Meditation | Mafanikio | Meditation ipi ufanye na Ipi usifanye?
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ก.พ. 2025
- VIDEO YA NGUVU ZA MIUJIZA
www.youtube.co....
JINSI YA KUTOKA NJE YA MWILI
www.youtube.co....
Mjue Maalim Kisisina l Mchawi Kisisina l Uwezo wake l Elimu yake
• Kisisina ni nani?
Kwa haya na mengineyo tembelea
rakimsspiritua...
unajimu.com
Njia rahisi ya kufungua jicho la tatu ni kuokoka kusoma sana neno na uache kila aina ya uovu focus na mambo ya kiroho utapewa jicho la tatu nalo ni roho mtakatifu.
Hii ni kutokana na Imani yako, Tumependezewa pia na mchango wako.
Naomba number yako yawhatsapp
Nimekuelewa maalim wangu shukran nakufatilia sana
Asante tupo pamoja.
Upi ni muda mzuri zaidi wa kufanya Meditation
Wakati mazingira ni rafiki na pametulia
mungu Akuzidishie maarim nmejikuta t napenda kufatilia na kujalibu
Asante atuzidishie sote
Asante sana nimekulewa naendelea kufanya meditation
Karibu, tupo pamoja.
Hii elimu huwezi kuipata shule ,,,wala kanisani au msikitini,,,, ulimwengu oyee🎉
Naipenda sana hi mafuzo yako kweli nitaizingatiya
karibu 0783930601
Mimi nimejaribu kufanya jana.wakati nimemaliza kufanya ibada.ilikuwa mida ya saa nane usiku.nikakaa sawa na kufumba macho,baadae kama ya dakika 15 nikahisi ninapaa juu huku nimekunja miguu.kadti nilivyokuwa nazidi kuomba basi ndivyo nilivyokuwa nazidi kupaa juu na kuiona ardhi chini kabisa.niliogopa sana
Mi nmejarbu mala kibao but sjafanikiwa
Usikate tamaa
We unaogopa mm nafanya na siwez. Hem unielekeze wewe unafanyaje
ulikaaje na mie nielekez
Nimejaribu kufanya na kutoka ila nimeogopa saana
Mashallah ❤
Kaka hongera sana akiliyako inafanya kazi sana
Amina
Thank you to the world❤
Nakufatilia sana vipindi yvako mwalim..
Asante sana tupo pamoja
Nimekuelewa mwalim
Asante tupo pamoja
Ayah
Nzur mwalm
He meditation inauhusiano na kutoka nje ya mwili
ASANTE
Naomba kuhuliza ntarudi kuchukua majibu ni lazima mt uombe wakati unafanya meditation na ni kwa mda gani na takiwa jana nimejalibu ila nilijawa uwoga make nilihisi kuna mtu ame simama nyuma angu nikafumbua araka nimuone sijaona nikalala 😂
Naomba kujifunza kwa undani
Endelea kutufuatilia kwa maarifa zaidi asante
Naeza kujiungaje kwenye group lako@@rakimsspiritual
Hii ya kukaa ninzuri zaidi ila miguu yangu haiwezi inauma aisee ya kulala naweza ila unajikita umelala dolo usingizi huo
Nmejalibu malanyingi lakin sijafanikiwa kila Style inagoma
Endelea na zoezi
Muamlimo, najua no mgumo kusoma coment zote, lakini nakuomba unisaidie kufungua jicho lango la Tato, pleace ukifanya hivyo, naamini mtakuletea wato wengi kotoka huku Msubimji
Endelea kufuatilia channel yetu hii tutafundisha jinsi ya kufungua jicho la tatu
Mhuuu siku hizi mbna mamb mengi sana
Taratibu utaziona chache ukiendelea kufuatilia
Je kuna umuhimu au ulazima wa kufanya meditition kabla ya kufungua jicho la tatu
Ndio meditation ni muhimu kwanza. Ingawa kuna meditation ya jicho la tatu na meditation za kawaida
Ukifanya meditation unaweza kusaidia wengene kwenye majanga
Mwalim mimi nilifanya meditation lakinii gafla nikaona mtu mweusi nikaacha niliogopa
Ulimuona katika hali gani?
