JOKATE: NAOGOPA SANA / WANATAMANI NAFASI YA JUU KWA FITNA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2024
  • / lilommy
    / lilommy
    www.lilommy.com
    for more interviews, hot news, exclusives, music, videos, artists profiles, gossip etc tembelea www.lilOmmy.com

ความคิดเห็น • 100

  • @euniceakudai4203
    @euniceakudai4203 5 ปีที่แล้ว +7

    Beauty with brains. So intelligent, hardworking, kind and humble. Beautiful without makeup

    • @bornmazungu9325
      @bornmazungu9325 4 ปีที่แล้ว

      Eunice kmbe unawew umeona eeh,, she is More beautiful

  • @nahoolalbosaidi6665
    @nahoolalbosaidi6665 5 ปีที่แล้ว +7

    Muheshimiwa joket tunakupenda mungu akuongoze dada kuwa hivyo unapendeza we n msanii pekee unaejielewa 😍😍

  • @abras3479
    @abras3479 5 ปีที่แล้ว +27

    Lil ommy umechemka....approch yako kwa mkuu wa wilaya haikuwa nzuri....soma alama za nyakati. yule jokate wa salamu za kihuni was in the past ulitakiwa kumpa heshima yake as DC

    • @salamisindimwo303
      @salamisindimwo303 5 ปีที่แล้ว

      Ab Ras kabisa dduh...

    • @edwigaupendo
      @edwigaupendo 5 ปีที่แล้ว

      Kabisa......mpaka mwenyewe akamshtua kwa kumuambia habari za asubuhi....lakini hata hajashtukia.....baadhi ya wana habari wa siku hizi bhana.....wenge tu vichwani!!!

    • @yusuphubalali9212
      @yusuphubalali9212 3 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa.Mkuu wa Wilaya ni mtu mkubwa Sana.Sijapenda jinsi alivyo mkalibisha kwa kweli. Siku nyingine fanya masahahisho mzee Baba😡😡

    • @dibabatv5761
      @dibabatv5761 3 ปีที่แล้ว

      Kakosa nidhamu,kwani cyo tena yule alokua wamwanzo kamzoea

  • @ngwacahnyagwaswa9979
    @ngwacahnyagwaswa9979 5 ปีที่แล้ว +13

    Kama unakubaliana na mimi kua Alikiba kapoteza dhahabu gonga like 👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍

    • @salamisindimwo303
      @salamisindimwo303 5 ปีที่แล้ว

      Ng'wacah Nyagwaswa hajapoteza chochote bro...yoote kheri kwa kweli everything happens for a reason: we needn't regret about anything

  • @K25795
    @K25795 5 ปีที่แล้ว +22

    Kama nawe unampenda Mh jokate na unamkubali kwa kazi anayo ifanya gonga like hapa

  • @sirrespectbrooocadabra2964
    @sirrespectbrooocadabra2964 5 ปีที่แล้ว +5

    Big up jokate never give up GOD will help you 4 everthing together with you mumy

  • @dkensmopainvevo3683
    @dkensmopainvevo3683 5 ปีที่แล้ว +14

    Jokate roll model 💯🔥🔥🔥💪 🇰🇪🇰🇪

    • @festomsoffe3767
      @festomsoffe3767 4 ปีที่แล้ว

      Mheshimiwa ukiwa unaongea nicheki kukusikiliza

    • @janethjustin5256
      @janethjustin5256 4 ปีที่แล้ว

      For sure she is super 💛

  • @kigwisimulindwaclemo8541
    @kigwisimulindwaclemo8541 5 ปีที่แล้ว +4

    Jokate na Diamond midomo yao 😋😋😋😋😋 kila wakati. Jokate keep it up soldier

  • @amanijulius8398
    @amanijulius8398 5 ปีที่แล้ว +2

    #LilOmy
    Kizazi Sana Mwanangu Viva #MhJokateKidoti

  • @lazarojohn8658
    @lazarojohn8658 5 ปีที่แล้ว +6

    Hongera kwanza mh dc kwa kazi nzuri unayofanya hadi sasa

  • @alexmedson7153
    @alexmedson7153 5 ปีที่แล้ว

    yeah she is very inspired reader so, much congrats to her and b aendeleeee vivyo ivyo na mungu amsimamie katika majukum yake just be course tunataka kiongoz bora kama jocate

