Pamoja na jitihada zote anazofanya mkuu wa mkoa lakini kuheshimu utu wa mtu ni jambo la busara sana wote ni watumishi kama yeye alivyo. Kuna muda hawa watu wanafanya kazi katika mazingira magumu sana
Ukitaka mama Samia akufute kabisa urudi ulikokua endelea kuwakemea au kuwanyanyasa wanawake, kwani nani hajui kama una mke mkuu? Mi sijaona kosa la huyo dada
Chapa kazi makonda hii Inchi inatakiwa wanao wakikisha wananchi wawe na nidhamu kwenye matumiz ya pesa ili iwasaidie watoto wa masikini mim nikupongeza sana kubembembelezana kumeoitwa na wakati
Watanzania tuna matatizo sana mkiibiwa watu kawa kimya kelele watu wakisimama kusimamia mali za umma mnalalamika sijui mnatuchosha bhana mtu aendelee kucheka na majizi we Makonda komaa nayo Majizi yote mpaka yanyooke
Muheshimiwa mkuu wa mkoa huyo ni kama mahakimu na wakulugenzi nchi hii ni mungu watu ipo siku tutakuteua uwe laisi nchi hii ujinga umezidi nikua kama china majitu kama hayo ni lisasasi tu
Viongozi wehu sana , mungu ikomboe Tanzania yangu wehu kama hawa ifike siku watuachie nchi yetu
Wawaachie nchi yenu wewe na nani sasa?
Pamoja na jitihada zote anazofanya mkuu wa mkoa lakini kuheshimu utu wa mtu ni jambo la busara sana wote ni watumishi kama yeye alivyo. Kuna muda hawa watu wanafanya kazi katika mazingira magumu sana
Ni kweli kabisa
Sure
Hawa wafanyakaz walishazoea kuwadanganya danganya wananchi.sasa mtatafutana huko ofisini maana mlikua mnapokea mishahara ya bure, Makonda piga kaz wanaokuchukia waacha wakuchukie ,Mama yangu mh Rais ulifanya vizuri sana kumpeleka MAKONDA Arusha.
nimejisikia vibaya sana
Huyu ndio ziro brain!
Makonda fanya kazi
Sisi tusipokulipa mungu atakulipa
hapa Mh Makonda hakufanya vizuri..dada wa watu amekuwa akijieleza bila shida yoyote..hapa sijaona ni fair kwa kweli jmni
😂😂😂 kukalipiwa kukizidi ndio hapo unapoambiwa ,lete kikombe ,unapeleka kitana.
😂😂😂😂😂 kweli😂😂😂😂😂lete chumvi unapelekwa mwiko😂😂😂😂😂
Sana
Ngoma ililia sana hupasuka .mdogo wangu.😢
😂😂😂
Ukitaka mama Samia akufute kabisa urudi ulikokua endelea kuwakemea au kuwanyanyasa wanawake, kwani nani hajui kama una mke mkuu? Mi sijaona kosa la huyo dada
Kamwe haitotokea hilo weka akilini
Msikilize mtu kwanza Kisha ndio uhoji
Kabisa
Sasa huyu kaleta dharau gani. Mbona kama unamdhalilisha. Issue ya kuwa na mke yani kweli umeona kua anakutaka?
Amtake huyo jangili ampeleke wapi dada wa wenyewe
Makonda Niko na wewe hao wanaosema sijui umemzalilisha ndo wale wezi,wala rushwa na mafisad new vasion of magu
Maskini jamani dada wa watu du
Huu ni mfano mzuri wa kiongozi ambae ni stereotype (mfumo dume) too bad!
Hawa n lazima wakoromewe wanakaa maofisini kungoja ripoti bila kuhakiki ndio utasikia darasa moja limegarimu million 500
Mkuu wa mkoa wa Arusha wa ovyo sana usiwe unawafokea watendaji hivyo kwanza huna adabu mtumishi yeyote yule usimfanye kama mtoto wako
Wehu tu ndio wanaomsifia huyo bwege
Watu wanadhalilishwa , watanzania wajinga wanashangilia
Mwenyewe ni muuaji na jambazi ndugu yetu Ben saanane 😢😢😢
Dada Eng. Yupo VIZURI upstairs, kinacho fanyika nikutimiza Ahadi ya kwamba ziara itakuwa ya moto,
Nae ana mume
Mpaka nimecheka kwa sauti.
