Yaani hii interview, muonekano wa geto na anavyoongea inanikumbusha mbali sana. Kiufupi vijana wengi wanaojielewa na wanatoka familia za kimaskini lazima upitie maisha haya. Safi sana Hamusi utadhani geto langu ila sasa naishi kwangu na mke na watoto 3. Nakuombea kwa Mungu akufungulue mlango.
Mim mwana na mwelewa!!! sio kwamba anaigiza watu kazi!! Mungu akusimamie mwanang!! sanaa ina mambo mengiii sema Panga getto vizur,kak hata hauna ela lakin kuwa SMART MY BROTHER!
@@bwakahamisi9607 Amin kaka,,utafika mbali sana Kwa uwezo wa mungu ila kikubwa tu usifek life be really mtumainie mungu na pambana Sana utatoboa innshaala kaka
Tulipia hapo hata ss wengine infact tuliaza kwa box la fridge kulalia but mungu mkubwa sana 🙏🏽, sahii tunamiliki majumba na magari but tumetoka mbali sana. Keep your dreams alive faith siku moja utafanikiwa
Nilikuwa namchkulia poa sana huyu mshkaji ila kupitia hii interview ameniprove wrong, jamaa ni fighter na bado inaonekana anajitafuta na anahitaji support za watanzania kumfkisha pale anapotaka, naanza kukusaport, Na kuanzia sasaa mimi ni shabiki yako mpya, sitaacha kuangalia kudownload na kustream platform zako zotee Big Up Brother Keep It On And Never Ever Give Up
Ananikumbusha room yangu ya kwaza kupanga kwa mwezi elf 20 Kuna siku inapita bila Kula ila adi sasa nilipofikia nimejipata kidogo, Mungu atufanyie wepesi vijana watafutaji
Kumchangia sio dhambi kutoa ni moyo pia na MUNGU anakupa zaidi unapoamua kujitoa.. Sio vibaya tukamchangia hata apate gase jaman .. Tunampenda ndomn tunamfuatilia hapa.
Wasanii wote wangekua kama hamisi bac wangefika mbali maana n rahis kusaidiwa Ila waliowengi uwongo2 nakupenda Mali zawa2 kufanya zao hongera hamis taratibu ndo mwendo utafika unapohitaji mungu yupo nawewe ❤❤
Kwa kweli Hamisi wewe ni mtu wa ukweli mungu atakusimamia ndugu yangu zidi kusali nasi tunakuombea utakuja kuishi pazuri hayo ni maisha ya kupita usiwache kuomba mungu🤲🤲🤲🤲🤲🤲
DAH THIS LIFE IS NOT FEAR , NATAMANI WASANII WENZAKO AU WALIOFANIKIWA WAKUPE HATA SHOW ZA WEEKEND UPATE KIASI FLANI BRO CHA KUJIKIMU 😢 ILA BIG UP 🆙 HAMISI WA BSS TUPO PAMOJA NAWE
Wazungu ni watu wa kujiachia sana na ni wa janja wakija nchi kama zetu za Africa huwa wanatafutaga marafiki hata kuwafanya wawe wapenzi wao ili tu waweze kujua na kufahamu zaidi tamaduni na kuto sumbuliwa katika vibali na katika harakati zao
Dah inasikitisha sana jamani msaidieni uyu kija sio kuojiwa tu dada zamaradi msaidie uyu kijana walau kwa kazi iweze kumpatia kipato jamani mimi namfatilia sana salehe na nina mpenda sana na mara ya mwisho nilikuatana nae pale kwa Jessica salon magomeni please naombeni mumsaiidie jamani uyu kijana naangaliaga watu wengi anaowatembelea salehe lakini uyu kanigusa sana
Da! Imeniuma anavyoishi. Ila nampongeza kwa kutofeki maisha. Japo anahitaji kusaidiwa si kupatiwa ela bali apate kibarua sehemu ili akajitafutie maisha yenye unafuu.
