LISSU HAJAWAHI KUCHANGIA HATA TSH 100 CHADEMA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น •

  • @mussakimaro5588
    @mussakimaro5588 2 วันที่ผ่านมา +20

    Lissu humuwezi hata mbowe mwenyewe anamjua lissu akitoka lisu chadema inakufa wengi wanampenda lisu

    • @elikyusimsigwa6608
      @elikyusimsigwa6608 2 วันที่ผ่านมา

      Si atone sasa, watu wengine hamjui hata mnachosimamia, bora tu umeandika, kwamba hata chedema kikisambaratika Hamna cha kupoteza. Ni mbaya sana ni bora kunyamaza kuliko kushabikia uharibifu badala ya kuponya.

  • @BitaraWanjaraGondera
    @BitaraWanjaraGondera 2 วันที่ผ่านมา +15

    Lissu ana akili sana ndo maana alikataa kuchangia kwenye saccos ya Mbowe hiyo million 30😂😂

    • @petermisungwi3229
      @petermisungwi3229 2 วันที่ผ่านมา

      Kama chama cha siasa kinaendeshwa kwa staili hiyo anayoeleza Wenje hata kwenye uchaguzi wa ngazi za juu kama hizo ni chama cha maajabu balaa.

  • @tumainikibona5252
    @tumainikibona5252 2 วันที่ผ่านมา +11

    Lisu huenda aliona kuna upigaji ndio maana hataki kuchangia wala kutafuta hizo hela, kwa wale wenye uelewa wameshaelewa nini kipo nyuma ya paziaa

  • @deejeydaev
    @deejeydaev 2 วันที่ผ่านมา +7

    Wanashindwa kisoma alama za nyakati . Mkateni lisu muone chama kitakavyo dhohofika..

  • @josephatkajange8714
    @josephatkajange8714 2 วันที่ผ่านมา +5

    Pesa sio msingi wa maendeleo. Kaka nikwambie kitu, Wewe Wenge na Mbowe hummwezi Lisu pamoja na umasikini wake! Lisu yupo smart mno! Labda mtumie mtutu wa bunduki kwa msaada wa polisi.

  • @deodatusmugalulamugalula
    @deodatusmugalulamugalula 2 วันที่ผ่านมา +11

    Vichwa chadema vinavyoogopwa na Ccm Mni vitatu cha kwanza Lisu cha pili John Heche cha tatu Godbless Lema hao wengine wakawaida sana na hivyo vichwa kama vikihamia chama kidogo mfano UDP wanachama chadema asilimia kubwa watahamia huko na litskuwa chama kikubwa kama wanabisha waendelee na magumashi yao Mboe awe mwkt na ma kamu awe Wenje waone kama kutakuwa na chadema.

  • @GodfredAlfredNgarama
    @GodfredAlfredNgarama 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Wenje lissu si boya atoe hela ambazo zinapigwa

  • @SamweliMango
    @SamweliMango 3 วันที่ผ่านมา +9

    Wenje nakumbuka 2010 nyamagana alikuwa mshamba tu....ila kwa sasa mpiga deal mkubwa.

  • @StephanoGwelino
    @StephanoGwelino 3 วันที่ผ่านมา +8

    Kama hakutoa hela ina maana alikiuka sheria ya chama kwa nini hakushughulikiwa na chama unakuja kuongea leo

    • @johnmwasilu7087
      @johnmwasilu7087 3 วันที่ผ่านมา

      Walimvumilia alikuwa mgonjwa

    • @ce-08
      @ce-08 2 วันที่ผ่านมา +1

      ​@@johnmwasilu7087😂😂 CCM wanaakili sana wameshajua lissu atawasumbua hata wao wanataka mbowe wanamuweza

  • @JumanneKigori-fm1nn
    @JumanneKigori-fm1nn 3 วันที่ผ่านมา +13

    Jamani mshawishini Heche agombee umakamu mwenyekiti enyi wajumbe popote mlipo.

  • @salummussa9871
    @salummussa9871 3 วันที่ผ่านมา +8

    Chama Cha familia ya mbowe

  • @salumuismahily
    @salumuismahily 3 วันที่ผ่านมา +19

    Wachaga wengi niwabinafsi kwahiyo wanateteana wenyewe fateni mfano kwazito acheni ubinafsi.

