IBADA YA SHUKRANI:KUMSHUKURU MUNGU KWA AJILI YA MAISHA YA BABA ASKOFU CHEDIEL SENDORO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ต.ค. 2024
  • #blessed #today #mwangalutherantv
    IBADA YA SHUKRANI:KUMSHUKURU MUNGU KWA AJILI YA MAISHA YA BABA ASKOFU CHEDIEL SENDORO
    Ibada hii Imeongozwa na Askofu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe Usharika wa Kanisa Kuu Dayosisi ya Mwanga na Kuudhuriwa na waumini mbalimbali ikiwemo Mke wa Hayati Baba askofu Chedieli Sendoro.

ความคิดเห็น • 5

  • @johnjames7819
    @johnjames7819 วันที่ผ่านมา

    Askofu Benson Mungu akubariki sana, mahubiri yako yametubariki na kutufariji sana. tunaomba uwe unatembelea hii dayosisis ikikupendeza kama ilivyokuwa wakati chedieli yupo. ubarikiwe

  • @HaroldLyimo
    @HaroldLyimo 2 วันที่ผ่านมา

    Baba Askofu umetufariji kiroho na kisaikoloji Mungu akubariki sana

  • @oscarusiri8448
    @oscarusiri8448 2 วันที่ผ่านมา

    Ask Bagonza huwa nakuelewa sana ktk mafundisho yako yana ujumbe mzito na ya kujiamia ubarikiwe sana baba.

  • @mwangalutherantv
    @mwangalutherantv  2 วันที่ผ่านมา

    Kama bado ujajiunga na Chaneli yetu Tafadhali bonyeza link hii Ku Subscribe
    th-cam.com/video/hHGOGS9dpXo/w-d-xo.htmlsi=muqEGSEGvcIh0Kmu

  • @MrMcbana
    @MrMcbana 2 วันที่ผ่านมา

    Kaka Yangu Baba Askofu kalikawe Benson kale ka ujumbe ka mwisho kana wokovu sana juu ya kanisa letu KKKT tushikilie hapo ili mambo yaende kwa kweli RIP Kaka Ched