UPONYAJI KUPITIA KUSIFU NA KUABUDU DAY 2 //Dr Ipyana Kibona

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ก.ค. 2024
  • เพลง

ความคิดเห็น • 57

  • @upendoeliuze
    @upendoeliuze 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kwenye kitabu cha Ufunuo Mungu anaitwa pia Mzee wa siku. Dr. Yuko right kumuita Mzee. Mungu ana Majina kama Jehova, Yahweh, NIKO ambaye NIKO,. Ahsante

  • @ChristineNyanchera-ku8rk
    @ChristineNyanchera-ku8rk 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akuzidishie neema zaidi na zaidi ❤

  • @vickymoshi6038
    @vickymoshi6038 4 หลายเดือนก่อน +2

    Ameen Dr. Nimejifunza mengi kupitia Somo hili ..toka jana na leo..Be Blessed.

  • @vailethvalentine3738
    @vailethvalentine3738 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nimejifunza pakubwaa sana, Yesu nifundishe kuja mbele zako kwa kuimba!

  • @Elisha-zr5xu
    @Elisha-zr5xu 3 หลายเดือนก่อน

    Asante sana mtumishi kwa Muda wako,,,,hakika mafundisho haya yamenijenga sana haswa katika ukuaji wangu uwanamziki,,,,be blessed so so much

  • @joycegeorge-mf5kn
    @joycegeorge-mf5kn หลายเดือนก่อน

    Be blessed man of God

  • @GloryKanario-nx8bv
    @GloryKanario-nx8bv 2 หลายเดือนก่อน

    Am following you at home at muringene meru I desire the spirit that is in you because God is using you to deliver my life

  • @dorcaszaizi5447
    @dorcaszaizi5447 4 หลายเดือนก่อน

    Wow Dr Ipyana I I am so blessed by your teaching man of God .We trust God to send you to Uganda

  • @IloveJesus-nd7sw
    @IloveJesus-nd7sw 4 หลายเดือนก่อน

    The truth sets us free🙌🏾
    Eti Mama katika jina la nyanda naomba viatu😂.
    Yaani unatumikishwa vzr na roho, napokea mengi kaka yangu ,

  • @monicandaji5895
    @monicandaji5895 4 หลายเดือนก่อน +2

    Haleluya Yesu 🙏

  • @eldanashon5465
    @eldanashon5465 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki kwa mafundisho mazuri kama mwabudu nimejinza kitu kikubwa mno🙏

  • @brendamijide8155
    @brendamijide8155 3 หลายเดือนก่อน

    @DRIPYANA ahsante kwa kusema na moyo wangu

  • @yunasiulisajaissah8998
    @yunasiulisajaissah8998 4 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana Dr Ipyana kwa somo hili

  • @monicandaji5895
    @monicandaji5895 4 หลายเดือนก่อน

    My Pastor.
    Najifunza naimarishwa🙌

  • @harrietmasolo5411
    @harrietmasolo5411 4 หลายเดือนก่อน +1

    Amen GOD bless you

  • @shielaeliana8584
    @shielaeliana8584 3 หลายเดือนก่อน

    Powerful teaching Glory to GOD

  • @Cianadvd1
    @Cianadvd1 3 หลายเดือนก่อน

    Amen you are blessed Man of God

  • @sarahewoi9533
    @sarahewoi9533 4 หลายเดือนก่อน

    Asante sana mtumishi nimebarikiwa Sana na haya mafunzo sana

  • @upendoyohana4713
    @upendoyohana4713 4 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏 sana Mtumishi ubarikiwe sana

  • @veronicaryoba1861
    @veronicaryoba1861 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana kwa somo zuri

  • @upendoeliuze
    @upendoeliuze 3 หลายเดือนก่อน

    Ahsante sana mtumishi wa Mungu

  • @upendoeliuze
    @upendoeliuze 3 หลายเดือนก่อน

    Thanks, be blessed

  • @Gladys-hn5ut
    @Gladys-hn5ut 4 หลายเดือนก่อน

    Amen Dr God bless you.

