Rais wa Msumbiji ameanza ziara yake ya siku tatu humu nchini

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 พ.ย. 2018
  • Rais Filipe Nyusi wa Msumbiji ameanza rasmi ziara ya siku tatu humu nchini baada ya kukutana na rais Uhuru Kenyatta katika ikulu ya Nairobi. Filipe alikagua gwaride la heshima kabla ya kufanya mazungumzo na mwenyeji wake. Mazungumzo hayo yalilenga kuimarisha uhusiano wa kibiashara katika mataifa hayo mawili.

ความคิดเห็น •