It pains, but we have to take it easy and continue with the mission! Ubaya Ubwela should be experienced this Sunday! Simba SC must be top of the group! My prayers!
Na kwa upande wa kutazama mpira tuandaliwe mahali ambapo kabla wachezaji wetu hawajaingia uwanjani tuwasalimie tuwatie moyo waende kupambana na haya baada ya match pia hivyo hivyo tuwaone wachezaji wetu na tuwapongeze pia mi nahisi hii ingekuwa nzuri zaidi
Semaji huna baya nimependa maelezo yako wanasimba tumelipokea maana kwenye mafanikio hapakosi changamoto ila mungu atasimamia mechi yetu tutawafunga tyuuuuu
Fungeni tv za kutosha uwanja wa uhuru,kmc na azam watu watoe kiingilio nafuu washerekee pamoja na kuipa timu mapato,tupo tayari jamani semaji toa maelekezo
Sisi kama wapenzi na wanachama tunaomba mtoe izo namba kwa halaka tuchangie ni hela nddogo sana wala isiwaumize kichwa na vile vile big screen tunaiitaji shamba la bb kuliko kukaa nyumban
Mi nashauri uongozi utuandalie namna nzuri ya kulipa hili kwetu sisi mashabiki ila kwa upande wa ticket naona zisiuzwe kwa sababu zina makato ya Serikali ila ikiandaliwa namna nzuri hata ya lipa number itakayokuja kwa jina la simba ingependeza zaidi kaka
Naomba mashabiki tusisogee kabisa eneo la uwanja wa Mkapa kwani lolote litakalo tokea uwanjani litasababisha adhabu kali, nashauri watu wafungiwe screen kubwa uwanja wa KMC ili kujumuika pamoja kushangilia hata kama ni mbali ya uwanja
MCHANGO ufanyike kupitia viingilio vya kuangalia mchezo huo kwa screen kubwa itakayo fungwa eneo litakalo pangwa, kwa mapenzi yetu tuchangie elfu 3 hata elfu 5 tukipata zaidi itagawanywa kwa wachezaji kama watashinda mchezo huo
Kwan wakizuia kuigia mashabiki simba inacheza hata ya bila mashabiki na matokeo mazunzu wafanye hata usiku na wazime na umeme halafu simba kashavuka ubaya ubwela
Ahmed ally nenden muombe ng'ambo ya uwanja au jirn funga projector kubwa kias kinachoshangiliwa kitasikika taifa na kabla ya kuingia tuwasalimie na kutoka funga speaker kubwa tutajaaa fanya hvo
Awe Mreno,awe Mwarabu neno Ubaya Ubwela halibadiliki 🦁💪🤲🌹🌹🌹❤️❤️❤️💋
Simba nguvu moja kutoka kenya
Like hapa kama unamkubali semaji ❤❤
Semaji la vichaa semaji linalo ongea kama limekunywa gongo
@@SwalehHarunwivu mamaa wivuuuu mamaaa 😢😢😢😢😢
@@SwalehHarunsk zote vichaa wana lugha yao huelewana wao tu hata ww n kichaa
Simba nguvu 1,, ili nalo litapita kk ubaya ubwela 💪💪❤❤
Tufungiwe tv kubwa uwanja wa uhuru tuangalie tuingie humo tuishangilie timu yetu.... Simba nguvu moja
It pains, but we have to take it easy and continue with the mission! Ubaya Ubwela should be experienced this Sunday! Simba SC must be top of the group! My prayers!