Mzungu aliyachoka hayo maisha!! Na alicho kiona kwa Hamisi hana muelkeo mwengine Badala ya mziki na kagunduwa kuwa mziki kwa bongo ni mgumu!!lakini pambana na uwache kufuru aliongea vitu vingi vya ovyo
Huyu dogo mkweli sana wekeni utaratibu hata wakuchangiwa asaidiwe ila huyu ndio kielelezo cha wasanii wengi unadhifu unawafichia mengi ila hawana maisha
Hamis kama kweli ayo ni maisha yako mwenyezi mungu akupe nguvu zaidi ya kupambania maisha ila kama unaigiza bro unawakosea sana watu wanaotizama video hii bss madam alikuwa anakukubali sana sizan kama anaweza akakuacha kwenye life kunamana gani ya kuingia bss na level Ile uliyokuwa umefikia so inamana aijakupa michongo duh!?
Hayo ndo maisha ya vijana wengi hapa dar nashangaa sana mnavyoshangaa alaf wasanii kibao sana wanaish hayo maisha sema tu wakiambiwaga interview wanatafuta nyumba wanampooza kidogo mwenye nyumba wanaiweka vtu vyao viwili vitatu wanakuja kufanyiwa interview ni kama vile tu waigizaji wanavyoazimaga nyumba za kushootia hata interview nyingi za wasanii nyumba wanaomba

Sasa pesa anaitoa wapi yakuapanga geto nakuwa smati
Nimependa hamisi anasema ukwer hafeki safi,,mungu atakubaliki kaka usikate tamaa
Ahsante ubarikiwe sana ndugu yangu
Allah azidi kumpigania. Ni mkweli kabisa
@@bwakahamisi9607 Amin kaka,,utafika mbali sana Kwa uwezo wa mungu ila kikubwa tu usifek life be really mtumainie mungu na pambana Sana utatoboa innshaala kaka
Yeah hata Mimi nimependa sana napenda sana mtu anaeishi katika ukweli na penda sana
Yeah hata Mimi nimependa sana napenda sana mtu anaeishi katika ukweli na penda sana
Hamis ana heshima sanaa anakukarubisha ingia tuu na viatu mi si nitafagiaa 😭😭😭 jamanii
Usanii ni kazi ngum sana,,, unaanza kupata umaaru afu maisha bado
😂😂
Jina kubwaaa 😂😂😂😂😂
BSS alipata mzigo au alikuwa mshiriki tu?
You don't show fake life like other people big up may Almighty Allah bless you all
NAOMBA MNISAIDIE NATAKA KUMNUNULIA GESI HAMISI
Mwenyez mungu ndo anaejua uhalisia we2 kiukweli mungu akujalie my friend maana sote bado tupo kwenye utaftaji😢
Tulipia hapo hata ss wengine infact tuliaza kwa box la fridge kulalia but mungu mkubwa sana 🙏🏽, sahii tunamiliki majumba na magari but tumetoka mbali sana. Keep your dreams alive faith siku moja utafanikiwa
Kaka nimekuelewa kikubwa pambana na ukweli umuweka mtu hulu kuliko udanganye afu uje ufeli kabisa maisha afuukakosa musada
Nilikuwa namchkulia poa sana huyu mshkaji ila kupitia hii interview ameniprove wrong, jamaa ni fighter na bado inaonekana anajitafuta na anahitaji support za watanzania kumfkisha pale anapotaka, naanza kukusaport, Na kuanzia sasaa mimi ni shabiki yako mpya, sitaacha kuangalia kudownload na kustream platform zako zotee Big Up Brother Keep It On And Never Ever Give Up
Ahsante kaka ubarikiwe
Wabongo mnapend sana mtu awe chini but uyu hapa siyo kwake ila kajitahidi sana kuigiza yuko vzr big up
Ata mimi nazani
Hongera kwakuishi maisha yk harisi amini IPO siku utafanikiwa
Ila nyie nimempenda huyu kaka anaishi kwenye uhalisia yaan nafurahia sana kuona maanii anaishi kiuhalisia 😊keep going bro
Ila anapambana pambana mungu atakubaliki usikate tamaa maisha sio Lele mama
Ananikumbusha room yangu ya kwaza kupanga kwa mwezi elf 20 Kuna siku inapita bila Kula ila adi sasa nilipofikia nimejipata kidogo, Mungu atufanyie wepesi vijana watafutaji
Acha tu mwanangu hayo yalikuwa maisha yanguu
Safi sana Bro umekuwa real Mungu aendelee kukusogeza sote tunatokeaga huko ayo ndo maisha yetu
Kumchangia sio dhambi kutoa ni moyo pia na MUNGU anakupa zaidi unapoamua kujitoa.. Sio vibaya tukamchangia hata apate gase jaman .. Tunampenda ndomn tunamfuatilia hapa.
