Mungu nimwema tu shukuru kwa kila jambo pengine ungekuwepo na ww uneuwawa, jipange weka watt kwenye mazingira mazuri then kazi ziendelee kutafta kupo palepale, ukiona upepo mbaya tz kifedha ludi tupige kazi 🙏
Hapa hata ufahamu halisi hana, ni ngumu sana kumuua mzazi kama ilivyongumu kwa kijana ukimwambia wewe ukishaoa utatelekeza wazazi wako! Utawakana na kuwaacha wateseke na njaa na maradhi wakati wewe mkeo na wanao na hata wakwe zako mnaishi maisha mazuri.. Una tofauti gani na Wende? Tangia mwanzo nilihisi huyu binti c akili zao au alirushiwa mapepo, huyu kijana ana ufahamu mkubwa sana na anaelekea ana huruma na upendo,Mungu azidi kumfariji. Na Wende tumuombee apate mtumishi wa kweli, nasema waa kweelii! Akamuombea Mungu amfungue ktk kifungo cha kiroho alipoingizwa.. Wende ni mateka wa nguvu za giza.
Binti alikuwa anachochea maneno mabaya kwa mama kuhusu kaka mtu ili kaka asipewe urithi ili apewe yeye sasa binti kajichochea mwenyewe anaenda kunyea debe jela katika maisha yake yote kaka una bahati sana ulikuwa nje ya nchi la sivyo ungesingiziwa wewe Mungu anakupenda kaka
Hakuna uchawii hapo binti ni mjinga ty unatoa uhai wa mama ako kisa Mali ndo binti wa Kwanza Tanzania mjinga wanawake siku hizi ndo wanaangaika yeye anaua mama take
Hajakufika ndungu uchawi upo tena upo. Mimi mwenyewe sister yangu mpaka leo hii sihamini kama amekufa. Yani kila nikikumbuka nachukia sana watu wanao tumia nguvu za giza 😰😰😰 jamani uchawi upo 😭😭😭
Watu wanao bishaga vitu kama hivi kwamba havupo unadhani mimi hata huwa natega sikio kuwa sikiliza hata huwasiwasikilizi kwasababu namuona nikama bado mtoto huwenda ajakuwa Kisha akayaona ya duniani yanavyo enda
ikiwa halijakufika utakataa kuwa uchawi upo lakini kwa mwenye kupatikana anaamini . Mdogo wako alikuona wewe mwanamme utakuwa ni kichwa cha familia ndio alikuwa anamtia sumu mamaako ili akuchukiye asikushirikishe kwenye mambo yake
Mshuru mungu tena na tena kwa sababu ungekua hapa nchini Tanzania unge singiziwa na Dada yako Kwamba wewe ndo ulimuua mama Pore Sana kaka mungu yuko nawe😎
@@johnlembo2955 Kwa maelezo ya uyo kaka anasema Marehem alikua akimgombeza gombeza kila mara na dada yake alikua ndo anasikilizwa Sana na mama amekuja kugundua kumbe dada ake alikua akimsema vibaya kwa mama.
Ila huyu mwamba inaonyesha alikuwa hapendwi sana na mama yake,kutokana na mama yake kupeleka mapenzi yake makubwa kwa Binti yake ambaye amemsababishia kifo chake.
Sikiliza mwishoni mazungumzo ya huyo jamaa,anasema kulikuwa na maneno maneno na mama yake kuwa mkali kwake lakini aligundua anaye sababisha hayo ni huyo dada yake.
