Allah akuhifadhi shekh Mwaipopo, mtihani mkubwa tunaupitia waislamu wallah, shule za kiislamu hazitimizi malengo ya dini ya uislamu bei zao ni kubwa sana taqwa inapungua mioyoni mwetu na hii ni mtihani mkubwa kwetu. Watoto wetu wanasoma ktk mazingira ya kitwahuti wao wametekwa na kuipenda pesa.
But Mutukula issues needed to be solved. Who owns it? Is it TZ or Uganda historically? The war between Tanzania and Uganda started because of Mutukula Kagera Region.
Kanisa halina njama yoyote dhidi ya uislam na kuhusu idadi ya watu wengi wakristo ni wengi Tanzania kuna mikoa Tanzania miskiti ni ya kuhesabika mfano kwenu mbeya
Mwaipopo hana tofauti na akina Gwajima. Anaongea ukweli wenyefaida kwake na uongo wenyefaida kwake. Tofauti ya akina Gwajima na huyu ni upigaji, wale wanapiga haswaa na huyu ndio bado anatafuta. Uzuri wa Mwaipopo hana miujiza ya kijinga kinga ya uongo yenyelengo la kuvutia watu.
@@hassanimouigni6648 mimi nimesoma na elimu kubwa sana hana uwezo wakunifundisha mimi kwa sababu yeye ajasoma na wewe pia huna elimu ndomaana uwezi fahamu chochote kile zaidi yakuamini upotoshaji labda nikuachie swali moja.je ukristo haukemei dhambi?kwa mfano kuzini kuiba nk je umewai ona shekhe wako anasifia kwa hilo?
@@hassanimouigni6648 ukweli gani anaouongea ? anaongea kwa lengo lakupotosha.je ukristo unapokataza uzinifu ,uongo,kuua,uwizi nk je hayo mbona ayasemi?pia yeye awezi kunifundisha mimi na hali yakuwa amepotea katika njia pana iendayo upotevuni.
Tanzania was used by Israel, USA, UK , EU and Ugandan rebels accommodated by JK Nyerere to overthrow the regime of IDI Amin DADA. See now you brought your M7 to destroy Uganda.One day Nyerere and Idi Amin Dada case will be Judged by almighty God in heaven. Nyerere was the one who dislike Amin Dada just because he was not Muganda but a Kakwa from Koboko West Nile region. Best preacher ever
Nikusaidie,,,kanisa ni mwili si jengo,,,ukienda kwa mwamposa ibada ya jumapili ni more than 15000 per day ukienda efatha dar es salaam ni more than 19000 kwa dar es salaam peke yake
@@ibnually7648 yeye anapima wingi wa waumini kwa ukubwa wa majengo,,,nitajie msikiti wowote ambao WATU zaidi ya 1500 wanafanya ibada kwa wakati mmoja tena ijumaa siku ya ibada!!
Wacha uongo jameni,makanisa hapa Nairobi yanachukua waumini saidi ya elfu kumi,about the richect religion Christianity is leading just do your research well,karibu kwa Ukristo tena ,JESUS IS LORD FOREVER!
Nyinyi wakristo hamna matusi mengine kwa waislam ila nimajini tu hamjitambui maskin Mnafichiwa haki makanisani hamuambiwi ukweli kuhusu uislam nahamuutafuti mutabakia kupotezwa tu
Kama kinavyosema kitabu chenu , kama tunamtumainia cristo basi sisi nimaskini kuliko watu wote Alafu kikasema alielala katika cristo amepotea Kwa hivyo hizo group 2 mko Maskini alafu mmepotea
MA SHAA ALLAH MWENYEZI MUNGU AKUPE AFYA NJEMA NA AKUZIDISHIE ELIMU DUNIANI NA AKHERA IN SHAA ALLAH AMEEN YA RABI ALLAMEEN.
Amiin yarabi jazzakallah khreir sheikh wetu mwenyezimungu akulipe kilakhreir apadunia nakesho akhera
Allah akuhifadhi shekh Mwaipopo, mtihani mkubwa tunaupitia waislamu wallah, shule za kiislamu hazitimizi malengo ya dini ya uislamu bei zao ni kubwa sana taqwa inapungua mioyoni mwetu na hii ni mtihani mkubwa kwetu. Watoto wetu wanasoma ktk mazingira ya kitwahuti wao wametekwa na kuipenda pesa.