Perfect
Perfect
Toeni muongozo Mimi nipo Congo drc lkn kwa Simba yangu nitachanga hata usiku wa manane nipo tayari kwa Simba yangu
Nenda Instagram upate muongozo
Mchome na mashabiki wote wa utopolo wanaovaa jezi za simba wachunguzwe pia
Na kwa upande wa kutazama mpira tuandaliwe mahali ambapo kabla wachezaji wetu hawajaingia uwanjani tuwasalimie tuwatie moyo waende kupambana na haya baada ya match pia hivyo hivyo tuwaone wachezaji wetu na tuwapongeze pia mi nahisi hii ingekuwa nzuri zaidi
Apo nakuunga mkono,,umeongea pwenti sana yaniii♥️
Semaji huna baya nimependa maelezo yako wanasimba tumelipokea maana kwenye mafanikio hapakosi changamoto ila mungu atasimamia mechi yetu tutawafunga tyuuuuu
Kuna jezi la mikono mirefu Og ya Simba ya rangi ya blue❤
Kokiiii Simba I love you ❤❤❤
This is 🦁💪
Mungu Awatangulie Wachezaji wetu 🙏🙏
❤❤ semaji ubaya ubwela
❤❤❤ ubaya ubwela❤❤❤
Goli Hilo Lili losababisha fujo linasamani kuliko faini
Mm nilikuwa nimenunuwa ticket tayr, lkn robo fainal lazima tena nitanunuwa nyingine
simba nguvu moja
Semaji kama semaji🤝
❤❤❤❤💪💪
Noma sanaa
One love toa no tuingiz muamala
Mungu yupo na Simba. Ila kuna vita kubwa nje ya uwanja, msichukulie hili poa.
Fungeni tv za kutosha uwanja wa uhuru,kmc na azam watu watoe kiingilio nafuu washerekee pamoja na kuipa timu mapato,tupo tayari jamani semaji toa maelekezo
uko sawa semaji wa caffu
Simba Nguvu Moja
Sisi kama wapenzi na wanachama tunaomba mtoe izo namba kwa halaka tuchangie ni hela nddogo sana wala isiwaumize kichwa na vile vile big screen tunaiitaji shamba la bb kuliko kukaa nyumban
Tupeni muongozo wa kuchangia tunataka timu yetu tuichangie mashabiki tunahela jamani
Tunataka kuichangia club yetu tupeni namba live tuchange iyo ela ya faini
Kwani uchangie wewe wasichangie Yanga walioharibu uwanja?
❤️ ALHAMDULILLAH ❤️ 🇹🇿 🇦🇪
Kweli kabisa tuchangie Tim yetu jamani tusiwe mbali na Tim,na hata wachezaji wakifanya vizuri nivyema tukawapa zawadi ili iwapushi zaidi
Ubaya ubwela semeji letu tuma namba yaaccaunt hata iweje ushindi lazima
🙌🔥🔥
Mi nashauri uongozi utuandalie namna nzuri ya kulipa hili kwetu sisi mashabiki ila kwa upande wa ticket naona zisiuzwe kwa sababu zina makato ya Serikali ila ikiandaliwa namna nzuri hata ya lipa number itakayokuja kwa jina la simba ingependeza zaidi kaka
Hapo Kuna watu wanavaa jezi za Simba Alafu wanang'oa viti kumbe ni yanga tunawaomba waache wanatuchafua mashabiki wa Simba tutakuja kuonana wabaya
Tulipie tu tiket kufidia shekh simba uwezo tunao
Wekeni mkeka tuchangie haraka
Mchaulu Hamad,,tupopamoja semaji
Kwel hili letu sotee tuko pa moja tulipie
Naomba mashabiki tusisogee kabisa eneo la uwanja wa Mkapa kwani lolote litakalo tokea uwanjani litasababisha adhabu kali, nashauri watu wafungiwe screen kubwa uwanja wa KMC ili kujumuika pamoja kushangilia hata kama ni mbali ya uwanja
MCHANGO ufanyike kupitia viingilio vya kuangalia mchezo huo kwa screen kubwa itakayo fungwa eneo litakalo pangwa, kwa mapenzi yetu tuchangie elfu 3 hata elfu 5 tukipata zaidi itagawanywa kwa wachezaji kama watashinda mchezo huo
Semaji wekeni namba tuchange tumalize chap hiyo faini
Viti wameng'oa Mashabiki wa Yanga ili kuwalipa kisasi twende kwenye Mechi yao Jmos kushangilia waarabu wenzetu MC Alger
Sanaaaaa
Kweli inatakiwa wana simba tukaujaze uwanja juma mosi kuishabikia Mc Alger
Halaf tunavaa jez zao tunafanya vurugu hawa utopolo wamezingua
Safi sana Wana Simba mlioko dar nendeni mkamsapoti mwarabu mwenzetu
@@saidbakari7998 Jitu zima ovyo! kalipeni viti vya watu.
