MBUNGE AANIKA MAOVU YA RC WAKE HADHARANI, ATAKA AKAPIGIWE MAGOTI BAADA YA KUKAMATA WATU WAKE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 24

  • @SabatoMusa
    @SabatoMusa ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Wewe mungu achakibri

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 12 นาทีที่ผ่านมา

    Chawa pro..

  • @silvesterrichardhelenya1319
    @silvesterrichardhelenya1319 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Umeanza vizeri mwisho umeingia kwenye uchawa anayepaswa kupigiwa magoti ni mungu pekee hata samia hastahili kupigiwa magoti anastahili kuheshimiwa

  • @StephenMassawe-z9y
    @StephenMassawe-z9y 59 นาทีที่ผ่านมา +1

    Mbona wengine wakiwekwa ndani huongei au kwa vile ni wa CCM. Acha hizo bhana mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mhh!!!

  • @pueblo148
    @pueblo148 56 นาทีที่ผ่านมา

    Muache queen wetu Yuko smart sana

  • @HamisLeo
    @HamisLeo ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Safi sana mkuu wa mkoa, Ww ni ACT wazalendo, na tz nzma kuna viongz wa wilaya na mkoa wa vyama pinzani

  • @mussaelias3535
    @mussaelias3535 51 นาทีที่ผ่านมา

    Acha kiongozi afanye kazi sababu ww ni mlalamishi sana

  • @DeogratiusAndrew-zi7zv
    @DeogratiusAndrew-zi7zv 11 นาทีที่ผ่านมา

    Hilo bunge linaitwa tukufu lina utukufu gani nyie hata hamuogopi Mwenyezi Mungu ,nisaidieni jamani mnaona hili nitukufu bunge

  • @rejobu9723
    @rejobu9723 34 นาทีที่ผ่านมา

    Mbunge kama huyu ni mzigo kwa wananchi!!

  • @DavidGasper-q6w
    @DavidGasper-q6w ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mkuu wetu wa mkoa yupo very bright acha hzo

  • @richardjafu7404
    @richardjafu7404 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbona hayo mambo yanafanyika sana tu! Mnashangaa Kwa kuwa waliowekwa ndani ni viongozi wa ccm.

  • @HanifaUrassa
    @HanifaUrassa ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu amlinde Rais Samia Tanzania inampenda

  • @BmNasary
    @BmNasary ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Polee kwakazia sotee hisoo ilaa naloo nenoo munguu ndoo anasitahilii kupigiwaa magotii tuu rahisii anafaa kueshimiwaa

  • @davidgeorge9324
    @davidgeorge9324 10 นาทีที่ผ่านมา

    Watumish waserikar wamekua nazarau kama mkurugenz wamanispaa yashinyanga mujim anazarau tunadai hela ukifka anakwambia hakuna Hela kwazaraukabisa mama kua makin kula zitapelea

  • @PeterUmbella-h4k
    @PeterUmbella-h4k 30 นาทีที่ผ่านมา

    Kumbe unabifu na mkuu wa mkoa😂😂

  • @PeterUmbella-h4k
    @PeterUmbella-h4k 31 นาทีที่ผ่านมา

    Ko viongozi wanaotakiwa kuwekwa ndani ni viongozi wa upinzani tu?Ingekuwa walowekwa ndani ni WA upinzani,je ungeongea??

  • @AnnoyedFlowerPot-mr2ps
    @AnnoyedFlowerPot-mr2ps ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Amejisahau haki ya raia

  • @RaphaelMbughi-n1g
    @RaphaelMbughi-n1g 2 นาทีที่ผ่านมา

    CCM MTAELEWA. NENO. KATIBA MWAKANI BILA KATIBA.BUNGENI HAUENDI. MLIZOEA. KUBEBBWA KAMA. YANGA!!!

  • @MuhamedGilala
    @MuhamedGilala 30 นาทีที่ผ่านมา

    Katika wabunge wanao penda kulalamika ni huyu Mh.

    • @JumaParmayo
      @JumaParmayo 5 นาทีที่ผ่านมา

      Naa kama shida iko kwake atulie nini mbaya na wewe

  • @JeremiahKavakule
    @JeremiahKavakule ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kumbe munabifu binafisi

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwa Hiyo imeishaje kuhusu huyo mwanamke?😢

    • @tanzanite9944
      @tanzanite9944 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mbona huulizi huyo mwanaume?

  • @DeusdeditMichael
    @DeusdeditMichael ชั่วโมงที่ผ่านมา

    WAFILIPI 2:9-11
    9 Kwa hiyo tena Mungu alimwadhimisha mno, akamkirimia Jina lile lipitalo kila jina;
    10 ili kwa jina la Yesu kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, na vya duniani, na vya chini ya nchi;
    11 na kila ulimi ukiri ya kuwa YESU KRISTO NI Bwana, kwa utukufu wa Mungu Baba.
    KILA GOTI HUPIGWA KWA BWANA YESU PEKEE.