Daaah! Usije ona mtu katusua kwenye maisha ukamchukulia poa, watu tunatoka familia maskini kiasi kwamba ukikumbuka ulipotoka unajikuta unalia tu!. Pole Lukamba, and always God bless all who work hard for the sake of their life. NEVER STOP HUSTLE as said by Polepole
umeniriza Sana kaka nimererewa nawazazi wangu wote wa2ira warikuwa wakigombana ugomvi mda mwingine mpaka wakawa wanapigana ira warivumiriwna mwazo mwisho mpaka Sasa Wana wajukuu 2 ambao niwanangu Mimi uyo mjuukuu wakwaza niwakiume toka baba ake arivoniterekeza mimba miezi saba mpaka reo mwanangu yuko darasa rasita anamsada wowote kutoka kwababa yake napambana nae Mimi mwenyewe mda mwingine nakosa ananiambia mama shati rimechanika rashure arafu unakuta uko kwenye wakati mgumu una shiringi kumi kazi zenyewe zakuunga unga azina gerenti basi naumiaga Sana Tena sana bora baba ake angekuwa amekufa arafu mwanangu akose maitaji yupo ai naana atampango nae ira mda mwingine wazazi wanachangia watoto kupitia mazingira magumu kaka umeniriza mno umenitonesha kidonda chamiaka iriyopita ,😭😭😭😭🙏
Wamama tunapata shidaa Jamani tunapitiaga misukosuku mostly wanaume niwashenzi Sanaa wanatuoneaga Sisi wanawake hawajui mwanamke huwa anabaraka kubwa Sana katika family ukimuuzi na kumnyanyasa mungu anakulaani na mwanamke pia anakuwekea kinyongo maisha yenyewe mafupi mambo yakunyanyasana ni ujinga unapata faida Gani kesi nyingi zaidi ni unyanyasaji WA wanaume saingine maombi muhimu Sana kuomba mungu akupatie mume Bora WA kufa na kuzikana dunia ya Sawa imevamiwa na kijiibirisi mungu atunusuru
Kumanina zenu mazezetu ya wanaume, diamond alimtharau zari tena mbele ya camera, akaenda kunzaa na mwanamke mwengine, anaenda kupapasa mwanamke mbele ya camera, zari alimkaushia watoto mpaka diamond ujinga ukamtoka, hata kama anakulana lakini kwa heshima, shuu alimpenda lukamba kama hana chochote, alipopata pesa akaaza mumtharau mwanamke wake, hiyo ndio dawa, hata mimi cwezi kubali mwanamke aliyeingilia ndoa yangu na kuniita mchawi amshike mtoto wangu, Wallae labda niwe maiti.
Mimi sipo uku kwa wanawake wake na watoto wa lukamba,históry ilionigusa ni ya mama yake kupigwa na kupashuka wakati yeye anaona na tena mama yake kuhuza nguwo zake ili watoto wapate kula ambae moja wao ni lukamba. 2 mimi sio team mondi mimi ni damu damu na kingkiba ila hii history ya lukamba sisi wengine piya ipo kwenye biograph zetu.
Ila akina dingi wengi wakishaona maisha magumu hawanaga time na watoto wamekula nn zaidi big up kwa Mama zetu ni wapambanaji San na hawako tayari tukose furaha hata kwenye ugum
Nimelia hki hya maisha ukiona mtu yuwfnya kzi yyte w muache hujuu kw nn amechgua iyo kzi ukiona mbya ket nae chni uongee nae klko kumsimanga wtu wanaptia hki pole sna lukamba.... 254
Namjua kindakindaki life lake kweli tupu mungu akupe furaha ninja.amelelewa na bibi ake akiwa na mama ake pamoja wilaya ya uvinza familiar ya unamani woote ni niwahindi wa lioloea uvinza kigoma.walipofarik wazaz wa mama ake ruq ndy tabu na shida zilipoanza lkn walikua na maisha safi...umetusua kula maisha ashiraf hajji ruq.nmwanangu saaana.boy kabasele apa mwambie Nampa hi.
