Jinsi ya kuondoa nuksi/ kusafisha nyota/kuwa na mvuto!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 176

  • @MohemedTaibali-qp6bv
    @MohemedTaibali-qp6bv 3 หลายเดือนก่อน +4

    Ahsante dada mungu akubariki kwa kutuelimisha na pia umetuepusha na shirk mambo ya kuenda kwa waganga ni dhambi tupu hizo shida najabiliana nazo na nitafanya hii process na namini kwa uwezo wa mola ninayemtegemea yatakwisha

  • @KhalidiAthumani-cp3gb
    @KhalidiAthumani-cp3gb 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Asante Kwa mafunzo haya ndo kwanza napata elimu hiii naomba kuulza naitumia sabuni namafuta napaka bila shida

  • @kudranahimana876
    @kudranahimana876 หลายเดือนก่อน +1

    Thank you ntajaribu nione

  • @foibelucia5605
    @foibelucia5605 2 ปีที่แล้ว +13

    Dada,hii nashuhudiya nikiwa RDC goma.nimetumiyahii dawa leo leo nimeona fan fanikio. Mungu akubariki sana.

    • @vumiliaelias7444
      @vumiliaelias7444 2 ปีที่แล้ว

      nitumie namba

    • @JohnMasatu-wb3ct
      @JohnMasatu-wb3ct 5 หลายเดือนก่อน

      Umetumia mwenyewe kweli maana mimi naona nina nuksi 😢

  • @IshanaMussa
    @IshanaMussa 2 หลายเดือนก่อน +1

    Shukran mpndw 🙏

  • @HidayaBahati-eh8er
    @HidayaBahati-eh8er 3 หลายเดือนก่อน +1

    Asante dada nashukuru

  • @robbywaitara3345
    @robbywaitara3345 ปีที่แล้ว +6

    Dada me n mme wangu hatuelewani kila mtu anakaa kwake lakni akiniita tu hatuelewani kabisa naomba ushauri dada

  • @evekamuswekere2039
    @evekamuswekere2039 ปีที่แล้ว +9

    Sasa watu watasema wewe mchawi kuoga inje kivipi🤣🤣

  • @rynesawaya7043
    @rynesawaya7043 2 ปีที่แล้ว +4

    Asante san maya 😍😍😍

  • @AssaneNchute-yp2hv
    @AssaneNchute-yp2hv หลายเดือนก่อน

    I'm this you say again for the beautiful weather ❤❤🎉

    • @Maya_L866
      @Maya_L866  หลายเดือนก่อน

      Yes it is!

  • @miriamabdur4823
    @miriamabdur4823 5 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana mm niliku sijui

  • @FAUDHIAABDELEMANCHINGONGO
    @FAUDHIAABDELEMANCHINGONGO 2 หลายเดือนก่อน +1

    Shukrani

  • @user-dk1uq6wn6f
    @user-dk1uq6wn6f 12 วันที่ผ่านมา +1

    Jeeeee,,kma sina jiko la mkaaa?????

  • @EsnatiKasasa
    @EsnatiKasasa 23 วันที่ผ่านมา +1

    Asante

  • @AggyMsole
    @AggyMsole 14 วันที่ผ่านมา +1

    Nimeipenda

  • @laurentkabembo6942
    @laurentkabembo6942 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante Sana mwalimu mpendwa

  • @isaaclopean5852
    @isaaclopean5852 ปีที่แล้ว +2

    Somo nzuri madam

  • @abdoulmajidhamisi130
    @abdoulmajidhamisi130 2 ปีที่แล้ว +5

    Dada Sasa huo mchai chai hata ukiwa umekauka majani yake au nimapichitu majaniyake?

  • @evacekasaija3912
    @evacekasaija3912 2 ปีที่แล้ว +5

    God bless u dear uganda

  • @moshiponola5276
    @moshiponola5276 ปีที่แล้ว +3

    Nashukuru kwa elimu watu wengi shida ni kubwa sana

  • @veronicamhagama-fx5gs
    @veronicamhagama-fx5gs 12 วันที่ผ่านมา +1

    ❤❤❤❤

  • @magekanyika7014
    @magekanyika7014 หลายเดือนก่อน

    asante kwa somo lako zuli mungu akubaliki

    • @Maya_L866
      @Maya_L866  29 วันที่ผ่านมา

      9753125821

  • @benjaminaltilalila6144
    @benjaminaltilalila6144 5 หลายเดือนก่อน

    Dada mm imejipata kwnye dimbwi la mapenzi hakika nakupenda,niko Nairobi tafadhali taffhali

    • @Maya_L866
      @Maya_L866  5 หลายเดือนก่อน

      0753125821

  • @GraceWilly-jn1zt
    @GraceWilly-jn1zt 2 หลายเดือนก่อน +1

    asante sana

  • @StellaMakupa-qf6cb
    @StellaMakupa-qf6cb 2 หลายเดือนก่อน +1

    Jmn kwenye jiko la kuni halifai

  • @farhannahkulishwaburekunam5360
    @farhannahkulishwaburekunam5360 2 หลายเดือนก่อน +1

    Je maji hayo ukichemsha unaweza kutumia hayo muda wa siku tatu au kila siku uchemshe mapya

  • @lidonkaduga8332
    @lidonkaduga8332 4 หลายเดือนก่อน +1

    Unaluhusiwa kutumia sabun?