Chapa kazi makonda hii Inchi inatakiwa wanao wakikisha wananchi wawe na nidhamu kwenye matumiz ya pesa ili iwasaidie watoto wa masikini mim nikupongeza sana kubembembelezana kumeoitwa na wakati
Haipo sawa hii
Haa! Kumbe huo ndiyo uongozi bora
Biongozi wote Africa mm naonaga wezi tuu wanajiibia wenyewe
Wewe bashite huna hekima na busara, zungumza na wanadamu wenzio kwa hekima na staha hata kama wamekosea.
Unakumbuka alichosema Mzee ngurumo kumhusu? Ni mtu hovyo
.
Maskini dada wa watu
Huyu Makonda jeuri sn nyie mnamchekelea 2 nyie
Sasa unataka tulie kwa wezi
Acha dawa iwaingie nyuma na mbele kotekote
Una mlegezea mkuu macho jambaz ww umeshutukiwa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mm naona ningekosa na kibarua😂😂😂
Mama Mpe uwaziri mkuu huyu anatosha sana kwa viongozi wanao jijari wao na matumbo yao
Kuna mapengo mmoja acheka balaa hapo.
Huu ni udhalilishaji wa kisaikolojia, sasa kwani mke wake anaingiaje hapo jamani
Pastor uchwala ndo wewe
Huyu jamaaa katili sn sn hafai
Nafikiri appearance ya mwanadada imemgharimu, hasa hiyo miwani. Makonda amempassive negatively ikichagizwa zaidi na majibu yao yaliyokosa hoja.
Lakini kweli hata kama mtu kakosea hakupaswa kumwambia hayo
Watanzania tuna matatizo sana mkiibiwa watu kawa kimya kelele watu wakisimama kusimamia mali za umma mnalalamika sijui mnatuchosha bhana mtu aendelee kucheka na majizi we Makonda komaa nayo Majizi yote mpaka yanyooke
Ndo ongea yake jamanii
Uyu dada mpuuz kwely
Mimi sijaona hapo kitu kibaya alichofanya makonda Ila umemuambia ukweli kwamba aongei namchumba wake
Mama mpe uwaziri mkuu makonda nakuomba please atakuachia alama kwenye uongozi wako na atakueshimisha kuliko kuwa na viongozi wezi
Jamani jamani
Mnawafokea fokea wa chini
Akati ufisadi unaanzia ngazi za juu
Sio wote wanajua kutumia microphone
Nadhani ni Mheshimiwa Mkuu wa naniliu...
Ukute huyu ni ex wa makonda😂😂😂😂
Jamani mbavu zangu 😂😂😂
Watendaji mtaomba maji ya kunywa Bila kiu 😅😅😅😅
Hajadhalilishwa kaambiwa ukweli tu
Makonda mi sikuwezi
Acha kufokea watu
Ww nawe ni mwizi pia
Wizi unaonekana katika majibu
Sijapenda lugha iliyotumika kwa huyu dada. Pengine inabidi kutokana na madudu yanayoonejana
Ila Makonda ndio unafanya vizuri ila duh punguza ukali wa maneno usidharirishe wanawake wape nao wajitetee wasikilzwe jamani
Pesa ni za wananchi tueleze vzr pesa zimetumika vp
Huyu mtu no mpumbavu na hila.ansjaribu kumdhalilisha huyu Dada ili aonekane anajua
Kwani shule Yao ikotofauti na shule zingine?!!wezao wamesha maliza na majengo yako vzr wao kulikoni
Bashite anaongea kama Teja maana Teja huwa halina Aibu wala soni ni jitu la mtaani tu lenyewe hata kuporomosha mitusi ya nguoni linaona ni sawa tu😮😮😮
Mkuu wa mkoa mpe mtu amalize kuongea unamvokea sana.
Raisi hata siku moja hukupata kumdhalilisha mtu hadharani. Unampaje mamlaka mtu anayechupa mipaka ya heshima kiasi hiki?
Acheni anadhalilishwa wapi
Hii ndiyo Tz
Muheshimiwa mkuu wa mkoa huyo ni kama mahakimu na wakulugenzi nchi hii ni mungu watu ipo siku tutakuteua uwe laisi nchi hii ujinga umezidi nikua kama china majitu kama hayo ni lisasasi tu
Mkurugenzi siyo mkulugenzi raid siyo laisi kiswahili chetu jamani
@@edsonnelson4464🤣😂😂😂😂nawe jisahihishe chupu
Siyo chupu ni chapu
Mkuu
Vyeo vinapitaga?.
Kamkosea sana huyu dada
Mimi
Makonda ni chizi tu
😂😂😂😂😂😂😂😂
chuga hiyo
He's so creepy and arrogant
Huyu Dada Engineer yuko vizuri ndo sababu vilaza wana feel 'humuliated' akijieleza.....😂😂
Kiongoz Bora mungu akulinde makonda