Aki pole sana atamimi nilisha wahi kupitia hayo hadi niaolewa nikiwa na umri mdogo iyo ni sehemu ya maisha tu wewe songa mbele kama mungu amekubariki na kidogo mshukuru tu
Same here Lukamba you are not the only one darling. Labda ndo imekufanya uwe mpambanaji sana. That's life it's never been fair on us. Keep strong! Mtoto wako don't stop looking after him and give time to time don't ever let anyone make you forget yr son.
Lukamba I feel you, bora imetoa yote yalikua inakusumbua moyoni myaka nyingi. Duh Diva wewe ni Therapist? Big up sis🙌🏾. Jamani eee acheni Mama Dangote ale raha, that's why huwa namhishumu sana Diamond hakuwahi kuficha maisha yake. Ndio maana kama ana umia huwa anaitoa kwenye nyimbo. WCB for life 👏🏾👏🏾💪🏾♥️
Tuna jua wamupenda sana mama baby wako na mwanae we rudilia mke wako wa utoto shu mulipndanagana sana huyu danga kakupotezea tu muda # inakubidi tu ulie na bado kama aubadiriki na we Diva zile miwani zako zina kera
Mungu akukumbuke, mungu akulipie maumivu yako, sisi wamana wote tumelia na wewe siyo vijana wengi wanakumbuka wapi mama alimtoa tena wakipata tu gf au wife mama ndiyo goodbye,lakini wewe kijana mungu atakutendea maajabu maishani mwako , amen 🤲😭😭🙏
Mwanamme hujikaza... Lkn kweny uchungu unashindwa haswa kweny mapenz ya mama hakuna kama mama machozi yatakutoka hazaran ni kiasi gani mama alivyokuwa na thaman.... Mama kukubebe tumbin miez 9...mama kukulea na kukushika kama yai lisianguke litapasuka... Mama ajue uzima wako maraz yako na kila kitu hadi unakuwa mtu mzima bado mama ana uchungu na mwanar😭😭😭😭,,,
Pole umegusa moyo wangu kaka napitia hayo mamako aliyo pitia 😭😭😭😭😭😭😭so pigania mtoto wako asione kama ulio pitia ww na mama umpe faraja ajue niliteseka bt saa hii nafarijika
Umeniza sana mana muda mwengine nakata tamaa kabasa ya kuishi lakini nikikuta wenzangu nao wanalia basi nanyanyuka navaa viatu natoka mana naamini hizi no changamoto tusikate tamaa tutashida
Duh hadi na mm nalia nikikumbuka historia ya mamangu alivo tulea kwa shida siyo siri mama zetu wanapita maguMu kwa ajili ya watoto wao😥 vijana wenzangu tuwaheshimu sana mama zetu kwa hatuna fadhila za kuwalipa mama zetu .
Jamani inauma Sana nimetokwa na machozi 😭😭Sana pole mwanangu hata mimi na pitia shida Sana kulea watoto 7 bila baba lakini nasema alhamdullilah mungu mkubwa 🤲🤲mungu asifiwe
Alafu maisha yakimpiga huwa wanatabia yakuwajaza sumu watoto kuwa baba yako alikukataa hakukujali alinitesa alikuwa na wanawake wengi yaani chuki yakutosha wanatengeneza alimradi tuu, huyu ni mmoja kati ya wababa wengi wanao fanyiwa hivi ila ujasiri wa kuiweka hadharani ya moyoni kwa wanaume wengi ni ngumu,Pole sana mdogo wangu mimi nilitamkiwa mtoto akikuwa akiuliza baba yake ntamjibu alisha kufa mbele ya ustawi wa jamii na mimi nikamwambia utamuonyesha kaburi lakini Yesu Kristo alikua pamoja nami mwanangu anamiaka kumi sasa na ananipenda mpaka anaumwa kwa mapenzi ingawa anaishi na mama yake ingawa kosa ni la mwanamke ambalo siwezi taja hapa wala kwa mtoto mpaka atakapo jitambua kabisa ntamueleza ukweli kwanini tulitengana na mama yake.
