We mtangazaj hujamjua huyu .unasema akadumba alikua mdogo. Tunaemjua alikua na zaid ya miaka 25 enzi hizo anakaa kinondon mosko..Tunamjua vixur alikua dada wa mjini na sio binti
Iv ww unaemuongelea vibaya ivoo xijapenda ww unaonekana kama wale wa mbeya wa mtaa mnaxhinda mmekaa tuu na hautaki maendeleo ya watu.alafu muhuxika ndo anajua umli wake na mama Yake Alie MZAA ww nani.embu acha wivu Fanya kazi acha makathiliko.angalia umli wa watt wako.mnk mm namuamini xana huyu dada xema ana mwili mkubwa xana alafu mlefuu
Hongera SANA mdogo wangu unaiwakilisha singinda vizuri sana. Wasinginda mpooo❤❤❤❤
Tupooooooooooooooo❤❤❤
Hongera sana dada tima nilichokupenda zaidi ni kujitolea kwa watoto ya timaaa MUNGU akuzidishie hapo unapotoa ameeeen
hongera tima nakufatilia vizuli kwenye huba
Tima nakupenda sana❤❤❤
Hongera sana wajina, uko vizuri singida tuko motomoto❤❤
Ilvysm mom princess kish❤❤.....may the universe bless u
❤❤❤❤wasingda tipo sanaaaatuu nabado watasema
Hongera Tima mimi mi shabik wako nakutakia mafanikio mema keep it up mummy❤i
I liker already, she's so humble.
Tima nakupenda ❤❤❤ sna
Hongera tima unakili nzuri utafika mbali
Wanyiramba waga Mashallah 🥰👌
Nakupenda xana MUNGU akubarikii xanaaa wotee
Nimefuray kukuona mwana Moro mwenzangu umesubutu hongera ❤❤❤❤❤mwaaaa my love
ongera dada❤❤
She’s the best❤
Tupo sana kumbe tima ni mnyiramba 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 wanyumban kbc
Nakupenda sana tima❤❤❤ ningependa kuigiza😢
Mashaallh dada mzuri mpele ❤
Ni mzuri sana huyu dada,camera haimtendei haki
Yani tima nilikuwa nakata tamaa ila umenipa nguvu ya kuendelea na kuamini ipo siku nitainuka💪
Oooooh kumbe niwajina langu mashaallah
❤❤❤❤❤❤tima mimi na kupendana lakini wewe sio famillia ya jb wewe nimke wa jb 💯💯💯😂😂😂
Hayo makucha sasa hata hujapendeza
Tima unakili Mungu azidi kukusimamia kwenye kila hatua
Tima hauna majivuno hongera zako
naitwa lizzy natokea arusha naomba unisaidie napenda kuwa mwigizaji
Safisha 📷 unatuaribu macho bana
SIJAJUA KWANINI ILA MTANGAZAJI KAMZIDI MUONEKANO MTU ANAYEMUHOJI.😊
Ni mbaya mmmm!
Wiviz mshamba ww
@@RehemaAbduli-g4b uspende kubishana na camera.
Mansha Allah ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
tribal mate📌
Nimempenda saaaan kidowa❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉❤️🔥❤️🔥❤️🤎✌️👌👌🤌🤌🤌
Msani wangu pendwa
Make up haijakaa poa 😅 but still beautiful❤
Ila tu kwenye hizo page na reality ni kama mtu na dada yake 😮
Umeona eeh😂😂😂😂😂
Mijumba, magari ya kifahari...?OKAY!!!
We mtangazaj hujamjua huyu .unasema akadumba alikua mdogo. Tunaemjua alikua na zaid ya miaka 25 enzi hizo anakaa kinondon mosko..Tunamjua vixur alikua dada wa mjini na sio binti
We ndo mzazi wa tima aunamjua sn hadi miaka yke au😮
Ww ni Kidoa live😅😅😅..Tunakujua vizuri japo mm nakukubali sana@@Hajer-be2kh
😂😂😂 Nichek
Ila jmn 😅😅😅