Hamna haya makubwa jinga. Zari pia mlimsifia anajua kupika leo hii haonekani kabisa kweli Dunia kigeugeu. Shikamoo this family hamu Sina kwa kweli mwenzako akinyolewa Tia maji.
Mm. D mond kula kitu roho inataka, usisikilze ya waja,waja ni wazito hawaelewek vigeu geu,ukimchoka ww utamtupa kwenye dastibin,na life jingine litaendelea,na kama bado hujachoka,aaaah,kula raha my dear!!! Kwanza pesa unayo so kikubwa upendo tyuuuu,shikilia hapo hapo mmemechi thanaaaa,mmeanza fanana mwaaaa
Huyo uncle bendera Fata upepo. Wenye nyumba wakisema yes na yeye anafata. Anapalilia kula na maisha yake. Mi nawasihi muache vituko na maneno mengi. Waozesheni watoto ili waishi kihalali. Mpunguze drama Mali ni mapito tu mrudieni Mola wenu na bado mtakuwa na furaha tu. Binadam hatujui kesho yetu.
Hamna haya makubwa jinga. Zari pia mlimsifia anajua kupika leo hii haonekani kabisa kweli Dunia kigeugeu. Shikamoo this family hamu Sina kwa kweli mwenzako akinyolewa Tia maji.
Zari alisifiwa kwa usafi sio mapishi
Mm. D mond kula kitu roho inataka, usisikilze ya waja,waja ni wazito hawaelewek vigeu geu,ukimchoka ww utamtupa kwenye dastibin,na life jingine litaendelea,na kama bado hujachoka,aaaah,kula raha my dear!!! Kwanza pesa unayo so kikubwa upendo tyuuuu,shikilia hapo hapo mmemechi thanaaaa,mmeanza fanana mwaaaa
Nansi Kilovele 👌👌
Dunia simama nishuke😕😕😕 huyu ndo kiben ten OG
Uncle hapo sawa
Huyo uncle bendera Fata upepo. Wenye nyumba wakisema yes na yeye anafata. Anapalilia kula na maisha yake. Mi nawasihi muache vituko na maneno mengi. Waozesheni watoto ili waishi kihalali. Mpunguze drama Mali ni mapito tu mrudieni Mola wenu na bado mtakuwa na furaha tu. Binadam hatujui kesho yetu.
@@mkonjesamnimbo936 wee venye uko na kwako, achana na yeye akifukuzwa atakuja kwako???
Uncle Shamte Matata🤣😂😂
Kwani huyu Bibi anateseka ?kwani huyu Baba mlezi wa diamond mbona nahisi akuja kuwa kama Mwarabu fighter?? DUNIA simama ni shuke
huhuhuhuh
katoto/ kazur mmenuna
Wengi hawayapendi maendeleo yenu.. watu hufurahia vifo na umaskin..ndiyo waanze maskini maskini bt haya ni kuguna kama magugu shindwee
Watoto wanajilua bibi LA watu dooooohjjj
Mixer ..........😂😂😂😂😂😂😂
Wewe para basha na sio mara unakula kult na mayai yake
Mwli wa nguo anao Zarina wewe
Bongo buana huyu kwa vile ni mkwe bac anacfia tu
Alipika nini eti? Panzi?
Kuna MTU ajui kupika kwenden uko ampati kiki hapa waswaili nyie wote
WIVU TUUU
@@swaggerizedninjagoseprocom8523 wivu kwa awo wajinga labda kwa zari ndio nitamuonea wivu sio kwa awo wa tandale
wajinga mbona unawaangalia ss jamaa
Uyo mama munafiki sana huyo
@@saumushabani1628 tena sana muuaji