Kiukweli umeniliza kwani historia yako inafana na yangu umenikumbusha mbali sana 🥺🥺had nimelia kwa uchungu mnoo tunatokea kwa family ngum sana ni sir ya mtu 😭😭😭😭
mtangazaji acha kuumiza wenzako kila mmoja amepitia mitihani yake isiwe unahoji machungu yawatu likipita lipishwe。usimkumbushe yalopita yanauma Allah amsameh na awasameh wazazi wake ameen pia wanaume muoe ndoa za halali。mzae watto wa halali na siku mkiachana muwe na haki za watto sawasawa nadhan kuza kabla ndoa nayo nishida。 ikiwa mlioana basi hana haki kukuzuia mtto wako na kama hamkuoan basi kidini mtoto sio wababa ni wamama pekeake na unamkosesha haki zote mtto。ndo mana zinaa ikawa haitakiwi pia。
Usilie lukamba hiyo ndio hali ya dunia muhimu tù usonge mbele kwa juhudi iwapo mm ako yupo j'ai umpati furaha kama utavyoweza then moyo wako utapona uchungu uliyonao
Sasa yale babako alifanyia mamako ndio ww unafanyia mama mtoto wako,utayalipia tu,remember internet never forgets,vile ulidharau mkeo na kumdhalisha kisha huyo hawala wako,ngojea chuki kwa manao akikua kama ba boss wako na babake
Kitu kimoja wanawake tujifunze watto wanahaki pia..kweli shuu kaumizwa na Lukamba na inaeleweka ameumia lakini huyu lukamba bado ni baba kwa yule mtto na hajakosana na mtto wake ..tusinyime watto wetu malezi ya baba zao kisa hasira zetu binafsi anaeza kua mume mbaya lakini baba bora
Ukidhalilisha mwanamke na kumdharau kisa umepata mwingine usiexpect akuheshimu ata kama alikua anakupenda kiasi kigani. Kabla ulie huoni mtoto wako jiulize kwanza wapi ulikosea kama baba period
Nikwelii kabisa Huwa wamezoea Sana kuwadhalau wake zao waliokuwa wametoka mbal na kumuacha kwenda kwa mwengine Ila malipo hapahapa Me nampongeza Sana mke wake kwa msimamo wake Wamezoea kutuumiza Sana wanaume
Lukamba pole sana mwamba kikubwa uzima mama zetu ni watu muhimu sana katika Maisha yetu
Daaah! Usije ona mtu katusua kwenye maisha ukamchukulia poa, watu tunatoka familia maskini kiasi kwamba ukikumbuka ulipotoka unajikuta unalia tu!. Pole Lukamba, and always God bless all who work hard for the sake of their life. NEVER STOP HUSTLE as said by Polepole
Kweli asee
Haki tena hapo umesema nilipitia hapo lakini nashukuru mungu
Yaaan usione tunatembea hali sio nzur tunakotoka
umeniriza Sana kaka nimererewa nawazazi wangu wote wa2ira warikuwa wakigombana ugomvi mda mwingine mpaka wakawa wanapigana ira warivumiriwna mwazo mwisho mpaka Sasa Wana wajukuu 2 ambao niwanangu Mimi uyo mjuukuu wakwaza niwakiume toka baba ake arivoniterekeza mimba miezi saba mpaka reo mwanangu yuko darasa rasita anamsada wowote kutoka kwababa yake napambana nae Mimi mwenyewe mda mwingine nakosa ananiambia mama shati rimechanika rashure arafu unakuta uko kwenye wakati mgumu una shiringi kumi kazi zenyewe zakuunga unga azina gerenti basi naumiaga Sana Tena sana bora baba ake angekuwa amekufa arafu mwanangu akose maitaji yupo ai naana atampango nae ira mda mwingine wazazi wanachangia watoto kupitia mazingira magumu kaka umeniriza mno umenitonesha kidonda chamiaka iriyopita ,😭😭😭😭🙏