Nikwel tupate hta namb yake ili mweny chochote kitu ambarik jmn nimeumia japokuwa wote maisha magumu ila tunazidiana
Hakuna kitu gharama duniani kama uhuru na amani ata ukilala chini,
👏👏👏🙌
Wasanii wote wangekua kama hamisi bac wangefika mbali maana n rahis kusaidiwa Ila waliowengi uwongo2 nakupenda Mali zawa2 kufanya zao hongera hamis taratibu ndo mwendo utafika unapohitaji mungu yupo nawewe ❤❤
Mungu akubariki Hamis hufek maisha,mdogomdogo maisha taratibu
Real and gud
...salute bro
❤❤❤Nimempenda mkweli sana hafeki life big up mdogo wngu
Naomba watanzania mlio ona interview hii tuanze kumsaport huyu kijana kwanza anaeleza uhalisia wa maisha yake anahitaji saport pili ana hekima
Bless dogo hsmiss ndio maisha yetu
Mimi kama mkenya I propose tutafute paybill tuchangie Hamisi❤❤
Jamani tumchangie hamis nime mpenda he is honest with his life
Sana. Nimkweli
Angeweka namba
Nani atatuwekea number jamani? Number yake direct tuweke ata kidogo.....
Nichangie me ,nipo vibaya zaidi yake Hamisi
p
Ukweli ni kwamba huy hafeck maisha yupo really….Masha Allah Allah akusimamie
Ana hekma sana na ukarimu pia, Allah akupe hitaji la moyo wako inshaAllah ❤🙏🙏
Inshallah
Huyu jamaa anajua kushukuru sana Mungu akujalie ufanikiwe
Mi nakuombea Mungu akutoe hapo na ukipata riziki usiache kumshukuru Mungu!nakuombea
Leo umekutana na chuma cha afrika 😂😂Safi saana khamis wengi wetu tunaanzia huko
Ahsante ndugu yangu Kwa baraka zako
Nimependa sana khamis ubarikiwe
@@bwakahamisi9607 usijali tuko pamoja
Juzi kati December nimekua mitaa hio daaaaah sema wewe ni Fighter brother!!!
Kwa kweli Hamisi wewe ni mtu wa ukweli mungu atakusimamia ndugu yangu zidi kusali nasi tunakuombea utakuja kuishi pazuri hayo ni maisha ya kupita usiwache kuomba mungu🤲🤲🤲🤲🤲🤲
Ahsante sana
Mtanganzaj alijua anakaa nyumba hyo yenye mlango mzuri😂😂😂🙌
DAH THIS LIFE IS NOT FEAR , NATAMANI WASANII WENZAKO AU WALIOFANIKIWA WAKUPE HATA SHOW ZA WEEKEND UPATE KIASI FLANI BRO CHA KUJIKIMU 😢 ILA BIG UP 🆙 HAMISI WA BSS TUPO PAMOJA NAWE
Daaaah mwanangu ayoo ndoo maisha pambana
Haya maishaa wanaishi watu wengi tu tnaotamani kua kama wao lakn n vile hatujui undani wa maisha yao
Wow nimependa alivyo sema code inaisha Mungu akufanyie wepesi
Kitendo tu cha kumiliki funguo ya chumba chako umeshajipata hongera sana mdogo wangu
Nimependa comment yako
The guy is so honest with his life
Kaka Nakubali, Mwanzo mgumu ila naimani mda unakuja Utabarikiwa Sana 🙏
Ungeliweka namba ya sim
Tungelikuchangia ununue gas
Na kitanda kabisa pmj
Na tv na king'amuz
Diamond platinumz mpe show uyo kaka ,,ikiwezekana achangiwe au apewe show Bado anajitafuta atajipata tu
😂😂😂😂😂
Nakushukuru sana endelea kunisapot mdogo wako Hamis Bss ubarikiwe sana
Dah uyo diamond tena😂😂😂jmn mtu yyt atae wez amsaidie sio mpk diamond
Big up hamisi, Allah akufanyie wepesi
Aliweza atq kuomba ghetto Kwa washkaji wake ila kaonesha ualisia wake Allah akujaalie hamis ❤❤
Fame before success, it's very hard. Usani ni mtihani
Wanaume pia wanadanga😂 daah haya hongera Hamis unapambn sema mdogo mdogo ndio mwendo utatoboa tu
Hamisi nimkweri hamisi mungu anakuona ipo ridhiki yako Walausikate tamaaa mungu anaona
Kuna watu ata ayo maisha ya hamisi hana
Wewe ni mzuli sana _ Você é bonita a you biutifor
congratulations keep it up good job 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Mtu safi kabisa huyu , vizuri sana. Lakini kuonyesha unacho au huna vyote ni makosa.
