Innalilah wainna ilahi rajiuna ya Allah msamehe madhambi yke na umlipe maakazi mema peponi inshaallah ilikuwa nampenda sana kwa ajili ya mungu daah nilitaman kumuona shehe wetu
Mungu akae kwenye kiti na ww kanisani ukae kwenye kiti boss atakua nani? Hili swali zuri sanaa kutoka kwa sheikh yahya ALLAH AMSAMEHE MADHAMBI YAKE NA AMPOKEE KWA MIKONO MIWILI PEPONI AMIIN🙏😭😭😭😭😭😭
Innah liilah wainna illah rajiun Allah akusamehe sana ndugu yetu ama kweli ulitufurahisha sana kwenye usomaji wako wa vitabu vya dini mbali mbali Asante sana umetutangulia nasi tupo nyuma yako Kazi ya Mola haina makosa 🥲🥲🥲🥲🥲
Allah amrehemu kafanya kazi ya allah vizuri kaburi Lake liwe miongoni mwa bustani za peponi aaamin
Sote wa mwenyez mungu na kwake ndio marejeo! Allah amsamehe madhambi yake na amuepushe na adhabu ya kabri.
Innalillahi wainna ilaihi raajiuun, Allahumma ghfirlau warhamau waskanau filjanna, Allah ampe kauli thaabit mpambanaji
Inalillah waina ileyh rajiun. Allah amrehemu Ustadh Yahya
Innalilah waina ilah rajyun allah akujalie pepo iwe makazi yako shekh wetu
Mola amrehemu amsamehe. Na amuingize peponi in shaa Allah
Innalilah wainna ilahi rajiuna ya Allah msamehe madhambi yke na umlipe maakazi mema peponi inshaallah ilikuwa nampenda sana kwa ajili ya mungu daah nilitaman kumuona shehe wetu
Alikuwa ananifurahisha sana akisoma Jaman hadi alikuwa anainuka kabisa yani haangalizii
Allah Ampe PEPO.MAREHEMU YAHYA.(ISMAIL,Hargeisa,Somaliland))
Amiin Ya Rabb
Innalillahy wainaileyhi rajiun ALLAH AILAZE ROHO YAKE PEPONI AMIIN🙏😭😭💔💔💔
Innalillah wainna ilayhrajiun Allah ampe makaz mema inshaallaah
Allah akupe kauli thabit,,, shekh wetuu yahya ulipambaniaa snaa na din ya Allah,,,
Allah Awape Subira familia yake na Jamaa woote.InnaLLLahi wainnaILLAHI TAJUUN.POLELENI SANA
Amiin
Mungu akae kwenye kiti na ww kanisani ukae kwenye kiti boss atakua nani? Hili swali zuri sanaa kutoka kwa sheikh yahya ALLAH AMSAMEHE MADHAMBI YAKE NA AMPOKEE KWA MIKONO MIWILI PEPONI AMIIN🙏😭😭😭😭😭😭
ALLAH akupenuru na kaburi lako liwe miongon mwa viwanja vya pepon
Innaa lillahi wainnaa ilahi rajiuun Allah akupe mwanga kwenye qaburilao
Inalillah wainaillah rajiun subhanallah subhanallah lini jaman huo msiba
Innaaa lillaahi wa innaa ilayhi raajiuwn Ustadhi yahya osea kiyando Allah akuifadhi inshaaallah akuweke mahali salama amini amini amini amini amini amini amini
Innalilah waina ilahy rajiun Allah asameh makosa yk amueke mahali pema peponi
Innah liilah wainna illah rajiun Allah akusamehe sana ndugu yetu ama kweli ulitufurahisha sana kwenye usomaji wako wa vitabu vya dini mbali mbali Asante sana umetutangulia nasi tupo nyuma yako Kazi ya Mola haina makosa 🥲🥲🥲🥲🥲
Na kutufundisha na kutukumbusha,Allah akusamehe makosa yako na sisi sote amiin ammin
اللهم اجعل قبره روضة من رياض الجنة يارب العالمين
Amin
اللهم غفر له ورحمه واسكنه فى الجنة
Inalilah waina ilah rajion polen subra ya rabb
Innalilahi waina illaih rajiun, yaa rabbi mueke mahali pema peponi shekh wetu
Tunakuomba Allah msamehe mja wako Huyu mkunjulie kaburi lake
Mtilie nuru ktk kaburi lake
NA umsamehe makosa yake
Firdaus iwe makazi yake
Yaarabi
ManshaAllah sheikh YAHYA MPE HUYO nakupenda sana may Almighty Allah bless you in your grave
Mbona Yahaya alipotea sana? Alikuwa wapi?
Allah amjaalie pepo ya Firdaus. Aamiiin.
Amiin
MwenyeziMungu amjalie pepo.
Innalillahi Wainnailaihi Raajiuun Allah akupekheri na baraka tele
ALLWAH amsamehe makosa na madhambi yake, Yaa Allwah amlipe JANNAH mja wako Aamiyn 🤲🤲🤲
Innalillah wainna illayhi rajiun
Allah ampe pepo ameen
Allah humma Irhamhu waghfirlahu waskinhu fy Janna
Huyo mpumbavu aliye dislike hana akili
Allah mjaalie mjawako makaaz mema peponi amiin ammin.
Allah mlaze mahali pema
اللهُـمِّ اغْفِـرْ لَهُ وَارْحَمْـه، وَعافِهِ وَاعْفُ عَنْـه، وَأَكْـرِمْ نُزُلَـه، وَوَسِّـعْ مُدْخَـلَه، وَاغْسِلْـهُ بِالْمـاءِ وَالثَّـلْجِ وَالْبَـرَدْ، وَنَقِّـهِ مِنَ الْخطـايا كَما يُنَقََّ الـثَّوْبُ الأَبْيَـضُ مِنَ الدَّنَـسْ، وَأَبْـدِلْهُ داراً خَـيْراً مِنْ دارِه، وَأَهْلاً خَـيْراً مِنْ أَهْلِـه، وَزَوْجَـاً خَـيْراً مِنْ زَوْجِه، وَأَدْخِـلْهُ الْجَـنَّة، وَأَعِـذْهُ مِنْ عَذابِ القَـبْر وَعَذابِ النّـار
Inna Lillah Wainna Illahi Raj'uun sheikh Yahya
Innalilah wanna ilaih rajiuun
Inalirahi wa inalirahi rajoon
Inna Lilahi Wa Inna ilayhi rajiuun
Innalillah wainna ilayhi raajiun
Alihumwa pôle Sana kwa jama islam 😭😭😭 n'a famillia zake
Innah lillah wainna lillah rajiun
Innalillaah wainna ilayh rajiuun
Mashaallah
Innaa lillaahi wainnaa ilayhi raajiuun
MWENYEZI MUNGU AKUPE KAULI THABIT UKO UENDAKO
Allah ampe kauli thabeet!!!
Innalilaahi wainna ilayhir raaj'uu n
Inna lilahi wainna ilahi rajiun
Allahumma ghufirahu WARAHAMAHu firjanah
Inalillahi wa inaillahi rajiun 😭😭😭
Nasikia yahya amekufa
Allah akurehemu yahya akupe jannatul firdaus
Inamana huyu yahaya alikufa na kafa lini
Ashazikwa 😭 jana
kwa hiyo kafa jana na kuzikwa siku hiyo
@@heyumi2340 kafa ijumaa amezikwa jmosi baada ya sala ua alasiri
@@salumbweta7731 dah na ss tupo nyuma yake
Innalillah wainna illayhi rajiun