Jinsi Yakumpandisha Sungura Azae Watoto Wengi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 49

  • @edwardmayanja6553
    @edwardmayanja6553 6 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana Kwa somo. Napenda kufuga sungura kibiashara, je soko lasungura lipo Kwa hapa Tanzania

    • @Ufugaji
      @Ufugaji  6 หลายเดือนก่อน

      Tunafurahi kama masomo yanasaidia, kwa habari ya soko la sungura ziko video mbalimbali zilizoelezea kuhusu soko la sungura.
      Unaweza tembelea kiunganishi moja wapo kwa undani zaidi. th-cam.com/video/_WWWYc3l_50/w-d-xo.html

  • @videocreatorzz
    @videocreatorzz 3 ปีที่แล้ว +1

    Sungura wangu Wanakua vizuri Sana na Broz Enterprises: nawakubari Sana kamanda👍

    • @Ufugaji
      @Ufugaji  3 ปีที่แล้ว

      Barikiwa Sana ndugu 🤝
      Tunafurahi Kama una Jambo unalipata katika videos zetu.🙏🏼

  • @gitanomuya6363
    @gitanomuya6363 2 ปีที่แล้ว +1

    I like it because l have it

    • @Ufugaji
      @Ufugaji  2 ปีที่แล้ว

      That's interesting, thanks for tuning in!

  • @Winningspiritprimary
    @Winningspiritprimary 7 หลายเดือนก่อน +1

    Naombaa ushauri

    • @Ufugaji
      @Ufugaji  7 หลายเดือนก่อน

      Naam karibu

  • @jumahatibu6423
    @jumahatibu6423 3 ปีที่แล้ว +1

    Sawa brooooo nakubali

    • @Ufugaji
      @Ufugaji  3 ปีที่แล้ว

      Ahsante Sana ndugu Juma!
      Mungu akubariki mnoo kwa mrejesho mzuri 👍

  • @sirahisitresor5026
    @sirahisitresor5026 ปีที่แล้ว

    Jambo aksanty sana kwa ushauri sasa auwezi iyashiya sungura iyo Dike na dume ndani ya chumba kimoja

    • @Ufugaji
      @Ufugaji  ปีที่แล้ว

      Inawezekana kabisa ndugu, walakini hakikisha sungura unaposhika mimba kama dume anakua mkali/msumbufu unamtenga

  • @sephaniakajange3694
    @sephaniakajange3694 3 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe sana

    • @Ufugaji
      @Ufugaji  3 ปีที่แล้ว

      Ndugu Mungu akubariki mnoo pia🙏🏼
      Tuko pamoja Sana✓

  • @MoshaMosha-y7l
    @MoshaMosha-y7l ปีที่แล้ว +1

    Nimefuga sungura wanazaliwa vizuri baada yamwezi wanakufa na idadi Yao wanazaliwa watano lakini hufa Kila mara sielewi Kwa Nini wanakufa au labda Kuna sasa taking a au Kwa vile nimewachanganya pamoja hasta baada kuzaa naomba ushauri

    • @Ufugaji
      @Ufugaji  ปีที่แล้ว +1

      Mara nyingi sungura wadogo wanashambuliwa na minyoo hususani wanapokaribia/acha kunyonyonya.
      Ushauri wakifika umri wa wiki tatu wape vidonge vya minyoo lakini pia chakula chao kisiwe ni mchanganyiko wa vyakula vingi.
      Tumia chakula kikavu sambamba na maji ya kutosha.
      Katika kuwatenganisha na mama yao, ni vyema umuhamishe mama kutoka banda la watoto na si kuwatoa watoto kwa mazingira waliyozaliwa.

  • @Winningspiritprimary
    @Winningspiritprimary 7 หลายเดือนก่อน +1

    Sunguraaa hataki kunyonuesha watoto wanakufa

    • @Ufugaji
      @Ufugaji  7 หลายเดือนก่อน

      Hapa inatakiwa uchukue jukumu la kuwasaidia watoto kwakumshika mamayao awanyonyeshe.
      Angalau mara 3 kwa siku.

