“Tunakuletea hotuba unakimbia, utaziweza tabia za Mandela wewe?” -David Silinde

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ส.ค. 2024
  • Mbunge wa Momba David Silinde ni kati ya Wabunge waliosimama Bungeni leo kuchangia mapendekezo katika makadirio ya mapato na matumizi ya bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2018/19 ambapo amesema kama Serikali inahitaji kujenga uchumi na kuwasaidia wananchi wake ni lazima iwekeze katika zekta binafsi na sio kama inavyofanya sasa kwa kuzikandamiza.

ความคิดเห็น • 205

  • @athumanijuma1000
    @athumanijuma1000 5 ปีที่แล้ว +15

    Nondo za hatari.
    Kama ni ticha kakupa materials yote kamaliza...
    Hapo unasubiri mtihani tu.
    Hongera sana mbunge makini.
    Nimekuelewa sana.

  • @dionizkipanya2355
    @dionizkipanya2355 5 ปีที่แล้ว +2

    Dah Akili Hizi Zinatakiwa Kutunzwa Sanaaaa,Hongera Sana Lusinde

  • @jacobpatrick7936
    @jacobpatrick7936 6 ปีที่แล้ว +42

    Aisee hawa watu wanashusha nondo mpaka nataman kulia

  • @olaislukumay571
    @olaislukumay571 6 ปีที่แล้ว +34

    Hawa watu ni vichwa acheni siasa watumieni watanzania tunataka maendeleo sio siasa za ajabu hoja zao ni nondo kweli kweli

  • @danielngalawa1198
    @danielngalawa1198 4 ปีที่แล้ว

    Asanteni sana wanaccm kwa kunipigia chin uyu binadamu ni mnafiki

  • @casmilmurengezi3603
    @casmilmurengezi3603 2 ปีที่แล้ว +1

    I miss this guy in opposition! You were so more essential to this country than being a minister in a ruling party... You are being underutilized bro!

  • @ndagabwenemachunda313
    @ndagabwenemachunda313 6 ปีที่แล้ว +14

    Tatizo la viongozi wetu wa kiafrika baadhi wamekulia ktk umaskini mno ivyo wanakuwa na roho mbaya ya kutaka wengine wasipate, wenzetu Kushika nafasi ya juu wanatizama mpaka makuzi na uwezo wako kifedha

  • @redsonkabuje5887
    @redsonkabuje5887 6 ปีที่แล้ว +5

    much appreciation David Silinde

  • @isaacsengunda3099
    @isaacsengunda3099 6 ปีที่แล้ว +5

    Hapa sijui hawa ccm wanakuaga kama mizimu,maana hata hawajijui kabsaa,
    Na wanatumi mifano ya viongozi wenye heshima kubwa duniani bila hata kufikiri kwa kina kua walikua wanaamini katika nini,na waliwatendea nini wananchi wao katika kuwaongoza,huu ni ujinga sana.
    Silinde uko vizuri sana waambie hao mazuzu ya ccm na huyo speeker wao waache ujinga.

  • @ndagabwenemachunda313
    @ndagabwenemachunda313 6 ปีที่แล้ว +17

    Wabunge wa CCM baadhi yao wako kutetea matumbo yao tu,ivyo wanakuwa wabinafsi na wanafikiri kwa kutumia matumbo

  • @sir.josephmbeya7017
    @sir.josephmbeya7017 6 ปีที่แล้ว +2

    Nimekuelewa vizuri mno mh.Silinde David.

  • @elibarikimagesa3262
    @elibarikimagesa3262 6 ปีที่แล้ว +17

    Silinde much appreciate 🙌🙌

    • @beatuskiauke4499
      @beatuskiauke4499 4 ปีที่แล้ว

      Chadema iko sahihi sana na ndio maana walizuia mikutano ya hadhara baada ya kuyaona haya

  • @omarymbalala6224
    @omarymbalala6224 6 ปีที่แล้ว +54

    daaa! sijui nani zaidi yamwenzie mana kila anaesimama ni chuma chadema peopleeeeee✌✌✌✌

