Hongera sana Pro. Kilia Mkumbo na wote toka seriakli ya jamuhuri ya muungano wa Tanania kwa kazi kubwa na nzuri sana mliyoifanya hadi kufikia hatua hii. Hongera pia kwa seriakali ya shirisho la Urusi kwa kuweza kuendeleza uhusiano mzuri sana wa kidiplomasia na kiuchumi kati ya hizi nchi mbili. Hatua mliyofikia na nzuri sana na tunapenda sasa kuona wawekezaji toka Urusi wanaendelea kuwekeza hapa nchini katika sera za kilimo, afya, viwanda, Energy, madini, Gas, LNG, Elimu, michezo na utalii. Remember AFCON is coming to Tanzania. Fursa zipo nyingi sana, na hivyo fanyeni kazi pamoja na kuwawezesha kuja kuwekeza Tanzania. Hongera.
Sisi tunajua hii ni vita mpya Tanzania maana warusi wamejaa bara na wa magharibi wanazurura tu huku Zenj mm nauza duka kwasiku naona wazungu street kote wamezagaa
Warusi wapo Tanzania toka enzi. Enzi za Nyerere hadi walimu wa Urusi walikuwa wengi tz na walikuwa wanafundisha shule za sekondari masomo ya sayansi hata vyuoni walikuwa wamejaa
Alf tuwaige wnzt wamekuja wanaongea lugh yao na wana tafsir kwa kiswahili sio vngrz sis n watnznia 🇹🇿 kiswahili kizid kupewa kipaombele sio kutuongezea aya ma English medium sculz
Safi sana pia tusisahau Korea kaskazini ni rafiki yetu wa siku nyingi.
Hongera sana Pro. Kilia Mkumbo na wote toka seriakli ya jamuhuri ya muungano wa Tanania kwa kazi kubwa na nzuri sana mliyoifanya hadi kufikia hatua hii.
Hongera pia kwa seriakali ya shirisho la Urusi kwa kuweza kuendeleza uhusiano mzuri sana wa kidiplomasia na kiuchumi kati ya hizi nchi mbili.
Hatua mliyofikia na nzuri sana na tunapenda sasa kuona wawekezaji toka Urusi wanaendelea kuwekeza hapa nchini katika sera za kilimo, afya, viwanda, Energy, madini, Gas, LNG, Elimu, michezo na utalii.
Remember AFCON is coming to Tanzania.
Fursa zipo nyingi sana, na hivyo fanyeni kazi pamoja na kuwawezesha kuja kuwekeza Tanzania.
Hongera.
Jambo la maana sana hili, kudeal na Warusi
Dah huyo kaka wa ki-rusi safi saaana 😊😊 proff kitila big up kiongoz
Urafiki wa kidugu toka Enzi na Enzi
Safi sanaa russia n washirika wqkweli
Warus sawa, sio wazungu wa magharb
❤
Kazi kubwa hii kongole Waziri
ONGERA SANA WANGE KUJA MAREKANI WANGETAKA TUOWANE
IS TALKING VERY good SWAHILI ❤❤❤ ILOVE THAT'S.
Na kirusi kifundishe Tanzania, hawa ndungu zetu kama wachina
Tz 🇹🇿 na Russia jmn huu muungano uwe moa effective USSR our late pres Nyerere friend
Big step 🇹🇿 🇷🇺
Hao na China ndio watu wa kufanya ushilikiano kwenye mpango wa maendeleo Tanzania
Mm!, mbona weng sana kwan vita kwao imesha?