  • @SaidNassor-ef2ev
    @SaidNassor-ef2ev 6 หลายเดือนก่อน +1

    kaka sungr wng meiz imeshd ming na bado mpk ss hawajaza

    • @Ufugaji
      @Ufugaji  6 หลายเดือนก่อน

      Pole kwa changamoto ndugu, kwa kawaida inamchukua sungura mwezi mmoja kwa mzunguko mzima wa kupata mpaka kuzaa. Huenda mimba haikushika na kama umewachanganya pamoja na dume yawezekana wanaweza wakawa na mimba. Pia kama hunawachanganya basi ni wakayi sahihi wa kupandisha ikiwa tu sungura wako jike wana umri zaidi ya miezi sita na kuendelea.

  • @zeanasalum6800
    @zeanasalum6800 ปีที่แล้ว +1

    Sungura wangu mazingira zaidi pa kuzalia ni wap kwenye shimo au dum

    • @Ufugaji
      @Ufugaji  ปีที่แล้ว

      Shimo ni zuri zaidi kama ni salama. Yaani kavu, halina wadudu vamizi na lina joto stahiki
      Vinginevyo tumia kiota cha kawaida

    • @zeanasalum6800
      @zeanasalum6800 ปีที่แล้ว

      Sungura wang kazaa je kwa siku ananyonyesha mala ngapi na ni asubuhi mchana au jioni

    • @Ufugaji
      @Ufugaji  ปีที่แล้ว

      Ratiba ya kunyonya mara nyingi ni siri kwa mama sungura
      Ingawa walau mara 2 kwa siku

    • @zeanasalum6800
      @zeanasalum6800 ปีที่แล้ว

      Nina sungura wawil amezaa je watoto wa kiume wanaweza kupanda watoto wa kike je kuna tatizo wakipandana watoto kwa watoto

  • @abdulhassan4009
    @abdulhassan4009 2 ปีที่แล้ว +1

    Naomba unitumie video jinsi ya kuzalisha sungura mwenye mimba (naomba unitumie

    • @Ufugaji
      @Ufugaji  2 ปีที่แล้ว

      Ndugu, hatuna video ya namna ya kumzalisha sungura mwenye mimba Bali tunayo video ya Uzalishaji wa sungura kumi kwa Mwaka
      Ambayo Ni hii 👇 th-cam.com/video/ErsTH0zfLbg/w-d-xo.html
      NB: Sungura Mwenye Mimba Atasimamiwa kuzaa na kazi ya kuzaa ataifanya yeye mwenyewe...
      Kwa habari ya kumzalisha itahitaji ufafanuzi Zaidi🙏🏼

  • @amourtemu3125
    @amourtemu3125 2 หลายเดือนก่อน +1

    Je ni aina gani ya sungura wanakua na maumbile makubwa?Pia unajuaje bread za sungura kwa majina yao kitaalam

    • @Ufugaji
      @Ufugaji  2 หลายเดือนก่อน

      German giants, cherckered giants n.k
      Mfugaji hisika wa sungura hawa huwa na pedegree documents za sungura hawa

  • @victorpascal4551
    @victorpascal4551 3 ปีที่แล้ว +1

    Aisee me Nina sungura wangu jike asa nimemleta dume naona wanakimbiana tuu hata hawapandani asa cjui tatizo ni nin

    • @Ufugaji
      @Ufugaji  3 ปีที่แล้ว

      Unapotaka kumpandisha sungura jike; Hakikisha unamchukua jike kumpeleka katika mazingira ya dume....
      Vinginevyo jike anaweza kumpiga dume, ama dume akaishia kuweka Alana katika mazingira mapya uliyompeleka...
      Otherwise: Waache wakae wawili kwa siku Nzima ikiwa hawajafanikiwa Kupandana....
      Unashauriwa dume awe na Umri wa Mwaka mmoja ama zaidi kwa matokeo Mazuri
      Pia jike awe ana Umri miezi walau kuanzia 5/6

  • @shebbytrante7025
    @shebbytrante7025 3 ปีที่แล้ว +1

    Nitahakikisha nafatilia hadi nielewe vizur kisha niingie kwenye huu mchakato

    • @Ufugaji
      @Ufugaji  3 ปีที่แล้ว

      Hakika Ndugu Vipo Vingi Vya Kujifunza, Pia tunapendekeza: Wakati ukiendelea kujifunza Anza Na Sungura Japo Hata Wawili Kwa Majalibio Zaidi
      Hii itakusaidia kupata mwanga zaidi
      Walakini pia unaweza ukaendelea kujifunza Nasi kwa kadri
      Wataarifu Walio Wako Juu Ya BROZ ENTERPRISES
      Pamoja Tunaweza Kupaa
      ⭐⭐⭐⭐

    • @shebbytrante7025
      @shebbytrante7025 3 ปีที่แล้ว +1

      @@Ufugaji asante sana

    • @Ufugaji
      @Ufugaji  3 ปีที่แล้ว

      Tuko pamoja ndugu 🙏🏼

  • @NeemaMinga-pl8ty
    @NeemaMinga-pl8ty ปีที่แล้ว

    Mimi sungura wangu wako na dume kwenye Banda Moja, je ni tatizo? Ndyo nimeanza kufuga.