  • @abduelmbise9683
    @abduelmbise9683 6 ปีที่แล้ว +32

    Hizi ni point zinazoeleweka hata kama hutaki

  • @shephardsinkamba8716
    @shephardsinkamba8716 5 ปีที่แล้ว +6

    ukweli ni Ukweli tuu Chadema wapo vzuri sana

  • @bernadinangasi7664
    @bernadinangasi7664 5 ปีที่แล้ว +9

    Jaman tuacheni utani tuacheni siasa ,wabunge wa chadema wako vizuri

  • @sagandamalechampullo659
    @sagandamalechampullo659 5 ปีที่แล้ว +15

    Sijawahi kujutia MB zangu kwa kusikiliza Hoja za Wapinzani.

    • @marcokaroje8980
      @marcokaroje8980 ปีที่แล้ว

      Wewe ni kilaza unaaminishwa uongo unautumia kubeza watu wengine

  • @margaretwambete1228
    @margaretwambete1228 5 ปีที่แล้ว +1

    Mhe.poa sana.Asante sana.Ccm hawana maono kabisa.Resist✌✌

  • @mosessamwel1179
    @mosessamwel1179 5 ปีที่แล้ว +3

    Your a good Trainer

  • @allythabitmakonda6676
    @allythabitmakonda6676 5 ปีที่แล้ว +1

    Lusinde ana ugonjwa wa kuzungumza UKWELI. Siku zote anasimamia Ukweli ulio mchungu kabisa, naye ni mpenzi wa Mungu.

  • @bahatimisso5435
    @bahatimisso5435 6 ปีที่แล้ว +15

    Well done David Silinde. Umewavua nguo

  • @simpeponestory7637
    @simpeponestory7637 6 ปีที่แล้ว +47

    Hawa watu n vichwa hatariii,.tusiwabeze jamani ,waskilizwe mbona wanaeleweka sana tu ktk hoja wanazotoa?.

  • @fubanjenjele9855
    @fubanjenjele9855 6 ปีที่แล้ว +5

    Aisee namfananisha silinde na Marcus moziah Garvey( black america)

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu 5 ปีที่แล้ว +1

    Bashiru Mawazo yake ya Kiuchumi Ni Utaahira, Hata China Wajamaa Waliobakia Wamefanikiwa wa Kuchanganya Na Upepari.

  • @tumainimwaifunga3884
    @tumainimwaifunga3884 5 ปีที่แล้ว +1

    Aissee upo vizuri sana, kichwa chako ni wabunge mia wa Ccm

  • @MustafaAli-bs6mb
    @MustafaAli-bs6mb 4 ปีที่แล้ว

    Nimekukubali sana bro

  • @psterinishayo4270
    @psterinishayo4270 6 ปีที่แล้ว +16

    Tatizo mengi yamehonga na kuiba kura

    • @zubedaaithu1517
      @zubedaaithu1517 5 ปีที่แล้ว +1

      Shujaa mpaka utoe Maisha yako hongera

  • @suleimanalawi8791
    @suleimanalawi8791 5 ปีที่แล้ว +2

    HUYU TUTAMCHUKUA ZNZ KARIBUNI IN SHAA ALLAH. SENGERPUR IYOOOOOOOOO.

  • @kizingantunzwe678
    @kizingantunzwe678 6 ปีที่แล้ว +3

    Much respect

  • @kennethmahenge7719
    @kennethmahenge7719 4 ปีที่แล้ว

    always wabunge wa chdm ni BRILLIANT leaders........ ✌✌✌

  • @zicomgravity4897
    @zicomgravity4897 5 ปีที่แล้ว +1

    Brilliant...

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi 5 ปีที่แล้ว +32

    Mbunge mmoja wa upinzani ni wabunge 10 wa ccm.

    • @teresiaasenga5142
      @teresiaasenga5142 5 ปีที่แล้ว

      Wewe mlevi

    • @rasnchimbi
      @rasnchimbi 5 ปีที่แล้ว

      @@teresiaasenga5142 ulevi upi tena ndg,au ndio kutumia mitandao vibaya unatukana watu.

