Hatua ya sasa ya dawa za UKIMWI imetupa matumaini-UNAIDS.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ส.ค. 2024
  • Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na masuala ya UKIMWI, UNAIDS limesema limetiwa moyo na ripoti iliyochapishwa leo mjini Seattle Marekani na Geneva Uswisi ya mgonjwa wa aliyekuwa na ukimwi kuponywa

ความคิดเห็น • 23

  • @agneskadzo6105
    @agneskadzo6105 5 ปีที่แล้ว +2

    Waaa Mungu toa njia pasipo njia..
    Maana huu ugonjwa unamaliza watu wengi sana ..Waaaaa Tusaidie Mungu maana hatujui watoto wetu wataishi vipi duniani humu ...

  • @yoashtz6032
    @yoashtz6032 4 ปีที่แล้ว +1

    Best thing

  • @machembahemed8175
    @machembahemed8175 5 ปีที่แล้ว +2

    Saaafi saaaana mungu ndokila kituuuu

    • @halimaramadhani1896
      @halimaramadhani1896 5 ปีที่แล้ว +1

      Machemba Hemed mungu afanye wepes jaman ifike tzania

    • @machembahemed8175
      @machembahemed8175 5 ปีที่แล้ว

      @@halimaramadhani1896 in shaa Allah dada halima

  • @salamaseif4032
    @salamaseif4032 3 ปีที่แล้ว

    Uko vzr xana mtangazaji

    • @issaswedi6974
      @issaswedi6974 7 หลายเดือนก่อน

      Kwa magonjwa sugu kama vile UKIMW , sicke cell , saratani I kwanza unatakiwa umche mungu alafu Kisha ukubaliane na Hadith ya mtume kwamba habbat soda inatibu magonjwa yote isipokuwa kifo BiidhiniAllah lakini unatakiwa utambue vile vile ili habbat soda ifanye kazi haswa haswa ni kheri utumie dawa na habbat soda au hata dawa nyengine asilia kama asali mbichi na nakadhalika kwa pamoja achana na dawa za mfumo sumu za hospital sisi watafiti tumegundua dawa mpya ya kisasa ya mfumo wa Gene Therapy ambayo ni maboresho ya dawa za kisasa ambazo zinachukuliwa vitu asilia tuh na hazina madhara yoyote hizi dawa ni tafiti za madaktari tumefanya kwa miaka 25 Ni dawa ambayo tafiti imefanywa kwenye Qur'an pia . Ni dawa ambayo inaendana na mfumo wa seli wa mwili wa binaadam kwa maelezo na mafunzo yetu tembelea page zetu Katika mitandao ya kijamii LinkedIn, Facebook , Twitter , Instagram
      Jina " Nehemiah II intermolecular Health Drugs LTD " hii dawa inatibu Ukimwi , cancer za stage ya mwanzo mwanzo, magonjwa ya uzazi , homa ya ini , presha , kisukari na magonjwa kadha wa kadha ila Cha muhimu lazima ujue sisi ni kina na Nani ?
      Alafu ukubali kumcha Mwenyezi mungu bila kukubali hatutibii ?
      Alafu Cha tatu weka yakini kwamba Allah atakuponesha hizi zengine Ni kutafuta sababu tuh
      Ahsante Sana au Kama una maswali piga simu number
      0694027242

  • @yusuphidd6068
    @yusuphidd6068 5 ปีที่แล้ว +1

    UKIMWI ni dawa nzuri sana ya uzinzi

    • @sarhaally6111
      @sarhaally6111 5 ปีที่แล้ว +2

      Usisemehivyo na watoto je? Wasiokua nahatiavinakuaje

    • @mdomani2404
      @mdomani2404 5 ปีที่แล้ว +2

      Astaghfirullah ww usiseme ivo siyo wote WA napata ukimw ni wazinz

  • @hilalhilal8400
    @hilalhilal8400 4 ปีที่แล้ว

    Kuhusu ni hedhi ni kampeni za kikafiri wanataka wapewe haki sawa yaani washike misahafu na najis na pia waingiliwe km walivo wengine wakiwa tohara. Na hivi kwa ukafirini wanafanywa hata wakiwa na hedhi ila waislamu hatufanyi ng'o msitukufurie. Waislamu hawawatengi wanawake kwa hali yoyote ile bali kuna mipaka tu isivukwe. Ubaguzi wa kijinsia wanao wale waliowapa nguvu kua ushahi unaanza mbwa kisha mtoto kisha mwanamke kisha mwanaume. Warekebishe hapa kwanza waeke alau ushahidi uwe sawa kwawote maana km uongo hata mbwa aweza funzwa uongo. Ekeni haki hapo katika huko wanaposema

  • @hilalhilal8400
    @hilalhilal8400 4 ปีที่แล้ว

    Kwaio mlipenda mke aende kutoa habari lkn mume akose kazi akae ndani kupika. Tusiige hovyo hawajakatazwa na wapo wanawake wanasaidia na nimadaktari muhimu tafteni vyanzo vya ajira watu wapate ajira. Wapo wamesoma wamekaa hawana kazi na wanawake wamependwa ktk uislamu wafanye ibada majumbani wala wasihangaishwe km kua jeshi. Ni kukosa ajira hata mwanamke badala kuzaa jamii ikakua . Km dini hazipo basi japo akili tulioumbiwa tuitumiee. Wanawake wanaosheherekea sikuhii ni bidaa na hawana dini. Ikiwa hutaki vitabu vya dini subiri miaka sitini. Km utafika ushukuru tena ukaharakie moto unasubiri ukuni wamwiliwako ukolee vzr