  • @mussaayub6963
    @mussaayub6963 5 ปีที่แล้ว +5

    Doh nampenda huyu dada
    ♥♡♡♡♡♡♥

  • @hjhj6230
    @hjhj6230 5 ปีที่แล้ว +3

    Nampenda buree uyu dd Allah azid kukucmamia kwa kila hatua uipigayo

  • @ibrahimchole3951
    @ibrahimchole3951 5 ปีที่แล้ว +1

    Joketi nakukbali na km unamkubali jojo gonga like

  • @abuubakrachani1943
    @abuubakrachani1943 5 ปีที่แล้ว +3

    vip kuhusu University ...pia ulikuwa kiongoz....?na ilikuwa ni ngaz gan uliyokuwepo.....well done good luck

  • @rashidmohamedi1495
    @rashidmohamedi1495 5 ปีที่แล้ว +2

    Huyo ndo mungu humpa anayemtaka mungu kamuonyesha njia jokat kwa uwezo wake hapo hasingefika we ukiforce utaroga

  • @geraldlazaro4523
    @geraldlazaro4523 2 ปีที่แล้ว

    Congrats m amazing ooooo one d as willlllllllllllll

  • @dibabatv5761
    @dibabatv5761 3 ปีที่แล้ว

    Acha dhalau kisa nibinti/wakike huyo nimuheshmiwa tayari, approach yako imekua cyo nzuri

  • @mariamangel1264
    @mariamangel1264 5 ปีที่แล้ว +5

    jokwty ni mzuri

  • @filpinakisaka2793
    @filpinakisaka2793 4 ปีที่แล้ว +1

    Nakupend San unamuinsper mtot Wang iren mling

  • @ashuraomar4935
    @ashuraomar4935 5 ปีที่แล้ว +3

    Lilly ommy umemkaribisha DC qa kisarawe kihuni sanaa, Jaribu kuangalia nani unaemfanyia interview yako,Huyo sasa hivi ni DC wenu hapo bongo,Jirekebishe ukaribishaji wako ni wa kihuni sana,wakati unawakaribisha hap yo yo yo sio mbayaaa ndio wanavyopenda.

    • @bensonshirima2590
      @bensonshirima2590 5 ปีที่แล้ว

      MH. ni mgeni kwenye hiyo show, anajua format arch ya kipind na yeye ndio anapaswa ku adjust ku fit theme ya kipindi husika.

  • @mohamedalaraimi6813
    @mohamedalaraimi6813 5 ปีที่แล้ว +3

    Kama ww unampenda joket kama mm gonga like apo

  • @imecchospitalpr8496
    @imecchospitalpr8496 2 ปีที่แล้ว

    Hongera sana

  • @media1international279
    @media1international279 5 ปีที่แล้ว

    Jokate: 🌹

  • @fatumamcharo3929
    @fatumamcharo3929 5 ปีที่แล้ว

    Daah!! Hongera jojo, Mungu akuongoze!

  • @sambayoo6441
    @sambayoo6441 4 ปีที่แล้ว +1

    Napomona huyu dada namouna mondi kwa mbl kama bado anamiss miss

  • @geraldlazaro4523
    @geraldlazaro4523 ปีที่แล้ว

    Amini mwingi ni Wa rehema you was shared at par facebooks

  • @blatterboy7898
    @blatterboy7898 5 ปีที่แล้ว +2

    Interview ipo on hewa ,ipo juu mawinguni

  • @johnymtata2654
    @johnymtata2654 5 ปีที่แล้ว +3

    OMY nakubali nzee baba

  • @emanuelswaiba3629
    @emanuelswaiba3629 5 ปีที่แล้ว +3

    I ndo interview #kali ilobaki #youtube nakubali san #lil ommy

  • @issaally9751
    @issaally9751 5 ปีที่แล้ว

    Yes

  • @ashazaharan1750
    @ashazaharan1750 5 ปีที่แล้ว

    Hongera dd minaamini anapenda kazi yake ndoo maana anajituma

  • @davidkasala5727
    @davidkasala5727 5 ปีที่แล้ว +4

    i like u moo kdot!!!!

