ISMAIL JUSSA HAJAPOA AAMUA KUWEKA WAZI UCHAFU MWENGINE WA CCM NA SERIKALI YAKE.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 66

  • @mukhtaromar-g5p
    @mukhtaromar-g5p 3 หลายเดือนก่อน +3

    Ndio baba tunawakubali nyote kura kwa act wazalendo kuelekea mamlaka kamili ya zanzibar. 2025❤❤❤❤

  • @Abdullyussuf
    @Abdullyussuf 3 หลายเดือนก่อน +3

    Nyinyi kweli mmevaa viatu cha maalim

  • @stonetown578
    @stonetown578 3 หลายเดือนก่อน +8

    Hongera mh. Jussa kwa kuanika ukweli.

  • @KhamisMustafa
    @KhamisMustafa 3 หลายเดือนก่อน +2

    Nakukubali baba kwa dozi

  • @Mahirwazanzibar
    @Mahirwazanzibar 3 หลายเดือนก่อน +5

    Udhu usioka mikonon kufanya vile ni Dalil ya hofu na kutokua na confidence😂😂😂

  • @Issa-n6v
    @Issa-n6v 3 หลายเดือนก่อน +7

    Ww ni brofessa jussa❤

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 3 หลายเดือนก่อน +2

    jusa ni hero

  • @OmarMohammedOmarMohammed-h9u
    @OmarMohammedOmarMohammed-h9u 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hata mungu pia ameamrisha haki itendeke nahuwewezi kumtii kiongozi ambae anakuamrisha kumuasi yeye allah namtume wake ambayo anazungumza jussa nikweli

  • @mohamedturanardan8871
    @mohamedturanardan8871 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mazroi kasahau mateso yote, mauwaji na kubakwa kwa watu. Sina imani nae

  • @Lundege_Hips
    @Lundege_Hips 3 หลายเดือนก่อน +2

    Anayoyaongea jussa ukiwa na akili timamu bila chama bc yatakugusa maana kila kitu kwasasa kimepandishwa bei ukiwemo umeme na tunaoumia ni sisi wananchi wa chini

  • @Issa-n6v
    @Issa-n6v 3 หลายเดือนก่อน +4

    Pamoja sanaaaaa

  • @Khatib-xp6fp
    @Khatib-xp6fp 3 หลายเดือนก่อน +5

    Fact

  • @salyali7807
    @salyali7807 3 หลายเดือนก่อน +6

    Mh Jussa nakuvulia kofia kwa hotuba hii

  • @YahyaRodri
    @YahyaRodri 3 หลายเดือนก่อน

    Asante san Jussa ❤

  • @nassorsharifu9837
    @nassorsharifu9837 3 หลายเดือนก่อน +5

    na umeme washapandisha bei

  • @hajihassan5433
    @hajihassan5433 3 หลายเดือนก่อน

    Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar Kikatiba haya makubaliano hata yakifanyika na leo ni BATILI, Katiba ipo ifuatwe.

  • @AbubakarZubeir
    @AbubakarZubeir 2 หลายเดือนก่อน

    Tupo teyari

  • @khamisbedui3323
    @khamisbedui3323 3 หลายเดือนก่อน

    Mi nalia.😢 Maneno mengi matamu,,,lakini mwajua vijana wengi hawana vitambulisho na hawapewi? Muda umekaribia...TAFAKAR!!!!

  • @abdallaabdalla4416
    @abdallaabdalla4416 3 หลายเดือนก่อน +1

    Siasa au dini? Nyote ni ulaji tu hamutusaidii wanyonge wala hamuumwi na shida zetu ndio maana Mungu hawapi uwezo siku mukijirekebisha MMungu atasimama nanyi Musimtegemee Sefu wala Asumani kuweni waadilifu tendeni haki muhadae

  • @hajiharoub8125
    @hajiharoub8125 3 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢😢

  • @feyxalbarry4595
    @feyxalbarry4595 3 หลายเดือนก่อน

    Kwani jussa mzanzibar au mbona kma muhindi huyu iyo roho ya kuumwa na Zanzibar anaitolea wapi kma sio mnafiki