    • @johnmwasilu7087
      @johnmwasilu7087 3 วันที่ผ่านมา

      Wenje siyo mchaga

    • @Mendietadiamante7971
      @Mendietadiamante7971 2 วันที่ผ่านมา

      Wenje siyo mchaga,unasema wachaga wabinafsi kwa utafiti gani ulofanya? ubinafsi ni hulka ya mtu siyo kabila,thats stupidity.

    • @domymerinyo8165
      @domymerinyo8165 2 วันที่ผ่านมา +2

      Wabinafs wakawafundisha wengine biashara na kujenga mjini. kalale una uchovu

    • @boniventuresilayo1391
      @boniventuresilayo1391 2 วันที่ผ่านมา

      sio kweli brother

  • @lusajomwaipopo5042
    @lusajomwaipopo5042 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mkijua hakuchangia mbona mlimchagua bila yeye kuwepo mkachuliia fomu mkachagua huku mkijua hakuchangia jamaa mmekosa hoja kabisa

  • @salumuismahily
    @salumuismahily 3 วันที่ผ่านมา +10

    Hamfai hata kuongoza nchi hii kwaajili yaubinafsi.

    • @sueddelft9069
      @sueddelft9069 3 วันที่ผ่านมา

      Kweli kabisaaa.

  • @innotv5514
    @innotv5514 3 วันที่ผ่านมา +8

    Wenje anaona hapo anaongea point wakati ni pumba t😂

  • @mahyorokalokola4012
    @mahyorokalokola4012 2 วันที่ผ่านมา +2

    Aligoma kwa sababu alikuwa anajua zitatafunwa makao makuu

  • @MariamDilla
    @MariamDilla 2 วันที่ผ่านมา +1

    Mtu alikuwa mgonjwa na anaendelea na matibabu anawezaje changia Chama wkt hali yake haijakaa poa.
    Mh. Lissu kachambuliwa kwa sababu ya kutetea wa-tz sasa Bado anatibiwa Bado ww Wenje wataka mtu anaendelea na matibabu achangie pesa wkt wengine mna pesa chafu za kuchangia.

  • @malambaya850
    @malambaya850 2 วันที่ผ่านมา +2

    Ulitaka achange pesa akiwa hospital maana that time LISSU alikuwa anajitibu

  • @DavidMutiba-hr3vo
    @DavidMutiba-hr3vo 2 วันที่ผ่านมา +4

    Kuna wakati Wenje akiwa bado kijana na mbunge nilimuona ana hekima sana.Lakini kwa interview hii kwanza naona kama kanenepa sana,halafu hekima imeshuka,hajui kuchagua maneno,halafu yale ya ndani ya chama anayomtuhumu mwenzake kuyaanika ndiyo anayoyaanika sasa hadharani.Kumbe mnamtaka Mbowe kwa sababu anafadhili chama kwa pesa nyingi? Kwa hiyo siku akiondoka chadema itakufa?Kwa hiyo chadema ni ya mbowe basi,eti?.

  • @petermasome3012
    @petermasome3012 วันที่ผ่านมา +1

    Jamaa anajiona bora kumbe mpumbavu mmoja ambaye hajitambui.nymagana tulikachaguaje haka jamaa kajinga

  • @mahyorokalokola4012
    @mahyorokalokola4012 2 วันที่ผ่านมา +7

    Freedom anazo pesa za hongo Lissu hana. Sasa hapo huyo swaiba wa bwana Abdu anashangaa nini!

  • @JosephChrisant
    @JosephChrisant 2 วันที่ผ่านมา +1

    Wenje ukisema hayo maneno kwenye mikutano ya hadhara nakuhakikishia utapigwa mawe. Na yawezekana Wenje unatumika kuihujumu Chadema.

  • @jamesjahasa3348
    @jamesjahasa3348 2 วันที่ผ่านมา +3

    Acha ujinga wewe achangie kwenye saccos 😂😂😂😂😂

  • @malikimrisho7844
    @malikimrisho7844 2 วันที่ผ่านมา +1

    Alete pesa mzile😂😂,
    250m siniapo kawanunua tiari😂😂😂
    Maskini ya mungu wazee wetu kumbe ndio wako ivi😢

  • @bedabeda6348
    @bedabeda6348 2 วันที่ผ่านมา +1

    Kwa mambo haya Mama yetu asihangaike kupiga kampeni
    Kampeni waachiwe wakuu wa mikoa na wilaya

    • @Six-k4b
      @Six-k4b วันที่ผ่านมา

      Bajeti ya uchaguzi ..kwa huu uchaguzi unaokuja..
      Ccm pelekeni pahala pengine...zikaongeze maendeleo...
      Upinzani wanazikana wenyewe.
      Mpaka sasa...

