Ndio yako mazara; Ingawa Sungura wanakula. kiufupi Mboga nyingi Zina sulfurous compounds ambazo hupelekea sungura kupata mshtuko wa mmeng'enyo na hata kuhara... Tumia Sana Nyasi Kuliko Mboga 🙏🏼
Habar ndug zanguni naomba kujua jambo moja sungura wangu walikua na myaka siwapi maganda ya kabeji sasa nimeanza kuwapa wanajisaidia kinyesi kidogo na kukojoa mkojo mweupe kama maziwa tatizo ni nini
jamani naombeni mnifahamishe juu ya hili mm nimenunua bata mahali sasa sijui kama alipanda ama la kafika anataga ko naombeni kujua je kama niyai limelopatikana bila kupandwa na dume linaweza kuanguliwa kifalanga?
Nyasi ndio chakula sahihi cha sungura, iwapo unatumia maharage badi iwe ni kidogo kama cha ziada. Maharage mengi kwa sungura huchochea sungura kuugua magonjwa ya tumbo kulingana na asili ya gesi zinazozalishwa kama end product katika mfumo wa umeng'enyaji wa chakula.
Hizo ni daalili tosha za magonjwa ya fangus yaliyoambatana na minyoo huenda Tumezungumza sana Katika video zetu nyingi ikiwemo na Hii Kwa ufupi na suluhisho zaidi th-cam.com/users/shortsxcFlS4ObKJI?feature=share
Habar za asubuhi naomba mnisaidie kujua sungura akiwa anakula pumba na kukojoa mkojo mweupe anakua anaumwa nini pili nataka kujua dawa inayochanganywa kwenye pumba inayofanya sungur kukua haraka inaitwaje tatu nimchanganyo upi naweza kuuchanganya kwenye pumba kikawa chakula bora kwa sungura
Ukiona sungura anakojoa mkojo mweupe Mara nyingi si Ugonjwa Bali mwilini mwake anakuwa na madini Mengi ya calcium ambayo anayatoa kupitia mkojo, Zaidi Zaidi ongeza kiwango Cha maji itasaidia kuweka mkojo sawa. Nyasi na nafaka zenye protini nyingi kama soya ni chakula ambacho kinamfanya sungura akuwe Kwa haraka Ndugu Wala hakuna haja yakuingia gharama sana!
@@Ufugaji kuhusu nyasi kwa kipindi hiki hakuna ndiomaana tunawapa pumba nahii hali ya sungura anakua na afya yake Mara siku zinaenda anakonda mwisho Wa siku anakufa tatizo hua ni nini na hilo la kujificha pia eneo lipo la kujifichia
Sehemu unayomtunzia sungura wako hakikisha Kuna sehemu ambayo akikaa anakuwa anajihisi Yuko salama yaani habuguziwi Tabia Hii Mara nyingi inajionesha Kwa sungura wenye aibu Pia huenda Kuna kitu amepungukiwa mwilini/ama pia njaa Jaribu kumwekea kibox chakujificha, kama tabia itaendelea basi tutachukuwa hatua mbadala
Uzazi Wa Sungura ndio unatambulisha idadi ya vitoto vitakavuozaliwa Zaidi Zaidi mbinu rahisi yakumfanya azae watoto wengi tulizungumza Hapa 👇 th-cam.com/video/_9WvudL6Mrk/w-d-xo.html Ndio, unaweza kumlisha sungura boga kama chakula Cha ziada
Ni ngumu sana kutibu kitu kilicho vunjika ingawa Mtaalamu wamifugo anaweza fanya upasuaji na kuunha mguu kwakutumia surgical pins, plates and screws Katika mguu ili kuunhanisha sehemu Moja iliyovunjika na nyingine!
Tunawashukuru kwamajibuyenu mazuri.mungu awambaliki
Amina, naamini unaendelea kunifaika zaidi na vipindi mbalimbali katika channel yetu.
Ndiyo tunawapedasana
Hatakamakiswahili chetu nikingumukusoma mtatusahe
Kiswahili chenu kinaeleweka vyema, ondoa shaka katika hilo!
Asante kwa elimu nzuri 👍
Barikiwa sana ndugu 🙏🏼
Asante sana.