Wamama tunapata shidaa Jamani tunapitiaga misukosuku mostly wanaume niwashenzi Sanaa wanatuoneaga Sisi wanawake hawajui mwanamke huwa anabaraka kubwa Sana katika family ukimuuzi na kumnyanyasa mungu anakulaani na mwanamke pia anakuwekea kinyongo maisha yenyewe mafupi mambo yakunyanyasana ni ujinga unapata faida Gani kesi nyingi zaidi ni unyanyasaji WA wanaume saingine maombi muhimu Sana kuomba mungu akupatie mume Bora WA kufa na kuzikana dunia ya Sawa imevamiwa na kijiibirisi mungu atunusuru
Pole sana brother ata mimi nimepitia mengi sana yani história yako ni sawa na yangu.daah umeniliza sana na mimi maana umenikumbusha mengi sana😭😭😭😭😭🇲🇿
Acha uongo ww
Kumanina zenu mazezetu ya wanaume, diamond alimtharau zari tena mbele ya camera, akaenda kunzaa na mwanamke mwengine, anaenda kupapasa mwanamke mbele ya camera, zari alimkaushia watoto mpaka diamond ujinga ukamtoka, hata kama anakulana lakini kwa heshima, shuu alimpenda lukamba kama hana chochote, alipopata pesa akaaza mumtharau mwanamke wake, hiyo ndio dawa, hata mimi cwezi kubali mwanamke aliyeingilia ndoa yangu na kuniita mchawi amshike mtoto wangu, Wallae labda niwe maiti.
Umeniliza kaka
Mimi sipo uku kwa wanawake wake na watoto wa lukamba,históry ilionigusa ni ya mama yake kupigwa na kupashuka wakati yeye anaona na tena mama yake kuhuza nguwo zake ili watoto wapate kula ambae moja wao ni lukamba. 2 mimi sio team mondi mimi ni damu damu na kingkiba ila hii history ya lukamba sisi wengine piya ipo kwenye biograph zetu.
Ila akina dingi wengi wakishaona maisha magumu hawanaga time na watoto wamekula nn zaidi big up kwa Mama zetu ni wapambanaji San na hawako tayari tukose furaha hata kwenye ugum
Nimelia hki hya maisha ukiona mtu yuwfnya kzi yyte w muache hujuu kw nn amechgua iyo kzi ukiona mbya ket nae chni uongee nae klko kumsimanga wtu wanaptia hki pole sna lukamba.... 254
Kama ulilia na yye weka like 😭😭😭
😭😭😭😭
Pamoja
Mamama mungu alitupa cheo kikubwa sana aliona maumivu tunayopitia hasa kwenye familj
Namjua kindakindaki life lake kweli tupu mungu akupe furaha ninja.amelelewa na bibi ake akiwa na mama ake pamoja wilaya ya uvinza familiar ya unamani woote ni niwahindi wa lioloea uvinza kigoma.walipofarik wazaz wa mama ake ruq ndy tabu na shida zilipoanza lkn walikua na maisha safi...umetusua kula maisha ashiraf hajji ruq.nmwanangu saaana.boy kabasele apa mwambie Nampa hi.
Lukamba Is a real man, he wears his heart on his sleeves....pls Lukamba seek some canceling and emotional therapy.
I wish you all the best man....👍👍👍
Aki pole sana atamimi nilisha wahi kupitia hayo hadi niaolewa nikiwa na umri mdogo iyo ni sehemu ya maisha tu wewe songa mbele kama mungu amekubariki na kidogo mshukuru tu
Watu wanapitia mengi katika maisha yao!
Pole sana Lukamba yaani umenikumbusha mbali sana hata mama yangu amepitia mengi sana hapa duniani
Pole sana mwamba hii kitu imewaliza wengi sana ambao wameangalia hii kipindi watu hutokea mbali sana mateso mengi sana before
Pole sana lukamba ila ndio maisha hyo wengi wetu tumeyapitia na mpka sasa tunayapitia kwa kuwalea watoto wetu
Same here Lukamba you are not the only one darling. Labda ndo imekufanya uwe mpambanaji sana. That's life it's never been fair on us. Keep strong! Mtoto wako don't stop looking after him and give time to time don't ever let anyone make you forget yr son.