  • @Six-k4b
    @Six-k4b วันที่ผ่านมา

    Kuanzia leo nimeamini ..
    Chadema ni mali ya watu binafisi..
    Hakuna chama hapo..
    Nawasikitikia hata wanaoumia kwa kuipambania CHADEMA..
    CCM Daima ...mitano tena mama...

  • @SaidMkome-p6s
    @SaidMkome-p6s 3 วันที่ผ่านมา +5

    Nyinyi wenyewe amuwezi kujiongoza mtatuongoza cc nyau nyinyi

  • @jeunajuatv817
    @jeunajuatv817 2 วันที่ผ่านมา +2

    Huyu jamaa si Mtanzania 😅😅😅

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq 2 วันที่ผ่านมา +1

    Kajamaaa kaongo

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv 3 วันที่ผ่านมา +4

    Aligoma kwasababu anajua mnaiba

  • @frankhoffa8356
    @frankhoffa8356 3 วันที่ผ่านมา +3

    Washalamba pesa za ccm hao. Salama ya ccm ni mbowe apite lakini akipita lisu ccm wanakuwa na kibarua kikubwa sana! Shikeni hili

    • @johnmwasilu7087
      @johnmwasilu7087 3 วันที่ผ่านมา

      Lissu hana lolote atakimbilia Ubelgiji

    • @kasimkassam9565
      @kasimkassam9565 3 วันที่ผ่านมา +1

      nampenda lisuu awe mbunge awe pale bungeni lakini sio kuwa Raisi wa nchi yetu bado sanaa stara yake bado ndogo sanaa japokuwa ni mwanamapinduzi heshoma kwa kiongozi wa nchi ni jambo kubwa la kuonesha ustarabu wako

  • @MariamDilla
    @MariamDilla 2 วันที่ผ่านมา

    Hakuna Mh. Lissu ndani ya CHADEMA mjue CDM Itakuwa cuf ya 2...

  • @walterkiwoli4585
    @walterkiwoli4585 3 วันที่ผ่านมา +3

    Amechangia Damu Yake ni ya thamani kuliko Fedha

  • @frbm1729
    @frbm1729 3 วันที่ผ่านมา +5

    Hesabu za mpiga Dili wenje ni kukimbilia Ccm shikeni maneno yangu.

    • @2514SRK
      @2514SRK 3 วันที่ผ่านมา

      Kwani Wenje akienda CCM Kuna Ubaya? Siku Zote Ukweli Unamuweka Mtu Huru na Unaweza Kuficha lkn itafika Muda Uongo na Ukweli Utajulikana.

    • @cloudngoko.2679
      @cloudngoko.2679 2 วันที่ผ่านมา

      Hahahahaha fact

  • @lwimikomwambene
    @lwimikomwambene 3 วันที่ผ่านมา +7

    SAMIA MITANO TENA

  • @vt-kn6qf
    @vt-kn6qf 2 วันที่ผ่านมา +1

    Icho sicho 😂😂😂😂 sicho chama

  • @kingmicky1002
    @kingmicky1002 3 วันที่ผ่านมา +2

    Yanininaonekana wazi kabisa hata ndani ya chama kuna matabaka

  • @ConstanciaShangali
    @ConstanciaShangali 2 วันที่ผ่านมา

    Duuh kwahiyo michango ya wanachama wenu huwa inaenda wapi🤓🤩

  • @joseph-fc6ry
    @joseph-fc6ry 2 วันที่ผ่านมา

    chadema ni maalufu kuliko lisu ajalibu kuama tuone c😊

  • @MariamDilla
    @MariamDilla 2 วันที่ผ่านมา

    Mchangiaji alitaka Lissu alamatwe ndio afurahi kweli uchawa mbaya afadhali ubalozi ulimwokoa mh. Lissu kumbe kikulacho kinguoni mwako waliokuwa wanamlengesha mh. Lissu ni mtu km huyo shame on U....

  • @johnmlangi6890
    @johnmlangi6890 วันที่ผ่านมา

    Wenje hawezi Kuaminika mbele ya Well minded Mtanzania. Alishindwa hata ku mobilize Wanachama, wapige Kura kwenye Kata yake mwenyewe, anapo Kaa?