Inawezekana coz kama mali zilkua kwann mama singekua na ufahama kugawa na watoto walkua wawili tu akacha mtoto wakiume kuhangaika oman na mali ziko nyumban inawezekana mama alkua na upendeleo
Kaka anafanya kazi ngumu ndiyo maana anaonekana amezeeka huyo binti alikuwa hafanyi kazi yeye alisubiri tuu amuue mama yake apate urithi sababu hapendi kufanya kazi
mtu aliyekufa unamwombea vp!?? mtu asipotubu dhambi zake angali hai asitegemee kupata msamaha wa dhambi! hivyo turekebishe maisha yetu tungali hai! kumwombea mtu aliyekuwa eti asamehewe dhambi zake ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu au ni sawa kufukuza upepo! tubu dhambi ungali hai
No one knows the end,, Duniani hapa tunaishi kwa Imani tuu hakuna alieenda akarudi kwa hio haikuwa na haja ya kumkosoa mtu kiimani,,hata wewe ukiulizwa unaweza kutoa evidence gani ya kwamba mungu hawezi kumsamehe mtu aliekwishapoteza maisha..Kitu ambacho ni muhimu ni kuheshimu imani ya mtu kwa sababu hakuna alieenda akarudi,Wala hakuna aliemuuliza mungu Kama anasamehe makosa ya marehemu alafu akarudi kutujuza sisi,,tusikomae kuwavaa watu tukitumia maandiko ambayo pia alieandika ni binadamu Kama sisi na Cha kushangaza pia hatujamuona alieandika ana lengo gani na sababu gani.
Sheria huwezi kuuza mali za mtu kama ni mugonjwa Na hana akiri za kujitambuwa. Na Huyu musichana asingeweza kupewa ruhusa kuuza mali kama mama alikuwa hajuwi anafanya nini. Walionunuwa ndiyo watapoteza ikiwa report ya madakitari itathibitisha mama alikuwa hana akiri sawasawa kutambuwa kinachoendelea. Kwa vile story tunavyoisikia, Huyu mama alikuwa mugonjwa Na Mwanaa aka chukuwa advantage ya kumuziba mali zake bila ya kujitambuwa anafanya nini. Walionunuwa mali za Huyu mama hawakununu kihalali.
Hapa hakuna uchawi ni udanganyifu , wizi na ujinga wa binti huyu. Huwezi kuuza mali ya mtu bila ya ruhusa hata kama ni mama yako. Huwezi kuuza mali ya mtu kama akiwa hana ufahamu kiakili, hata kama wakisema ameruhusu, Je wakati anatowa hiyo ruhusa alikuwa na hali gani?
Kwa muonekano wako bro shukuran mungu haukuweko karib ungepewq kesi
Nimecheka kwa kweli
@@zenadaudzena2849 kweli ati bora hakueko
Ni kweli kesi ingekuwa yake kwa kweli Mungu ni mwema kamuepusha!
😂😂😂🤣🤣🤣
Kabisa🖐️🖐️
Mungu nimwema tu shukuru kwa kila jambo pengine ungekuwepo na ww uneuwawa, jipange weka watt kwenye mazingira mazuri then kazi ziendelee kutafta kupo palepale, ukiona upepo mbaya tz kifedha ludi tupige kazi 🙏
Hapa hata ufahamu halisi hana, ni ngumu sana kumuua mzazi kama ilivyongumu kwa kijana ukimwambia wewe ukishaoa utatelekeza wazazi wako! Utawakana na kuwaacha wateseke na njaa na maradhi wakati wewe mkeo na wanao na hata wakwe zako mnaishi maisha mazuri..
Una tofauti gani na Wende? Tangia mwanzo nilihisi huyu binti c akili zao au alirushiwa mapepo, huyu kijana ana ufahamu mkubwa sana na anaelekea ana huruma na upendo,Mungu azidi kumfariji.
Na Wende tumuombee apate mtumishi wa kweli, nasema waa kweelii! Akamuombea Mungu amfungue ktk kifungo cha kiroho alipoingizwa..
Wende ni mateka wa nguvu za giza.
Binti alikuwa anachochea maneno mabaya kwa mama kuhusu kaka mtu ili kaka asipewe urithi ili apewe yeye sasa binti kajichochea mwenyewe anaenda kunyea debe jela katika maisha yake yote kaka una bahati sana ulikuwa nje ya nchi la sivyo ungesingiziwa wewe Mungu anakupenda kaka
Binti kumbe ni shetani kitambo
@@nsajigwamwakalonge5702 ndiyo
Inshallah 🙏 inshallah mwenyezi Mungu tupe mwisho mwema,
Inshaallah
Hakuna uchawii hapo binti ni mjinga ty unatoa uhai wa mama ako kisa Mali ndo binti wa Kwanza Tanzania mjinga wanawake siku hizi ndo wanaangaika yeye anaua mama take
Soma hadithi ya "Christina na Panga la Shaba", vitu hivi vya ushirikina vipo...