Lukamba pole sana ... Naelewa unayo yapitia ata me ndo hivo japo nipo mbali na mama angu just cool lukamba .. wasarh
tunatoka katika family duni Sana dah😭😭😭
Mwanaume kulia hivi inauma sana pole sana mdogo wangu
Lukamba I feel you, bora imetoa yote yalikua inakusumbua moyoni myaka nyingi. Duh Diva wewe ni Therapist? Big up sis🙌🏾. Jamani eee acheni Mama Dangote ale raha, that's why huwa namhishumu sana Diamond hakuwahi kuficha maisha yake. Ndio maana kama ana umia huwa anaitoa kwenye nyimbo. WCB for life 👏🏾👏🏾💪🏾♥️
Be strong bro Mungu anaona chozi lako one day utaceka 🇷🇼🇸🇪💪
🙄🙄
nami nikelia duhh 😌 nami nimeguswa maana nami nishaona kw mama angu
Pole Brook. Ndo maisha ya mwanadam pole pole Sana ..no one like mama
Pole sana kaka umeniliza yani basi tu😭😭.
ukiona mtu mzima anatoa machoz ujuwe moyo umeshindw kuhimili uzito wa matukio
Hakika halafu unamuona mtu unajua anamaisha hujui aliko pitia?
Very true
Kbs
Pole sana wengi tumepitia maisha hayo haupo peke yako
Polesana brother kuwa na subra ilimradi mmekuwa kulakidogo umkumbuke mama 😭😭😭😭😭
Polesanakaka yote maisha majukumu ndikaziyake
Tuna jua wamupenda sana mama baby wako na mwanae we rudilia mke wako wa utoto shu mulipndanagana sana huyu danga kakupotezea tu muda # inakubidi tu ulie na bado kama aubadiriki na we Diva zile miwani zako zina kera
Hizi vitu ziko sana kwenye maisha ya kawaida...
Mungu akukumbuke, mungu akulipie maumivu yako, sisi wamana wote tumelia na wewe siyo vijana wengi wanakumbuka wapi mama alimtoa tena wakipata tu gf au wife mama ndiyo goodbye,lakini wewe kijana mungu atakutendea maajabu maishani mwako , amen 🤲😭😭🙏
Daaah nimeshindwa kuzuia chozi kudondoka pole lukammba hii kitu imenikumbusha mama yangu
Pole saana dah imeniuma saana mpk machozi yananitoka
Pole sana Lukamba, ila ndio maisha, nakuona huruma na uyu model😢
Daah yani maisha haya yana shida kwel ina tia huruma
Kuna maisha mtu unapitia na yanabaki kuwa Siri kwako, na watu wa nje huwa wanatuchukulia kivingine kabisa , lakini juu ya yote Mungu Ni mwema.
Polee sana lukamba mungu yu mwema siku zote
Nimepitia kama yake story Yani daaa huwa inaumaa Sana Yani naacha kusoma natafuta helaa ilikukimu maisha ya nyumbani mama nakupenda sana
Kaza brooo usilie pole Sanaa maisha ndio yalivyo huwezi badilisha Mambo yaliyopitaa keep forward machungu eka moyoni dah
Duuh amakweli ukisema nimepitia magumu kunamwenzio kapita magumu zaidi😢😢pole sana kaka Mungu yupo pamoja nawewe usikate tamaa
Mwanamme hujikaza... Lkn kweny uchungu unashindwa haswa kweny mapenz ya mama hakuna kama mama machozi yatakutoka hazaran ni kiasi gani mama alivyokuwa na thaman.... Mama kukubebe tumbin miez 9...mama kukulea na kukushika kama yai lisianguke litapasuka... Mama ajue uzima wako maraz yako na kila kitu hadi unakuwa mtu mzima bado mama ana uchungu na mwanar😭😭😭😭,,,
oh no Mungu akupe nguvu najua inauma but ndio maisha ya dunia hii
Pole sana my young boy lukamba, ila apo kwenye kuuza nguo apo naiman kuna point kidogo umeipindisha lkn poa tunekuelewa fresh
Jmn😭
Mkuuu 🙏
Unanikumbusha maisha ya mama yngu
Pole umegusa moyo wangu kaka napitia hayo mamako aliyo pitia 😭😭😭😭😭😭😭so pigania mtoto wako asione kama ulio pitia ww na mama umpe faraja ajue niliteseka bt saa hii nafarijika
Nimelia jaman pole kaka mungu atakufuta machozi chozi la mnyonge halipotei bule
Mama yangu Aliuza Dhahabu sabb nisome Na tule home mpaka Akaishiwa inauma sana
Acha Mungu sasa akufungulie milango ya Baraka ili nawe uishi kwa wema, msahama na shukrani na kuwa kuwq mtu mwema kila saa!