Sisi sio wanyonge hatakama wameharibu cv yetu tutaruka nao chamsingi tupeni account number ya club tutachanga Simba nguvu mmoja
Nenda Instagram upate muongozo
Unyamaaa mwingi
Shamba la bibi tukalipie tu kwenye scren
Ubaya Ubwela kwa kireno ni ''O mal está de volta''.
Nguvu moja
yanga waringoa viti huwezi kushinda arafu ukangoa vti😂❤
Simba nguvu moja mashabiki hili ni kosa letu
Tungeendelea kununua tiketi kana walivyofanya mashabiki wa ile timu ya tunisia
Toweni ACC no tuchangie deni
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Niko tayari kuchangia club yangu kama mtatoa muongozo viongozi we2
Mh!! Jersey hizo
👏👏👏👏👏👏
Kwan wakizuia kuigia mashabiki simba inacheza hata ya bila mashabiki na matokeo mazunzu wafanye hata usiku na wazime na umeme halafu simba kashavuka ubaya ubwela
Ubaya ubwelaaaaaaa TUFUNGE BIG SKILINI😂
🦁🇹🇿💪💪💪💪🙏🙏
Semaji kadi ziendelee tulipe Hilo deni jamani msisitishe jamani tununue kadi jamani.
Nguvu moja.robo finali
Hawa tunawafata kwenye page yao hata kama uwanjan hautakuwepo😂
Wana simba tununue tikety twende kwa mkapa tukawashangilie mc arger
Ahmed ally nenden muombe ng'ambo ya uwanja au jirn funga projector kubwa kias kinachoshangiliwa kitasikika taifa na kabla ya kuingia tuwasalimie na kutoka funga speaker kubwa tutajaaa fanya hvo
Ok
Ata tusiingie kabisa tunaipenda timu yetu no kukata tamaaa tufunge mpka miguuu
Hatuendi chamsingi hio hela ya tiket 2pambanen 2lipe faini ili iwe ubaya ubwela zaid
Wana Kodisheni Uwanja wa Uhuru Jumapili Tuingie huko wekeni Screen kubwa tutazame Boli
Mwanzo mlikataa😂😂😂
Tuta nununuw ticket zote
Wewe comedy 😂😂😂
Kweli.ubaya.ubwela.haubadirik
Fine jamani af ninyi mashabiki msiokua na nidhamu mntugharimu... tuchange tulipe fine
Na pia pitish kikapu tutalip ss
Haahahhahahahaaa!!!!!!kimewalaaambaaaaa kenge nyinyi😅😅😅
Sisi tunataka tununuwe tiketi hatakama hatutingia uwanjani
Duuuh jezi mbaya sana
ila semaji
Calculator na nyie kumbe mnapga 😅😅
We james utoto utoto nyie mna vita na viti vya uwanjani sio nje ya uwanja
Bado hamjasema na viti mtaharibu sana nyie wavutaji wa mimoshi mnashangilia kuhalibu mali za umma
Mmeiga yanga tivi
Yan katika mambo ya simba usije ukasema tumewaiga yangu dunia nzima wanaweka screen halafu yanga mbona mambo kibao mmetuuga
Penaty fc 😂😂😂😂 lolote baya liwakutee
Sasa sisi hata tukifungwa bado robo tupo kazi kwenu jirani mtaona j1