Mh. Mpima upo vizuri sana. Nimeongeza idadi ya Wabunge watakaonifanya nitoe muda wangu na kuwasikiliza. 1. Mh. Josephat Gwajima. 2. Mh. Aida Kenani 3. Mh. Mpina. Kwa kweli mnaitendea haki nafasi mliyonayo. Asante.!
Asante xn mh mpina akulinde mole unapgana vita vya haki juu ya rasilimali za nchi yetu xema waloshika rungu au walioko kweny ngazi za maamuzi ni madalali wa rasilimali zetu mafisadi watupu
Aksante sana. Kwa kweli na mambo ambayo hayataki porojo. Mikataba, maazimio na makubalino ni muhimu sana kujadiliwa KITAIFA yaani na WABUNGE wetu. Safi sana MR MZALENDO.Japo kwa haya atajitokeza mjinga humo humo bungeni kukusemea ujinga wake. Achana naye simama mwamba.
Ww naibu spika hatukitaki hapo bungeni achia hicho kiti hakikufai mbunge anaongea vitu vya msingi unamkatisha kwa nn? Au unamaslahi na hiyo kampuni ww naibu spika unatia hasira Sana kwenye mikataba hapa kuna sili gani? Uletwe bungeni huo mkataba wananchi tunakamuliwa Kodi alafu pesa zinaliwa na mafisadi
Mr Mpina, anaongea point nziri sana. Cha ajabu, Vice Speaker "Anamkatisha ~ Rudely kama anaongea Shit". Aibu sana. Saa ingine ni kupoteza mda kufuatilia vipindi vya bunge.
Kwa mara ya kwanza nimesikiliza Bunge baada ya lumuona mpina, ifike mahali viongozi wa bunge kama hakuoni aibu kwa watu basi hata muogopenii Mungu, illa uchaguzi ujao Ccm mjipange, mtaiba kura nyingi sana,
Mpina wambie hao wambuke maana hata hawakumbuki ahadi ya magufuli kuwa bwawa likikamilika umeme utashuka bei katika wabunge wote huko bungeni ww ndio mbunge uliobaki kupigania maslahi ya wananchi hao wengine wapo tu bungeni kupongeza uongo badala ya ukweli wasikfikili watanzania tumesahau tunataka umeme ushuke bei
Ndiyo maana tulisema huo mkataba unauhuni mkubwa sana kwanini haipitii bungeni ndiyo utaratibu mtu anaanzaje kufanya kazi wakati wabunge hawajapitia mkataba?
WA-TANZANIA ,MFUMO TULIONAO UNATUMALIZA , KWANI UPIGAJI NI MKUBWA MNO. HII SERIKALI NI YA WAPIGAJI SANA. YAANI NI MH. MPINA TU NDIYE ANAYEYAONA HAYO? WABUNGE WOTE MPO KIMYA KWELI !!!!!!
Hajasema mkataba ni wamiaka mitano bali watawekeza million 200 dollar kwa miaka mitano ndio waanze kuchukua kodi baada mkataba kuletwa bungeni. Tuache upotoshaji hausaidii chochote kwa vizazi hivi na vijavyo.
