TAZAMA RAIS WA MSUMBIJI AKIPIGA KISWAHILI FASAHA MBELE YA RAIS SAMIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ส.ค. 2024
  • Baada ya kuwasilia kwenye viwanja vya Ikulu, Dar es Salaam, Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi amepokelewa na mwenyeji wake, Rais Samia Suluhu Hassan, nyimbo za mataifa hayo zilipigwa. Amekagua Gwaride la Heshima lililoandaliwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).
    Wawili hao, wamepata fursa ya kufanya mazungumzo kuhusu ushirikiano katika sekta za habari, afya, usafiri wa anga, elimu ma ushirikiano wa kimatiafa. Ujio wa Rais Nyusi pia unalenga kuwaaga Watanzania anapohitimisha miaka 10 ya uongozi wake nchini Msumbiji.
    Kesho Jumatano Julai 3, 2023, Rais Nyusi atakuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa maonyesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam maarufu Sabasaba.

ความคิดเห็น •