Barikiwa pia kwa kushukuru ndugu🙏🏼
Jaman sungura wangu wamepatwa kama vipele vyekundu karb na jichoni na mwingine kapasuka had mdomo
Hizo ni dalili za fangasi na minyoo sugu, jaribu kupitia video zetu tulizozama zaidi kuhusu minyoo na fangasi kwa msaada zaidi.
Mimi naitwa nduwayo Raymond .natokeya burundi.natakaku uliza sungura anawezakuzaa kablayasiku seladhini? Anaweza akazaa watoto wazuri??
Ndio, inawezekana kabisa sungura kuzaa siku mbili mpaka tatu kabla ya wakati na watoto wakawa vizuri kabisa.
Nataka kuuliza silinzitoyakukuza watoto wasungura.
Gusa kiunganishi hapa chini kwa mwongozo zaidi.
th-cam.com/video/Epws9UDGTx0/w-d-xo.html
Habarizenu.naomba mnisaidie nivizulikumpa sungura mwenyemimba dawazaminyoo???
Tumia ascaris kuchanganya kwenye maji.
@@Ufugaji dawahiyo unaweza ukawapa nawatoto wasugira??
Kulisha sana kabechi sungura kuna mazara yoyote
Ndio yako mazara; Ingawa Sungura wanakula. kiufupi Mboga nyingi Zina sulfurous compounds ambazo hupelekea sungura kupata mshtuko wa mmeng'enyo na hata kuhara...
Tumia Sana Nyasi Kuliko Mboga 🙏🏼
Habar ndug zanguni naomba kujua jambo moja sungura wangu walikua na myaka siwapi maganda ya kabeji sasa nimeanza kuwapa wanajisaidia kinyesi kidogo na kukojoa mkojo mweupe kama maziwa tatizo ni nini
Badilisha chakula uwape nyasi na si kabeji.
Kabeji Kwa uwingi zinaleta constipation Kwa sungura
Kwa sasa nyasi hazipatikan majani ya migomba je nimazuri
Ni kheri utumie pumba na pellets za sungura na hivyo vyakula unavyovitaja viwe kama ziada
@@Ufugaji hizo pellets za sungura ni zipi au unazitengenezaje
Zinapatikana Katika maduka ya vyakula vya mifugo
jamani naombeni mnifahamishe juu ya hili mm nimenunua bata mahali sasa sijui kama alipanda ama la kafika anataga ko naombeni kujua je kama niyai limelopatikana bila kupandwa na dume linaweza kuanguliwa kifalanga?
Ili yai lipate kuanguliwa linahitaji mbegu ya dume.
Mara nyingi Bata huwa wanataga akiwa kapandwa na jogoo.
Huenda mayai yakawa na vifaranga!
Kuku jogoo anaweza kumpanda kanga mbegu ikashika?
Sungura mjamzito akila maharage kuna shida?
Nyasi ndio chakula sahihi cha sungura, iwapo unatumia maharage badi iwe ni kidogo kama cha ziada.
Maharage mengi kwa sungura huchochea sungura kuugua magonjwa ya tumbo kulingana na asili ya gesi zinazozalishwa kama end product katika mfumo wa umeng'enyaji wa chakula.
naomba kuuliza sungura wangu wamepata ugojwa wanatoka vidonda miguuni kwenye kucha tatizo nini
Hizo ni daalili tosha za magonjwa ya fangus yaliyoambatana na minyoo huenda
Tumezungumza sana Katika video zetu nyingi ikiwemo na Hii Kwa ufupi na suluhisho zaidi th-cam.com/users/shortsxcFlS4ObKJI?feature=share
@@Ufugaji shukran
Karibu sana
Je inafa kuanzakufuga sungura wenye wiki mbili
Ni vizuri kuanza kumfuga sungura angali amekwisha kuacha kunyonyoa kutoka Kwa mamaye
(Mwezi na nusu inapendeza Zaidi)
Habar za asubuhi naomba mnisaidie kujua sungura akiwa anakula pumba na kukojoa mkojo mweupe anakua anaumwa nini pili nataka kujua dawa inayochanganywa kwenye pumba inayofanya sungur kukua haraka inaitwaje tatu nimchanganyo upi naweza kuuchanganya kwenye pumba kikawa chakula bora kwa sungura
Ukiona sungura anakojoa mkojo mweupe Mara nyingi si Ugonjwa Bali mwilini mwake anakuwa na madini Mengi ya calcium ambayo anayatoa kupitia mkojo, Zaidi Zaidi ongeza kiwango Cha maji itasaidia kuweka mkojo sawa.