  • @EsterMroso-sk1wj
    @EsterMroso-sk1wj 11 หลายเดือนก่อน

    Asantee my dear

  • @user-me1bg3cx9p
    @user-me1bg3cx9p 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kama auna chuvi ya unga wala ya mawe unaweza tumiya nini???

  • @komboabdurhaman8017
    @komboabdurhaman8017 ปีที่แล้ว +1

    Shukran

  • @praxedarutaselw4076
    @praxedarutaselw4076 2 ปีที่แล้ว +2

    Pa kuogea ndio ishu nje kwangu pako wazi watu siwatakuis mchawi kw nn pasiwe bafuni

  • @grace2757
    @grace2757 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante mama

    • @irenewilliam6047
      @irenewilliam6047 ปีที่แล้ว

      dada mi nakaa nyumba ya fensi nimepanga nafanyaje maana sitoweza kuoga nje

  • @abdallahkassim8798
    @abdallahkassim8798 2 ปีที่แล้ว +1

    Uko vizur honger

  • @ricywakitaa
    @ricywakitaa ปีที่แล้ว +1

    Je narhusiwa kuoga na sabuni?

  • @samiyamwinyihaji1351
    @samiyamwinyihaji1351 2 ปีที่แล้ว +3

    asate mungu atujaalie sote mazuri

  • @PaulNyadiang
    @PaulNyadiang 13 วันที่ผ่านมา +1

    mchaimchai ni nini

  • @ElizabethPalanjo-rl1lk
    @ElizabethPalanjo-rl1lk ปีที่แล้ว +2

    Na Mimi mwenye nywele zenye dawa nitaoga vipi anzia kichwani

  • @hawaciza1510
    @hawaciza1510 หลายเดือนก่อน +1

    Assanti saana

  • @MagrethMbise-x8x
    @MagrethMbise-x8x หลายเดือนก่อน

    Jamani kama Sina mkaa Kuni aifai

  • @ruthmoenga8606
    @ruthmoenga8606 2 ปีที่แล้ว +1

    Mafunzo Yako ni poa san👍

  • @IshanaMussa
    @IshanaMussa 2 หลายเดือนก่อน

    Je nikichemsha hii dawa naweza kufunika

  • @richardrashidi
    @richardrashidi 2 ปีที่แล้ว +2

    Pa kuogea labda iwe ni pembezoni wakati wa usiku

  • @oirokaosiemo8872
    @oirokaosiemo8872 วันที่ผ่านมา

    😢je nitatumia sabuni

  • @mutongoreprostudios
    @mutongoreprostudios 2 ปีที่แล้ว +1

    Hayo maji ni kiasi gani. Na yanatakiwa kua ya vugu vugu.

  • @MaroyiJeanpaul
    @MaroyiJeanpaul 4 หลายเดือนก่อน +1

    Namba ya sim wachpp tuzungumuzo ingine dada

  • @user-we8uk9id1z
    @user-we8uk9id1z 5 หลายเดือนก่อน +1

    Kama huishi nae Mme pamoja

  • @MagrethMbise-x8x
    @MagrethMbise-x8x หลายเดือนก่อน +1

    Dada kama Sina mkaa nifanyaje

  • @ErmestiMwalongo
    @ErmestiMwalongo 7 หลายเดือนก่อน

    Asante lakini vipi kama mazingira hayaruhusu kuogea nje,

  • @muniramunira401
    @muniramunira401 2 ปีที่แล้ว +3

    powa sante sana

  • @user-ib1dy5yw2h
    @user-ib1dy5yw2h 8 หลายเดือนก่อน

    Inatakiwa kuonga na sabuni ama je n'a piya unasema kufanya mara tatu ni ile maji moya ama kila kuonga niku chemsha maji??