Unajua wabunge wengi hawajielewi wamekaa bungeni kwa ajili ya nini. Kazi zao kubwa ni kukosoa serikali lakini wao wanaunga mkono serikali hata kama kuna mambo mabovu. Kumbukeni wananchi wanaangalia ila siku wakiamua hamtawazuiia
Binafsi syo muumini sana wa kupiga kura kwasababu huwa zinaibwa ila kwa nafasi yangu nitapiga kura kwa mtu ninayemuamini, kama wataiba waibe wao ila siwezi kata tamaa
Imeenda hiyo mikataba ije bungeni tuone kilichokubaliwa humo! hahaha mweshimiwa muda wako umeisha! je! kwenye hiyo mikataba kunafichwa nini kama kuna maslahi ya nchi? je! kwa nini hailetwi bungeni kama sheria inavyosema?😢😢 wavuja jasho tuendelee kuvuja jasho! ila uzalendo ni vitendo si kauli.😢😢😢🇹🇿🇹🇿🏃🏾♀️
WABUNGE WETU ACHENI WOGA. ACHENI KUTUMIA NGUVU ZENU ZOTE KUISIFIA SERIKALI, WAKATI KUNA WATANZANIA WANAISHI KAMA WAKIMBIZI. NA KUNA WATANZANIA WANAISHI KAMA WAFALUME KWA KUTUMIA MALI ZA WOTE. KUNA WIZI KUBWA SANA
Mhe Mpina Tunavutiwa na Michango yako Bungeni HONGERA kwa Uzalendo wako na hasa Mapato ya Serikali yanayopotea na Pia Mikataba ya DP world kuwekwa wazi Bungeni
Kuna ukoloni mambo leo. Na hii kampuni ya mizigo OPPO WHO ARE THE DIRECTORS? Kodi za mizigo ni kubwa sana kwa wafanya biashara wadogo. Makampuni makubwa yanapitisha mizigo kwa kupigiwa simu. Biashara za wafanya biashara wadogo zinakufa kwa kodi. Hakuna ushindani wa haki wa kibiashara. Speaker wa bunge anajaribu kumuziba Mpina mudomo, je kwa niaba ya nani? TANZANIA IMESHIKWA NA CARTELS. MUNGU MULINDE MPINA WENYE FEDHA WASIMUDHURU
Wa mifugo sio kilimo, yeye alikuwa wazili hivyo kwa wakati ule waliokuwa wabunge si walitakiwa waseme. MPINA yuko sahihi wote wanasisiemu ila kila mzazi anamalezi kwa mtoto wake ndo mana wengine watukutu, wezi, walevi, waumini wa dini kila mtoto na malezi yake kwa mzazi wake.
Kuna watu wachache wameikamata Tanzania. Kwa sasa wanasema mapato yamepanda. Wanaolipa mapato haya ni wafanya biashara wadogo wadogo. Hata mizigo yawo Inaletwa na kampuni iliyoshika uchumi wetu. Kampuni hii ina biashara na maduka Tanzania nzima, kwa kutumia hawa wafanya biashara wadogo wadogo kupitisha miziko ikiwa pamoja na mizigo yawo, kuna uwezekano hawa wafanya biashara wadogo ndiyo wenye kugharamia mizigo yote. Watanzania wengi hawana sauti, na uelewo wetu ni mudogo. Tunategemea wabunge wetu watusimamia na kuicheki serikali. Kwa bahati mbaya,na wawo wengi uelewo wawo ni mdogo na wamejawa uowoga. Mpina anawasimamia watanzania wengi wasiokuwa na sauti. Tanzania ni ya watanzania wote. Huyu Mwigulu asitake kutuziba midomo kwa faida yake mwenyewe. MPINA ANASIMAMA NA WATANZANIA WALIO WENGI.
Ninaomba watanzania tuanze kujenga Sanamu ya mpina ikakae pale kwenye mlango wa nje ya bunge kalibu na crdb hapo nje Ili wapita njia wawe wanamuona maana kiukweli mpina ni tunu ya taifa 😂
Wewe naibu spika kwenye hoja za msingi acha ujinga wa kumkatisha mtoa hoja eti kengele ishalia, mbona wengine muda ukiwaishia mnawaongezeaga..hii inaleta hisia kuwa kuna jambo mnalificha hamtaki liwekwe wazi. Yani hawa DP world wanatudalalia kijinga afu mtu akianza kuliongelea unamkatisha,, hiyo ni dalili ya rushwa juu ya kinachoendelea ktk kampuni hii na yule aliyeileta.
Huyo Naibu spika hafai aondolewe kwenye hiyo nafasi haimfai mpina akiongelea maslahi ya nchi anamkatishakatisha mara mda umeisha hapo tunaona ww naibu spika upo kutetea ufisadi na maslahi yako binafisi tumesha kuona mara nyingi mipna akianza kuongea ukweli unamkatisha maongezi kuwa mda umeisha kwa nn Kama mbunge anaongea vitu vya msingi vyenye maslahi ya nchi kwann usimuongezee muda wa kuongea maana vina tija kwa wananchi na taifa kwa ujumla ww Kama umeshindwa kusimamia Haki achia kiti hicho samweli sitta unamjua?
