hilalal-busaidi4007
    @hilalal-busaidi4007 2 ปีที่แล้ว

    SEMA MHESHIMIWA USIPGOPE

  • @it-vw4zj
    @it-vw4zj 2 ปีที่แล้ว

    CCM imefeli toka ilipoundwa mpaka kiama kitasimama

  • @fatumanasoro5057
    @fatumanasoro5057 2 ปีที่แล้ว

    Kama mtamuachia Huseni akimaliza nasie tuhoi

  • @yussufkhamis7230
    @yussufkhamis7230 2 ปีที่แล้ว

    Kwanza bandary wasiuze visia

  • @hilalal-busaidi4007
    @hilalal-busaidi4007 2 ปีที่แล้ว

    Wananch msiogope

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 2 ปีที่แล้ว

    Mh.kumbe huyu hamna kitu,,,,!!!

  • @benderarulenge2477
    @benderarulenge2477 2 ปีที่แล้ว

    Hi

  • @allyhassan7169
    @allyhassan7169 2 ปีที่แล้ว

    Ndio kutetea haki ni jihadi kuna maisha ya dunia na akhera kwa ajili hiyo kila mtetea haki anamalipo mema duniani na akhera

  • @sayidabdillah8505
    @sayidabdillah8505 2 ปีที่แล้ว +2

    Shida hawafahamu wapi wanapoteza fedha zetu lakini wanajuwa kuwa fedha zetu zinachukuliwa na TRA Tanganyika Revenue Authority ety wanatuzingira kuita Tanzania km ni sawa na ZRB waende Tanganyika kukusanya mapato ,hivo ili tuendelee lazima TRA iyondoke Zanzibar

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 2 ปีที่แล้ว

    Yote ndio yale yale tuu, siasa ya majukwaa ina nguvu zaidi kuliko vitendo

  • @issabuyu7344
    @issabuyu7344 2 ปีที่แล้ว

    Nazan huyu jamaa analaumu tu kwa asicho kijua, kwan kuhusu kampuni tatizo liko wap? Labda ukasome tena kuhusu Sera ya maendeleo kwa nchi maskini kwanza.. Acha kupotosha Jamii ww..

    • @abdallaseif2315
      @abdallaseif2315 2 ปีที่แล้ว

      Huyu anauliza swali nikampuni zipi

  • @meekman1805
    @meekman1805 2 ปีที่แล้ว +1

    Enyi wana Comment je kuna CCm yeyote hapa?

  • @yussufkhamis7230
    @yussufkhamis7230 2 ปีที่แล้ว

    Bora useme wanatukamuwa san

  • @khubeybjandal7435
    @khubeybjandal7435 2 ปีที่แล้ว

    Dawa ni kushika silaha tu.

    • @mamyomar1241
      @mamyomar1241 2 ปีที่แล้ว

      Hahaha, usijeikawa kama mbagala , yaliporipuka mabomo watu wakatafutana.

  • @meekman1805
    @meekman1805 2 ปีที่แล้ว

    Ndugu Jussa Bado hujasahau walicho kufanya?.

  • @yussufkhamis7230
    @yussufkhamis7230 2 ปีที่แล้ว

    Ukiongea ivo wanasem unachafuwa aman

  • @salimally3714
    @salimally3714 2 ปีที่แล้ว +2

    Nasikia yule babu aliesema ukweli juzi wamemvunja miguu maskini

  • @idrisaallysalum9447
    @idrisaallysalum9447 2 ปีที่แล้ว

    Sasa Jusa inamaana hayo malalamiko unamwambia naani wakati chama chako ndicho kinaongoza nchi kwa ushirika na ccm?.... Inamaana huko Serikalini hamna vikao vya kujadili hayo usemayo au ndiyo kujishaua baada ya kuona hamna jipya?... acheni unafiki nyote mnahusika kwa kila kitu msitake kuleta ujinga wenu kwa watu!

