Mwanga Lutheran Tv
Mwanga Lutheran Tv
  • 117
  • 184 401
MBELE YA MADHABAU BABA ASKOFU AACHILIA BARAKA :AFISA TARAFA YA USANGI KWA NIABA YA MKUU WA WILAYA
Kanisa la Kiinjili La Kilutheri Tanzania KKKT - Dayosisi ya Mwanga
.............................................................................................................
IBADA YA UZINDUZI WA JUBILE YA MIAKA 125 YA INJILI KATIKA MILIMA YA UPARE.
NA
KUMUINGIZA KAZINI MSAIDIZI WA ASKOFU WA DAYOSISI YA MWANGA MCH. SAMSON JUMA MBWAMBO.
NA
KUMUINGIZA KAZINI MKUU WA JIMBO TEULE LA MISION MCH. DEOGRATIUS MSANGI
มุมมอง: 118

วีดีโอ

ASKOFU HILINTI ALIVYO MUINGIZA MCHG. DEOGRATIUS MSANGI KAZINI KUWA MKUU WA JIMBO LA MISSION
มุมมอง 8537 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Kanisa la Kiinjili La Kilutheri Tanzania KKKT - Dayosisi ya Mwanga ............................................................................................................. IBADA YA UZINDUZI WA JUBILE YA MIAKA 125 YA INJILI KATIKA MILIMA YA UPARE. NA KUMUINGIZA KAZINI MSAIDIZI WA ASKOFU WA DAYOSISI YA MWANGA MCH. SAMSON JUMA MBWAMBO. NA KUMUINGIZA KAZINI MKUU WA JIMBO TEULE LA MISION MCH. D...
MSAIDIZI WA ASKOFU PARE DIOCES TUMRUSU YESU ATUSAIDIE KUSHUHULIKA.ATUFINYANGE NA KUTUTENGENEZA
มุมมอง 25014 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Kanisa la Kiinjili La Kilutheri Tanzania KKKT - Dayosisi ya Mwanga ............................................................................................................. IBADA YA UZINDUZI WA JUBILE YA MIAKA 125 YA INJILI KATIKA MILIMA YA UPARE. NA KUMUINGIZA KAZINI MSAIDIZI WA ASKOFU WA DAYOSISI YA MWANGA MCH. SAMSON JUMA MBWAMBO. NA KUMUINGIZA KAZINI MKUU WA JIMBO TEULE LA MISION MCH. D...
HOTUBA YA KWANZA YA MSAIDIZIWA ASKOFU MCH. SAMSON JUMA MBWAMBO. BAADA YA KUINGIZWA KAZINI
มุมมอง 88816 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Kanisa la Kiinjili La Kilutheri Tanzania KKKT - Dayosisi ya Mwanga ............................................................................................................. IBADA YA UZINDUZI WA JUBILE YA MIAKA 125 YA INJILI KATIKA MILIMA YA UPARE. NA KUMUINGIZA KAZINI MSAIDIZI WA ASKOFU WA DAYOSISI YA MWANGA MCH. SAMSON JUMA MBWAMBO. NA KUMUINGIZA KAZINI MKUU WA JIMBO TEULE LA MISION MCH. D...
Askofu Dkt. Syprian Hilinti Alivyo Muita Mzee Juma mwaka autaisha utabatizwa /Ata mimi mama alikuwa.
มุมมอง 54419 ชั่วโมงที่ผ่านมา
#mwangadioces #injiliupareni #kkktmwd
IBADA YA UZINDUZI WA JUBILEE YA MIAKA 125 YA INJILI NA KUMUINGIZA KAZINI MSAIDIZI WA ASKOFU DMW
มุมมอง 3.1Kวันที่ผ่านมา
Kanisa la Kiinjili La Kilutheri Tanzania KKKT - Dayosisi ya Mwanga ............................................................................................................. IBADA YA UZINDUZI WA JUBILE YA MIAKA 125 YA INJILI KATIKA MILIMA YA UPARE. NA KUMUINGIZA KAZINI MSAIDIZI WA ASKOFU WA DAYOSISI YA MWANGA MCH. SAMSON JUMA MBWAMBO. NA KUMUINGIZA KAZINI MKUU WA JIMBO TEULE LA MISION MCH. D...
Mchg. Timothy J. Msangi:MAUBIRI YA NENO LA MUNGU, IBADA:SIKU YA MATENGENEZO YA KANISA
มุมมอง 1713 หลายเดือนก่อน
