NUKSI za kukosa Pesa, Mpenzi, Kazi, Mvuto wakupendwa na watu Tiba BURE kutoka kwa Sir binladeni

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • Unaweza kututembelea instagram @bingoonlinetz
    #bingoonlinetz
    #sisisiowepesi #TunakupaKwaWakati
    Ahsante kwa Kuiamini na ku SUBSCRIBE BINGO ONLINE TZ Na kuifanya ifikishe Subscribers Milioni 1

ความคิดเห็น • 31

  • @bingoonlinetz
    @bingoonlinetz  3 ปีที่แล้ว

    Kama kuna somo unataka kulijua kutoka kwa sir binladen acha comment yako hapo chini na BINGO ONLINE TZ tutakuletea na ili kumpata sir binladen mpigia simu 0679426148
    .
    LINK YA TH-cam YA SIR BINLADEN
    th-cam.com/channels/5QELa40yMcx2CgwMnoQAWQ.html

    • @johnnhashim9123
      @johnnhashim9123 4 หลายเดือนก่อน

      Nauliza nuks na vifungu ViPi hapa sheik Kuna tofauti na tofauti yake nininiii

  • @RizikiSizobakwira
    @RizikiSizobakwira 7 วันที่ผ่านมา

    Mungu''akulinde'''napiya'''nakubali'maneno'''mazuli''yaukweli'''kabisa''nitakutafutakabisa''kweli'''Mungu'''akujaliye

  • @khadhiriramadhan5984
    @khadhiriramadhan5984 4 หลายเดือนก่อน +2

    hii hali iliwahi kuntokea saana napata pesa lakni haikai mambo hayaendi yaani ilikuwa nimikosi ila kwasasa nikosawa Allihamndu Allah 🤲🤲

    • @saidikhamis9747
      @saidikhamis9747 3 หลายเดือนก่อน

      Au ulikuwa unahonga Sana? Kama ukiwa muhongaji Sana pesa yako kweli haitakaa.

  • @hawaciza1510
    @hawaciza1510 9 วันที่ผ่านมา

    Kaka mimi nacuwuza kakini sioni mafanyikiwo mi Niko na Nuksi nisaidie Kaka

  • @SaumuDastani
    @SaumuDastani 4 หลายเดือนก่อน

    Dr,mimi.nataka kazi

  • @nasrihussein4293
    @nasrihussein4293 หลายเดือนก่อน

    Sheikh shida mingi bwanangu alipotehya ulaya na amenisahau kabisa ni a nuksi kibao

  • @nasrihussein4293
    @nasrihussein4293 หลายเดือนก่อน

    Ninashida bwana yangu ameenda ulaya kanitoro na shinda mingi ninazo

  • @SulaymanKhamiss
    @SulaymanKhamiss 3 หลายเดือนก่อน

    Assallam Alleykum naweza nikajuwa unapatikana wapi

  • @user-rt5vq5vc3k
    @user-rt5vq5vc3k ปีที่แล้ว

    1:17 Naomba nisaidie yakuondoa mkosi

  • @EshaShamu
    @EshaShamu 4 หลายเดือนก่อน

    Ustadhi unapatikana wap

  • @user-rt5vq5vc3k
    @user-rt5vq5vc3k ปีที่แล้ว

    Jaman tupo mbali tusaidie hata kututajia hizo dawa TU utakuwa umetusaidia

  • @dianaburton1415
    @dianaburton1415 ปีที่แล้ว

    Nimekuelewa sana

    • @rehemahassan9743
      @rehemahassan9743 4 หลายเดือนก่อน

      Aslkm Mimi ninashida na mumewangu Kila afanyavyo hafanikiwi nuksi nyingi mpaka twakosana

  • @noamboma-ds7bk
    @noamboma-ds7bk ปีที่แล้ว

    Naomba nisaidie kupata kazi

    • @saidikhamis9747
      @saidikhamis9747 3 หลายเดือนก่อน

      Kupata KAZI mpaka uhangaike sio KUKAA ndani Tu.

  • @user-vk1ph3xv6g
    @user-vk1ph3xv6g 6 หลายเดือนก่อน

    Jamani Mimi nateseka sana sana hadi nishawaza kujiuwa tu nipumzika nahizi shida

    • @nurudinisalim290
      @nurudinisalim290 4 หลายเดือนก่อน

      usifanye ni jambo baya sana ila nikushaur t emb jaribu kuwashirikisha mambo yako baadhi ya watu ambao wanaweza kukufariji

  • @ZainabuNamubiru
    @ZainabuNamubiru 5 หลายเดือนก่อน

    Mimi ma watoto wngu Haruna bahati

  • @ZainabuNamubiru
    @ZainabuNamubiru 5 หลายเดือนก่อน

    Nina watoto wangu hawana bahati niganye mini

  • @user-nd8kq5gf9z
    @user-nd8kq5gf9z ปีที่แล้ว

    Nilikuwa naomba dawa za kutoa mikos kaka

  • @bitricBakari
    @bitricBakari 8 หลายเดือนก่อน

    Nisaidie dawa

  • @alimzee
    @alimzee ปีที่แล้ว

    Ni nukus ndio ninayo

  • @bitricBakari
    @bitricBakari 8 หลายเดือนก่อน

    Ninazo unanisaidiaj

  • @salummpoto9094
    @salummpoto9094 2 ปีที่แล้ว

    Haaaa ww mwizi

    • @kibatarijuma8059
      @kibatarijuma8059 ปีที่แล้ว +2

      Acha dharau kaka ulimjuaje mwizi kaka na wew siyo mwizi heshimu kazi ya mtu

    • @VickKulekana-si1ib
      @VickKulekana-si1ib 5 หลายเดือนก่อน +1

      Mh utamwambiaje mtu mwuzi

  • @aishaaisha4895
    @aishaaisha4895 3 ปีที่แล้ว

    Sasa mbona namba hamja weka

  • @hajraramadhani3892
    @hajraramadhani3892 3 หลายเดือนก่อน

    L