Mwalimu ubarikiwe saaaana ata mimi nilikuwa na tafuta channel ya meditation kwa luga swahili ila nime kupata asante kwa mafundisho Mungu akutiye ngufu na akuongezeye akili
Mwalimu nashukuru sana mm ni mfwatiliyaji sana wa channel hï Basi nakushukuru sana kwa elimu zako uko unatufuza siku kwa siku Nikonafanya meditation kila siku kama kama kawaida.sasa nilisha kuwa na mabadiliko makubwa mno sana sana Hakika asante sana
Ooh Asante sn Kaka angu,nilikua natamani sn kupata mafunzo ya meditation kwa kiswahili hku utube maana mengi Ni kingereza so Kila neno utaelewa maana yake,barikiwa sn na usichoke kutufundisha🙏🙏❤️❤️
@Rakims Spiritual nilkuwa na omba unisaidie kuhusu Ile dua ya Qum qum ya habibi kam tanam jinsi ya kuitumia alaf maelekezo yake nlkuwa naomba ya we kwa kswahl coz kule nmeshndwa kuelewa vzur coz yapo kwa kngereza
Mbona mi nimefanya ulipotokea mwanga kama kinyuzi toka kwenye paji la uso nilipouangalia huo mwanga mwisho wake nikaona mwezi baada ya hapo sikumbuki nini kilichoendelea msada tafadhali
Mkuu Habari yako, nimeona haya Mafunzo kupitia clip zako, namimi nahitaji kujua katika ulimwengu Huu wa kiroho zaidi, nahitaji kuelekezwa nielewe na mimi
nmeanza kufanya meditation sku chache lakini kila nkifanya meditation machozi yanatoka menyewe sometime miayo mingi inayopelekea ntoe machozi. cjui kwann😢
asante kwa somo zuri.lakin bado sijaelewa,nivute hewa na kuitoa nje kwa muda gani?nianze kufumba macho wakat upi?jee,nitawezaje kujikontro(kujirejesha ) wakat nitakapo kuwa nimezama huko kwenye ulimwengu wa roho?nadhani tunahitaji utufanyie video nyingine zaid jinsi ya kuanza meditetion.asante sana.
Jamani mbona mi nafanya meditation lakini sifanikiwi ila toka nianze kwenye paji la uso kila siku panacheza halafu toka nianze kufanya meditation nikilala naota ndoto lakin asubuhi naamka nimesahau kila kitu
@@rakimsspiritualyani kaka nimerudia tena usiku basi nimelala nikapta ndoto tunachapana na mdada mmoja mtangazaji ila hakuna alipata zile fimbo mwisho yule dada akaja ndani kwangu nikamkuta kakaa nikamuuliza kwani unahisi ukiwa tajiri unaweza mfanyia maskini lolote akawa ana cheka ila ukweli nimelala kwa shida ni vurugu mech tu yani
@@rakimsspiritualjamani mm nilifikia hii hatua ya kuona mwanga mkali kila nilipofanya na nikawahi kuona malaika akiwa na mwanga mkali akashika paji langu la uso kunibariki. Jamani cjui nn kilinifanya niache.
Habari yako mimi nipefinga macho baadae nikaona km nguvu nyingi zikawa zimejaa kwenye kifua nikawa naunguruma km simba na kutetemeka hii inamaana gani mwali
Kaka nisaidie Mimi nimefanya nakua naisi kufa na pia nakua nikilala naota kufa naogopa nimefikia sehemu kuona mwanga mucho Yana uma naogopa maana nikilili nikishituka nakuta mwanga umekua wa njano nini Icho he niendelee au niache au nikiwndelea kweli nakufa NijIbu!!!!
Asante Kaka nimefanya nimeweza kwani nimeangaika mda mlefu ila nafuraha sana 😊
Asante. Mwenyezi Mungu akujalie mafanikio zaidi
Oy ww umefanikiwa kwahy kila ck unaota miujiza2
😅😅😅😅ngoja nicheke kama mazuri ., mm mwenyew naogopa
@@rakimsspiritual nina swali meditation una vuta pumzi kama mara tatu afu unaachta unaanza kuwa bize na uso wako sindio
@@LunjeMaster😂😂😂😂😂😂
Meditation nzuri ni ya kumfikilia mwenyez mungu aisee
Mwalimu ubarikiwe saaaana ata mimi nilikuwa na tafuta channel ya meditation kwa luga swahili ila nime kupata asante kwa mafundisho Mungu akutiye ngufu na akuongezeye akili
Apa ndio kwetu na Apa ndio Kwenu for Anyone Who need to become the better and Original version of himself ❤🎉
jamani nimependa sana nami naanza leo hii❤❤
Natamani sanaaa
Leo na jalibu nione ntaweza
Mwalimu nashukuru sana mm ni mfwatiliyaji sana wa channel hï
Basi nakushukuru sana kwa elimu zako uko unatufuza siku kwa siku
Nikonafanya meditation kila siku kama kama kawaida.sasa nilisha kuwa na mabadiliko makubwa mno sana sana
Hakika asante sana
Asante kushukuru, Mwenyezi Mungu akujalie mafanikio zaidi
Asante mkuu
Asante sana kwa mafundisho nina maswari nataka nihelewe njozi nyingi zinanitokea nakuwa na maraika au yesu
Hongera zifuatilie vema...