Hajakufika ndungu uchawi upo tena upo. Mimi mwenyewe sister yangu mpaka leo hii sihamini kama amekufa. Yani kila nikikumbuka nachukia sana watu wanao tumia nguvu za giza 😰😰😰 jamani uchawi upo 😭😭😭
Watu wanao bishaga vitu kama hivi kwamba havupo unadhani mimi hata huwa natega sikio kuwa sikiliza hata huwasiwasikilizi kwasababu namuona nikama bado mtoto huwenda ajakuwa Kisha akayaona ya duniani yanavyo enda
ikiwa halijakufika utakataa kuwa uchawi upo lakini kwa mwenye kupatikana anaamini .
Mdogo wako alikuona wewe mwanamme utakuwa ni kichwa cha familia ndio alikuwa anamtia sumu mamaako ili akuchukiye asikushirikishe kwenye mambo yake
Mshuru mungu tena na tena kwa sababu ungekua hapa nchini Tanzania unge singiziwa na Dada yako Kwamba wewe ndo ulimuua mama Pore Sana kaka mungu yuko nawe😎
Angekuwa nchini angegundua ushenzi wa dada yako na kumwokoa mama yake
@@johnlembo2955 Kwa maelezo ya uyo kaka anasema Marehem alikua akimgombeza gombeza kila mara na dada yake alikua ndo anasikilizwa Sana na mama amekuja kugundua kumbe dada ake alikua akimsema vibaya kwa mama.
Ila huyu mwamba inaonyesha alikuwa hapendwi sana na mama yake,kutokana na mama yake kupeleka mapenzi yake makubwa kwa Binti yake ambaye amemsababishia kifo chake.
Acha kuzua maneno huo ndio tunaita uzushi
Sikiliza mwishoni mazungumzo ya huyo jamaa,anasema kulikuwa na maneno maneno na mama yake kuwa mkali kwake lakini aligundua anaye sababisha hayo ni huyo dada yake.
@@lugomemtamayaye9508 jina lenyewe mtihan tuwape watoto wetu majina mazur
@@husna34562 kwa nini umefika huko?
Inawezekana coz kama mali zilkua kwann mama singekua na ufahama kugawa na watoto walkua wawili tu akacha mtoto wakiume kuhangaika oman na mali ziko nyumban inawezekana mama alkua na upendeleo
Ila jamaa ana sura ngumu kaaaa!! Kama vile maisha yamempiga akati kwao walikuwa na pesa
Sio vizuri huyu Ni Binadamu mwenzio.na hajajiumba
Bro unasula yakaz bola aukuwepo Mana umsala ungekuangukia wew
Kwa hii sura yake msala lazma ungemuangukia
@@frankmchome8493 aaa du nawew umeona
🤣🤣usifanye tucheke penye huzun
Baadhi ya waganga ni washenzi
Tulishangaa Kwenye familia tulikuwa na ndugu yetu alikuwa mrembo,akaolewa na mganga
Ni wachawi pia 😏
waganga almost wabaya na washajikatia tamaa mbele ya Mungu
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤭
Pole sana kaka. Mungu akupe nguvu.
Ila mtoto wa Dada ako usimchukie izo ni tamaa za mama yake we msaidie mungu atakulipa thawab🙏
Huyu Mwamba ana Uwezo mkubwa kujieleza
Ndomana ulienda Omani. Ukaona heli uondoke dada ako aendelee kuchochea maneno kwa mama ako. Mwisho wa sk wakajichochea wenyewe
Huyu kaka ame zeeka mbona 😂 akat pacha wake binti mduchu
maisha ndigu
Kaka anafanya kazi ngumu ndiyo maana anaonekana amezeeka huyo binti alikuwa hafanyi kazi yeye alisubiri tuu amuue mama yake apate urithi sababu hapendi kufanya kazi
Yaani nashngaa pia
There are fraternal twins and identical twins,it seems are fraternal twins
@@kasukukasuku3896 we ndio umeeleza vyema hawaoni jinsia tofauti
ii nchi itakuwa kama Africa KUSIN mauwaji Kama yote kila sik watu wanakufa ii nin
POLE SANA KAKA MUNGU YUPO MUACHE MUNGU AITWE MUNGU 🙏
mtu aliyekufa unamwombea vp!??