Mchg. Timothy J. Msangi:MAUBIRI YA NENO LA MUNGU, IBADA:SIKU YA MATENGENEZO YA KANISA
Askofu Bagonza Msiwe chawa wa Maaskofu Mkishindwa kutubadilisha kubali Tuwabadilishe
มุมมอง 1.4K3 หลายเดือนก่อน
#Mwangalutherantv #kkktkimara #bagonza Askofu Bagonza Msiwe chawa wa Maaskofu kwa sababu ata sisi ni Chawa wa Bwana Yesu #Mwangalutherantv #kkktkimara #viziwi ................................................................................................................. #kkktkijitonyama #siku #kkkt #kkktmbezibeach #kkkttz #nenolasiku #nyumbakwanyumba #kkktmoro #kkktmorogoro #dayosisiyamorogor...
TUKIO LA KIHISTORIA WACHUNGAJI WALIVYO BARIKIWA NA MAASKOFU WA DAYOSISI PACHA WA UTATU MTAKATIFU
มุมมอง 4383 หลายเดือนก่อน
TUKIO LA KIHISTORIA WACHUNGAJI WALIVYO BARIKIWA NA MAASKOFU MJEMA, BAGONZA NA ASKOFU CHEDIEL #Mwangalutherantv #kkktkimara #viziwi ................................................................................................................. #kkktkijitonyama #siku #kkkt #kkktmbezibeach #kkkttz #nenolasiku #nyumbakwanyumba #kkktmoro #kkktmorogoro #dayosisiyamorogoro #mjimpya #mjimpyamorogoro ...
KWA KWELI HII SIO TIMU YA MPIRA YEYOTE NI KWAYA YA UMOJA:USHARIKA WA KANISA KUU NA MWANGA MJINI
มุมมอง 3473 หลายเดือนก่อน
UTAPENDA BABA ASKOFU CHEDIEL SENDORO ALIVYO LETAKWA KWELI HII SIO TIMU YA MPIRA NI KWAYA YA UMOJA:USHARIKA WA KANISA KUU #Mwangalutherantv #kkktkimara #viziwi ................................................................................................................. #kkktkijitonyama #siku #kkkt #kkktmbezibeach #kkkttz #nenolasiku #nyumbakwanyumba #kkktmoro #kkktmorogoro #dayosisiyamorogor...
UTAPENDA BABA ASKOFU CHEDIEL SENDORO ALIVYO LETA UTANI MBELE YA ASKOFU BAGONZA NA ASKOFU MJEMA
มุมมอง 1.1K3 หลายเดือนก่อน
UTAPENDA BABA ASKOFU CHEDIEL SENDORO ALIVYO LETA UTANI MBELE YA ASKOFU BAGONZA NA ASKOFU MJEMA #Mwangalutherantv #kkktkimara #viziwi ................................................................................................................. #kkktkijitonyama #siku #kkkt #kkktmbezibeach #kkkttz #nenolasiku #nyumbakwanyumba #kkktmoro #kkktmorogoro #dayosisiyamorogoro #mjimpya #mjimpyamorogor...
Msamaa wa Dhambi:Kwa nguvu ya Neno lake na kwa Agizo la Bwana wetu Yesu Kristo Mungu kwa Neema yake
มุมมอง 2733 หลายเดือนก่อน
Msamaa wa Dhambi:Kwa nguvu ya Neno lake na kwa Agizo la Bwana wetu Yesu Kristo Mungu kwa Neema yake
JIMBO TEULE LA MISIONI:MAFUNDISHO YA NENO LA MUNGU WIKI YA UINJILISHAJI NYUMBA KWA NYUMBA
มุมมอง 493 หลายเดือนก่อน
JIMBO TEULE LA MISIONI:MAFUNDISHO YA NENO LA MUNGU WIKI YA UINJILISHAJI NYUMBA KWA NYUMBA
ALICHO KIONGEA ASKOFU DR. BENSONs BAGONZA. LEO WAKATI WA MAUBIRI:IBADA YA SHUKRANI
มุมมอง 2893 หลายเดือนก่อน
ALICHO KIONGEA ASKOFU DR. BENSONs BAGONZA. LEO WAKATI WA MAUBIRI:IBADA YA SHUKRANI
Laigwanani Mzee Kipesha Wamasai wote:Askofu Chediel Amefanya Mambo mengi/KUsomesha watoto wetu
มุมมอง 1433 หลายเดือนก่อน
Laigwanani Mzee Kipesha Wamasai wote:Askofu Chediel Amefanya Mambo mengi/KUsomesha watoto wetu
VIDEO:M'bunge wa Mwanga Joseph Tadayo Alivyo towa Salamu za shukrani Usharika wa Kanisa Kuu DMW