Huyu nae anazingua bange libandali lilikuwa Lina zalisha hasara miaka nenda miaka Rudi alikuwa apigi makelele leo bandari inaleta faida anapiga malele awa ndiio wanaongwa fedha na mijizi itakuwa kaminywa makende kweny mrija wake
Hana lolote .... Kelele tuu kwani hiyo bandari miaka 60 yote wamefanya nini lakin one year to Dp world alrd ishakuwa wonders... Wabongo bhana alipofanya mtu mpongezeni sio mnatafuta makosa makosa... Bongo bhna
Bado bei Iko juu Sana,pongezi sana mbunge mzarendo
Mbunge wa wananchi karudi kznn tupo pamoja mkuu Mungu akubariki .
Mkuu hongera sana kurejea tena bungeni
Mh. Mpima upo vizuri sana.
Nimeongeza idadi ya Wabunge watakaonifanya nitoe muda wangu na kuwasikiliza.
1. Mh. Josephat Gwajima.
2. Mh. Aida Kenani
3. Mh. Mpina.
Kwa kweli mnaitendea haki nafasi mliyonayo.
Asante.!
We msomi
Umemsahau kishimba
Usiyemtaka kaja❤❤❤❤❤
WA Tanzania hatuna elimu kutosha kuhusu hii sayari majini na dini ki islamu... Kuingia kwenye hii BIHASHARA ila ilisha tabiriwa zamani
Mheshimiwa hakika upo makini umejua kuugusa moyo wa me 🤝🤝❤❤ hakika wewe wafaa .
Bunge lijalo linahitaji kina Mpina wengi sana, na hii ni kutokana na uchaguzi mbaya sana wa 2020
Asante xn mh mpina akulinde mole unapgana vita vya haki juu ya rasilimali za nchi yetu xema waloshika rungu au walioko kweny ngazi za maamuzi ni madalali wa rasilimali zetu mafisadi watupu
Aksante sana. Kwa kweli na mambo ambayo hayataki porojo. Mikataba, maazimio na makubalino ni muhimu sana kujadiliwa KITAIFA yaani na WABUNGE wetu. Safi sana MR MZALENDO.Japo kwa haya atajitokeza mjinga humo humo bungeni kukusemea ujinga wake. Achana naye simama mwamba.
Ww naibu spika hatukitaki hapo bungeni achia hicho kiti hakikufai mbunge anaongea vitu vya msingi unamkatisha kwa nn? Au unamaslahi na hiyo kampuni ww naibu spika unatia hasira Sana kwenye mikataba hapa kuna sili gani? Uletwe bungeni huo mkataba wananchi tunakamuliwa Kodi alafu pesa zinaliwa na mafisadi
@@NdageKitahama😊
Mungu akubariki na kukutunza mh mpina.
Vice speaker mtu anapoongea point unampa upendeleo kuwa Mzalendo basi kidogo!
Mr Mpina, anaongea point nziri sana. Cha ajabu, Vice Speaker "Anamkatisha ~ Rudely kama anaongea Shit". Aibu sana. Saa ingine ni kupoteza mda kufuatilia vipindi vya bunge.
Huyu ni mtetezi wa rasilimali za taifa ninaomba Mungu akuimarishe zaidi
Huyu ndio mbunge anayetetea wananchi
Safi sana Bandar irudi tu aiseee tumechokaaa kufanya kazi na hawa dp
Kwa mara ya kwanza nimesikiliza Bunge baada ya lumuona mpina, ifike mahali viongozi wa bunge kama hakuoni aibu kwa watu basi hata muogopenii Mungu, illa uchaguzi ujao Ccm mjipange, mtaiba kura nyingi sana,
VIVA KOMREDI MPINA.....WEWE NI MBUNGE WA 'TAIFA'....UMEWEKA MASLAHI YA TAIFA MBELE....WATANZANIA TUKO NYUMA YAKO.
