HABIB OTHMAN MAZINGE | NILIMSILIMISHA USTADH MWAIPOPO AKAINGIA KATIKA DINI YA HAKI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 216

  • @mariumpeter6147
    @mariumpeter6147 3 ปีที่แล้ว +7

    Allah akupe umri mrefu Sheikh wetu kipenzi@HabibMazinge

  • @bellbell9294
    @bellbell9294 3 ปีที่แล้ว +8

    Mashaallah shukraan Sana sheikh mazinge Allah akuhifadhi ww na wenzako wote Allah awape jannah firdausi ya daraja ya juu kabisa Aamiin

  • @ahlanwasahlan373
    @ahlanwasahlan373 3 ปีที่แล้ว +4

    Moja kati ya watangazaji bora zaidi kwenye Tv za Kiislamu. Allah akubariki mtangazaji na Sheikh wetu Mazinge

    • @saidsaydi5426
      @saidsaydi5426 3 ปีที่แล้ว

      Ĺ and a half of you all day

    • @saidsaydi5426
      @saidsaydi5426 3 ปีที่แล้ว

      Said he was a half years

  • @faridahalwaily85
    @faridahalwaily85 3 ปีที่แล้ว +5

    MashaAllaah Allaah Akuhefadhi sheikh mazingeee uzidi kutuelimishaaa.Allaah Akubareek.

  • @AbdulAbdul-pr9qe
    @AbdulAbdul-pr9qe 3 ปีที่แล้ว +8

    Habib Othman Mazinge nakukubali sana maalim wangu

  • @suheibdabuw7296
    @suheibdabuw7296 3 ปีที่แล้ว +1

    Manshaalah sheikh mungu akupe umri mrefu inshaalah

  • @fatumafatuma1459
    @fatumafatuma1459 3 ปีที่แล้ว +1

    Asalam aleykum warahamatullahi wabarakatu Natanguliza samahani kwa nn Othitazi Mazinge uciwaweke kitako Shehe Mwaipooi Na hyo suleiman ukaweka Suluhisho kuliko wanpotaka kufikishana 🙏🙏🙏Nawapenda kwa Ajili ya Allah

  • @husseinibrahim5438
    @husseinibrahim5438 3 ปีที่แล้ว +1

    MA SHA ALLAH
    SHEIKH MAZINGE MAY ALLAH PROTECT YOU AND YOUR TEAM IN THE DA’AWAH GROUP .MAY ALLAH AZZA WAJJAL MAKE YOUR WORK EASIER WITH YOUR ENTIRE TEAM
    ALLAHUMMA AMEEN .

  • @kanyangezafaraniddi6518
    @kanyangezafaraniddi6518 3 ปีที่แล้ว +3

    ALLAH AMUHIFADH sheikh Mazinge nakupata san from🇨🇦🇨🇦

  • @jumakhamis226
    @jumakhamis226 3 ปีที่แล้ว +2

    Jazakamu ALLAH khaira mashekh

  • @hafsaali7976
    @hafsaali7976 3 ปีที่แล้ว +1

    "Mashaallah mashaallah ALLAH AKUEKE shekh wetu mazinge.. Amiin🙏🙏.

  • @shakurumkuruzo9583
    @shakurumkuruzo9583 3 ปีที่แล้ว +3

    Sheikh wangu....mashaAllahu

  • @issafaquedalaura8279
    @issafaquedalaura8279 2 ปีที่แล้ว

    Masha Allah Prof

  • @aziza9093
    @aziza9093 ปีที่แล้ว

    Allah akujaze Hari duniya naaher

  • @aminailiasa1260
    @aminailiasa1260 3 ปีที่แล้ว +3

    Mashallah

  • @abdoulkarenzo3621
    @abdoulkarenzo3621 3 ปีที่แล้ว +1

    shukran

  • @saidymsangi7785
    @saidymsangi7785 3 ปีที่แล้ว +3

    Mash allah Allah akupe umri mrefu

    • @adellsefu2485
      @adellsefu2485 3 ปีที่แล้ว +1

      Masha Allah Allah akuifazi tana kuombeya duwa

  • @TeamKRX
    @TeamKRX 3 ปีที่แล้ว +2

    Subhalaah mwenyezi mungu akupe uhai daah mazinge unamke

  • @ramangadu6451
    @ramangadu6451 3 ปีที่แล้ว +1

    ILLAH KARIM Akupe Umri Twawili Sheikh Letu.