nashukuru kwa elimu nitajaribu
In shaa Allah
Mbna comment zenyewe zinaogopesha jaman..
Asante! may God of cosmos bless you
Asante pia
Asante kwa elimu hii iliofichwa na wengi
Asante kushukuru
Aksanti sana
Ooh Asante sn Kaka angu,nilikua natamani sn kupata mafunzo ya meditation kwa kiswahili hku utube maana mengi Ni kingereza so Kila neno utaelewa maana yake,barikiwa sn na usichoke kutufundisha🙏🙏❤️❤️
Asante na wewe ubarikiwe pia katika safari yako ya kiroho kuweza kufanikisha unachokitafuta pamoja na kuwa inlightened.
@@rakimsspiritual Amen rakim🙏🙏
Mm huwa unatokea rangi rangi tofauti kisha mwanga mkali Mungu ni mwema nashukuru sana nitafika tu
13:14
Asante sana kwa kutuelimisha kusher na kulaik kazi kwetu
asante mkuu karibu na tupo pamoja
Asante sana mwalim
Asante kwa somo
Ubarikiwe sana
Asantee kwa elimu
Asante Mwalimu 👌👃
Mim nimeganya najikuta zinakuja nyimbo za kuabudi it’s nice thing ❤️
Endelea. Ni mazoezi mazuri
Amini
Nimeanza kama dk 5 ivi nikackia kama mtu ananijua nimeogopa nikafumbua macho cjaelewa nifanyeje
Jana nimefanya lakn macho yangu yalikuwa yanacheza sana
Kila la kheri
Nakukubali sana kakaa panapo kheri nitakutafuta🙏🙏🙏
Asante karibu
Asante sana
Mwalimu nikwanini ikifika mda wakula kicwa kinaniuma xn ila nafany zoezi la meditation ila sijafanikiwa kufungua jicho la3
Master mim ni mpya humu naomba munisaidie san
Amina
@Rakims Spiritual nilkuwa na omba unisaidie kuhusu Ile dua ya Qum qum ya habibi kam tanam jinsi ya kuitumia alaf maelekezo yake nlkuwa naomba ya we kwa kswahl coz kule nmeshndwa kuelewa vzur coz yapo kwa kngereza
Mbona mi nimefanya ulipotokea mwanga kama kinyuzi toka kwenye paji la uso nilipouangalia huo mwanga mwisho wake nikaona mwezi baada ya hapo sikumbuki nini kilichoendelea msada tafadhali
Sawa
All you have said is true thanks for sharing
Ahsante sana
Mkuu Habari yako, nimeona haya Mafunzo kupitia clip zako, namimi nahitaji kujua katika ulimwengu Huu wa kiroho zaidi, nahitaji kuelekezwa nielewe na mimi
Endelea kufuatilia channel yetu hii
nmeanza kufanya meditation sku chache lakini kila nkifanya meditation machozi yanatoka menyewe sometime miayo mingi inayopelekea ntoe machozi. cjui kwann😢
Na Mimi hivyo hivyo Sijui kwann
@@CutemaryTomastumia sage kujifusha kabla ya kufanya meditation haitokijia hio hali
Saf rakini unaweza kufanya kwa mda gan
Kwanini ule mwanga kama tochi unapotokea na kufifia macho yanahangaika sana kucheza cheza kama yanataka kufunguka
Me mwenyewe Huwa kichwa kinauma mpka
Aiseee vyote alivyo eleza nikweli jamani mm imenitokea ila sikuelewa nilifanya kwa kubahatisha tu kiukweli ilinishangaza sana
Shukran Sana kwa uchambuzi zaidi
Asante kushukuru Mwenyezi Mungu akujaalie mafanikio
@@rakimsspiritual atujaaliye kwa pamoja
Thnx
Afuan
Naweza kuwa nasal kwa dini yangu nikiwa nafanya meditation
Ndio haina madhara wala matatizo
Nitajaribu bro na majibu nitakupa
Aminaa🙏🙏
Karibu
Unaweza kufanya mida gani au dakika ngapi.