  • @dhamirmtumwa2289
    @dhamirmtumwa2289 ปีที่แล้ว

    Unawez kunisaidiya nikawa mzur na nikapendwa na kila mtu ninapo end au ninap ka wanione mm tu na niwe na mvut wanipend yoyot yule avutiwe na mm

  • @justinapetro3082
    @justinapetro3082 2 ปีที่แล้ว

    Thanks

  • @MasongTz3876
    @MasongTz3876 2 ปีที่แล้ว +1

    Umetisha

  • @amossbelsonabayo160
    @amossbelsonabayo160 ปีที่แล้ว

    Good

    • @SadikiSinje
      @SadikiSinje ปีที่แล้ว

      Nakubl vp naweza oga na sabuni au

  • @sautimoja8832
    @sautimoja8832 ปีที่แล้ว +1

    Nashukul

  • @ramsodaddy
    @ramsodaddy 11 หลายเดือนก่อน

    Nashukuru kwa mawaidha yenu mm ningehitaji kupata namba zenu ili niweze kujifunza zaidi

  • @baysoncharless3453
    @baysoncharless3453 2 ปีที่แล้ว +1

    Nime ipend iyo

  • @ErickHirari
    @ErickHirari 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kama Sina sehemi ya wazim bafuni Pana faa

  • @AdiaAmodi
    @AdiaAmodi 3 หลายเดือนก่อน

    Yan mm mmewangu anasema ananipenda na ananijali nikimwambia kitu tatizo anamichepuko ukimwambia anakuwa mkali mala anakwambia nakupenda ww hao nimaongezi tuu

    • @Maya_L866
      @Maya_L866  3 หลายเดือนก่อน

      Nitafutee 0753125821

    • @ZenaAbdu
      @ZenaAbdu 8 วันที่ผ่านมา

      ​@@Maya_L866Asante dada

  • @JeromeBaraka
    @JeromeBaraka หลายเดือนก่อน +1

    SasakamA napohunajiko ramukaautafanyajèe

  • @farhannahkulishwaburekunam5360
    @farhannahkulishwaburekunam5360 2 หลายเดือนก่อน +1

    Je kama huna mahali pawazi je inafaa bafu

  • @user-yg3db9yw9h
    @user-yg3db9yw9h 6 หลายเดือนก่อน

    Ni Mahal gani sahihi pa kuogea hio dawa?

  • @SalmaVanny
    @SalmaVanny 9 วันที่ผ่านมา +1

    Unatumia siku ngap

    • @Maya_L866
      @Maya_L866  6 วันที่ผ่านมา

      0628806486

  • @dorsyadhiambo7013
    @dorsyadhiambo7013 2 ปีที่แล้ว +1

    Je naweza tumia Aina yeyote Ya chumvi

  • @hassanramadhan2794
    @hassanramadhan2794 24 วันที่ผ่านมา +1

    ❤❤❤

  • @oscarrebecca9607
    @oscarrebecca9607 2 ปีที่แล้ว +1

    Jmn mliotumia vp chumvi haiwawashi

  • @godsonsamwel1431
    @godsonsamwel1431 7 หลายเดือนก่อน

    Shuhuli ipo hapo kuogea nje,kwani bafuni bila chooni haiwezekani? Tunaomba ushauri

  • @jofleirashidi7977
    @jofleirashidi7977 2 ปีที่แล้ว +3

    Kwahiyo dawa ni kwaajili ya wanawaketu au mbaka wanaume

  • @kambibayaaminakarim4483
    @kambibayaaminakarim4483 ปีที่แล้ว +1

    Asanti sana

  • @EliaPaulo-yz5gj
    @EliaPaulo-yz5gj 29 วันที่ผ่านมา +1

    Kuoga.ni.saa.gapi.usiku.asubuhi

  • @SiwemaAmos-jf3fi
    @SiwemaAmos-jf3fi ปีที่แล้ว

    Je inafaa kwakunywa?

  • @lutinessexavery5262
    @lutinessexavery5262 ปีที่แล้ว +1

    Inafaa kuoga ata ikiwa period

  • @MossiMasimango77-fu7gc
    @MossiMasimango77-fu7gc ปีที่แล้ว +1

    Mafuzo mazuri hao

  • @zainabukhamis2034
    @zainabukhamis2034 10 หลายเดือนก่อน

    Kwahyo mpaka nibandike kwenye jiko ramkaa

  • @genivamwanga656
    @genivamwanga656 2 ปีที่แล้ว +1

    Safi

  • @neemalimbu-ry3un
    @neemalimbu-ry3un 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mm nataka nipate mwanaume anaejal

  • @agostinhojosejosemungo2025
    @agostinhojosejosemungo2025 2 ปีที่แล้ว +3

    Kama mwananke bado amujafanha mapezi na unependa he nifanhe VIP na napenda na yeye ataki