Mwanaume kwelikweli
Naww ndoo mubunge was wanachi tuu wengine mambumbu wara Kodi za xerekar
Mashine ya kaz kazin😂😂😂👍
Huyu ndiye mbunge mzalendo ambaye huwa namsikiliza, akimaliza tu kuongea nami naondoka moja kwa moja.😂😂
Mpina wambie hao wambuke maana hata hawakumbuki ahadi ya magufuli kuwa bwawa likikamilika umeme utashuka bei katika wabunge wote huko bungeni ww ndio mbunge uliobaki kupigania maslahi ya wananchi hao wengine wapo tu bungeni kupongeza uongo badala ya ukweli wasikfikili watanzania tumesahau tunataka umeme ushuke bei
Wewe nzalendo wa kweli 🎉
Mpina safi sana
Umeme umepanda bei hm mpina tunatabu sana
Mbungeni Kuna mbunge mmoja wa wananchi
Mbunge mwenye akili nyingi sana
mngu akutunze mpina nakuelewa sana
Like jpm
My president
Mpina ni akili kubwa sana.
Ongera sana kuitetea tannzania na mungu akukumbuke urarapo uamkapo ❤
Ndiyo maana tulisema huo mkataba unauhuni mkubwa sana kwanini haipitii bungeni ndiyo utaratibu mtu anaanzaje kufanya kazi wakati wabunge hawajapitia mkataba?
Kweli huyu mpina ni mzalendo
Iwekwe kanuni. Ingawa kutunza muda ni muhimu. Inapobidi, Kengele isiwe muhimu kuliko mchango wa Mbunge.
Mrituambia umeme wabei nafuu mbona hatuon tunaona ugumu wa maisha unazidi kwa Kasi mavati makubwa
Wambie ukweli mikataba wailete bungen
V16 in da house
SABABU huyu ndani anaumagufuli mm hata urais naona anafaa sasa msiiimpuuze sana nakumkatisha ya kesho hamuyajui anamaajabu yake
Hili lizungu litakuwa linapata faida kwenye hiz issue maana mpina kila anapokosoa utasikia dakika chache muda wako umeisha
yaaani mpina anaitetea nchi mpaka muda hautoshi,anajisikia vibaya anapoambiwa muda umeisha
Tatizo wamkatisha
WA-TANZANIA ,MFUMO TULIONAO UNATUMALIZA , KWANI UPIGAJI NI MKUBWA MNO. HII SERIKALI NI YA WAPIGAJI SANA. YAANI NI MH. MPINA TU NDIYE ANAYEYAONA HAYO? WABUNGE WOTE MPO KIMYA KWELI !!!!!!
Hiii inch umeme bei kubwa hafu majilani wanakula bata hafu tuna sema mama anapiga kaziii 😂😂😂😂
Huyu anafaa kua Trump
Hee leo mnakubali mkataba wa bandar ni wa miaka 5😢😢😢😢
Hajasema mkataba ni wamiaka mitano bali watawekeza million 200 dollar kwa miaka mitano ndio waanze kuchukua kodi baada mkataba kuletwa bungeni. Tuache upotoshaji hausaidii chochote kwa vizazi hivi na vijavyo.
Unajua wabunge wengi hawajielewi wamekaa bungeni kwa ajili ya nini. Kazi zao kubwa ni kukosoa serikali lakini wao wanaunga mkono serikali hata kama kuna mambo mabovu. Kumbukeni wananchi wanaangalia ila siku wakiamua hamtawazuiia
Binafsi syo muumini sana wa kupiga kura kwasababu huwa zinaibwa ila kwa nafasi yangu nitapiga kura kwa mtu ninayemuamini, kama wataiba waibe wao ila siwezi kata tamaa
Mpina agombee urais kupitia chadema atapita kwakishindo mnooooo
Kudaaadeki mpina wanyooshe😂😂
Bwana ni mwema tumikia Taifa mh
Mpina yuko makini saana
Piga Kazi Luhanga!
Mzalendo huyo.mpna nakkbali sana.