    • @SuleimanMussa-x5i
      @SuleimanMussa-x5i 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kwan we mZanzibar we mtangnyika rudi kwen na mzanzbar lazma alilie znzbr yk

  • @AliiKhalid
    @AliiKhalid 2 หลายเดือนก่อน

    Kazen ka mba musiwape pumzi

  • @Issa-n6v
    @Issa-n6v 3 หลายเดือนก่อน +4

    Huna mbayaaa mh jussa

  • @alimcha9843
    @alimcha9843 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu machongo ashasahau

  • @AbdallahJuma-wb8lq
    @AbdallahJuma-wb8lq 3 หลายเดือนก่อน

    Haviwezi

  • @alisalehsaleh2564
    @alisalehsaleh2564 3 หลายเดือนก่อน

    Jenga hoja usizungumze mambo yashapita

    • @salyali7807
      @salyali7807 3 หลายเดือนก่อน

      Yamepita kwako kwetu sisi ni kovu la maisha

    • @alikidungura9419
      @alikidungura9419 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kina moja husema analoliona kwamweziw mwache aongee

    • @alikidungura9419
      @alikidungura9419 2 หลายเดือนก่อน

      Hakuna wakweli wote wana siasa waongo Iwe chama Tawala iwe CCm iwe cuf iw chadema

  • @khatibal-zinjibari6956
    @khatibal-zinjibari6956 3 หลายเดือนก่อน +6

    WATU WASIOJULIKANA
    KATIKA
    ZANZIBAR NA TANGANYIKA
    1) ZANZIBAR
    a) Kifo Cha Karume (1972)
    b) Vifo 21: Waislam (2020)
    2) TANGANYIKA
    a) Risasi 16 za Lissu (2017)
    ALLAH TUNUSURU WATU WASIOJULIKANA (2025)

    • @salyali7807
      @salyali7807 3 หลายเดือนก่อน

      Allahumma ameen Allahumma ameen

  • @HassanKingi-r5z
    @HassanKingi-r5z 2 หลายเดือนก่อน

    Xx ww jussa utamuongoza nani wakati ata familia huna kwanz ungeatafuta mke 😂😂😂😂😂

  • @TatuKhatib-f1u
    @TatuKhatib-f1u 3 หลายเดือนก่อน

    Weye kwenu hapa nenda uko mshatutemea sana mate mjinga sana kumbe weye

    • @SuleimanMussa-x5i
      @SuleimanMussa-x5i 3 หลายเดือนก่อน +1

      We tuna taka tukujue kuwa ni mtangnyika au mzanzbar

  • @AiserAli-mq6sz
    @AiserAli-mq6sz 3 หลายเดือนก่อน

    Uislam umemkataza kabisa mambo ya siasa za kikafiri yana mambo demokrasia uchafu mtupu hakuna haki kabisa wote maslahi ya dunia tu kutukanana dini haipendi kabisa

  • @KassimAlly-xp4dz
    @KassimAlly-xp4dz 3 หลายเดือนก่อน

    Yani nyie ACT wajinga sn mmeona wapi Ccm kukubali matakwa yenu ccm ni wabaya sio wakuwamini nyie kwa ujinga wenu mkenda kuwamini

  • @AleiHadji-js3ed
    @AleiHadji-js3ed 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu Mlinde Raisi wangu Dr Mwinyi ❤❤❤❤❤❤

    • @ramlaaly5314
      @ramlaaly5314 3 หลายเดือนก่อน +5

      hawez milnd wakati nidhalimu finari jahanm nyote sisiemu

    • @salyali7807
      @salyali7807 3 หลายเดือนก่อน +3

      Vizuri ulivyosema raisi wako kwani wazanzibari tunamjua kama ni silent killer

    • @salyali7807
      @salyali7807 3 หลายเดือนก่อน

      Laanatullah

  • @TatuKhatib-f1u
    @TatuKhatib-f1u 3 หลายเดือนก่อน

    Hamtopata j
    Maisha yenu mtabakia ivoivo angalie chama chenu wahindi warabu ubaguzi mtupu