    • @jimjam4162
      @jimjam4162 5 ปีที่แล้ว

      Kweli chadema safi

    • @immamlowe7151
      @immamlowe7151 5 ปีที่แล้ว

      Ras, nchimbi upinzani hamna mbunge ila kunawapambe wakinambowe

    • @rasnchimbi
      @rasnchimbi 5 ปีที่แล้ว

      @@immamlowe7151 sasa hapo mbowe pekee ni wabunge 50 wa ccm.Yule ni kamanda.

  • @mosesndahani8912
    @mosesndahani8912 6 ปีที่แล้ว

    Big up silinde unaeleweka vizuri sijui kwanini hawaelewi

  • @kamgishakaganda5506
    @kamgishakaganda5506 5 ปีที่แล้ว +4

    Jamaa nibonge lanondo,kwer ukimchagua mbunge wa ccm sawa na kumiliki Mali kuoza,kwanza niwoga wanawaogopa viongozi wanagugumia moyoni wakati wanaujua ukwer.niwanafiki wakubwa

  • @irenekanizio4740
    @irenekanizio4740 6 ปีที่แล้ว +1

    well sayd bro SILINDE!!!

  • @andrew.gadimrinji1713
    @andrew.gadimrinji1713 4 ปีที่แล้ว

    Yaani huyo naibu speaker hajali umuhimu wa hoja..bali kengele na kanuni..yaani wamejiwekea utaratibu kwa ajili ya kanuni..badala ya kanuni kwa ajili yao.yaani unajizuia mwenyewe kufanya vizuri kwa kujiwekea kanuni mbovu..na unaxiheshimu kwa kuziogopa hata hutaki kuziboresha kwa manufaa ya wananchi .Hili ni tatizo namba moja.

  • @lamecknjagwa1155
    @lamecknjagwa1155 5 ปีที่แล้ว

    Mbunge usipende sana kutumia mifano Kwa kukopi na kupesti kumbuka hayo waliyofanya ni sawa na swala linalokazaniwa la uchumi wa viwanda na kumbuka kufikia mafanikio ni mchakato Maendeleo atakwako nyumbani hayaji sikumoja,mchakato baba

  • @aggreymrema3145
    @aggreymrema3145 6 ปีที่แล้ว +4

    huyu master namkubali sana

  • @muhidinihassani520
    @muhidinihassani520 4 ปีที่แล้ว

    Duh acha wapinzani wanunuliwe kwa gharama yoyote maana wananchi tunawaelewa✌️☑️

  • @lusajoyuda442
    @lusajoyuda442 6 ปีที่แล้ว +4

    Fact shilinde

  • @ramsoramso8513
    @ramsoramso8513 5 ปีที่แล้ว +1

    Respect kama zote mzee

  • @peterbayo4677
    @peterbayo4677 6 ปีที่แล้ว +3

    My godess!!

  • @frankzominister1473
    @frankzominister1473 6 ปีที่แล้ว +5

    Silinde rais wa Momba hataree upo vzr

  • @heritier5119
    @heritier5119 6 ปีที่แล้ว +9

    Kiongozi mwenye mawazo ya kimasikini na kuona matajiri ni maadui hawezi leta mabadiliko

  • @bernadinangasi7664
    @bernadinangasi7664 5 ปีที่แล้ว +4

    Kiukweli kama kunamtu haja muelewa huyu Mbunge akapimwe minyooo

  • @Hauleshabby
    @Hauleshabby 6 ปีที่แล้ว +2

    safii sana

  • @raphaeldayos5662
    @raphaeldayos5662 4 ปีที่แล้ว +1

    Like this

  • @latifajuma4501
    @latifajuma4501 6 ปีที่แล้ว +2

    nimekuelewaaa sana

  • @fahamimohamed9015
    @fahamimohamed9015 6 ปีที่แล้ว +3

    Nchi yetu kama ingefuata taratibu zakuwasikiliza wapinzani tungefika mbali ila cjajua ni ubinafsi au ni kitu gani haswa

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 5 ปีที่แล้ว +1

    Tatizo letu Tz hususan viongozi waliopo serikalini Ni kupenda mazuri ndio yasikike !! Kukosoa au kukosolewa Ni jambo linaloweka sawa mambo tunayofanya !!