  • @dennisungonella205
    @dennisungonella205 2 วันที่ผ่านมา

    Wenje anaamini kumbomoa lissu, chadema itabaki salama, ni ngumu sana

  • @lwimikomwambene
    @lwimikomwambene 3 วันที่ผ่านมา +3

    CCM FOR LIFE

  • @MasanjaJeremiah
    @MasanjaJeremiah วันที่ผ่านมา

    Hivi huyu wenje ndo chadema mnategemea awe makamu mwenyekiti me naona mwisho wa chadema ni huu mwaka

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 3 วันที่ผ่านมา +1

    Mimi sijapenda namna hawa wagombea wanavyovuana nguo hadharani.Lissu na Mbowe wote wana haki ya kugombea hiyo nafasi ya umwenyekiti ila chonde kampeni zenu zisiwe zile za kutaka kukiua chama.

  • @adambaton5521
    @adambaton5521 3 วันที่ผ่านมา +2

    Hukuna chama kitaondoa ccm madalakani wote hawa wote hamna kitu hapa

  • @KelvinKapinga-lf1ul
    @KelvinKapinga-lf1ul 3 วันที่ผ่านมา +6

    Jamaa hafai kuwa hata mwenyekiti wa kitongoji.CCM oyeeeeeeeee.

  • @jacktonetiibuza9970
    @jacktonetiibuza9970 2 วันที่ผ่านมา

    😢hacha ushamba Nadi sera zako wanachadema tu akili

  • @dennisungonella205
    @dennisungonella205 2 วันที่ผ่านมา

    Mbowe hizo 250 mil anazitoa wapi? Hii mifumo sio sawa....

  • @danieljoseph7120
    @danieljoseph7120 3 วันที่ผ่านมา +2

    HAYA MAJITU HAYAFAI KUCHUKUA NCHI HATA KITONGOJI JAMANI NI VILE TU TULIKUWA HATUJAZIJUA HILA ZAO, CCM WOYEEEEEEEEE❤

    • @JeromeNjovu-g4b
      @JeromeNjovu-g4b 3 วันที่ผ่านมา

      Sanaa hawa jamaa wa ovyo sana mi tano tena

    • @TM.Sullusi
      @TM.Sullusi 3 วันที่ผ่านมา

      ❤❤❤

    • @youngsachafurniture5482
      @youngsachafurniture5482 3 วันที่ผ่านมา

      Sijawah ona danieli mvivu wa akili kama wewe ubongo una mavi kabisa mbwa takataka

    • @EmmaNkuba
      @EmmaNkuba 3 วันที่ผ่านมา

      Hahaha ​@@youngsachafurniture5482

  • @reginaalbert9911
    @reginaalbert9911 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Lisu ametoa hadi damu yake kwaajili ya watanzania sio chadema tu

  • @BarakaLupande-m7u
    @BarakaLupande-m7u วันที่ผ่านมา

    Acha kudanganya watu lissu alikua hajulikani kajulikana alipo pigwa lisasi nachama kimepoa yeye atoke hata leo

  • @SimeonCharles-j5x
    @SimeonCharles-j5x 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kachangia damu

  • @HASSANWAZIRIGAO
    @HASSANWAZIRIGAO 2 วันที่ผ่านมา

    HIZO HELA AMECHUMA KWENYE CHAMA MLIKUWA MNACHKUWA SH.800 ML ZA RUZUKU MBOE NI FISADI

  • @stanslausmteme8455
    @stanslausmteme8455 วันที่ผ่านมา

    Dhairi unaonekana muongo

  • @Mumewangu
    @Mumewangu 2 วันที่ผ่านมา

    Lisu bahili hatoi chochote Ila mijineno tu

  • @ignasmahundi4734
    @ignasmahundi4734 2 วันที่ผ่านมา

    Wenye point huna kiukweli

  • @cloudngoko.2679
    @cloudngoko.2679 2 วันที่ผ่านมา

    WENJE KAMA LISSU HAIJAWAHI KUKATWA PESA KATIKA UTARATIBU WENU MLIOUWEKA WENYEWE BASI MNAWANYANYASA VIONGOZI WA CHINI. EBU BOMOENI CHADEMA MJE MJIUNGE NA CCM ALAFU MUOMBE WACHEZAJI MPEWE KWA MASHARTI ILI MUONEKANE TENA KATIKA USO WA DUNIA😂😂😂