    • @Ufugaji
      @Ufugaji  ปีที่แล้ว

      Kama hawapigani inakua haina shida, lakini utakapoweka jike katika Banda Hilo kuwa makini maana inaweza kusababisha wakapigana.

  • @BahatiEmanuel-j2p
    @BahatiEmanuel-j2p 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nipo tanga segera, ninasugura ninafuga, nahitaji mbegu ya sungura mweus,napataje na ni sh ngapi

    • @Ufugaji
      @Ufugaji  7 หลายเดือนก่อน

      Kwasasa mbegu za kuuza hatuna, ijapokuwa tunashauri unaweza tembelea wafugaji wa karibu ili kupata mbegu kwa haraka zaidi.
      Lakini pia kama kuna mfugaji anasoma comment hii, ni fursa pia ya kufahamiana kibiashara zaidi.

  • @BahatiEmanuel-j2p
    @BahatiEmanuel-j2p ปีที่แล้ว +1

    Nahitaji begu ya sungur

    • @Ufugaji
      @Ufugaji  ปีที่แล้ว

      Unahitaji sungura wangapi na uko wapi?

  • @mrmchaky9181
    @mrmchaky9181 3 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo mada ya mwisho hapo ndo naitaka. Navitimiza vyote hvyo na bado sungura hazai. Au ndo kuna kitu kinasemwa mataani kwamba ukipandisha sungura ndugu hawazai🤔

    • @Ufugaji
      @Ufugaji  3 ปีที่แล้ว

      Ahsante Sana kwa hoja Njema ndugu!
      Ili sungura wako jike ashike Mimba/azae, anahitaji afya Bora, Umri sahihi wakupandwa, dume Bora, chakula (Bora na sahihi) pia mazingira Bora.
      Ikiwa umezingatia hayo sungura wako ana asilimia zaidi ya 75% za kushika Mimba; vinginevyo Kuna moja ya kitu muhimu Sana Kama afya/chakula/Umri/upandishaji akijazingatiwa.

    • @Ufugaji
      @Ufugaji  3 ปีที่แล้ว

      Niko Online Kwa Maswala Na Majibu Twende Kazi🙏🏼

  • @yesemsuya7900
    @yesemsuya7900 3 ปีที่แล้ว +1

    Je ni kweli kwamba ukiwapandisha sungura ndugu watoto wakizaliwa watakufa au kuwa walemavu? Na Sungura ndugu ni gani? Waliozaliwa na jikemmoja au waliozaliwa katika banda moja?

    • @Ufugaji
      @Ufugaji  3 ปีที่แล้ว

      Si Kweli; ya kwamba sungura wakipandana ndugu Ni lazima watakufa....
      Ijapokua kupandisha sungura ndugu; Ni hatari Sana kwa vizaliwa (kwasababu damu moja; huwa haiwezi kuunda Kinga mpya yakupambana zidi ya magonjwa/ushambulizi)
      Ndio maana unashauriwa kupandikiza sungura wa Koo tofauti; kwani damu tofauti inajenga kinga Bora kwa haraka Sana.
      Sungura ndugu; Ni wale wanaozaliwa kutoka Chanzo kimoja Kama vile mama/baba na wanawe

    • @Ufugaji
      @Ufugaji  3 ปีที่แล้ว

      Karibu kwa mahojiano zaidi; Mada Hii
      Tutaichimba zaidi Katika video zijazo.....🙏🏼

  • @edaigoelvis4612
    @edaigoelvis4612 3 ปีที่แล้ว +1

    Watoto wa sungula unyonya baada ya siku ngapii

    • @Ufugaji
      @Ufugaji  3 ปีที่แล้ว

      Kwa matokeo mazuri Zaidi Ni wiki 8
      Ambapo watoto wanakua na uwezo wakujitegemea kwa kula