  • @mikaluis4856
    @mikaluis4856 2 ปีที่แล้ว

    Mazinge mungu akulinde

  • @Zanzibar0001
    @Zanzibar0001 3 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah jazaka AllahuHayr

  • @kizamaulidi6004
    @kizamaulidi6004 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah

  • @rahmahersi2116
    @rahmahersi2116 3 ปีที่แล้ว

    Sheikh nakutakia kila la kheri
    Katik kazi ya kimtumikia
    Mola wetu.
    Ameen.

  • @khadijaiddi4887
    @khadijaiddi4887 3 ปีที่แล้ว +1

    Maasha Allah

  • @sundaymkirima4896
    @sundaymkirima4896 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akusimamie sheikh mazinge..napenda sana na mm niwe mwadhiri je kuna nafasi yoyote ya kujiunga???

  • @masala8099
    @masala8099 3 ปีที่แล้ว +4

    Shekhe wetu wa muda wote

  • @aishaissa2691
    @aishaissa2691 3 ปีที่แล้ว

    Masha Allah

  • @TeamKRX
    @TeamKRX 3 ปีที่แล้ว +1

    Jamani Mie toka zamani nazani shekh mazi alikuwa mkiristo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣subhanallah naomba msamaha shekh 🤣🤣🤣🤣🤣🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽daaa alhamdulilah

  • @nijimbereasia6381
    @nijimbereasia6381 3 ปีที่แล้ว

    Babu mazinge tunakupenda kwaajili ya Allah

  • @ummuhumayratnikuchilo1683
    @ummuhumayratnikuchilo1683 3 ปีที่แล้ว

    mashaallah

  • @yahyasaidi2343
    @yahyasaidi2343 3 ปีที่แล้ว

    Allah akubarik

  • @medardissa6253
    @medardissa6253 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu Hana dini kabisa mnajidanganya tu!

  • @hamadsuleiman5177
    @hamadsuleiman5177 3 ปีที่แล้ว +1

    Charles Josef naona umekimbia na hutaki kujibu masuli yangu kwani ya kwako nilijibu, so sasa nakupa public kuhusiana na imani yako ambayo usipotubia utaenda motoni wewe na wenzako wasiokua waislamu na pepo hamutoionja katu..Hemu Soma aya hizi uone namna gani YESU amewakataa wanaomfanya MUNGU na pia kukataa ya kwmba yeye ni Mungu na pia kuwalingania mumuabudu MUNGU 1...nisongee mengi niiwache Quran iongee...refference: Quran 5( 72-75) suuratul maaida, na leo natafsiri kabisa maana huaga hamutafsiriwi makanisani munapotoshwa tu...
    Tuanze aya no 72
    72** Hakika wamekufuru wanaosema Mungu ndo Issa( Yesu) mtoto wa Maryam, na Yesu alisema (kuwambia wanaisraael) Eny wanaisraael muabuduni ALLAH ambae ndo Mungu wangu na wenu, hakika ataemshirikisha Mungu ( kwa kumfanya kua na mtoto) aekewe ya kwmba pepo ni kharamu kwake na makazi yake ni motoni, na madhalimu ( Wanaomfanya YESU kua Mungu) hawatopata wa kuwanusuru( wakaepukana ma adhabu ya Allah)
    73. Hakika wamekufuru wanaosema hakika ya ALLAH ( MUNGU) ana nafsi tatu ya utatu ( Mungu baba, mama, na roho mtakatifu).na ukweli hakuna Mungu isipokua ni mmoj tu. na wasipokoma wakaepukana na haya maneno wanayoyasema ( kumfanya Yesu Mungu) watakuja kupata adhabu kali kwa sababu ya ukafiri wao
    74. Hivi kwanini wasirudi kwa M/MUNGU( ALLAH) wakamtaka msamaha, hakika ya Allah ni mwingi wa kusamehe na mrehemevu.
    75. Hakua Yesu mtoto wa Maryamu ispokua isipokua ni Mtume kama Mitume wengine, hakika walishapita kabla yake mitume (mengi tu) na mama yake Yesu pia alikua mtu mwema, walikua waka chakula ( Yesu na mama yake kama binadamu wengine na kwnda haja na tabia nyengine za kibinadamu), Angalieni ( enyi wanadamu) namna tunavoziweka wazi aya zetu kisha angalieni namna gani makafiri wanavoikataaa haki.
    76. Sema Munamuabudu asiekua allah tena ambae hamiliki kwenu kukunufaisheni na wala kukudhuruni, hakika ya Allah ni mskivu na mjuzi ( anakuoneni mkimshirikisha na anarecord mnachofanya)..
    Chrles na makafiri wengine someni hiyo njitambue mrudi kwenue hako, na waislanu tujijue tuko kwny njia thabit ya kuelekea pepobi...Takbiiir

