Waleykumusalamu warahmatuLLAHI wabarakatuh, shekhe naomba kuelekezwa kiasi cha kuchanganya mai ward na manyoya ya sungura kwa kutengeneza mafuta ya nywele asanteni
Asalam alykum shukran sana kwa darsa Nakuomba shekh utuzungumzie mada ya kuzuia mimba nivibaya au sio vibaya Na je kuna njia gani sahihi yakutumia inayo kubalika kiislam
Mbona uislamu unavurugwa sana jamani hivi itakuwaje uende kuposa kwa jicho la sungura mbona waganga nyie acheni mambo ambayo mtume hajafundisha mnapotosha umma
Mungu mughufiria
SubhanAllah. Nijuavyo supu ya sungura ni dawa kw watu wenye pumu (asma) mengine mapya kwangu. Alhamdullillah
Nata futa soko la sungura ninao wengi sana
Mungu akupokee kwa rehma zake
Waleykumusalamu warahmatuLLAHI wabarakatuh, shekhe naomba kuelekezwa kiasi cha kuchanganya mai ward na manyoya ya sungura kwa kutengeneza mafuta ya nywele asanteni
Asante sheikh kwa darsa
Wallah nilikuwa naogopa kumla nilijua ni alamu
Jazaka Allahu kheiraa sheikh
Swadakta! Mwenyeee
Masha allah
Kwahiyo kula sungura sio dhambi?
Nafuga sungura naogopa kuwala nikijua hawaliwi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👆👆👆👆unafuga kws faida gani
Asalam alykum shukran sana kwa darsa
Nakuomba shekh utuzungumzie mada ya kuzuia mimba nivibaya au sio vibaya
Na je kuna njia gani sahihi yakutumia inayo kubalika kiislam
m.th-cam.com/video/Us5U67MAdoc/w-d-xo.html
Nusayba Said ninavyojua mimi njia sahihi ni kufuata tarehe za siku zako
@@OfficialJouma shukran
Mbona uislamu unavurugwa sana jamani hivi itakuwaje uende kuposa kwa jicho la sungura mbona waganga nyie acheni mambo ambayo mtume hajafundisha mnapotosha umma
Twayyiiiiibu
Huyu Sheikh aitwa nani? Ama ni Sheikh mjenga nyumba?
baishara sungura wale wako wapate kununuliwa
Google online sungura ndo nyama ambayo inapendekezwa kuliwa kwa wingi duniani
A,a ati macho ya sungura ukila uwende kuposa hukataliwi? dawa hio alieizumbua nani? huma kazi upuzi mtupu. kuhadithia story za kuskia bila kupima.
mbona mengine ni mambo ya kiganga?
Kama ?
Mambo ya posa
@@binrashid8671 elimu ni bahari ndugu yangu
Hakuna cha elimu hapo huyo mtu wa bidaa