  • @ellybuberwa2502
    @ellybuberwa2502 5 ปีที่แล้ว +1

    I love you ma role model

  • @geraldlazaro4523
    @geraldlazaro4523 2 ปีที่แล้ว

    Mama Mili ,dada ,Shem ,and mamaJJL we are the similar mnafananaaaaaaaaaàà as aaaaaaa

  • @annvic3996
    @annvic3996 4 ปีที่แล้ว

    Alafu uyu dada dah!!🙊❤...beauty with brain.....she has money but yet shes humble. Othe tz female that barely have much and without brains comes here with too much show offs and too much makeup. They come and talk about how many men they have dated.😢😳😭😫without intelligence

  • @saudamanyongo5766
    @saudamanyongo5766 5 ปีที่แล้ว

    Nakupenda sana Jojo

  • @sonjavejaalborg4713
    @sonjavejaalborg4713 4 ปีที่แล้ว

    Je t'aime Je t'aime tellement pour Jésus
    Congo

  • @helenkambi3918
    @helenkambi3918 5 ปีที่แล้ว

    Love u jokate kidoti

  • @amosmahewa1405
    @amosmahewa1405 5 ปีที่แล้ว

    hongera

  • @ntamugabobizi4580
    @ntamugabobizi4580 4 ปีที่แล้ว

    Arikiba nadiamond hawajuwi wana wake watabiya zuri huyu dada anata biya zuri kabisa

  • @huserehema8618
    @huserehema8618 5 ปีที่แล้ว

    love you. joketi

  • @habibomary7444
    @habibomary7444 5 ปีที่แล้ว

    tym will tell........jojo

  • @masungamawe143
    @masungamawe143 5 ปีที่แล้ว +1

    Yeah baba kizaz sana,,unaongea na shemela,,,yoooooh

  • @khbaamirysr3743
    @khbaamirysr3743 5 ปีที่แล้ว +1

    Mjomba atuletee huyu Wilayani Mvomero

  • @lukaninamutakeakazijemanaj3136
    @lukaninamutakeakazijemanaj3136 5 ปีที่แล้ว

    kazi tuu

  • @ntamugabobizi4580
    @ntamugabobizi4580 4 ปีที่แล้ว

    Uyu muheshimiwa anastahiri anaogeyamuzuriwegine kuyama jokate oyeee nazamaradi oydeee

  • @lukaninamutakeakazijemanaj3136
    @lukaninamutakeakazijemanaj3136 5 ปีที่แล้ว

    mungu ni mwema

  • @smwakaglobaltv4010
    @smwakaglobaltv4010 5 ปีที่แล้ว +1

    Kama kweli wew ni lilly mzalendo was +255, +256, +257...gonga like nami ili kumuaminisha Mh. DC Joketi Mw. Kama yupo kizazi zaidi.

  • @lukaninamutakeakazijemanaj3136
    @lukaninamutakeakazijemanaj3136 5 ปีที่แล้ว

    kazi tu

  • @philemonpaul8014
    @philemonpaul8014 4 ปีที่แล้ว

    Duhhhhh jojo ni mtoto mkali xana

  • @godwinegacharo9001
    @godwinegacharo9001 4 ปีที่แล้ว +1

    Jocket nakukubali japo mi ni ant-CCM

    • @jeremymakokha4797
      @jeremymakokha4797 4 ปีที่แล้ว

      Ww ni bure kama ww na Anti-CCM...na huu uongozi wa Magufuli na vijana wachapakazi ww una kichaa....from 254 Kenya

    • @godwinegacharo9001
      @godwinegacharo9001 4 ปีที่แล้ว

      @@jeremymakokha4797 hivi Kenya mnajua siasa ya bongo ilivyo na makona mengi.hujui tu ndugu yangu!

