GOD'S WAYS (NJIA ZA MUNGU) - Pastor Sunbella

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 24

  • @gabriellafaith6128
    @gabriellafaith6128 6 หลายเดือนก่อน

    Isaya : 55 : 8 - Maana mawazo yangu si mawazo yenu, wala njia zenu si njia zangu; asema Bwana. ❤🙏

  • @judithlaizer5369
    @judithlaizer5369 ปีที่แล้ว

    Nimebarikiwa na hili SoMo kupita maelezo, Mungu akubariki sanaa Baba nimevuka sehemu, kumbe Kwa Yesu lipo tumaini? Haya Kwa SS tusio faa machoni pa watu? Wooooouw❤️❤️❤️❤️🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼

  • @jamewitv4043
    @jamewitv4043 ปีที่แล้ว

    God bless you

  • @everlineeva594
    @everlineeva594 3 ปีที่แล้ว +1

    Ameeen Ameeen mtumishi wa mungu ,hayo mahubiri yame nilenga mimi ,mungu anipe kibali cha kupata kazi bora be blessed am watching in 973 mungu akujakie maisha marefu mtumishi am blessed 🙌 🙏

  • @petermunuo1657
    @petermunuo1657 ปีที่แล้ว +1

    Amen mtumushi barikiwa sana

  • @lovethildah7340
    @lovethildah7340 2 ปีที่แล้ว

    Baba nakwambia yani I've always known that I'm a great person,, very great,,
    Now thez this prophecy upon my life which God used his servant to prophesy to me,
    He said that I will be great and PROSPEROUS, that I will travel from Nation to Nation worldwide,
    Cha kushangaza nimejipata Uarabuni kama Kijakazi,, yani Miba nilizozikanyagaa🤫💔 usitakejua,,,
    Thanks for this message of hope,, sasa nimejua huu ni mpango wa Mungu na Kwamba Kesho yangu I salama mikononi mwake🙇‍♀️🙏

  • @petronilangula3525
    @petronilangula3525 3 ปีที่แล้ว +2

    Amen. I bless the Lord for everytime I listen to all testimonies, new Revelation, very reality of life na ninaomba Mungu anisaidie nielewe na neno na nifikie destiny ya hi, familia na mwili wa Kristu. God bless you Pastor.

  • @mildredwekesa5844
    @mildredwekesa5844 2 ปีที่แล้ว

    Ameen,nmebarikiwa,nitavumilia yote kwani nmejua Mungu yunami

  • @francksindano9582
    @francksindano9582 2 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏🏿

  • @immaculatasangu4197
    @immaculatasangu4197 3 ปีที่แล้ว

    Amen, Bwana Yesu tusaidie kuishi kwa kusudi lako

  • @cheyoveda5942
    @cheyoveda5942 4 ปีที่แล้ว

    MUNGU asante naomba Njia zako mawazo yako na mipango yayaishi Maisha yangu ya wokovu Mimi na nyumba yangu Ameeen

  • @albuscalion354
    @albuscalion354 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki mtumish wa Mungu

  • @rizikimarie6765
    @rizikimarie6765 4 ปีที่แล้ว +1

    Amen amen amen
    .

  • @henrithamatiku423
    @henrithamatiku423 4 ปีที่แล้ว +2

    I connect myself and my family in Jesus name...Amen 🙏

  • @carolinemwugusi8945
    @carolinemwugusi8945 2 ปีที่แล้ว

    Your teachings are so enlightening am blessed my life will never be the same

  • @starluzenja9861
    @starluzenja9861 3 ปีที่แล้ว +1

    Hearing his teachings is so enlightening

    • @marykissila1373
      @marykissila1373 2 ปีที่แล้ว

      Thank you for your teachIing Thank you Jesus the msg was for me It has given me peace helped me to be petient & have faith while waiting for my day to come Much thanks Pastor Sunbella

  • @amosjeremiar8006
    @amosjeremiar8006 3 ปีที่แล้ว

    Ameen

  • @veronicanyalinga2845
    @veronicanyalinga2845 2 ปีที่แล้ว

    🙏🙏🙏

  • @marthamarwa1983
    @marthamarwa1983 3 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @barakachalres9316
    @barakachalres9316 4 ปีที่แล้ว

    Good massage

  • @naanely2247
    @naanely2247 3 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @christinesavai884
    @christinesavai884 3 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @deborahogega4600
    @deborahogega4600 2 ปีที่แล้ว

    Amen