  • @medardissa6253
    @medardissa6253 3 ปีที่แล้ว

    YOHANA 14;6-9

  • @jamuhuraly1238
    @jamuhuraly1238 3 ปีที่แล้ว

    Alha atuifazi isha alha

  • @nelsonzebedayo8281
    @nelsonzebedayo8281 3 ปีที่แล้ว

    mwenyezi mungu Hana dini,ila mwenyezi mungu alichagua :wanadam tuwe na Imani.Dini ya wanadam haitokufikisha popote,ila Imani tu

    • @abufirdaus4254
      @abufirdaus4254 3 ปีที่แล้ว +1

      Endelea kujipa moyo...
      Mtu akifa katika dini isiokuwa uislam basi ajiandalie makazi yake motoni...

    • @murcwere6415
      @murcwere6415 3 ปีที่แล้ว

      ulishaa potea kupotea kusikua na mfano. sikia sasa unachosema. hiyo ndo pasta anakudanganya.

    • @salmagulam6619
      @salmagulam6619 3 ปีที่แล้ว

      Na auwez kuwa na iman bila kuwa na dini.dini umeamini nini ndio maana ya Iman

    • @allymsuya4751
      @allymsuya4751 3 ปีที่แล้ว

      Yakobo 1:27 hiii dini safi mbele za mungu wa biblia inaitwajeee? Hali wewe unadai mungu hana dini

  • @asdxsa1008
    @asdxsa1008 3 ปีที่แล้ว +1

    Shekh mazinge

  • @mutomubaya
    @mutomubaya 3 ปีที่แล้ว +1

    Shukran Sheikh Mazinge. Lakini pia mna nafasi sasa ya kuwaelimisha Watu kuhusu umuhimu wa kufuata mafundisho ya Salaful Ummah kuhusu Tawhid na Aqidatu Swahiha na Ibadaat, na Akhlaaq zile bora kabisa kama vile Rijaal kuacha ndevu na kina dada kujistiri kwa mavazi ya hijab nk. Na muwakanye wale wanaotapeli watu kwa kuwahadaa kwamba wana uwezo wa kufahamu ilmu ghaib kwa kutazama eti mfumo wa Nyota au kwa kusoma viganja vya mikono nk.....

    • @rayisadesigns2646
      @rayisadesigns2646 3 ปีที่แล้ว

      hawa ni wahadhiri wanaowaleta watu ktk uislam, hilo la kuwafundisha dini ni jukumu la masheikh. lakini chakusikitisha badala ya kuwapa sapoti wahadhiri kuna baadhi ya masheikh na wafuasi wao wamekuwa mstari wa mbele ktk kuwapinga, kuwapiga vita na hata kuwadhalisha wahadhili hawa wakidai kwa hoja nyepesi eti wanachokifanya Mtume hajawahi kukifanya. leo hii tumeshindwa kutofautisha kati ya uzushi na usiokuwa uzushi tumebakia tukiparurana sisi kwa sisi kwa kufata misimamo ya masheikh zetu badala ya kitabu (Qur'an) na Sunna, wallahi huu ni msiba ktk dini.

    • @wahabjuma1539
      @wahabjuma1539 3 ปีที่แล้ว

      Ndugu yangu hospitalini kuna magwiji madaktari tofauti kuna wa meno,oparasheni,macho,ngozi.mifupa yani kila mtu kabobea zaidi kwa kazi yake basi hali kadhalika kwa mashekhe pia hivyo hivyo yeye mazinge ni mzuri kwa kuchambua Quran na bibilia so huezi kumlazimisha afundishe kitu ambacho hana ujuzi nacho saana,nikama dokta wa meno umpe kisu afanye oparation ya tumbo

    • @mutomubaya
      @mutomubaya 3 ปีที่แล้ว

      @@rayisadesigns2646 Allah awaongoze. Lakini na sisi tutaje pale tunaona pana hitilafu ili turekebishane. Watu wengi wanasilimu lakini hawapati msaada wa ki masomo. Hatufai kupuuza masomo katika Uislamu tutakuwa tumejiangamiza. Kwa hivyo, tuwahimize Masheikh wakishasilimu wachukue majina yao na wajue wanakoishi ili wawahimize ma Imaam kuwasajili na kuwasaidia ki masomo ya Nguzo za Uislamu na wajue kuswali na kusoma Qur'an nk. Na kuhusu njia za kuendesha maisha mazuri.