  • @ce-08
    @ce-08 2 วันที่ผ่านมา

    Alaf mumlete na lissu hapo sio upande mmoja tu

  • @JamesMwakindu
    @JamesMwakindu 2 วันที่ผ่านมา

    Izi redio kwa sasa muwachunguze watangazaji mwisho wa stori yeye kagungua nini je nahe kasoma makelele chuo kikuu uganda huyo mtangazaji apo maisha ni bora kwa mshala sio kuongea tuko wapi nani mtawala

  • @faizaannassir2568
    @faizaannassir2568 2 วันที่ผ่านมา

    Wewe samaa toka povu tumekuchokeni wapenda democracy tunataka mabadiliko . Acheni ngonjera mtatawala hadi lini chana ni taacc ya umaa na cc ndo uma ww na mboe achini lisu tutachangi cc umaa . Mnazuia mabadiliko

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq 2 วันที่ผ่านมา

    Muambie mbowe akuoe

  • @ManjanoPaschal
    @ManjanoPaschal วันที่ผ่านมา

    Kama hakuna anachangia mlimchukulia hatua gani kama hukidhalilishi chama

  • @davidlinus6940
    @davidlinus6940 2 วันที่ผ่านมา

    Watu kama hawa ndiyo maana mm siamkii yoyote yule hovyo tu

  • @ZakariaMnzava-q1v
    @ZakariaMnzava-q1v 2 วันที่ผ่านมา

    Wenje ni kumbe ni mjinga kiasi Cha mjinga

  • @ommyyoutube6117
    @ommyyoutube6117 2 วันที่ผ่านมา

    Ebu jamani mpekueni uyu isijekua kichwani ana kinyesi badala ya ubongo

  • @RubenMtuwaMungu-bz8ee
    @RubenMtuwaMungu-bz8ee 2 วันที่ผ่านมา

    Hii inamaanisha chadema ni wahuni sababu kwanini muwaaminishe watanzania kumchagua Lisu kuwa rais wa Tanzania ikiwa ni kweli anamapungufu kiasi hicho? Kwanini uchaguzi wa ndani mmeufanya wa kufa na kupona kiasi kwamba hamjali athari mtakazozipata kwa kuchafuana!?

  • @FrolenceRogath-fv6ku
    @FrolenceRogath-fv6ku 2 วันที่ผ่านมา

    Mama 2025 njia nyeupeee

  • @SophiaSalimu-z1u
    @SophiaSalimu-z1u 3 วันที่ผ่านมา

    We mwenyewe hujui niasilimia ngapi mnachangia acha kutupanga

  • @JamesMedard
    @JamesMedard 2 วันที่ผ่านมา

    Wenje anaongea pumba tu kama anjiamin aje nyamagama aone hata kama atafikisha kura 2

  • @samsonpaschal5044
    @samsonpaschal5044 3 วันที่ผ่านมา

    Hivi Huyu Wenje, kila siku Lisu, sera zake ni nini? na huyu mbowe hizo mil 250 ndiyo rushwa yenyewe hiyo...

  • @reginaalbert9911
    @reginaalbert9911 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wenje we mwizi tu Huna maana akili huna

  • @JosephJumbe-w6h
    @JosephJumbe-w6h 2 วันที่ผ่านมา

    Huyu jamaa ukimsikiliza unagundua anauwezo mdogo sana

  • @RwenyagiraShukuru
    @RwenyagiraShukuru 2 วันที่ผ่านมา

    Unampiga vita lissu Kwa kuwa mbowe alikulipia deni la benk ml 40/ kunusuru nyumba yako

  • @davidngogo4011
    @davidngogo4011 3 วันที่ผ่านมา +1

    Wenje mhuni kama wahuni wengine huwezi kujiafisha kwa kudharirisha Lisu

  • @nasibugunda7927
    @nasibugunda7927 2 วันที่ผ่านมา

    Kama mwenyekiti anachangia milioni 200 toka mfukoni mwake ni wazi kwamba yupo kwenye nafasi hiyo na ataendelea kuwepo hapo ili kusimamia matumizi sahihi ya hela yake

  • @BarakaErnest-y3u
    @BarakaErnest-y3u 2 วันที่ผ่านมา

    Kama hii ndiyo aina ya wapinzani wa nchi ya Tanzania, tena nchi yenye wasomi wengi kiasi hiki. CCM wataongoza sana. Wenje amekosa akili kiasi hiki!!! Salale!