  • @kalrawahy218
    @kalrawahy218 2 ปีที่แล้ว

    Zulma tupu

  • @omaraminia1227
    @omaraminia1227 2 ปีที่แล้ว

    Wewe mwenyewe mnafiki

    • @ibniabdalla4817
      @ibniabdalla4817 2 ปีที่แล้ว +1

      Wewe uliokuwa sio mnafiki tuambie bas huo ukweli wewe ulonao tukusikilize bas

    • @yakubumakame9162
      @yakubumakame9162 2 ปีที่แล้ว

      Omar aminia wamjini ole ww kweli unaakili

    • @omaraminia1227
      @omaraminia1227 2 ปีที่แล้ว

      Ibni Abdalla wanasiasa wote wanafiki

    • @omaraminia1227
      @omaraminia1227 2 ปีที่แล้ว

      Ibni Abdalla nakupa akiba ya maneno wanasiasa wote wanafiki wapo kwa ajili ya matumbo yao na familia Zao tu mifano hai ipo mingi

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 2 ปีที่แล้ว

      @@omaraminia1227 upo sahihi

  • @yussufkhamis7230
    @yussufkhamis7230 2 ปีที่แล้ว

    Keanza bandar yetu ya mwanga pwani hana jibu pia

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 2 ปีที่แล้ว +3

    KICHWA KIZURI HICHO!!UNGEHIFADHI QUR"AN NA HADITH
    UMMA UNGEFAIDA MNO!

    • @ommymehmed8880
      @ommymehmed8880 2 ปีที่แล้ว +1

      Ni kweli lkn wapo pia waliohifandi ivyo vitu na tunawasikiliza ,kwa iyo na huyu wacha tumsikilize ...ila hii sio kuhifadhi ni kuongea yaliyopo .

    • @sadajuma9722
      @sadajuma9722 2 ปีที่แล้ว +1

      Inawezekana hata wewe unamsema huyo Jussa angehifadhi qur_an jiulizee wewe mwenyewe una mangapi jee wewe umehidhi hio qur an ukisema mengine ubakishe usimalize maneno

  • @yussufkhamis7230
    @yussufkhamis7230 2 ปีที่แล้ว

    Bora wangekuwepo wale wale waoman

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 2 ปีที่แล้ว

      Hahahaha,,,, sultan harudi tena Zanzibar!! Ukitaka wafuate!!

  • @ashuramuhammed3257
    @ashuramuhammed3257 2 ปีที่แล้ว +1

    Mm kwetu Zanzibar saiv naishi Italy nimekuja kutembea dah Yan kama nchi enzi za ukolon hakuna maendeleo yoteyote njaa tupu nchi yote imejaa msitu

    • @ameirzapy1318
      @ameirzapy1318 2 ปีที่แล้ว

      Mmmmh sijui kama umefika kweli Zanzibar

    • @jovanafidelis2802
      @jovanafidelis2802 2 ปีที่แล้ว

      @@ameirzapy1318 ata mm nashangaa mbona kumejengeka Sana ila mfukoni jua linawaka sana

  • @mozakhamis7253
    @mozakhamis7253 2 ปีที่แล้ว +1

    waeleze wajinga hao hawaerevuki maisha. maji ya bendera ya kijani

  • @salyali7807
    @salyali7807 2 ปีที่แล้ว

    Hiyo katiba ni babaisha bwege tu

  • @omaraminia1227
    @omaraminia1227 2 ปีที่แล้ว

    Nyote wanasiasa wanafiki

  • @fidelismwakanyamale6787
    @fidelismwakanyamale6787 2 ปีที่แล้ว +1

    Jusa umaarufu umekwisha acha fitina

  • @TeamKRX
    @TeamKRX 2 ปีที่แล้ว

    Huyu hamujui kalewa kuja kujiuza Zanzibar lanatullha imshukie ya allaha Aondoke yeye tu dua dua ombewe atoke kisiwani chenu

  • @maryamalli9090
    @maryamalli9090 2 ปีที่แล้ว

    Mwenzio seif Sharif Hamad katema nyongo mpaka kaingia kaburini na wewe tema nyongo mpaka uingie kaburini

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 2 ปีที่แล้ว

      @Maryam Alli.Kadhalika Rais Abeid Karume (1964-1972), na yeye "katema nyongo mpaka kaingia kaburini kwa kusema hadharani: "MUUNGANO NI KAMA KOTI LIKIKUBANA LIVUE."