มุมมอง 3223 หลายเดือนก่อน
VIDEO:M'bunge wa Mwanga Joseph Tadayo Alivyo towa Salamu za shukrani Usharika wa Kanisa Kuu DMW
Mwanzo mwisho Dakika 28 Maubiri ya Askofu Bagonza:Hakuna Furaha /Uzuni au Utajiri wa kudumu
มุมมอง 7283 หลายเดือนก่อน
Mwanzo mwisho Dakika 28 Maubiri ya Askofu Bagonza:Hakuna Furaha /Uzuni au Utajiri wa kudumu
IBADA YA SHUKRANI:KUMSHUKURU MUNGU KWA AJILI YA MAISHA YA BABA ASKOFU CHEDIEL SENDORO
มุมมอง 2.3K3 หลายเดือนก่อน
IBADA YA SHUKRANI:KUMSHUKURU MUNGU KWA AJILI YA MAISHA YA BABA ASKOFU CHEDIEL SENDORO
Mwanzo mwisho Baba Askofu Chediel Sendoro alivyo Zinduwa Mwanga Lutheran Hostel
มุมมอง 4283 หลายเดือนก่อน
Mwanzo mwisho Baba Askofu Chediel Sendoro alivyo Zinduwa Mwanga Lutheran Hostel
KAULI YA MKUU WA KANISA LA KKKT SAKATA LA UTEKAJI NA MAUWAJI, INCHI INALAANIWA DAMU INAPO MWAGIKA
มุมมอง 2543 หลายเดือนก่อน
KAULI YA MKUU WA KANISA LA KKKT SAKATA LA UTEKAJI NA MAUWAJI, INCHI INALAANIWA DAMU INAPO MWAGIKA
Shuhudia kipaji cha Mtoto huyu Mdogo anaye Imba kwaya ya Watu wazima
มุมมอง 9293 หลายเดือนก่อน
Shuhudia kipaji cha Mtoto huyu Mdogo anaye Imba kwaya ya Watu wazima
NAIBU WAZIRI MKUU DR BITEKO ALIVYO TOWA HOTUBA NZITO KWENYE MAZISHI YA BABA ASKOFU CHEDIELI SENDORO
มุมมอง 6584 หลายเดือนก่อน
NAIBU WAZIRI MKUU DR BITEKO ALIVYO TOWA HOTUBA NZITO KWENYE MAZISHI YA BABA ASKOFU CHEDIELI SENDORO
Maubiri ya Mkuu wa KKKT Dkt Alex Gehaz Malasusa kwenye mazishi ya Askofu Chediel Elinaza Sendoro
มุมมอง 5504 หลายเดือนก่อน
Maubiri ya Mkuu wa KKKT Dkt Alex Gehaz Malasusa kwenye mazishi ya Askofu Chediel Elinaza Sendoro
Askofu Bagonza,Askofu Chediel alipenda kusimama Katikati yetu:Alikuwa mtu wa watu na watu Tumewaona
มุมมอง 7434 หลายเดือนก่อน
Askofu Bagonza,Askofu Chediel alipenda kusimama Katikati yetu:Alikuwa mtu wa watu na watu Tumewaona
Kaka wa Askofu Chediel Sendoro Atumia Utunzi wa Shairi kumuelezea Baba askofu Ibada ya MAzishi
มุมมอง 2794 หลายเดือนก่อน
Kaka wa Askofu Chediel Sendoro Atumia Utunzi wa Shairi kumuelezea Baba askofu Ibada ya MAzishi
Mh.Cleopa Msuya Makamu wa Raisi na Waziri Mkuu Mstaafu Baba Asko Chedieli Sendoro Alitunganisha
มุมมอง 10K4 หลายเดือนก่อน
Mh.Cleopa Msuya Makamu wa Raisi na Waziri Mkuu Mstaafu Baba Asko Chedieli Sendoro Alitunganisha
Mwanzo mwisho Erica na Eric watoto wa Baba Askofu Chediel Sendoro Walivyo Muelezea Baba Yao Enzi za.
มุมมอง 4.6K4 หลายเดือนก่อน
Mwanzo mwisho Erica na Eric watoto wa Baba Askofu Chediel Sendoro Walivyo Muelezea Baba Yao Enzi za.
Mkuu wa kanisa la KKKT alivyo Mzungumzia Baba Askofu Chedie E. Sendoro:Maisha yake yalikuwa zawadi
มุมมอง 4484 หลายเดือนก่อน
Mkuu wa kanisa la KKKT alivyo Mzungumzia Baba Askofu Chedie E. Sendoro:Maisha yake yalikuwa zawadi
MWANZO MWISHO UPENDO WA BABA ASKOFU CHEDIELI SENDORO NA ASKOFU WA KANISA KATOLIKI JIMBO LA SAME
มุมมอง 5K4 หลายเดือนก่อน
MWANZO MWISHO UPENDO WA BABA ASKOFU CHEDIELI SENDORO NA ASKOFU WA KANISA KATOLIKI JIMBO LA SAME
Askofu Chedieli Elinanza Sendoro kuzikwa tarehe 17 siku ya Jumanne:MAGAZETI YAMZUNGUZIA
มุมมอง 5914 หลายเดือนก่อน
Askofu Chedieli Elinanza Sendoro kuzikwa tarehe 17 siku ya Jumanne:MAGAZETI YAMZUNGUZIA