  • @CretusMwalongo
    @CretusMwalongo 2 วันที่ผ่านมา

    Hilo boya watangazaji mnaliamini linacho ongea?

  • @KhalfanJuma-ii4fk
    @KhalfanJuma-ii4fk 2 วันที่ผ่านมา

    Unaongea uongo bila aibu, na uongo wenyewe huendani na ukweli

  • @PendoHaule-t5h
    @PendoHaule-t5h วันที่ผ่านมา

    Mmmmmm hamjui kama mnajiumiza wenyewe kuelekea kwenye uchanguzi? Milioni mia mbili kawaonga wanachama.

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv 2 วันที่ผ่านมา

    Hivi vyama ndio vinazidi kuipa njia CCM 😢😢😢

  • @ntegrity277
    @ntegrity277 2 วันที่ผ่านมา

    Huyu mkenya ni fisadi, taira, Lissu amechangia karibu maisha yake wewe ulikimbia Nchi wewe ni fisadi na huyu ni mjinga tu mnafki wewe ulisema Lissu ni rafiki yako sasa leo unamvua nguo kisa alikuumbua kuwa wewe ni dalali! Kumbe Mbowe anahonga wajumbe

  • @nizarmanji5343
    @nizarmanji5343 2 วันที่ผ่านมา

    Hapo uchaguzi hakuna

  • @StidaEfely
    @StidaEfely 2 วันที่ผ่านมา

    Sasa hawa chadema ,mbona wanatuletea mambo ya chumbani barabarani, kwann wasingemalizana huko huko.

  • @josephmchila6467
    @josephmchila6467 2 วันที่ผ่านมา

    Acha uongo,hatuchagui matajiri

  • @MichaelmotikaLaiser-dl6wm
    @MichaelmotikaLaiser-dl6wm 2 วันที่ผ่านมา

    Mnajaribu kumponda lisu il lisu ndio chadema sasa muondoeni muone mtakavyopoteza wanachama

  • @mohamedothman5792
    @mohamedothman5792 2 วันที่ผ่านมา

    Wameamua kukiua chama kwa style ya kiboya

  • @JohansenRumuliEustace
    @JohansenRumuliEustace 2 วันที่ผ่านมา

    Huyo wenje ni kibaraka wa CCM

  • @lusupi
    @lusupi 2 วันที่ผ่านมา

    Ina maana chama miaka yote hakina akiba yoyote miaka karibia 30 mna 100mil

  • @FredMwamgogwa-td6ni
    @FredMwamgogwa-td6ni 2 วันที่ผ่านมา

    Chadema mnajidhalilisha sana

  • @mohamedturanardan8871
    @mohamedturanardan8871 2 วันที่ผ่านมา

    Ukitaka kumjua Wenje anachuki mbaya, anatamani hata LISSU auwawe sikiliza kwanzia 3:05 - 3:14

  • @RwechungulaBegumisa
    @RwechungulaBegumisa 2 วันที่ผ่านมา

    Nyie wahuni tu,muulize tuhuma alizoelezea juu yake na udarali

  • @mayaniphilipo9256
    @mayaniphilipo9256 2 วันที่ผ่านมา

    Kachangia Au Kakopesha Chama!?

  • @GodfreyBikukan
    @GodfreyBikukan 3 วันที่ผ่านมา +1

    Nyie wote wachumia tumbo acheni kujipendekeza Kwa mbowe ukabila unawasumbua unafikiri tu

  • @nyamarungujr7834
    @nyamarungujr7834 2 วันที่ผ่านมา

    Acha inyesheee😅😅😅

  • @JohansenRumuliEustace
    @JohansenRumuliEustace 2 วันที่ผ่านมา

    Hizo pesa mbowe anaitoa ccm

  • @kassimally6435
    @kassimally6435 2 วันที่ผ่านมา

    Atatoaje pesa na alikuwa anaumwa na anaidaiserikali atatoaje pesa mbona mabunge ya nyuma katoa

  • @SamweliMango
    @SamweliMango 2 วันที่ผ่านมา

    Mbowe vs Wenje..wafanyibiashara

  • @deodatusmugalulamugalula
    @deodatusmugalulamugalula 2 วันที่ผ่านมา

    Wenje anatakiwa amuoe Joan wa Matha mwaipaja maana wanaendana akili na matendo yao

  • @jameskayobera
    @jameskayobera 2 วันที่ผ่านมา

    Huyo wenje ameshakula kula