  • @nyenyembezeno2206
    @nyenyembezeno2206 6 ปีที่แล้ว +11

    vichwa hivyo sio wapiga makofi hawa jifunzeni sio kupiga vigeregere eleweni minyi?

  • @mbwanamungia9921
    @mbwanamungia9921 5 ปีที่แล้ว +1

    Kuna mbunge mmoja anaitwa Genista muhagama Leo sijamsikia kabisa maana hakawii Taarifa mwenyekiti! Mondo hizo atatia mdomo wapi

  • @adamamiri1457
    @adamamiri1457 4 ปีที่แล้ว

    Fantastic

  • @alfahermani5174
    @alfahermani5174 5 ปีที่แล้ว +2

    akili kubwa hiyo, Saf sana

  • @danielngalawa1198
    @danielngalawa1198 4 ปีที่แล้ว

    Afu leo unajipendekeza wakati ulikuwa unatuponda wewe ni mpigania tu rud kwako hatukutaki wewe ilikuwa mpingaji mkubwa leo unajipendekeza kisa umeona hutapata kula

  • @erasmusnzibonela5151
    @erasmusnzibonela5151 5 ปีที่แล้ว +1

    Ney wa mitego katika wimbo wake akasema kichaa kapewa rungu

  • @jiwekibokoyanazi610
    @jiwekibokoyanazi610 3 ปีที่แล้ว

    Hili ndio lilikua bunge bwana lenye changa moto na wasema ukweli sio lasasa.

  • @bartholomewezeckiel967
    @bartholomewezeckiel967 5 ปีที่แล้ว

    Safi sana silinde

  • @willymartinmartin8885
    @willymartinmartin8885 6 ปีที่แล้ว +3

    Tunaongozwa na majitu tuliyoyazidi matokeo na akili ndo tatizo

  • @Aidenkuye
    @Aidenkuye 6 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante sana mheshimiwa muda wako umekwisha😂😂😂😂

  • @kennywilliam2466
    @kennywilliam2466 2 ปีที่แล้ว

    Huyu ndiye ulikuwa silinde sio huyu silinde wa leo anapongeza kila jambo

  • @philipowyinjones9645
    @philipowyinjones9645 4 ปีที่แล้ว

    Daaah uko sawa

  • @Gamba177
    @Gamba177 5 ปีที่แล้ว

    Wabunge wa ccm kazi yao kushangilia na kupiga makofi hawajui kazi zao wametoka vitambi kwa hela ya wizi wengine wamekuwa wakisinzia bungeni na kujamba ovyo,hata sijui hawa wabunge wa ccm walipata vipi ubunge, nawapongeza sana wabunge wasomi wa upinzani endeleeni kuwapa ukweli mpaka kieleweke maana serikali hii ya ccm inanuka wizi na dhuluma na rushwa.

  • @fredysanga9206
    @fredysanga9206 5 ปีที่แล้ว

    Chadema Mungu awalinde viongozi wetu

  • @bakarimngazija6672
    @bakarimngazija6672 5 ปีที่แล้ว

    CCM hawawezi kuusema ukweli kwa kuogopa kumalizwa Na wananchi. Mbona CCM de amekwisha Zamani hawajielewi kila siku kwao mchana. Wamechanganyikiwa .

  • @juliussabuni9999
    @juliussabuni9999 4 ปีที่แล้ว

    Bwembwe za kutafuta mkate lakini akipewa steringi tunaisha

  • @ibrahimgwasma235
    @ibrahimgwasma235 5 ปีที่แล้ว

    Hii Tanzania cyo china wala hizo nchi unazotaja utawakejeli akina Nyerere kwa kuzomewa kwake,,,,, ila sisi watanzania tunajua changamoto zipo lkn tunasonga mbele

  • @jaffarymkunga9300
    @jaffarymkunga9300 4 ปีที่แล้ว

    Alafu wanataka eti WABUNGE HAWA wasirudi bungeni hivi nani atatuongelea kama hivi? Wa tz tunahitaji tuwarudisha bungeni CHADEMA kwa nguvu zote hata asipopatikana RAIS lakini wapatikane wabunge wengi