ความคิดเห็น

  • @Amosmsechu
    @Amosmsechu 3 วันที่ผ่านมา

    Amen mungu akutunze

  • @johnjames7819
    @johnjames7819 3 วันที่ผ่านมา

    Nimefurahi sana kwa kiwango cha juu kwa jinsi Dayosisi yetu ya mwanga mlivyofanya maamuzi kwa kutupatia Msaidizi wa Askofu Samsoni Juma Mbwambo. Barikiweni sana na tuzidi sote kuiombea Dayosisi yetu .

  • @godlistengiven
    @godlistengiven 6 วันที่ผ่านมา

    Napenda kukutakia utumishi mwema, baba Dean Rev. Mbwambo, uso wa Bwana uwe nawe. 🙏

    • @mwangalutherantv
      @mwangalutherantv 6 วันที่ผ่านมา

      Amina sana Na Unakaribishwa MUngu akubariki sana

  • @mgayan1222
    @mgayan1222 8 วันที่ผ่านมา

    Ni Cyprian bhana

    • @deopatz
      @deopatz 8 วันที่ผ่านมา

      Dkt. Syprian Hilinti na sio cyprian Mungu akubariki sana

  • @goodlucknnko1280
    @goodlucknnko1280 9 วันที่ผ่านมา

    huyu aliyeanzisha ibada ni Askofu wa Singida kama sijakosea.

  • @franktlaghasi3625
    @franktlaghasi3625 10 วันที่ผ่านมา

    Bado hajapatikana

    • @mwangalutherantv
      @mwangalutherantv 10 วันที่ผ่านมา

      Bwana Yesu asifiwe Bado tunaendelea na Michakato ya Kumpata Askofu Wa KKKT Dayosisi ya Mwanga .

  • @calvinkimaro8705
    @calvinkimaro8705 10 วันที่ผ่านมา

    Kwan askofu mkuu n nani

    • @mwangalutherantv
      @mwangalutherantv 10 วันที่ผ่านมา

      Bwana Yesu asifiwe Bado tunaendelea na Michakato ya Kumpata Askofu Wa KKKT Dayosisi ya Mwanga .

    • @mgayan1222
      @mgayan1222 8 วันที่ผ่านมา

      Sio rahisi kupatikana😢 TUMEPOTEZA JEMBE😭

    • @artsonkimath2917
      @artsonkimath2917 3 วันที่ผ่านมา

      Kuna kitu sijaelewa hapa...msaidizi wa Askof anaingizwa kazi angali hakuna Askof hii imekaa je?....kwa Nini msaidizi aliyekuwepo asingeendelea Hadi apatikane Askof mpya ?