mtu asipotubu dhambi zake angali hai asitegemee kupata msamaha wa dhambi!
hivyo turekebishe maisha yetu tungali hai!
kumwombea mtu aliyekuwa eti asamehewe dhambi zake ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu au ni sawa kufukuza upepo! tubu dhambi ungali hai
No one knows the end,, Duniani hapa tunaishi kwa Imani tuu hakuna alieenda akarudi kwa hio haikuwa na haja ya kumkosoa mtu kiimani,,hata wewe ukiulizwa unaweza kutoa evidence gani ya kwamba mungu hawezi kumsamehe mtu aliekwishapoteza maisha..Kitu ambacho ni muhimu ni kuheshimu imani ya mtu kwa sababu hakuna alieenda akarudi,Wala hakuna aliemuuliza mungu Kama anasamehe makosa ya marehemu alafu akarudi kutujuza sisi,,tusikomae kuwavaa watu tukitumia maandiko ambayo pia alieandika ni binadamu Kama sisi na Cha kushangaza pia hatujamuona alieandika ana lengo gani na sababu gani.
Kakojoe ulale
Saf Sana dada umeweza mjibu vyema hakuna anaejua kila mtu na Iman yake
Upo sahihi kabisa tutubu tukiwa hai tusisubir mpka tufe,
@@theuniversetv2870 bado hujamjua alietoka mbinguni akarudi NDUGU yangu? Na alitembea Sana humu duniani na akahubiri Sana!
Sheria huwezi kuuza mali za mtu kama ni mugonjwa Na hana akiri za kujitambuwa. Na Huyu musichana asingeweza kupewa ruhusa kuuza mali kama mama alikuwa hajuwi anafanya nini. Walionunuwa ndiyo watapoteza ikiwa report ya madakitari itathibitisha mama alikuwa hana akiri sawasawa kutambuwa kinachoendelea. Kwa vile story tunavyoisikia, Huyu mama alikuwa mugonjwa Na Mwanaa aka chukuwa advantage ya kumuziba mali zake bila ya kujitambuwa anafanya nini. Walionunuwa mali za Huyu mama hawakununu kihalali.
Mbona jaman watanzania munatuvunja nguvu sana ...taifa la kutegemewa na wengi ssa limekua likimwaga damu tuu...polen sana mungu hawape iman
Huyo amesha vurungwa kimazingara na ndiyo sababu ila hao wanaume ndiyo waliokua poleni sana jamani
Ndesanjo from Kenya bro usijali mola atakupa mwelekeo watoto wote Kaa nao kma wko utauona mkono wa bwana
Hapa hakuna uchawi ni udanganyifu , wizi na ujinga wa binti huyu. Huwezi kuuza mali ya mtu bila ya ruhusa hata kama ni mama yako. Huwezi kuuza mali ya mtu kama akiwa hana ufahamu kiakili, hata kama wakisema ameruhusu, Je wakati anatowa hiyo ruhusa alikuwa na hali gani?
Amesikika akisema mdogoangu naskia unaish na mganga!?. Umefikia uko? Umekosa nn kwani!..
Pole na kka
Nimemuona Mama ake germana/ Mamma ibleck
Aliyefariki ni mtoto wa Dr Ibreck. Wewe utakuwa mwana Shinyanga.
kuna sauti ya iiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii....kama feedback ya speaker na mic....
Namuona Mama Ibreck wa Shinyanga.. Mwanadamu mtegemee MUNGU na sio akili zako.
NAMUONA CLASS MATE WANGU IFM GERMANA
Hao hao walionunua ndiyo wachawi wenu
mbona pacha ni mzee sana kuliko mtuhumiwa jmn au mm naona nne nne
Sio ote
Si useme OMAN TUUU YAANI OMAN
NI AIBU KUJA OMAN MMMM
Kwani we umejuaje kama alikuja Oman we kiherehere chako kaa kwa kutulia
Msamehe lakini mweke mbali anaeza kukudhuru wewe wa pili. Watu wakisiri lahasha.
Serekali inatakiwa iamini uchawi upo inawezekn sio hakili yeke huyo dada
Pole sana kaka
Allah aturehwm
HB