Sio lazma ufanye meditation ya aina hio unaweza kufanya breathwork ukaleta focus yako kwenye pumzi mpaka mwili ukawa umerelax halafu ukaanza kufanya visualization yako.
Asante kwa somo lkn nakuuliza kufungua jicho la tatu kunataka maandalizi ya tabia kwanza mana ninavyojua mm naomba ufahamu lkn kwako sipingani na ww unaweza ukafungua zile nguvu zako mbaya
ni shacra au chakra alafu kabla hujalipisha watu ingia live nikuulize maswali ndipo ulipishe watu alafu hakuna mtu ataelewa meditation kwa siku 5 au wiki mbili ni sababu sio rahis
Guided Swahili Visualization Manifestation Meditation + Female Voice
th-cam.com/video/TrugZe7W1-U/w-d-xo.html
Ivi kwenye ku-manifest nilazima kufanya meditation? Au ukifanya meditation inatokea kwa haraka zaidi
@ sio lazima kufanya meditation ukiwa una-manifest, kama unatumia njia ya Visualization ndo inakua vzuri ukianza na meditation ili akili itulie.
@@VanessaFK Dah! Na visualisation naona ndo njia nzuri ila sasa hii meditation naona ni ngumu jamani.
Sio lazma ufanye meditation ya aina hio unaweza kufanya breathwork ukaleta focus yako kwenye pumzi mpaka mwili ukawa umerelax halafu ukaanza kufanya visualization yako.
@VanessaFK OK, huwa nafanya hivyo sana sasa nilivyoisikia hii ikaanza kunichanganya. Asante kwa maelezo yako mazuri. Ubarikiwe sana.
Nimependa somo lako ingawa ndio mara ya kwanza
Dah hii video imefanya mwili wangu kurelax nimeipenda sana .
Asante
Nakupeda sana wewe na masomo yako yananifugua sana uelewa wagu
Asante
Good.
Umeeleza vizuri sana
Asante
LEO NDIO NIMEANZA KUKUFATILIA HAKIKA NIMEPENDAAA SNAAAAAA
@@luttertv1656 asante
Asante
📚🖊🖋👏👏🙌🙌🙌
Una tisha dadaa umesomea nn up deep sn m2 wng
😌😌😌
Asante kwa somo lkn nakuuliza kufungua jicho la tatu kunataka maandalizi ya tabia kwanza mana ninavyojua mm naomba ufahamu lkn kwako sipingani na ww unaweza ukafungua zile nguvu zako mbaya
Thanks ❤🎉watching from Kenya hallelujah Nashukuru mungu yote niliyokua nayo moyoni. Ndio ukaifikia.m.pesa n hii namba yako???
@@EverlyneKadenyi hapana sio hio, nitext whatsapp kwa namba hio
ni shacra au chakra alafu kabla hujalipisha watu ingia live nikuulize maswali ndipo ulipishe watu alafu hakuna mtu ataelewa meditation kwa siku 5 au wiki mbili ni sababu sio rahis
andaa live alafu niambie lini
ni base chakra ipo katikati ya tundu la haja kubwa na uume au uke dada jifunze zaidi ndipo ufundishe wat ingia hata google ni chakra sio shakra
Me nakushauri uanzishe chanel yako ufundishe hicho unachokijua alafu kila mtu atachagua pakujifunzia.
@@dhinatsimbano8854umemjibu vizuri kabisa
Kwanini ww ni mwalimu ambae nimekujua tu leo na nimekuelewa sana? Kwanini umekuja wakati muafaka? Kwanini?😅
Just God😂
@VanessaFK yes wakati wa mungu ni wakat sahihi barikiwa sana best teacher
Amen😘