  • @MosesNjawa
    @MosesNjawa 3 หลายเดือนก่อน

    Baba Askofu, Mimi naitwa Emmanuel Njawa, siwezi kujiita shabiki wako ila nikiri Nina URAIBU wa kufuatilia maandiko Yako ninayokubaliana/nisiyokubaliana na wewe. Baadhi ya mawazo Yako ni criptic, magumu kuyaelewa hasa katika nchi ambayo hata wanaodai kuwa na elimu Kwa kweli ni kama walisukumwa through madarasa hata kama wanajiita wasomi. Sijui kama Nia Yako Huwa kuwafikia Hawa wasomi fake, au watanzania wenye uelewa wa kawaida kama Mimi. Kwa mfano SIJAELEWA Kwa Nini unaona Kenya kama mfano wa KIKATIBA katika Afrika! Rt. Rev. that country is semi burning, going like a headless puff adder, County, Senate, Judiciary each instilling contravencies zinazofanya nchi hiyo ikose real stability. Nina swali Moja LA mwisho , DO YOU BELIEVE THAT THIS MODE OF CONSTITUONAL MODE ( I may have misjudged you, I apologise if I have ) which it seems the band wagon which is advocated, IS WHAT ALL COUNTRIES IN THE WORLD SHOULD FOLLOW, despite of the social, cultural etc we have? I know some naive people will dub me as leaning to those who a leaning to the way our leaders think in which a categorically deny NO, ila napenda kubadilishana mawazo na hata KUKUBALIANA KUTOKUKUBALUANA. AS a Christian nakutakua huduma ya baraka Askofu

  • @LoishookiSolomon
    @LoishookiSolomon 3 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏🙏

  • @rogergabriel7763
    @rogergabriel7763 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu awabariki sana

  • @KilotidaJustine
    @KilotidaJustine 3 หลายเดือนก่อน

    Amen and amen 🙏

  • @KilotidaJustine
    @KilotidaJustine 3 หลายเดือนก่อน

    Amen and amen 🛐🛐🛐❤️🙏🙏

  • @KilotidaJustine
    @KilotidaJustine 3 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙏🙏🙏

  • @petergeorgekafumu
    @petergeorgekafumu 3 หลายเดือนก่อน

    Very touching. Asante Baba Askofu Bagonza

  • @humphreymushi
    @humphreymushi 3 หลายเดือนก่อน

    Hakika Baba Elinaza Sendoro Bishop Mstaafu alizaa chema! Lakini siyo hivyo tu! Aliwapa malezi mema watoto wake! Siyo rahisi mtoto wa mchungaji kupata wito wa kichungaji kama Baba yake hakuonyesha mfano wa dhati kuanzia kwenye familia! Wito wangu kwa wapare, Mpendane! Acheni mburimburi na majungu yasiyojenga, ubinafsi, kuchafuana,Askofu bora atatokea miongoni mwenu! Mnaweza mkiamua!!!

  • @sundaynurdin2864
    @sundaynurdin2864 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu atusaidie

  • @johnjames7819
    @johnjames7819 3 หลายเดือนก่อน

    Askofu Benson Mungu akubariki sana, mahubiri yako yametubariki na kutufariji sana. tunaomba uwe unatembelea hii dayosisis ikikupendeza kama ilivyokuwa wakati chedieli yupo. ubarikiwe

  • @FelisterSamwel-s5d
    @FelisterSamwel-s5d 3 หลายเดือนก่อน

    😢😢😢 nakukumbuka kweli

  • @MrMcbana
    @MrMcbana 3 หลายเดือนก่อน

    Kaka Yangu Baba Askofu kalikawe Benson kale ka ujumbe ka mwisho kana wokovu sana juu ya kanisa letu KKKT tushikilie hapo ili mambo yaende kwa kweli RIP Kaka Ched

  • @HaroldLyimo
    @HaroldLyimo 3 หลายเดือนก่อน

    Baba Askofu umetufariji kiroho na kisaikoloji Mungu akubariki sana

  • @oscarusiri8448
    @oscarusiri8448 3 หลายเดือนก่อน

    Ask Bagonza huwa nakuelewa sana ktk mafundisho yako yana ujumbe mzito na ya kujiamia ubarikiwe sana baba.