Kwaiyo huluhisiwi kukuambia mtu au inakuwaje
Mm nimeanza kufanya km ck 3 Ila naona km duara ya rangi ya zambarau mbele yangu
Good ilike it kaka
Karibu sana
Oo shukran kka ila tunaomba muendelezo
Asante
Mwalim nakupata sana kak
Asante
asante kwa somo zuri.lakin bado sijaelewa,nivute hewa na kuitoa nje kwa muda gani?nianze kufumba macho wakat upi?jee,nitawezaje kujikontro(kujirejesha ) wakat nitakapo kuwa nimezama huko kwenye ulimwengu wa roho?nadhani tunahitaji utufanyie video nyingine zaid jinsi ya kuanza meditetion.asante sana.
Sawa asante kwa kuendelea kushiriki nasi
Mwalimu kunakitu naomba nijuwe ivi nilazima kufanya mikono ivo
Jamani mbona mi nafanya meditation lakini sifanikiwi ila toka nianze kwenye paji la uso kila siku panacheza halafu toka nianze kufanya meditation nikilala naota ndoto lakin asubuhi naamka nimesahau kila kitu
Kwahy ukifanikiwa kila siku lazima uwote hayo mauzauza2
Nimesha fanya meditation Mara tatu ila kichwa kina niuma kwenye ubongo.
Asante kaka mafunzo mazuri
Karibu
Nakuomba uenderee kufundisha namuna yakuanza hasa hasa mwanzoni
Sawa Endelea kutufuatilia kwa maarifa zaidi asante
Nimependa unavyofundisha.. nataku kukufuatilia hadi mwisho.
sawa karibu mkuu
Asante barikiwa sana
Umesema unavuta pumzi kumi hapo sija elewa vizuri
Na je kwa mara ya kwanza unatakiwa dakika ngapi?
Dakika ishirini kila ukipumua ndani na nje unahesabu moja
Mie nimefanya.kichwa kinauma saana
Endelea kufanya
Sasa mbona mimi nikijaribua hua mwili hua unantetemeka sana nini tatizo apo
Wewe ni mimi kabisa yaan natetemeka sana
Ndio Shekh!
Karibu
Sioni kitu
Ndio najifunza jmn
Mie naona macho kama yanauma nikiwa nafanya
Yote yanatokea siku moja
Sasa kwenye méditation unasemaga maneno fulani ao je 🇨🇩
Je unakua na wazo maalumu kabla ya kuvuta pumzi au unavuta pumzi tuu then unatulia mawazo yanakuja automatic?
Unavuta pumzi tu unatulia na kufocus on breathing
But nkitulia kufocus on breathing kuna vimawazo vnakuja auto vinaharbu utulivu wa ndani
Hata mimi naferi hapo tu😮
Jee unapo anza atakiwi kupomowa
Wanasema hii kitu unajiunganisha na nguvu za giza
Kila kitu watu wasichokijua huita uchawi.. Hata zamani walikuwa wanasema ndege kuruka juu ni uchawi... Wengi hujifunza vitu wakiwa wameshachelewa
Mwalimu mimi ninafanya kwa dakika 38 kila siku ila nahisi huwa kuna hot sana katika shehemu ya ubongo em naomba nisaidiwe na kunipa muongozo.
Una muda gani unafanya?
Unaposema mpuzi inamaana unabana pumz, hupumui ?
Sheikh je uko wapi? Je naomba nijifunze kwako
0783930601
@@rakimsspiritual habari naomba namba yako mwalimu
Je wakati unafanya mediation pumzi hua unazibana haupumui au utakua unapumua kawaida?
Kama haupumui si unakufa mkuu.
Kaka kwan nisawa nikiwa nafanya meditation nmeweka vitu maskioni ili nisiskie kelele au si sawa
Hapana
Je ukishavuta pumzi unaitoa kwa mdomo au pua
Unavuta kwa pua unatoa kwa mdomo baada ya muda unavuta kwa pua unatoa kwa pua
Bro me naomba kuonana na wewe in prevent
Ku prevent kitu gani?
samahan mwalim ninaweza kufanya meditation nikiwa nimevaa phone maskion
Hapana
Kila nikijaribu hakuna ninachoona nani anaweza kuniinbox tusaidiane naitamani sana.