  • @allyomari680
    @allyomari680 6 ปีที่แล้ว +4

    ww cjaona mbunge ambaeanajitambua niww cjawahikupitwana hutubayako nakupenda bureeeeee

  • @israelkitanunu8574
    @israelkitanunu8574 6 ปีที่แล้ว

    *ALPHA DIAMONDS TANZANIA*
    Online super diamonds Tanzania, inatoa nafasi ya FURSA YA BIASHARA kwa watu 10 tu waliotayari kusajiliwa na project 45, inayo sapotiwa na *AIM NA NMB BANK.*
    Watakaosajiliwa na project 45 nakutumia vyema program hio, watalipwa TSH 300,000 kwa Siku kutokana na juhudi zao ndani ya project.
    VIGEZO:-
    1-Uwe tayari kufika ofisini ukihitajika.
    2-Uwe mkazi wa Dar es salaam na viunga vyake.
    3-Elimu kuanzia sekondari na kuendelea .
    Kwa MAOMBI Tuma vitu vifuatavyo:-
    1-Jina lako kamili.
    2-Makazi yako unayoishi kwa sasa.
    3-Namba yako unayopatikana muda wote.
    NOTE:- Ujumbe wako utume via WHATSAPP No: 0655505797
    Imetolewa na
    ISRAEL KITANUNU
    Msajili
    Aim Co.

  • @immamlowe7151
    @immamlowe7151 5 ปีที่แล้ว

    Hapa kazi tu

  • @augustinomgonde1505
    @augustinomgonde1505 4 ปีที่แล้ว

    Tatizo ni njaa tu. Watu wa Chama tawala wanautambua ubora wa upinzani. Nakuamini mh silinde.

  • @kulwaswetu4457
    @kulwaswetu4457 4 ปีที่แล้ว

    Mandela alipewa uhulu wa bendela licha yakuptautawala alikuwa nauhulu bandia ndiomaana alilazmika kuwapautumishi makabulu

  • @jimmynassa3439
    @jimmynassa3439 5 ปีที่แล้ว +1

    Namingwanda yake ya mgambo

  • @angelokyando177
    @angelokyando177 4 ปีที่แล้ว

    wanyoshoo hayooooooh

  • @jeremiahmasunzu3437
    @jeremiahmasunzu3437 3 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa yukogo vizuri tu ila Ttzo mfumo wakisiasa

  • @gideonsospeterleonard433
    @gideonsospeterleonard433 4 ปีที่แล้ว

    Siamini kama silinde upo CCM

  • @shambadarasamkusi4449
    @shambadarasamkusi4449 5 ปีที่แล้ว

    Safi sana

  • @mukandayisengaseraphine9609
    @mukandayisengaseraphine9609 5 ปีที่แล้ว

    wenye Akili wamekaa nakupata majibu Ndio maana wameamua kama Serikali..Sekta binafs walishaambiwa lkn Hawajitokezi.Umesoma lkn hukuelimika Silinde

  • @gabrielsixtus1718
    @gabrielsixtus1718 6 ปีที่แล้ว

    Pasua kichwa hli taifa. Kila MTU n uelewa wake ni hatari sna

  • @barakatisalum8296
    @barakatisalum8296 5 ปีที่แล้ว

    wabunge kama hawa ni wabunge wa taifa zima na c jimbo wewnaibu supika ingekuwa mbunge wa ccm anamsifu makufuli na kukashifu wapinzani ungemuongeza mda

  • @williamhalinga3584
    @williamhalinga3584 5 ปีที่แล้ว +2

    Kwa wale walio wahi fika jimboni kwake hakuna atakaye muona wa maana hata kidogo

    • @fidoslameck4316
      @fidoslameck4316 5 ปีที่แล้ว

      WILLIAM HALINGA mlishasema Hakuna kuwapelekea maendeleo wapinzani, Ko nini cha kushangaza hapo?