Mm nilimuona mweupe kavaa kanzu hana sura sijafanya tena mwaka wa 3 ndo nataka kufanya tena saiz
@user-sp1ig8ul2s😂😂
@@IdrissaBakar-w1u😂😂😂😂nmecheka Ila utaozoea Mara ya kwnza nlvoanza nlkuw naogopa Ila sahv nshazoea
Naweza fanya meditation nikiwa period?
Ndio haina tatizo lolote
Kuna watu huuza mafuta ya kufungua jicho la tatu je ni vizuri mtu kuyatumia kama anataka??
Video ya jicho la tatu itatoka utaona uchambuzi wake
Je kwa anaetumia pombe hii kitu itafungukaa?
Hapana
😅😅😅
Ni maneno Gani unaongea wakati unafanya meditation
Ni verma ukafuatilia zaidi pumzi zako kuliko kufanya maneno (Chanting)
Samahan mwalim je kwa mtu mwenye vifungo itafany kaz?
Meditation haina mipaka isipokuwa subira na uvumilivu ndio jambo kubwa linalohitajika kwenye meditation.
@@rakimsspiritual KWAKWEL WEWE NI MWALIM MZURI WAALIMU WENG WAGUM SANA KUJIBU COMMENT ILA MWALIM WETU LIFANYIE KAZI SOMO LA KUBASHILI MHIND ANAKULA SANA PESA ZETU SASAHIVI MAKAMPUN YA KUBETISHA MPIRA YAMEONA TZ NDIO DILI TUSAIDIEN WAKIMBIE KAMA NAIGERIA hahahaha
Natumaini kaka hujambo nime jaribu kufunguwa jicho la tatu ila sipati jibu
Kama ni mfuatiliaji wa channel hii utakuwa umeelewa lakini kama ni mgeni jaribu kufuatilia videos zaidi katika channel hii utaelewa
Naomba kuuliza hivi ni kawaida kuumwa na kichwa baada ya hii meditation? Maana nimejaribu baada ya kumaliz kichwa kimeniuma sana
Kwa wengine ni kawaida kutokana na experience mpya lakini ikizidi maana yake mtu unakuwa umefanya concentration kwenye giza la macho na kulazimisha focus
Mwlm nikitaka kujifunza gharama inakuaje
Shakra yipi inayo tangulia ku funguka, ama inadipendi?
Mara nyingi huwa ni base, depending yake hutegemea na ufanyaji wako ikiwa umelenga chakra nyingine utaona dalili za nyingine
@@rakimsspiritualbase ikifunguka unajuaje
Sorry. Mwl naweza pata namba yako?
Kwa shida gani?
Tupe maelekezo unaongea sana
Samahani kiongizi kunatofauti Kati ya meditation na kufungua jicho latatu?
Ndio tofauti ipo na kubwa pia kwa maana meditation ni safari ya kufungua chakra zote ikiwemo third eye (Jicho la tatu) na Jicho la tatu ni kipengele tu cha meditation katika safari yako ya meditation ambacho unatakiwa kukimaster pia ili kuwa moja kati ya masters of meditation.
@@rakimsspiritual kama kuna kitabu ambacho kinazungumzia hii elimu yote ya meditation pamoja kufungua jicho latatu nijuze.lakini kiwe chakiswahili
Sasa kama jicho la tatu alifung liwi na meditation lina funguliwaj star ip😢😢
Bro na omba namba zako
0783930601
Naomba namba zako
0783930601
Habari yako mwalimo kuna kitu ambachokinanitokeya huwa najikuta kwamba kabla mtuu ajazungunza mimi huwa najuwa anataka kusema nini na pia huwa na mfuatiza anachotaka kusema, iyo ni nini?
Psychic power aina ya precognition.
@@rakimsspiritual naomba unitole somo vizuri kwa Kiswahili mwalimo
😅😅nacheka comment za watu jmn mtajikuta mmekuwa wachawi buure
Kheri bro your number please 🙏
0783930601
Mbona niya uku Rwanda
@@rakimsspiritualHabari yako samahani Mbona hii no haipo wassap naomba nijibu tafadhali