  • @user-ku6mm3oi1t
    @user-ku6mm3oi1t 2 หลายเดือนก่อน +1

  • @georgiageorge4973
    @georgiageorge4973 ปีที่แล้ว

    Dad Kam xn jiko la mkaa kweny gesi aifai jaman

  • @user-fn4dl7dn8v
    @user-fn4dl7dn8v ปีที่แล้ว

    Sasa mchai wapata dukani pia ama mpka shamban

  • @abdoulmajidhamisi130
    @abdoulmajidhamisi130 2 ปีที่แล้ว +1

    Maelezo mazur zaidi nipe namba tuzungumzo vizur

  • @aishashemweta7069
    @aishashemweta7069 2 ปีที่แล้ว +1

    Sjaelewa kweny Mara 3 kwa sku
    Au sku tatu

  • @mozakiwali7794
    @mozakiwali7794 2 ปีที่แล้ว +3

    Wewe umesema watu wasiogee bafuni mbona wewe unaogea bafuni? MSITUONGOPEE

  • @user-yg4wz6xd4v
    @user-yg4wz6xd4v ปีที่แล้ว

    Kama nyumba zetu Zina choo hapa sehemu nyingine yakuogea ni full contena

  • @user-fn4dl7dn8v
    @user-fn4dl7dn8v ปีที่แล้ว

    Nakma huna jiko la mkaa utafanyaje

  • @godsonsamwel1431
    @godsonsamwel1431 7 หลายเดือนก่อน

    Kama mazingira hayaruhusu inakuwaje?

  • @obediprisca6941
    @obediprisca6941 ปีที่แล้ว +1

    Kuhogea bafuni nisawa au

  • @petermlagiri9689
    @petermlagiri9689 2 ปีที่แล้ว

    Dada mbona cjafanikiwa kwenyemamboyangu

    • @Maya_L866
      @Maya_L866  2 ปีที่แล้ว

      Nitafute 0628806486

  • @emmysam1510
    @emmysam1510 2 ปีที่แล้ว +1

    Hutaogea chooni Wala bafuni..Sasa utaogea wapi..?

    • @Maya_L866
      @Maya_L866  2 ปีที่แล้ว

      Njee

    • @emmysam1510
      @emmysam1510 2 ปีที่แล้ว +1

      @@Maya_L866 watu wakikuona..sebuleni haina tatizo..??

    • @malaikaspriani4199
      @malaikaspriani4199 2 ปีที่แล้ว

      Je ukiogea bafuni kuna shida

  • @sleimanmbarouk9668
    @sleimanmbarouk9668 ปีที่แล้ว

    mm hilo tatizo ninalo

  • @dolinfransis3601
    @dolinfransis3601 2 ปีที่แล้ว +1

    Dada wasio kuwa na jiko la mkaa tunafanyaje tuna gesi

  • @amidadydancer8168
    @amidadydancer8168 2 ปีที่แล้ว +2

    Nimeibenda dawa yako je siku tatu zote unaoge nje

  • @FurahaGeorge-ss6vv
    @FurahaGeorge-ss6vv 10 หลายเดือนก่อน

    Inatakiwa kuoga mda gani

  • @watototeam7709
    @watototeam7709 2 ปีที่แล้ว +1

    Tuma namba

  • @petermushi4986
    @petermushi4986 ปีที่แล้ว

    Nakama huna jiko la mkaa😅

  • @mbarakaabdul9273
    @mbarakaabdul9273 2 ปีที่แล้ว +2

    NAOMBA NAMBA YAKO ILI NIWEZE KUULIZA PALE AMBAPOSI SIJAELEWA TAF

  • @kibaabdoul109
    @kibaabdoul109 2 ปีที่แล้ว

    Kwawatu Tuna bafu zandani na bafu zinakamatana nacho tutafanyaje mana uwani Tunaishi nawatu tutafanyaje tunaweza koga sasita ya husiku

    • @Maya_L866
      @Maya_L866  2 ปีที่แล้ว

      Ndio

    • @Maya_L866
      @Maya_L866  2 ปีที่แล้ว +1

      Ndio

    • @kibaabdoul109
      @kibaabdoul109 2 ปีที่แล้ว

      Tukikogeya kwenye bafu inakamatana na cho hayiwezi fanya chochote

    • @Maya_L866
      @Maya_L866  2 ปีที่แล้ว

      Ndio

  • @mwanaishaduchi2836
    @mwanaishaduchi2836 ปีที่แล้ว

    Nahitaj kujua inafaa kuchemshaa kwny jiko la kuni

  • @user-ij6hc1zx9h
    @user-ij6hc1zx9h 10 หลายเดือนก่อน

    What's jiko lamka

  • @johnnsanzabandi5260
    @johnnsanzabandi5260 2 ปีที่แล้ว +1

    #vmnb