Mungu akubariki sana Pastor Ipyana I’m so happy for what the Lord is doing through you I learn a lot Mungu akuweke miaka mingi na ubakie kutembea nae baya lisikupate
Ayubu 22;21 - Nataka nikujue sana, ili ndipoo hayo mema yatakapo nijiaa.... Kutoka 33; 18-19, neno WEMA WA MUNGU (Amekuonyesha Utukufu -Ukali, Mngao n. K) wake, ukimjua sana Mungu ndipo atajitokeza kwangu) - Umwema umwema kwangu ohhh - All my life u have been faithful, so so good, everybreath..... I will sing for the goodness of You God. Matendo 17;28 Mungu ndio Mwema, ajitambulushe kwangu. Amen. Ahsante sana Mtumishi. Mungu akubariki.
Watching live from Mombasa,, mtumishi wa mungu ubarikiwe imagine nilikua nakidonda kwa moyo ju yale ninayoyapitia ata baada ya kuomba mzigo unazidi kua mzito,,lakin kumbe nilikua nimeeka shda zangu mbele Bila uwepo wa mungu,,today is my first time to watch na kidonda ya moyo kimepona,,tunakukaribisha mombasa wakati ule ulikua Nairobi kwa Sarah k ulituletea habari kua imekamilika,,watu wa mombasa pia tunakukaribisha utuletee injili
pasiiii Nakupenda saaana im learning so much ...may God keep you always for the sake of my Generation ....mungu akujalie nikuone na kina DUnsin Oyekan mnafunza the same concepts in regards to worship.......asante sana love from KE
Zaburi 47;7 Luka 19;41-42 Hosea 4;6 Yohana 17;3 Waegeso 1;13 2 Paulo 1;3 - Nakupa utukufu na heshimaa wewe ni Mungu.... Mwanzo 1;28 - Nataka nikujui Yesu na nizidi kukufahamu..... Kutoka 32; 10-11 Kutoka 3; 7-9 - Wewe ni Mungu mtatua..... - Hosana ndiwe Mungu wangu hosana.... - Wakupewa sifa na Utukufu na heshima ni i Wewe, mwenye nguvu na uweza ni Wewe Bwana..... UAMSHO WA KURUDISHWA KTK NAFASI YANGU -EDEN. Waefeso 1;18
Nairobi twakupenda hata kama kiswahili kinatupiga chenga .Roho mtakatifu amekua msaada tunakufata. Worship is my weakness.More grace to you man of God.
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu Dr.Ipyana, aendelee kukuinua kwa utukufu wake.
Bwana akusaidie sana Dr wewe ni baraka kwa generation hii
Mungu akubariki sana Pastor Ipyana
I’m so happy for what the Lord is doing through you
I learn a lot
Mungu akuweke miaka mingi na ubakie kutembea nae baya lisikupate
Wow mafunuo mafunuo Dr -- You are quite deep! Keep it up ! May God lift your ministry to another level for His Glory👏
Mungu akubariki sana mtumishi dr ipyana
Ayubu 22;21
- Nataka nikujue sana, ili ndipoo hayo mema yatakapo nijiaa....
Kutoka 33; 18-19, neno WEMA WA MUNGU (Amekuonyesha Utukufu -Ukali, Mngao n. K) wake, ukimjua sana Mungu ndipo atajitokeza kwangu)
- Umwema umwema kwangu ohhh
- All my life u have been faithful, so so good, everybreath..... I will sing for the goodness of You God.
Matendo 17;28
Mungu ndio Mwema, ajitambulushe kwangu. Amen.
Ahsante sana Mtumishi. Mungu akubariki.
Watching live from Mombasa,, mtumishi wa mungu ubarikiwe imagine nilikua nakidonda kwa moyo ju yale ninayoyapitia ata baada ya kuomba mzigo unazidi kua mzito,,lakin kumbe nilikua nimeeka shda zangu mbele Bila uwepo wa mungu,,today is my first time to watch na kidonda ya moyo kimepona,,tunakukaribisha mombasa wakati ule ulikua Nairobi kwa Sarah k ulituletea habari kua imekamilika,,watu wa mombasa pia tunakukaribisha utuletee injili
Sikuwahi kujua kama huwa unapreach pia l thank God to bless you this much
pasiiii Nakupenda saaana im learning so much ...may God keep you always for the sake of my Generation ....mungu akujalie nikuone na kina DUnsin Oyekan mnafunza the same concepts in regards to worship.......asante sana love from KE
Praise God watu wa mungu tunaomba mtuombee huku kwetu kenya
Love you doc,keep it up!May the lord keep and uphold you in Jesus name I pray!
Be blessed Dr ipyana, Niko najifunza mengi sana kwakoo kaka,
Hakika Dr ninabarikiwa na unavyofundisha Mungu akubariki sana
Mungu azidi kukuinua.
Glory to God
Amen amen nabarikiwa sana utumishi wako Dr
God's grace upon you Dr
Utukufu Mkuu kwa Bwana. Yesu
May God increase you more anointing amen 🙏
MUNGU akubariki na akukuze sana katk generation hii
Zaburi 47;7
Luka 19;41-42
Hosea 4;6
Yohana 17;3
Waegeso 1;13
2 Paulo 1;3
- Nakupa utukufu na heshimaa wewe ni Mungu....
Mwanzo 1;28
- Nataka nikujui Yesu na nizidi kukufahamu.....
Kutoka 32; 10-11
Kutoka 3; 7-9
- Wewe ni Mungu mtatua.....
- Hosana ndiwe Mungu wangu hosana....
- Wakupewa sifa na Utukufu na heshima ni i Wewe, mwenye nguvu na uweza ni Wewe Bwana.....
UAMSHO WA KURUDISHWA KTK NAFASI YANGU -EDEN.
Waefeso 1;18
Screenshoting this one ,thanks!
Asante 🙏wewe ni mwalimu haswaa 🙏
I am blessed @ Dr.Ipyana
Zaburi 47;7- Maana Mungu ndiye mfalme wa dunia yote , Imbeni kwa akili.
I'm blessed Dr.Ipyana
Ameen ..To God be the Glory
Wow that's good for God ❤❤❤❤❤❤❤❤
More grace each day daktari🎉
More grace dr
This is deep and profound...
Nairobi twakupenda hata kama kiswahili kinatupiga chenga .Roho mtakatifu amekua msaada tunakufata.
Worship is my weakness.More grace to you man of God.
Mugu akutunze.
Ameeeeeeen❤❤❤❤❤❤❤❤
Hallelujah
Ameen
🎉🎉🇹🇿🇹🇿🇰🇪🇰🇪🔥🔥
Amen
....kumjua huyu aliye juu...aliye tupenda mwanzo...nisaidie niwe wa kusemezana nawewe....
Hallelujah