Ndgu yngu umechzea snaa maisha alfu tatzo ulianza kujitapa snaaa wenzio hawanzi hvyo
Kwani arikuwa anafanya Nini awari
Uyu mtangazaji nae.miyeyusho etii wash room...unaleta mambo ya kishua uswahilin😂😂😂
Apige kazi aaache Uboya hapoa anazingua sanaa
We kumaunann unamkejer kijana mwenzio
😂😂😂😂Amisi bhnaaa
Wazungu ni watu wa kujiachia sana na ni wa janja wakija nchi kama zetu za Africa huwa wanatafutaga marafiki hata kuwafanya wawe wapenzi wao ili tu waweze kujua na kufahamu zaidi tamaduni na kuto sumbuliwa katika vibali na katika harakati zao
Kabisa Yan💯💯
Umenimeki Happy,kwamba Ukiona Wingu fasta Home daaa!
I LOVE THAT HAKUNA MTU ANAEPENDA MAISHA MAGUMU NI MAISHA TUU!
Inshaalah Soon You will win this Gme 💥💥💥 Ongera Sana ….
Mtangazaji yupo vizur sana...creativity
Huyu jamaa na Dotto magari WANAISHI maisha ya Ukweli
Hakika
😂😂😂 mitihani
Dotto ni Fake, huyu chalii ni real Dude
@@farijalanyoni5685 Ahsee Doto nae LYFE yake sio poa 🤣
Kaka u still young and u got talent please tzt people u Cnt not support this young guy bss mnafanya nn
Afanye kazi bhana
Dah inasikitisha sana jamani msaidieni uyu kija sio kuojiwa tu dada zamaradi msaidie uyu kijana walau kwa kazi iweze kumpatia kipato jamani mimi namfatilia sana salehe na nina mpenda sana na mara ya mwisho nilikuatana nae pale kwa Jessica salon magomeni please naombeni mumsaiidie jamani uyu kijana naangaliaga watu wengi anaowatembelea salehe lakini uyu kanigusa sana
Pole njoo ZANZIBAR
Wapo kibao huku
unajua kitu,, Khamis upo true sana,, halafu pambana sana mungu atafungua milango,, . .
Da! Imeniuma anavyoishi. Ila nampongeza kwa kutofeki maisha. Japo anahitaji kusaidiwa si kupatiwa ela bali apate kibarua sehemu ili akajitafutie maisha yenye unafuu.
