Maandalizi ya Uchaguzi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ส.ค. 2024
  • Wakenya wametakiwa kumchagua mgombea yeyote wanayempendelea bila ushawishi wowote. Huu ndio msimamo wa umoja wa afrika. Aidha kiongozi wa ujumbe wa umoja wa afrika, aliyekuwa rais wa msumbiji Joaquim Chesano pia alipongeza tume huru ya uchaguzi na mipaka IEBC akisema kwamba tume hiyo imeonekana kuwa na uzoefu na tajiriba ya hali ya juu katika kusimamia uchaguzi,wakati huo huo shirika la Transparency International limedai kwamba Kenya sasa imetekeleza mapendekezo ya tume ya Kriegler kwa asili mia 75.

ความคิดเห็น • 3

  • @Jkemtranslators
    @Jkemtranslators 3 ปีที่แล้ว +2

    Kiswahili kweli ni lugha kubwa

  • @donaldjuma3128
    @donaldjuma3128 5 ปีที่แล้ว

    Some countries are so blessed... From samora to chisano... Good people

  • @KabuchiWanjau
    @KabuchiWanjau 8 ปีที่แล้ว +1

    Joachin Chisano speaking kiswahili