    • @kheriabdu7763
      @kheriabdu7763 2 ปีที่แล้ว

      We VIP umejipanga na hayo makaazi ya kaburini au ndo utaisha hapa milele kissa hujaikosoaa katiba haya

    • @kheriabdu7763
      @kheriabdu7763 2 ปีที่แล้ว

      Tujipange.basi tuish vyema tuendako na tuchukie kila vyitendo vya madhalim

  • @suleimansuleiman2436
    @suleimansuleiman2436 2 ปีที่แล้ว

    Watatuwekea mashine hadi katika kutoa mahari Hawa,

    • @asmaali2911
      @asmaali2911 2 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣

    • @suleimansuleiman2436
      @suleimansuleiman2436 2 ปีที่แล้ว +1

      @@asmaali2911 utakujakusikia mtu unadaiwa mahari, *mahari ya binti yetu ni milioni 4, pesa ya wazazi milioni, makato ya serikali(ZRB) ya elimu Bure ya maharusi 200.000, Ofisi ya mufti 100,000

    • @massoudomar9651
      @massoudomar9651 2 ปีที่แล้ว

      @@suleimansuleiman2436 Yakhe hawashindwi hao... Hahaha...!!!!!!

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 2 ปีที่แล้ว

    MSIPENDE TUU KUSEMA SEMA. HAUWEZEKANI WATU WAFANYE BIASHARA BILA KULIPA USHURU. HAKUNA NNCHI YOYOTE DUNIANI. ACHA KUCHANGANYA WATU. ONGELEA HAYO YA UKODISHWAJI WA VISIWA NI MUHIMU SANA.

    • @hemedinhohemedinho662
      @hemedinhohemedinho662 2 ปีที่แล้ว +3

      Hujui kitu kuhusu Zanzibar nyamaza tu

    • @OnlineMathsAcademy
      @OnlineMathsAcademy 2 ปีที่แล้ว +1

      Ni sawa lakini sio immediately wawe na cost hizo...kisha kuna biashara tofauti, wengine wadogo wanahitaji kukuwa kwanza, mana wengine wanakopa kwa ajili ya kuanzisha biashara, mara nyingi nchi nyengine hutakiwi kufanya malipo mpaka 18 to 24 months tokea ulipoanza biashara. Mara nyingi biashara zinakuwa hazina profit mpaka baada ya 3 to 5 years kwa ajili ya set up costs. Nahisi wangewapa 5 years kulipia hizo mashine kama wapo serious ya watu kuendeleza biashara, inabidi na serikali pia ijitolee kiasi fulani.

    • @jambo3751
      @jambo3751 2 ปีที่แล้ว

      Tatizo sio kulipa kodi bali hizo mashine walizozileta na kuwauzia wafanyabiashara wameamua kutokubali zile record za kwenye mashine hizo na wamerudia kulipisha kodi kwa kukisia tu! Sasa hizi mashine zina maana gani?

    • @jovanafidelis2802
      @jovanafidelis2802 2 ปีที่แล้ว

      @@hemedinhohemedinho662 hajui kitu kweli,anyamaze tu mm naelewa

  • @nestor384
    @nestor384 2 ปีที่แล้ว

    Tupewe Dr. Mwinyi Bara anatufaa sana Maana ana culture na nia dhabiti sawa na ya hayati Dr Magufuli.