Endelea kutufuatilia kwa maarifa zaidi asante
Nimefanya lKini kuna hali nimeisikia kichwa na mwili kuvaibrate kama dakika 3 hivi kisha ika potea nini sijui
Endelea na zoezi
@@rakimsspiritualyani kaka nimerudia tena usiku basi nimelala nikapta ndoto tunachapana na mdada mmoja mtangazaji ila hakuna alipata zile fimbo mwisho yule dada akaja ndani kwangu nikamkuta kakaa nikamuuliza kwani unahisi ukiwa tajiri unaweza mfanyia maskini lolote akawa ana cheka ila ukweli nimelala kwa shida ni vurugu mech tu yani
Mbona nikifanya sasa mawazo mengi yanazidikujazana nafanyeje
Sio zoezi l;a siku moja unatakiwa kufanya kama muendelezo wa kila siku
hahahahaha
Haina madhara
Hapana hakuna
Nilifanya lakini ulikuja mwanga mweupe xikuelewa
Haha mie nikifanya ulikuja mwanga mweupe sana kama radi
❤❤
Broo hyo kitu nikifanya huwa naona kitu kamamwanga mkali mweupe wa toch utapiga katikati ya paji la USO then unafifia na kurud tena
Hiyo ni third eye inataka kufungua, endelea na zoezi bila udhatiti wa kuchunguza
@@rakimsspiritualjamani mm nilifikia hii hatua ya kuona mwanga mkali kila nilipofanya na nikawahi kuona malaika akiwa na mwanga mkali akashika paji langu la uso kunibariki. Jamani cjui nn kilinifanya niache.
Sasa ukivuta pumuzi Mara kumi unaibakiza ndani ama unaitoa polepole
Sikiliza video vizuri uelewe
Minaomb niulize ukifimb macho unasema maneno gani
Baadae nahisi km mtetemeko
Habari yako mimi nipefinga macho baadae nikaona km nguvu nyingi zikawa zimejaa kwenye kifua nikawa naunguruma km simba na kutetemeka hii inamaana gani mwali
Mwenywe imenikuta hivyo sijaelewa
Huenda ukawa na upepo wa jini, Fuatilia channel yetu katika video ya utambuzi kama unajini
Mi sielewi kwenye pumzi apo yani wakati unafanya unachia punzi au
Rejea hapa
th-cam.com/video/rdb8bQInC1Y/w-d-xo.html
Natakiwa kufanya kwa muda gani saa nzima au
Dakika 20 kama unaanza
Unafanya Kwa muda gni
Je ukiwa na period kwa mtoto wa kike inafaa au mpaka umalize?
Inafaa
Noamba kuhuliza ninapoanza ku maditate hujikuta machozi yanatoka tuu na macho kuchezacheza hii ina maana gani?
Anza na meditation ya mshumaa kuweza kubalance mihemko
Pumzi kumi ndio unavutaje mwalimu?
Unakuwa unavuta pumzi ndefu ndani moja kisha ukitoa nje unakuwa umehesabu moja karibu.
@@rakimsspiritual una group lakin wassap
@@yusuphhermanhans4044 Hapana kwa sasa sina lakini unaweza kujifunza zaidi katika blog yangu mkuu
Sawa
Mimi nikianza ku meditati naanza kusikia kichwa kuuma.ina maanisha nini
Ni kawaida wengi hutokea hivyo siku za awali
Unaweza uka kaa Kwa dakika ngap
20minutes
Kwanini hua inatokea hofu kubwa sana
Asalaam aleykum shekh je kama nataka kuja kujifunza kwako taratibu zipoje
Nina mpango wa kufungua darasa la haya mambo rasmi hivyo fanya subira
Kaka nisaidie Mimi nimefanya nakua naisi kufa na pia nakua nikilala naota kufa naogopa nimefikia sehemu kuona mwanga mucho Yana uma naogopa maana nikilili nikishituka nakuta mwanga umekua wa njano nini Icho he niendelee au niache au nikiwndelea kweli nakufa NijIbu!!!!
Endelea kufanya kwa utulivu na utaratibu na muda wa dakika 20 kila siku usizidishe
Mm sitaki kujaribu..kuna MTU nimesoma cmt yake anasema kwenye paji LA USO panacheza duh
Samahani ikiwa nitakua nimewakwaza ivi kufanya meditation inaruhusiwa katika dini ya kiislam ama ya kikiristo naombeni munijuze tafadhalini.
Inaruhusiwa ikiwa unaifanya kwa usahihi na meditation ni mazoezi ya kiroho kama vile yalivyo mazoezi ya kimwili