Man'shallah sheihk wetu Allah akulipe kila la kheri sheihk wetu
Alhamdulilah mwenyezi mungu atujaalie mwisho mwema tukutane peponi
Mashallah shekhe mwaipopo nakukubali
shekh mwaipopo waambie ukwel sisi waislamu ni wengi na tunajivunia uislamu wetu alhamdulillah
Mashallah
Mashallah ALLAH akulipe kheiry
Hakika allah akishushie wamalaika wa ulinzi juu yako sheikh wetu
Miss you sheikh mwaipopo & mazinge in Tononoka Mombasa
shekh Allah akupe nuru namalipo mema
Allaah Qadir upo sahih sheikh wetu Mwaipopo
Mapepo yanamuogopaje Yesu!
mimi ni mkenya na ni mzaliwa wa mji wa Mombasa, uyasemayo Sheikh ni ukweli kabisa. hio miji uloitaja wakazi wake asilimia nyingi ni sisi waislamu
Mashuleni tukafundishwa Idiamin ni mtu mbaya mradi tuy tucjue memayake
Allah amlipe Idiamin
Mwaipopo hapo kwenye shule nimekusoma Kaka kuna ndugu yangu anadai miezi Mingi sana
Mapepo yaogopa jina Yesuu,Njaa utamkana hata wazazi,
Ukafiriwako kwakua anaogea kweli ndio unasemanjaa lkn mkidanganywa na wajinga wenzenu mnawaita wachungaji mnafurahia nakuto kilamtu alichonacho kumpa mjinga mwenzenu mbona harudishi akasema Mimi sinanjaa Wala sina shida??
Sio njaa ana sema ukweli hamtaki tu ubishi mtupu
@@jamilaalfarsi7712 sawa umempa ukweli mungu akuzidishe hekma ichaallah
Ni kweli tupu Allah akulipe heri
🙏
But Mutukula issues needed to be solved. Who owns it? Is it TZ or Uganda historically? The war between Tanzania and Uganda started because of Mutukula Kagera Region.
Kweli
Nenda kwa mwamposa, nenda kwa gwajima nenda kwa josephat mwingila bado nigeria kwa manabii wakubwa mfano tb joshua ibaada ya kwanza watu elfu 15
Ni kweli kabsaa muislamu mwengine Mombasa huko alimleta chris brown aka perform dakika 90 tu na akamlipa millioni 90 za Kenya
SeMa joho acha kuzunguka
Na mziki ni haram so yeye hifadi yake ni wapi
UKO SAHIHI KABISA SHEIKH MWAIPOPO
Kanisa halina njama yoyote dhidi ya uislam na kuhusu idadi ya watu wengi wakristo ni wengi Tanzania kuna mikoa Tanzania miskiti ni ya kuhesabika mfano kwenu mbeya
Mwaipopo hana tofauti na akina Gwajima. Anaongea ukweli wenyefaida kwake na uongo wenyefaida kwake. Tofauti ya akina Gwajima na huyu ni upigaji, wale wanapiga haswaa na huyu ndio bado anatafuta. Uzuri wa Mwaipopo hana miujiza ya kijinga kinga ya uongo yenyelengo la kuvutia watu.
ulikua mkristo jina na mchngj usie kuwa na imani acha kudanganya watu na hiyo dhambi itaendelea kukutafuna.
Usimchukie bure anakufundisheni utake usitake ana sema ukweli
@@hassanimouigni6648 mimi nimesoma na elimu kubwa sana hana uwezo wakunifundisha mimi kwa sababu yeye ajasoma na wewe pia huna elimu ndomaana uwezi fahamu chochote kile zaidi yakuamini upotoshaji labda nikuachie swali moja.je ukristo haukemei dhambi?kwa mfano kuzini kuiba nk je umewai ona shekhe wako anasifia kwa hilo?
@@hassanimouigni6648 ukweli gani anaouongea ? anaongea kwa lengo lakupotosha.je ukristo unapokataza uzinifu ,uongo,kuua,uwizi nk je hayo mbona ayasemi?pia yeye awezi kunifundisha mimi na hali yakuwa amepotea katika njia pana iendayo upotevuni.