Mpina Chukuwa Form ya Urais tutaruka na wewe, ila wakimuweka Mama ,tutaruka na LISSU
Kibaraka
Lini hii, si amepigwa ban huyu
Imeenda hiyo mikataba ije bungeni tuone kilichokubaliwa humo! hahaha mweshimiwa muda wako umeisha! je! kwenye hiyo mikataba kunafichwa nini kama kuna maslahi ya nchi? je! kwa nini hailetwi bungeni kama sheria inavyosema?😢😢 wavuja jasho tuendelee kuvuja jasho! ila uzalendo ni vitendo si kauli.😢😢😢🇹🇿🇹🇿🏃🏾♀️
Ok
Hivi mbunge wa Lushoto mjini ana kazi gani Bungeni maana hata cmjui najua kina Mpina Msukuma na kundi la wapinzani tu
WABUNGE WETU ACHENI WOGA. ACHENI KUTUMIA NGUVU ZENU ZOTE KUISIFIA SERIKALI, WAKATI KUNA WATANZANIA WANAISHI KAMA WAKIMBIZI. NA KUNA WATANZANIA WANAISHI KAMA WAFALUME KWA KUTUMIA MALI ZA WOTE. KUNA WIZI KUBWA SANA
Mtu anatema madini mara kengele ha piri daah
Mhe Mpina Tunavutiwa na Michango yako Bungeni HONGERA kwa Uzalendo wako na hasa Mapato ya Serikali yanayopotea na Pia Mikataba ya DP world kuwekwa wazi Bungeni
Akae atulie ajue kiswahili kwanza aache kukurupuka
Na atulie atapotea kabisa katika chama na siasa ataen̈da kulima pamba huyu kisesa
Me nasemaga sikuzotee ,majembe yapo umoumo ccm ila chadema ni njaa tumboo tu😅
Huyu baba kama namuona anavoandaliwa kutekwa na kuuliwa
Miaka 5 miaka 2 tulikuwa hatuna hizo taarifa
wapinzani alizungumzia haya kabla yake
Chuma kimerudi
Kuna ukoloni mambo leo. Na hii kampuni ya mizigo OPPO WHO ARE THE DIRECTORS? Kodi za mizigo ni kubwa sana kwa wafanya biashara wadogo. Makampuni makubwa yanapitisha mizigo kwa kupigiwa simu. Biashara za wafanya biashara wadogo zinakufa kwa kodi. Hakuna ushindani wa haki wa kibiashara. Speaker wa bunge anajaribu kumuziba Mpina mudomo, je kwa niaba ya nani? TANZANIA IMESHIKWA NA CARTELS. MUNGU MULINDE MPINA WENYE FEDHA WASIMUDHURU
Huyu aje kugombea urais
DP WORLD wanakusanya kodi ? Wamekuwa TRA ? 😅😅
piga msumari hao wanalala
Mpina na mapato km yakwake jmn. Huyu ni mzalendo wa kweli
Amelud amelud
Sasa ndio munamsikia alipokuwa Waziri Wakilimo alikuwa hayaoni
Wa mifugo sio kilimo, yeye alikuwa wazili hivyo kwa wakati ule waliokuwa wabunge si walitakiwa waseme.
MPINA yuko sahihi wote wanasisiemu ila kila mzazi anamalezi kwa mtoto wake ndo mana wengine watukutu, wezi, walevi, waumini wa dini kila mtoto na malezi yake kwa mzazi wake.
Tunakumani mbunge wa taganyika
Mtu anaongea madini unasema kengele ya pili😂😂😂
Ccm haifai kiufupi haipaswi kurudi madarakani
HIVI MPINA MNAMSIKIA AU? TOENI PAMBA MASIKIONI BEBENI NONDO ZA MPINA
Kuna watu wachache wameikamata Tanzania. Kwa sasa wanasema mapato yamepanda. Wanaolipa mapato haya ni wafanya biashara wadogo wadogo. Hata mizigo yawo Inaletwa na kampuni iliyoshika uchumi wetu. Kampuni hii ina biashara na maduka Tanzania nzima, kwa kutumia hawa wafanya biashara wadogo wadogo kupitisha miziko ikiwa pamoja na mizigo yawo, kuna uwezekano hawa wafanya biashara wadogo ndiyo wenye kugharamia mizigo yote. Watanzania wengi hawana sauti, na uelewo wetu ni mudogo. Tunategemea wabunge wetu watusimamia na kuicheki serikali. Kwa bahati mbaya,na wawo wengi uelewo wawo ni mdogo na wamejawa uowoga. Mpina anawasimamia watanzania wengi wasiokuwa na sauti. Tanzania ni ya watanzania wote. Huyu Mwigulu asitake kutuziba midomo kwa faida yake mwenyewe. MPINA ANASIMAMA NA WATANZANIA WALIO WENGI.
Wewe ni Rais ajaye ssh si ustaafu basi ????