    • @jeremymakokha4797
      @jeremymakokha4797 4 ปีที่แล้ว

      Magufuli ni rais mchapa kazi Africa...wapinzani hutafuta kila kitu kusambaratisha mipango ya wanaojali nchi...miaka mingi mmetafuta rais..na Mungu akawatunuku Magufuli....Support him ...hez going to take Tanzania To new heights....Hapa Kenya bado tunatafuta ....jua hvyo

    • @godwinegacharo9001
      @godwinegacharo9001 4 ปีที่แล้ว

      @@jeremymakokha4797 kaka nimekuelewa vilivyo. Ubora wa magufuli hauhitaji PHD kuuona ila kumbuka yeye ni bora as a person sisi tunataka system nzima iwe bora and not a person kwanini,kwa sababu Leo yupo kesho hayupo .Unaanza kunielewa kaka

    • @jeremymakokha4797
      @jeremymakokha4797 4 ปีที่แล้ว +1

      @@godwinegacharo9001 nmekuelewa lkn kuna watu naowapenda mfano wake RC hapi ,RC Aggrey mwanri ...na wengineo .....Africa inakosa watu aina hii ....na huu ni wakati wa mabadiliko
      Say hi to Mama Samia Suluhu na waziri mkuu Kassim na Dangote Baba lao

  • @ntamugabobizi4580
    @ntamugabobizi4580 4 ปีที่แล้ว

    Niko kukazi wakati inaisha munisamehe taonakunyumba

  • @fadhilymissanga2399
    @fadhilymissanga2399 5 ปีที่แล้ว +1

    Kizazi

  • @zahramussa5955
    @zahramussa5955 5 ปีที่แล้ว

    DAS nmemuelewa amekushaur kitu kizur sana joo

  • @enocksilungwe2720
    @enocksilungwe2720 5 ปีที่แล้ว

    Kizazi Sana

  • @lonelypatientor7348
    @lonelypatientor7348 5 ปีที่แล้ว

    Liked

  • @negoima4434
    @negoima4434 5 ปีที่แล้ว +1

    Liliomy #Nakukubari sana broo mpe hai sana Joketi

  • @allymkwepu7949
    @allymkwepu7949 5 ปีที่แล้ว +2

    Mh una nyota kali xana

  • @mariaibrahim3753
    @mariaibrahim3753 4 ปีที่แล้ว

    Safi kidoti

  • @elsonkibasindila7526
    @elsonkibasindila7526 5 ปีที่แล้ว

    Kwani fitna mpka sasa zimeisha mh Dc

  • @mariamangel1264
    @mariamangel1264 5 ปีที่แล้ว

    jojo elewa sasa mama utupe eshima wanawake

  • @johnmwangi2435
    @johnmwangi2435 5 ปีที่แล้ว

    Ya kizazi sana

  • @zaituniintiaz8431
    @zaituniintiaz8431 5 ปีที่แล้ว

    Unaongea na muheshimiwa

  • @hansvangela6349
    @hansvangela6349 5 ปีที่แล้ว

    kizaz saana

  • @sonjavejaalborg4713
    @sonjavejaalborg4713 4 ปีที่แล้ว

    Je t'aime Je t'aime tellement pour Jésus

  • @lilianjeremia1024
    @lilianjeremia1024 5 ปีที่แล้ว +1

    Kizaz san nakukubli joket

  • @officialtinnyaltezza9878
    @officialtinnyaltezza9878 5 ปีที่แล้ว

    Hv joketi ananyodo au ndo alivyo tu jaman kimuonekano

    • @lilianwilliam9222
      @lilianwilliam9222 5 ปีที่แล้ว

      Official Tinny Altezza wemjinga

    • @officialtinnyaltezza9878
      @officialtinnyaltezza9878 5 ปีที่แล้ว

      @@lilianwilliam9222 Hapana Lilian ujue amekaa siliaz kinoma huyu mdada japo ni mzur hatar

  • @sikudhanimohammad4760
    @sikudhanimohammad4760 5 ปีที่แล้ว +6

    kafanana mchumba wa pilipili

  • @ntamugabobizi4580
    @ntamugabobizi4580 4 ปีที่แล้ว

    Diamond uge muowa huyu ao arikiba anastahiri kabisa

    • @annvic3996
      @annvic3996 4 ปีที่แล้ว

      None of them two deserves a great woman like her with all their shakara and headaches

  • @joesimba
    @joesimba 5 ปีที่แล้ว

    Dah diamond kashapiga apo

  • @mbambabay2265
    @mbambabay2265 5 ปีที่แล้ว

    Niaje😁😁