Nyasi na nafaka zenye protini nyingi kama soya ni chakula ambacho kinamfanya sungura akuwe Kwa haraka Ndugu Wala hakuna haja yakuingia gharama sana!
@@Ufugaji kuhusu nyasi kwa kipindi hiki hakuna ndiomaana tunawapa pumba nahii hali ya sungura anakua na afya yake Mara siku zinaenda anakonda mwisho Wa siku anakufa tatizo hua ni nini na hilo la kujificha pia eneo lipo la kujifichia
Nachojua mm soya ni mahindi hivyo unasaga unga ndo unachanganya kwenye pumba au unafanyaje
Maranyingi huwa ni magonjwa ya homa, antibiotics inasuluhisha swala hili
Napia nilitaka kujua sungura mwenye homa hua na dalili zipi
Naomba kuuliza sungura ana watoto wana wiki 3halafu mama yao ameishiwa maziwa nifanyaje na wanaonekana hawananguvu halafu wamelegea
Jaribu kutumia michungu ama soya sambamba na maji Mengi
Itamsaidia sungura kuzalisha maziwa Mengi kwaajili ya watoto
@@Ufugaji soya binzi ndio michungu naunatumiaje
Hapana soya beans si michungu!
Unatumia unga Wa soya kwakuchanganya na pumba ama nafaka zingine kama ngano
Hidawa yakuhala wanapewaje
Kuna aina mbili
✓Dozi ya sindano
✓Dozi Ya Kidonge Katika Chakula
Pia nataka kujua sungura akiwa ana kwangua ubao na kula anakua kamaanisha nini au anakua na tatizo gani
Sehemu unayomtunzia sungura wako hakikisha Kuna sehemu ambayo akikaa anakuwa anajihisi Yuko salama yaani habuguziwi
Tabia Hii Mara nyingi inajionesha Kwa sungura wenye aibu
Pia huenda Kuna kitu amepungukiwa mwilini/ama pia njaa
Jaribu kumwekea kibox chakujificha, kama tabia itaendelea basi tutachukuwa hatua mbadala
Ni nini kinasababisha sungura kunyonyoka manyoya
Fangasi, Minyoo & wadudu kama viroboto n.k
Naomba kuuliza swali ili sungura azae watoto wengi unampa chakula gani? Swali la pili sungura akila boga. Nisawa
Uzazi Wa Sungura ndio unatambulisha idadi ya vitoto vitakavuozaliwa
Zaidi Zaidi mbinu rahisi yakumfanya azae watoto wengi tulizungumza Hapa 👇 th-cam.com/video/_9WvudL6Mrk/w-d-xo.html
Ndio, unaweza kumlisha sungura boga kama chakula Cha ziada
Tiba ya sungura alie vunjika mguu wa nyuma
Ni ngumu sana kutibu kitu kilicho vunjika ingawa Mtaalamu wamifugo anaweza fanya upasuaji na kuunha mguu kwakutumia surgical pins, plates and screws Katika mguu ili kuunhanisha sehemu Moja iliyovunjika na nyingine!
Naomba kuuliza kama sungura manyoya yanapukutika shida ni nini
Huenda ikawa Ni dalili ya Minyoo iliyoambatana na fangasi🙏🏼
@@Ufugaji unamtibuje sungura mwenye shida hii zaidi ya usafi
Ahsante Kwa swali, labda shida ipi hasa uliyoilenga?
Acha ku google material wewe
Sijaelewa mantiki yako!
Wakwangu jicho limepofuka sijui shofar nini
Naomba kuuliza maana huku hakuna dawa za minyoo ya sungura moja kwa moja hivyo kuna dawa itwaayo PIPERAZINE nilikua nauliza inatibu minyoo kwa sungura
Ndio inasaidia sana
@@Ufugaji halafu pia nimeelekezwa na mtaalam nitumie kijiko kidogo kimoja kwenye maji ya Lita tano nisawa au natumiaje maana nawaamini nyie
Yes, sisi na wataalamu ni nyenzo Kubwa sana kufanya kazi na sisi Wafugaji.
Naam kama Mtaalamu kasema kijiko, basi na iwe hivyo!👍