    • @chidybwax8080
      @chidybwax8080 5 ปีที่แล้ว

      Kutakuaj na maendeleo wakati wao niwasema kweli maendeleo wanyimwa

    • @gosbertrwezahura3645
      @gosbertrwezahura3645 5 ปีที่แล้ว

      Hamna lolote kutoka kwa hawa wapinzani. Ni kelele tu!

  • @dioflaurent447
    @dioflaurent447 5 ปีที่แล้ว +1

    kwanini raisi hawasikilizi wabunge wakati wanaongea point tu

  • @simonfundi9658
    @simonfundi9658 6 ปีที่แล้ว

    Good sana brother

  • @godfreymbwanga7750
    @godfreymbwanga7750 5 ปีที่แล้ว

    iyo mibunge y kijani inabidi iludi shule mana nichenga sana

  • @emilymsangi2693
    @emilymsangi2693 5 ปีที่แล้ว +2

    Dhaaa nondo kama hizi zinapotea bure maana uko mbele wengi wape

  • @gonzalesdeus5117
    @gonzalesdeus5117 4 ปีที่แล้ว

    kamanda

  • @nassoronassoro7585
    @nassoronassoro7585 6 ปีที่แล้ว +4

    Sikio la Kufa.....!

    • @yonafundiyonafundi3469
      @yonafundiyonafundi3469 5 ปีที่แล้ว

      Ccm mtachomwa moto mbinguni nyie hamto achwa salama kwa zambi zenu kwa wanannchi

  • @rehemadongo1570
    @rehemadongo1570 5 ปีที่แล้ว

    Mb zangu nazitumia kihalali kabisa kwa vichwa adimu vya Chadema

  • @oswardmwaipaja9469
    @oswardmwaipaja9469 5 ปีที่แล้ว +2

    wabunge wote wa CHADEMA wamesomea Mathematics sio kwa nondo hizo

  • @ricksonmrema1693
    @ricksonmrema1693 5 ปีที่แล้ว

    Kweli kabisa

  • @davidjoel9044
    @davidjoel9044 6 ปีที่แล้ว +2

    Baba slinde we umemeliza mwenyesikio amesikia mpumbavu hata ukimpa Elimu hataelimika MZEE Mimi nakukubali

  • @paschaljonase4382
    @paschaljonase4382 5 ปีที่แล้ว

    Kijana nimeipenda hasa mzungumzaji anapoongea kwa kutumia sources

  • @jimmynassa3439
    @jimmynassa3439 5 ปีที่แล้ว

    Unatia kichefuchefu toka

  • @magembemwanamalundi6386
    @magembemwanamalundi6386 6 ปีที่แล้ว

    Big brain

  • @gosbertrwezahura3645
    @gosbertrwezahura3645 5 ปีที่แล้ว

    Hawa wabunge sijui huwa hawajui Kiswahili? Watangazaji wa habari wanaongea Kiswahili kizuri. Sijui wanafikiri kuchanganya Kiswahili na Kiingereza ndo kuonesha ni wasomi wakubwa? Hata kama wanakosoa na kuisimamia serikali ni lazima waanze na kusimamia utamaduni wa Kitanzania ambao lugha ya Kiswahili ni moja ya mambo mambo muhimu yanayounda utamaduni wa Mtanzania. Sijui kama kuna nchi nyingine yenye bunge lisilo na adabu katika matumizi mazuri ya lugha ya taifa lao kama bunge letu la Tanzania. Sijui hawa jamaa hawakusoma Kiswahili na hivo hawajui Kiswahili sanifu? Ndo maana CAG ameliita bunge letu bunge dhaifu!

  • @samusonibalazingiza3689
    @samusonibalazingiza3689 5 ปีที่แล้ว +2

    Nakukubal

  • @stephanokayega2792
    @stephanokayega2792 5 ปีที่แล้ว

    Duh

  • @veronicamchilo8552
    @veronicamchilo8552 4 ปีที่แล้ว

    🤔🤔🤔iseee

  • @florameza9529
    @florameza9529 5 ปีที่แล้ว

    Maendeleo hayana chama hebu tuchukue mawazo ya wapinzani yanajenga