Nampenda hamis from uk 🇬🇧 anaitaji msaada
anza wewe kumsaidia tuone
Ujue hayo ni mambo ya muda sio mpaka unataka kubadili dini kwa sababu ya mwanamke
Bora umeonesha ukweli na watu i hope watakusaidia
Daah hamisi we ni wakipekee sana pamba mdogo angu ukija iringa nione
Sawa kaka
Mzungu aliyachoka hayo maisha!! Na alicho kiona kwa Hamisi hana muelkeo mwengine Badala ya mziki na kagunduwa kuwa mziki kwa bongo ni mgumu!!lakini pambana na uwache kufuru aliongea vitu vingi vya ovyo
Kweli umesema kweli huyu dogo alikuwa amesha anza kufuru fla sana alikuwa amesha anza ushetan
Daa!😭😭😭😭😭mbona namba haipo nikuchangie hata kidogoooo. Muwe mnaweka namba jaman daah! Nimeumia sana
Aisee kweli mana ukisema kwako kunaungua kwa mwenzio kunawaka moto jmn maisha haya
Huyu dogo mkweli sana wekeni utaratibu hata wakuchangiwa asaidiwe ila huyu ndio kielelezo cha wasanii wengi unadhifu unawafichia mengi ila hawana maisha
mi sikubali sio kweli hiyo kiki
Aje kahama huku aimbe live band atapata hela sana kupitia live performances kwa kuimba cover za wasanii
Ahsante kaka yangu ubarikiwe sana
@@bwakahamisi9607 yes
Swaleh kila kitu anauliza 😂😂😂😂 et ule mfuko wanini had nimetamani kujua maisha yake so kwa maswali hayo😂😂😂
😂😂😂 hadi feni anauliza km zinafanya kazi
Pole mdogo next time tafuta mzungu mkubwa sio hicho kitoto hanakuwa account zao hazina pesa ya kutosha wajerumani wabaili mno
Kabisa ila sio wabahili Sema wana nidhamu ya kutumia pesa😅
😅😅😅 nyie wajerumani waacheni😂😂🙌🙌
Mungu atakuvusha kaka hamids
Hahaha tulio soma cuba, huyu anatudanganya
😂😂😂😂😂😂😂😂👏👏👏☝☝☝
Nakuona upo na KILOBA CHA BASMART RICE ni mchele bomba kinomaa
Apambane ndio maisha. Kizuri yupo real.
Huyu jamaa nimependa sana. Tumchangie isee...
Mungu amuongezee kijana uyu
Hyu ni mimi kabsa 😂😂😂😂 yni kama sna naomba adi watu wnashanga safi tu
Uliwazarau mbaka BSS wenyewe walio kutambulisha....pambana kjana mbona maisha yakawaida2 hayo ndo tuliyonayo
Umeachiwa kiblauz 😂😂 umetufelisha beach boy😂😂😂
Asee akijalibu kufake life atateseka pongezi kwake mana anaishi maisha yake halisi
Dah! Kazi ya Uwandishi Bana! Nayo lazima uwe gaidi🤔
Hamis kama kweli ayo ni maisha yako mwenyezi mungu akupe nguvu zaidi ya kupambania maisha ila kama unaigiza bro unawakosea sana watu wanaotizama video hii bss madam alikuwa anakukubali sana sizan kama anaweza akakuacha kwenye life kunamana gani ya kuingia bss na level Ile uliyokuwa umefikia so inamana aijakupa michongo duh!?
Humble guy and realest I’ve ever seen ✊🏽✊🏽
Most of the hamisi names are humbles
Nimecheka kwakweli et pensi yangu😂😂 Allah akubari🙏 inshallah
Eti mzungu hajanipa hela😂😂😂 pambana kaka fungu lako lipo tu mazal upo duniani riski yako hukosi
Hayo ndo maisha ya vijana wengi hapa dar nashangaa sana mnavyoshangaa alaf wasanii kibao sana wanaish hayo maisha sema tu wakiambiwaga interview wanatafuta nyumba wanampooza kidogo mwenye nyumba wanaiweka vtu vyao viwili vitatu wanakuja kufanyiwa interview ni kama vile tu waigizaji wanavyoazimaga nyumba za kushootia hata interview nyingi za wasanii nyumba wanaomba
hahahahahahaaa
Eeeh jamn mzung ajakuachia chocht duuh mungu kweli tumuache tu alikuwa anatk kubadrsha din
Sasa kodi inakaribia kuixh si ulipe kodi naww😂😂😂
He is straight I like him
Huyoooo jamaaaa anae mfanyia interview khamis ajitambui kudadeki....😮😮
wazungu kuishi nao kwa akili na kama akuwezeshi kufikia malengo achana naye
Huyu jamaa ni comedy😂😂
Ndio mwanzo.
Mungu atakuinua.
Hata mimi nilianza na godoro kukuu ambalo nilipewa na kaka angu.
Kaza utafanikiwa.