  • @mwangalutherantv
    @mwangalutherantv 3 หลายเดือนก่อน

    Kama bado ujajiunga na Chaneli yetu Tafadhali bonyeza link hii Ku Subscribe th-cam.com/video/hHGOGS9dpXo/w-d-xo.htmlsi=muqEGSEGvcIh0Kmu

  • @Wilfred-wk9sf
    @Wilfred-wk9sf 3 หลายเดือนก่อน

    Amen ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @Wilfred-wk9sf
    @Wilfred-wk9sf 3 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @Raymarjohnes
    @Raymarjohnes 3 หลายเดือนก่อน

    Kulikuwa n nn

  • @MurunguwetoshaDeheaven
    @MurunguwetoshaDeheaven 4 หลายเดือนก่อน

    Taire

  • @JoyceTaratibu
    @JoyceTaratibu 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu aendelee kumpumzisha kwa amani mpendwa wetu.

  • @ClintonKatabalo
    @ClintonKatabalo 4 หลายเดือนก่อน

    Rest in peace Bishop 😭

  • @AishaIdrisa-s7v
    @AishaIdrisa-s7v 4 หลายเดือนก่อน

    Namkibali sana mzee msuya

    • @monicamwita7865
      @monicamwita7865 4 หลายเดือนก่อน

      Hawakuwaga na mambo ya ajabu ajabu

  • @adelardnhundesaduka5825
    @adelardnhundesaduka5825 4 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏

  • @shamslukumay2627
    @shamslukumay2627 4 หลายเดือนก่อน

    Sisi Ni wa Mungu na Kwake tutarejea😢

  • @robertkibwengo4805
    @robertkibwengo4805 4 หลายเดือนก่อน

    BABA ASKOFU PUMZIKA KWA AMANI TUONANE BANDARINI ,MFUMWA MRUNGU EKUKUNDIE MUNO

  • @geraldadolf4928
    @geraldadolf4928 4 หลายเดือนก่อน

    Amina ila iyo kofia ina jumlisha au msalaba

  • @NaomyDaudi
    @NaomyDaudi 4 หลายเดือนก่อน

    Ameeeeen❤

  • @4G2ndundulu-e7x
    @4G2ndundulu-e7x 4 หลายเดือนก่อน

    RIP askofu sendoro

  • @jenifamtweve2524
    @jenifamtweve2524 4 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @LoishookiSolomon
    @LoishookiSolomon 4 หลายเดือนก่อน

    MUNGU WAMBINGUNI AMKUMBUKE BABA YETU MLEZI KATIKA UFALME WAKE JUU YA UTUMISHI WAKE MWEMA!🙏🙏

  • @RachelThomas-w1y
    @RachelThomas-w1y 4 หลายเดือนก่อน

    RIP 🙏🙏🙏🙏

  • @smartchoice4258
    @smartchoice4258 4 หลายเดือนก่อน

    Daniel Bizuru: Chediel, Pumzika kwa Amani

  • @revpendomushi1294
    @revpendomushi1294 4 หลายเดือนก่อน

    Pumzika Kwa amani mtumishi WA Mungu

  • @SaumuSaidi-z2v
    @SaumuSaidi-z2v 4 หลายเดือนก่อน

    Raha ya milele umpe ee bwana

  • @haikamalle160
    @haikamalle160 4 หลายเดือนก่อน

    RIP Chediel Sendoro Bwana Alitupa na Bwana Ametwaa Jina Lake Lihimidiwe!!

  • @magrethmshana6556
    @magrethmshana6556 4 หลายเดือนก่อน

    Pumzika Kwa amani askofu Sendoro Mungu akupokee

  • @eliudikamwela-hl7pb
    @eliudikamwela-hl7pb 4 หลายเดือนก่อน

    Pumzika kwaamani

  • @niwaelmsuya6536
    @niwaelmsuya6536 4 หลายเดือนก่อน

    😢😢😭😭😭pumzika Baba tutakukumbuka daima dah ni kweli etiii😭😭😭😭

  • @EliasNasuila
    @EliasNasuila 4 หลายเดือนก่อน

    Bwana Alitoa Bwana Ametwaa jina la Bwana lihimidiwe.

  • @jescarwegoshola1754
    @jescarwegoshola1754 4 หลายเดือนก่อน

    Dah, kweli huu wimbo nikiitwa hukumuni mmmh,ebu tafakari wapendwa 🤔

  • @jescarwegoshola1754
    @jescarwegoshola1754 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu awape faraja wote walio guswa na msiba huu 😭🙏

  • @shamisadiki5264
    @shamisadiki5264 4 หลายเดือนก่อน

    Pumzika kwa aman Baba😢

  • @siakiwelu8955
    @siakiwelu8955 4 หลายเดือนก่อน

    pumzika kwa amani 😢