Nimeinua mikono yangu juu kama mama kukuombea nakutakia kila lakheli maishani mwako, mungu atafanya🤲🙌
Mwanangu lukamba pole sana ila mungu kukupa njia yakupata riziki nisababu ya kumfuta machozi mama yako pambana mwanangu natuwape heshima mama zetu
Pole sana kaka acha kulia hata nami niishapitia
I feel him, and that hurts atrociously.
History has repeated itself
What happened to him 🙄 ?
Pole sn kaka angu umefika kutoa chozi kwaajil ya mtto wak hakika ww ni Baba bora san
Pole sana hata mm niko na watt wangu ,
Pole Sana kaka mengi umepitia ila jus sikuzote Allah yup pamoja na wew
Lukamba is polite boy ,touchambe story ,love u mama
Umeniza sana mana muda mwengine nakata tamaa kabasa ya kuishi lakini nikikuta wenzangu nao wanalia basi nanyanyuka navaa viatu natoka mana naamini hizi no changamoto tusikate tamaa tutashida
😔😔😔😔hauko peke yako tuko.wwengi
Pole sana ndg yangu
Pole lukamba.. hata mimi nalia...hiyo nimitihani.. hata mimi yananikuta kwa mume hayo...
Lukamba unanikumbusha mbali sana ndugu
Duh hadi na mm nalia nikikumbuka historia ya mamangu alivo tulea kwa shida siyo siri mama zetu wanapita maguMu kwa ajili ya watoto wao😥 vijana wenzangu tuwaheshimu sana mama zetu kwa hatuna fadhila za kuwalipa mama zetu .
Jamani inauma Sana nimetokwa na machozi 😭😭Sana pole mwanangu hata mimi na pitia shida Sana kulea watoto 7 bila baba lakini nasema alhamdullilah mungu mkubwa 🤲🤲mungu asifiwe
Alafu maisha yakimpiga huwa wanatabia yakuwajaza sumu watoto kuwa baba yako alikukataa hakukujali alinitesa alikuwa na wanawake wengi yaani chuki yakutosha wanatengeneza alimradi tuu, huyu ni mmoja kati ya wababa wengi wanao fanyiwa hivi ila ujasiri wa kuiweka hadharani ya moyoni kwa wanaume wengi ni ngumu,Pole sana mdogo wangu mimi nilitamkiwa mtoto akikuwa akiuliza baba yake ntamjibu alisha kufa mbele ya ustawi wa jamii na mimi nikamwambia utamuonyesha kaburi lakini Yesu Kristo alikua pamoja nami mwanangu anamiaka kumi sasa na ananipenda mpaka anaumwa kwa mapenzi ingawa anaishi na mama yake ingawa kosa ni la mwanamke ambalo siwezi taja hapa wala kwa mtoto mpaka atakapo jitambua kabisa ntamueleza ukweli kwanini tulitengana na mama yake.