Mpina ni jembe langu ninalolikubali
Ccm cha cha mapumbavu siku zote hawataki mtu anaesema ukweli wanapenda wapumbavu wao wa ndio mzee.mpina ndio mbunge mwenye akili ccm .
Apo kwenye Trump umezingua
Mh Mpina ww ni mtu na nusu
Huyu ni Mbunge wangu kwa sasa japo niko Kigoma.
Ninaomba watanzania tuanze kujenga Sanamu ya mpina ikakae pale kwenye mlango wa nje ya bunge kalibu na crdb hapo nje Ili wapita njia wawe wanamuona maana kiukweli mpina ni tunu ya taifa 😂
Wewe naibu spika kwenye hoja za msingi acha ujinga wa kumkatisha mtoa hoja eti kengele ishalia, mbona wengine muda ukiwaishia mnawaongezeaga..hii inaleta hisia kuwa kuna jambo mnalificha hamtaki liwekwe wazi. Yani hawa DP world wanatudalalia kijinga afu mtu akianza kuliongelea unamkatisha,, hiyo ni dalili ya rushwa juu ya kinachoendelea ktk kampuni hii na yule aliyeileta.
Huyo Naibu spika hafai aondolewe kwenye hiyo nafasi haimfai mpina akiongelea maslahi ya nchi anamkatishakatisha mara mda umeisha hapo tunaona ww naibu spika upo kutetea ufisadi na maslahi yako binafisi tumesha kuona mara nyingi mipna akianza kuongea ukweli unamkatisha maongezi kuwa mda umeisha kwa nn Kama mbunge anaongea vitu vya msingi vyenye maslahi ya nchi kwann usimuongezee muda wa kuongea maana vina tija kwa wananchi na taifa kwa ujumla ww Kama umeshindwa kusimamia Haki achia kiti hicho samweli sitta unamjua?
Huyu nae anazingua bange libandali lilikuwa Lina zalisha hasara miaka nenda miaka Rudi alikuwa apigi makelele leo bandari inaleta faida anapiga malele awa ndiio wanaongwa fedha na mijizi itakuwa kaminywa makende kweny mrija wake
Huna akili ww
Walewale ....
Mazungumzo miaka mia kwani hawa watu hakuna watakachokamilisha mpaka mazungumzo yafanyike miaka 10
Mnamkatisha nini hebu mwacheni aongee na hyo mikataba ya dp word muilete bungen tujuwe
Mpina mitano yena na ikibidi uje uwe raisi tuu
Tanzania 40% na DP 🌎 60% duu btz
Ni aibu
Mara nyingi mpina sikumuelewa lakini hii ya leo nimemuelewa vizuri na sijui kwanini spika anamkatisha mbunge akitiririka points, madini tupu.
Nii aibu anawavua nguo
Sio waleo wara jana uweunamsikiliza kwa makini utamuelewa zaid
Kwani kumpa hongera trump amekosea wapi
Anampenda
Hayòmadalamu mnayoanza kutoa ndio yanapoteza muda...trump wa nini sasa
Mkuu amelud eeee😂😂
HISTORIA NGUMU SANA MIAKA 25 TANGU AMEMZIKA MKEWE, LAKINI ANAPITIA MAGUMU SANA EEH MUNGU WEEEEEH
th-cam.com/video/vbRp2X_pO4I/w-d-xo.html
Hembu jaribu uwe Unampigia simu Waziri husika Ili uwe kimya kwa Muda fulani. Ukiwa kimya utapata kitu fulani.
Hana lolote .... Kelele tuu kwani hiyo bandari miaka 60 yote wamefanya nini lakin one year to Dp world alrd ishakuwa wonders... Wabongo bhana alipofanya mtu mpongezeni sio mnatafuta makosa makosa... Bongo bhna
Hongera sana mh. Mpina. Leo nimewaona wawili GWAJIMA NA MPINA.
Wewe unafaidi nini kwaDp
Tupe faida zake
Wonders zipi tumeishaipata kama nchi?
Kuwa muelewa ndg. Hajawakatalia amesema mkataba uletwe bungeni kama Sheria inavyosema !
Mpina ndie mbunge pekee bungeni, wengine wote ni mazoba, alafu kwakukosa akili wanamchukia Mpina