Hatua yapigwa kuelekea upatikanaji rahisi wa dawa za kufubaza Ukimwi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
  • Wadau wa harakati za kupambana na maradhi ya Ukimwi wanaendelea na mkutano wa kimataifa nchini Canada, ambao unatarajiwa kumalizika Jumanne. Miongoni mwa mambo ya kujivunia yaliyofikiwa ni makubaliano ya kuziondolea hakimiliki dawa muhimu za kuwatibu waathiriwa wa Ukimwi, yaliyosainiwa kwenye mkesha wa kuanza kwa mkutano huo. #Kurunzi

ความคิดเห็น •