😭😭😭😭 love you Mama
Umeniliza 😥😥😥😥
Daaaaa!!! handsome boy wangu. Mimi natoka,
Aisee kama hujapitia hz mambo huwez elewa haki!bi mdg mzalie mtoto lukamba atafarijika sana
Kiukweli umeniliza kwani historia yako inafana na yangu umenikumbusha mbali sana 🥺🥺had nimelia kwa uchungu mnoo tunatokea kwa family ngum sana ni sir ya mtu 😭😭😭😭
Pole
🤗🥺🥺😲💜
Pole Sana lukamba inauma mnoo
mtangazaji acha kuumiza wenzako kila mmoja amepitia mitihani yake isiwe unahoji machungu yawatu likipita lipishwe。usimkumbushe yalopita yanauma Allah amsameh na awasameh wazazi wake ameen pia wanaume muoe ndoa za halali。mzae watto wa halali na siku mkiachana muwe na haki za watto sawasawa nadhan kuza kabla ndoa nayo nishida。 ikiwa mlioana basi hana haki kukuzuia mtto wako na kama hamkuoan basi kidini mtoto sio wababa ni wamama pekeake na unamkosesha haki zote mtto。ndo mana zinaa ikawa haitakiwi pia。
Usilie lukamba hiyo ndio hali ya dunia muhimu tù usonge mbele kwa juhudi iwapo mm ako yupo j'ai umpati furaha kama utavyoweza then moyo wako utapona uchungu uliyonao
Pole sana jaman
Pole Sana lukamba😭😭😭😭
Najikuta nalia kwa uchungu amenigusa sana poleeee!
Pole sana rukamba
Mziya anzaga mjuege na kuyamalza
Lukamba anatatizika na inakaa alitatizika sana during his child hood,this is sad sana
Sasa yale babako alifanyia mamako ndio ww unafanyia mama mtoto wako,utayalipia tu,remember internet never forgets,vile ulidharau mkeo na kumdhalisha kisha huyo hawala wako,ngojea chuki kwa manao akikua kama ba boss wako na babake
Acha majungu
Ameolewa ww unaongea nn
Umenitoa machozi lukamba pole sana
Imeniliza sana
Kitu kimoja wanawake tujifunze watto wanahaki pia..kweli shuu kaumizwa na Lukamba na inaeleweka ameumia lakini huyu lukamba bado ni baba kwa yule mtto na hajakosana na mtto wake ..tusinyime watto wetu malezi ya baba zao kisa hasira zetu binafsi anaeza kua mume mbaya lakini baba bora
Pole sana luku hayo mambo yako mwaukikumbuka lazima utalia tuu 😭😭😭
Pole sana....yani duuuu
Nasisi yalimkuta mama yetu kuuza nguo ile tupate chakula
Msela unaliza sana
Wake wawili wanakazi matokeo ndio hayo..
Nmelia umenkumbusha mbal sana sana mama yang ametulea kwa tabu sn mpk some times alikuwa anafanya vt vya ovyo sn
Pole sana bro
Unajua kwel mengine kajiumiza mwenyewe nnaona machoz ya mkewe yanajaribu kumrud
Crocodile tears
Na bado pumbavu Sana wakipata vicent kdogo wanawatoa kasoro wake wakubwa....na bado
Pole sana
Pole sana Lukamba 😭😭😭
Jikaze mtoto wa kiume lukamba
Ukidhalilisha mwanamke na kumdharau kisa umepata mwingine usiexpect akuheshimu ata kama alikua anakupenda kiasi kigani. Kabla ulie huoni mtoto wako jiulize kwanza wapi ulikosea kama baba period
Nikwelii kabisa Huwa wamezoea Sana kuwadhalau wake zao waliokuwa wametoka mbal na kumuacha kwenda kwa mwengine
Ila malipo hapahapa
Me nampongeza Sana mke wake kwa msimamo wake
Wamezoea kutuumiza Sana wanaume
pole jamanii dah
Kione hicho kishetani kimekaukiana tu pembeni hapo nakuchukia wewe dada.
Unishind mm🤔
Ukiona mtunzima analia juwa kunajambo huyo nimwanaume niwavumilivusana lakini ukiona mtoto wakiume analia juwa amepitia msoto daaaa pole sana 😭😭😭😭😭😭
Pole Allah atakupa subira kila mtu anapitia mitihani yake
Lkn afanya vibaya shuu kwan kuachan ni vita
Hayo ulipitia Mimi pia nimepita inauma sana jamani