Tanzania was used by Israel, USA, UK , EU and Ugandan rebels accommodated by JK Nyerere to overthrow the regime of IDI Amin DADA. See now you brought your M7 to destroy Uganda.One day Nyerere and Idi Amin Dada case will be Judged by almighty God in heaven. Nyerere was the one who dislike Amin Dada just because he was not Muganda but a Kakwa from Koboko West Nile region. Best preacher ever
Tapeli
Wewe si mkweli, Idd Amin hakuwa mwemaaa hata kidogo
Vita iliyopiganwa Uganda ni nyerere na katoliki. Kama hulijui hilo. Hakuwa mbaya hata kidogo. Brain wash
Kwaio kwann alikuwa anakula nyama za watu
Uyu jamaa ni muongo Sana cjawai ona et Tanzania kuna msikiti dar wa watu million 15 uongo wa phd
Kujiita kuwa nyie ni wengi kuliko dini zingine, fanya analysis vizuri
Huo ndio ukweli. Waislamu ni wengi zaidi ya dini nyingine
Hakua mtu mzuri acha rongo zako anachomwa ku chomwa
We sema ukweli tukusikilize tuwone we na yy nani mongo
@@hassanimouigni6648 🤣🤣🤣🤣he is burning that mazafakaa hamad
Nikusaidie,,,kanisa ni mwili si jengo,,,ukienda kwa mwamposa ibada ya jumapili ni more than 15000 per day ukienda efatha dar es salaam ni more than 19000 kwa dar es salaam peke yake
Wanaohudhuria sio ukubwa wa jengo
@@ibnually7648 yeye anapima wingi wa waumini kwa ukubwa wa majengo,,,nitajie msikiti wowote ambao WATU zaidi ya 1500 wanafanya ibada kwa wakati mmoja tena ijumaa siku ya ibada!!
Wacha uongo jameni,makanisa hapa Nairobi yanachukua waumini saidi ya elfu kumi,about the richect religion Christianity is leading just do your research well,karibu kwa Ukristo tena ,JESUS IS LORD FOREVER!
Yesu Alikuja Kwa waisraeli tu peke yao
Kanisana kuna walio amini wali mwamini nani?walio amini ni waislam hawa endi kanisani
🤣🤣🤣🤣...amini idi🤣🤣🤣...dictator 🤣..
Dah Et alikuwa Mch 🤣🤣🤣🤣
Unachoshangaa ni nini na tuna ushahidi. Hao ndio waliotumwa wakaharibu zanzibar. Unashangaa mchungaji hata maladies wanasilimu
Wale wa2 walo2pwa ziwa Victoria,wewe ndo uliwatupa? IDD Amin hakuuwa,njaa kweli mbaya.
wawe wakati wanatupwa ulikuwepo??
Kka Peter iddi amin alikua mwema sana ujue
Ww unateswa na majini bila kujijua na mwaka huu utapata tabu san
We ni nan na unafaham nin kuhus majin ett....maan ulinitafuta inbox na kuongea ujinga wak jee wew ni kafiri au unahimiza nin kuukejerii uislam wetu
Usilamu sio dini Bali ni dini ya majini na mapepo huo ndio ukweli wng km hautaki utajiju
@@barnabasmajige8473 Kati ya walisilimu na wakristo nani wanafanya ibada yakishetani ktk nyumba zaibada ?? Yani nyie munaabudu mashetani biyakujijua yayomakelele mnayopiga namiziki kanisani hajuikua nimila zakishenani wajinga sananyie mungu anaobwa kwafujo namiziki??
Nyinyi wakristo hamna matusi mengine kwa waislam ila nimajini tu hamjitambui maskin
Mnafichiwa haki makanisani hamuambiwi ukweli kuhusu uislam nahamuutafuti mutabakia kupotezwa tu
Kama kinavyosema kitabu chenu
, kama tunamtumainia cristo basi sisi nimaskini kuliko watu wote
Alafu kikasema alielala katika cristo amepotea
Kwa hivyo hizo group 2 mko
Maskini alafu mmepotea
Pepo zimekuja wewe
Ataww chuki zimekutawala
Hilo la umoja nilakwenu Ila ukrso haupo kwenye ushindani mwaipopo njaa inakusumbua
🙏