VIGONGO VYA ISMAIL JUSSA KWA RAIS MWINYI HIVI APA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 38

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf ปีที่แล้ว +4

    Jusa baba hatareeee sana 🥰🥰🥰.

  • @mohammadalsibani7298
    @mohammadalsibani7298 ปีที่แล้ว +3

    Loh MH JUSA ANAONGEA BILA HOFU HUYU NI MKWELI HASA

  • @hassanmakame4382
    @hassanmakame4382 ปีที่แล้ว +1

    Uposahh mh jussa

  • @Khatib-xp6fp
    @Khatib-xp6fp 3 หลายเดือนก่อน

    Zanzibar kuna vijana wa ovyo kabisa alafu huja kulalamika umgaie buku ukiona serekali imefeli badilisha lakin kuna watu wakaid sana

  • @AaAa-vm8bb
    @AaAa-vm8bb ปีที่แล้ว +2

    Wacha kuwakandamiza wanyonge kwa faida ya madhalimu wanaiba halafu wanajitangazia hazarani jee hii sio aibu kubwa kwa Serikali?

  • @raiaraia2724
    @raiaraia2724 ปีที่แล้ว

    Ila mh jusaa wew unapend mzik dukhh

  • @samimohd1950
    @samimohd1950 ปีที่แล้ว +1

    Nyiyi wakina jusa Rais hussein alisema tuwaombee dua wanataka kurudisha nyuma maendeleo kwahio na ww dua zikufikie

    • @AbdillahSOthman
      @AbdillahSOthman ปีที่แล้ว

      Maendeleo yapi..

    • @saidsobongo912
      @saidsobongo912 9 หลายเดือนก่อน

      ​@@AbdillahSOthmanunataka uolewe ndio uone maendeo au kama huon subr mume

  • @binbajoun7918
    @binbajoun7918 ปีที่แล้ว +1

    Camera men vp mbona kila penye jambo muhimu unatukatia hatukuelewi

  • @omarhemed448
    @omarhemed448 ปีที่แล้ว +1

    Jusa anawapiga nondo waenza kupigakelele

  • @omarhemed448
    @omarhemed448 ปีที่แล้ว +1

    Wapige Nodo tu atuogopi chochote sisi

  • @abdallasheha4173
    @abdallasheha4173 ปีที่แล้ว +2

    Amani yakutuibia basi ndiokaziyenu mijizi mikubwa

  • @aliseif287
    @aliseif287 ปีที่แล้ว +1

    Usidanganye watu jusaa ufisadi mkumbwa wizara ya afya mbona hujaongea

    • @shaabansabour1214
      @shaabansabour1214 ปีที่แล้ว

      Hebu tueleze Kuna ufisadi gani?
      Jee unao ushahidi kutoka kwa mkaguzi Mkuu wa serikali?

    • @salyali7807
      @salyali7807 ปีที่แล้ว

      Ufisadi wa wizara ya afya au ufisadi wa kuiba zanzibar yote?

  • @sulemanealisaide217
    @sulemanealisaide217 ปีที่แล้ว +1

    Aman na njaaa umerogwa

  • @sultannassor338
    @sultannassor338 ปีที่แล้ว

    c vyema kutukanana

  • @suleimanrashid8495
    @suleimanrashid8495 ปีที่แล้ว +1

    Mbna unajihatarishia amani ww

  • @mohammadalsibani7298
    @mohammadalsibani7298 ปีที่แล้ว

    Asalam alekum mbona hatuoni hao wanainchi anao ongea nao tutajuaje kama yupo na wananchi tunaipongrza ACT kwa sera yao

    • @thanimosi8906
      @thanimosi8906 ปีที่แล้ว

      Hahaha wafuasi hawana ndo mana hawaoneshi

  • @rahimhassan6722
    @rahimhassan6722 ปีที่แล้ว

    Mbona unamkata ww vp

  • @suleimanrashid8495
    @suleimanrashid8495 ปีที่แล้ว +3

    Kaz yko kupotosha ummmma tu tunaish Kwa amani saiv unaleta upuuzi mshenzi ww

    • @kassim1262
      @kassim1262 ปีที่แล้ว +1

      Acha matusi Kwan c watu wameenda kwahiyari yao au kuna magari yabure yamepita matawini kubeba wtu anaongea na mwinyi mwinyi huyo mwinyi mwenyewe hana majibu ccm ndio inapotosha watu miaka 64 mpk leo hata maji yakunywa wznzbar hatuyapati jusa kampotosha nani mjinga we

    • @gadonassir4261
      @gadonassir4261 ปีที่แล้ว

      Pigaaa bunjuuuu iloooo

    • @thanimosi8906
      @thanimosi8906 ปีที่แล้ว

      Hao Kwan huwajui kutwa kutafuta chokochoko tu

    • @shaabansabour1214
      @shaabansabour1214 ปีที่แล้ว +1

      Amani gani tunayo ishi nayo? Yangu lini Raisi aliye apa kuwatumikia watu woote bila ya kuchagua rangi, jinsia au anakotoka mtu akasema hadharani, kwamba Kazi atawapa wanachama wa ccm tu! Jee hio no amani?

  • @alijuma7882
    @alijuma7882 ปีที่แล้ว

    Hotuba munaikata

  • @aliseif287
    @aliseif287 ปีที่แล้ว

    Jussa usidanganyee ummaa

    • @shaabansabour1214
      @shaabansabour1214 ปีที่แล้ว +1

      ACT bado itakuuma, ndio kwanza hii ni mwanzo tu.

  • @thanimosi8906
    @thanimosi8906 ปีที่แล้ว +2

    Jusa wewe ni msaka tonge bhana

  • @suleimanrashid8495
    @suleimanrashid8495 ปีที่แล้ว +2

    We jusa acha ujinga wako ww