  • @Shdy2569
    @Shdy2569 3 หลายเดือนก่อน

    Kuwa na adabu kwa viongozi wako hata dini imesema tuheshimu viongozi wetu siasa sio ugomvi

    • @kassim1262
      @kassim1262 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂Unaijua dini lkn ustadhi kwaio hayo anayoongea co kweli au

  • @kingmaina1151
    @kingmaina1151 3 หลายเดือนก่อน

    MWINYI MITANO TENA🙃 NA IKIWEZEKANA AONGEZEWE MDA ZAID NA ZAIDI

    • @salyali7807
      @salyali7807 3 หลายเดือนก่อน +1

      Atufutie nchi yetu kwenye ramani ya dunia ... na akamalizie miaka 5 mkurunga

    • @SuleimanMussa-x5i
      @SuleimanMussa-x5i 3 หลายเดือนก่อน +1

      Mpelk kwa mama yk ampe mtno

    • @kingmaina1151
      @kingmaina1151 2 หลายเดือนก่อน

      @@SuleimanMussa-x5i kwa mama yk ushampelek

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 3 หลายเดือนก่อน

    Punguza roho mbaya ya kwa nini.unajifanya mtu wa dini kumbe mnafiki eti dozi unao misukule kuwatumia akili zao na nyie ndio wachafu wa mazingira tupa taka ovyo ovyo kuharibu.

  • @TatuKhatib-f1u
    @TatuKhatib-f1u 3 หลายเดือนก่อน

    Muwalipe nyie mnowatia ushawishi wa kufanya vurugu ilipe serikali tena unawazimu nini hujapona

    • @SuleimanMussa-x5i
      @SuleimanMussa-x5i 3 หลายเดือนก่อน

      We shizi kwli sie tuna kujua we mtangnyika

    • @SuleimanMussa-x5i
      @SuleimanMussa-x5i 3 หลายเดือนก่อน

      Mzanzbar wwte ana taka mamlaka kamili we mwenztu wa wap

  • @MuzneOthman-l7i
    @MuzneOthman-l7i 3 หลายเดือนก่อน

    WEWE MTU UMESOMA TENA MWANASHERIA. UNGEMSHAURI MAALIM HUU SI WAKATI WA AHADI . JEE KWA NINI HAYAKUWEKWA KTK MAANDISHI?. NA MKABADILISHANA NYARAKA. HAYO UNAYOSEMA WAKATI HUU NI SAWA NA HADITHI ZA ALINACHA

    • @fahmysaid-zw4np
      @fahmysaid-zw4np 3 หลายเดือนก่อน +3

      watoke hadharan waseme km hawakukubaliana na maalim

    • @MuzneOthman-l7i
      @MuzneOthman-l7i 3 หลายเดือนก่อน

      HAYO YATAKUWA MAMBO YA KIKE KUSUTANA . CHAMA NI TAASISI MAANDISHI NI MUHIMU

    • @isakhamisi8923
      @isakhamisi8923 3 หลายเดือนก่อน

      Maalim alikuwa msomi na wewe msomi lakini mbona hayo makubaliano hamkuweka kwenye maandishi.

    • @hajiharoub8125
      @hajiharoub8125 3 หลายเดือนก่อน +2

      Hata waandike maandish sehemu Gani ccm itabaki kuwa wakaidi TU maana hawajawahi kushinda ila wanatangaziana uraisi tu

  • @YussufKhamis-n4c
    @YussufKhamis-n4c 3 หลายเดือนก่อน

    Wacha siasa ya zilipendwa .kama huna la kusema tafuta pampati .

    • @hajiharoub8125
      @hajiharoub8125 3 หลายเดือนก่อน +2

      Unataka aseme vp wakati ccm hajijawah kushinda

    • @salyali7807
      @salyali7807 3 หลายเดือนก่อน +1

      Naona umeishiwa na comments bora ukatafute mavi ya kuku ubanje

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@hajiharoub8125Wapi?

  • @hajihassan5433
    @hajihassan5433 3 หลายเดือนก่อน

    Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar Kikatiba haya makubaliano hata yakifanyika na leo ni BATILI, Katiba ipo ifuatwe.