  • @user-fy5wc8gt2o
    @user-fy5wc8gt2o 3 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @IreneMbele
    @IreneMbele 4 หลายเดือนก่อน +1

    I miss this place...THM

  • @omanss268
    @omanss268 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu ajuinue zaudi umenitoa matopeni myumishi

  • @nuruobukhumi
    @nuruobukhumi 4 หลายเดือนก่อน

    Daktari nimebarikiwa sanaa kutoka Kenya

  • @user-ij4uo1bw5o
    @user-ij4uo1bw5o 4 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa sana mtumishi wa bwana

  • @user-fy5wc8gt2o
    @user-fy5wc8gt2o 3 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana 🙏🙏🙏

  • @josephataholi8003
    @josephataholi8003 4 หลายเดือนก่อน

    God bless you Doctor

  • @upendoeliuze
    @upendoeliuze 3 หลายเดือนก่อน

    Na ndio maana imeandikwa Furahini katika Bwana siku zote tena nasema furahini

  • @vickymoshi6038
    @vickymoshi6038 4 หลายเดือนก่อน

    Dr Mungu ni Mtakatifu..usibadilishe Jina lake..Tumwite Mungu ...
    Sio Mzeee...(😢)

    • @hatmatkahamba9973
      @hatmatkahamba9973 4 หลายเดือนก่อน

      Kwani ukimuita mzee inabadili Mungu kuwa mtakatifu??

    • @Livingstone.Chengo
      @Livingstone.Chengo 4 หลายเดือนก่อน +1

      hata akaja huyo *mzee* wa siku, nao watakatifu wake Aliye juu wakapewa hukumu; na majira yakawadia watakatifu waumiliki ufalme.
      Danieli 7:22

    • @joyceallan2758
      @joyceallan2758 4 หลายเดือนก่อน

      Mungu ni mzee wa siku, ukifika kiwango Cha MAHUSIANO Yako na Mungu kuibarika utamwita Mungu Mzee, Baba, Mpenzi, Rafiki nk.....

    • @vickymoshi6038
      @vickymoshi6038 4 หลายเดือนก่อน +3

      @@Livingstone.Chengo ..Sasa nimeeelewa.Asante

    • @vickymoshi6038
      @vickymoshi6038 4 หลายเดือนก่อน

      @@joyceallan2758 ..Asante kwa kunifafanulia...

  • @happynessshija6914
    @happynessshija6914 4 หลายเดือนก่อน

    Am so blessed....

  • @happytweve6524
    @happytweve6524 4 หลายเดือนก่อน

    Nakupenda YESU

  • @user-wh2oe7vz5v
    @user-wh2oe7vz5v 4 หลายเดือนก่อน

    Mutumishi akiri yaako niyambinguni my God continue to bless you in all your doing 🙏

  • @raphaelgaramah6082
    @raphaelgaramah6082 4 หลายเดือนก่อน

    Am blessed 🎉

  • @georgemutukugrc3746
    @georgemutukugrc3746 4 หลายเดือนก่อน

    Worship law of first mention in Genesis 22 vs5

  • @priscajonas7805
    @priscajonas7805 4 หลายเดือนก่อน

    Amen Amen 🙏

  • @alex_vincent
    @alex_vincent 4 หลายเดือนก่อน

    Hallelujah

  • @user-ij4uo1bw5o
    @user-ij4uo1bw5o 4 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe na bwana 0:58

  • @VailethNyanda
    @VailethNyanda 4 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @vickysteven1172
    @vickysteven1172 4 หลายเดือนก่อน

    Àmeeen

  • @Janetmuma-wz9bf
    @Janetmuma-wz9bf 4 หลายเดือนก่อน

    Ameeeeeeeeen

  • @gladysnjeri282
    @gladysnjeri282 4 หลายเดือนก่อน

    Ameeeeeen

  • @stephanosospeter1709
    @stephanosospeter1709 4 หลายเดือนก่อน

    Ameen

  • @user-fy5wc8gt2o
    @user-fy5wc8gt2o 3 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana 🙏🙏🙏

  • @user-fy5wc8gt2o
    @user-fy5wc8gt2o 3 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @theresialubida161
    @theresialubida161 4 หลายเดือนก่อน

    Amina

    • @graceeliasmgowole5129
      @graceeliasmgowole5129 3 หลายเดือนก่อน

      Mungu wa mbinguni akubariki saaaaana kwa somo zuri sana