    • @mutomubaya
      @mutomubaya 3 ปีที่แล้ว

      @@wahabjuma1539 lakini kuna baadhi ya malalamiko kuna watu wanawatapeli wenzao. Hii elimu ya mtu kudai ana maarifa ya kusafisha nyota unaielewa?

  • @omanbarka2053
    @omanbarka2053 3 ปีที่แล้ว +1

    Hata mimi nilikuwa sishiki kabisa vitabu vya wakristo lkn nimekuelewa mazinge

  • @macrinajoseph1422
    @macrinajoseph1422 3 ปีที่แล้ว

    Mwisram.wa.kwanza.mke. wa.muhamadi..BIHADIJA . .na marayakwanza. Muhamadi. Anakabiziwa.hiyo dini alikuwa anasrwari.ndani na mke wake. Ndipo. Jibliii. .alipomwambia. Itangaze.dini.yako msiwadanganye. Watu yesu.ni mwisram waarabu wamewarithisha mpaka.ruga

  • @davidmuswi5702
    @davidmuswi5702 3 ปีที่แล้ว

    Matayo 4 . 10

  • @abuhafs4774
    @abuhafs4774 2 ปีที่แล้ว

    mbona sasa bibilia waijua sana kuliko Quraan maana AYA za QURAAN ukizisoma wazivunja vunja kabisa hata aya moja huezi ielekeza vizuri kuisoma inavyo takikana

  • @husseinmgaya1805
    @husseinmgaya1805 3 ปีที่แล้ว

    Mimi naitwa Hussein Mgaya nauliza hivi yule ustaadh kessy ruben yuko wapi sikuhizi na anafanya nini?

    • @medardissa6253
      @medardissa6253 3 ปีที่แล้ว

      Alikuwa mtu wa mipango mipango tu ndio maana unaona mbio za sakafuni

  • @macrinajoseph1422
    @macrinajoseph1422 3 ปีที่แล้ว

    Yohana. 5: 40,,,47 yesu anamkataa mtume muhamadi Soma hiyomistari. Yote saba

    • @pandungozi1072
      @pandungozi1072 3 ปีที่แล้ว

      Nakuomba Mtafute mazinge ukafanye nae debate atakufafanulia utafurahi sana kakaa

    • @murcwere6415
      @murcwere6415 3 ปีที่แล้ว

      kuja kwa dini ya kweli

    • @macrinajoseph1422
      @macrinajoseph1422 3 ปีที่แล้ว

      @@murcwere6415 yesu anaeleweka yohana 14: 4.

    • @shabansalee4924
      @shabansalee4924 2 ปีที่แล้ว

      @@murcwere6415 aji mtu uko ww mungu nabinaadamu nan anae kufa

    • @shabansalee4924
      @shabansalee4924 2 ปีที่แล้ว

      @@murcwere6415 aji mtu uko ww mungu nabinaadamu nan anae kufa

  • @geraldgodsontv7982
    @geraldgodsontv7982 3 ปีที่แล้ว

    Bwana Yesu Asifiweeee

    • @salehesengiyanka5397
      @salehesengiyanka5397 3 ปีที่แล้ว +2

      Acha afiwe

    • @geraldgodsontv7982
      @geraldgodsontv7982 3 ปีที่แล้ว

      @@salehesengiyanka5397 Amen

    • @omarymnola1011
      @omarymnola1011 3 ปีที่แล้ว

      Bichwa lake litajaa misifa sasa

    • @huseinshedrack6180
      @huseinshedrack6180 3 ปีที่แล้ว +1

      Asifiwe na nan kwan ana ndgu Dunian...? Ndgu zake wote wamesha kufa acha kumsemea mabaya Yesu bhn

    • @hamadsuleiman5177
      @hamadsuleiman5177 3 ปีที่แล้ว +1

      Yeah kwa sababu alikua mtume muongoni mwa Mitume tena mitakatifu sana...Ila siku ya kiyama atakataa mbele ya Mungu ya kwmba sikuwaambia watu wanifanye Mungu...

  • @barazaadonias341
    @barazaadonias341 3 ปีที่แล้ว

    Mimi nataman kuwa muhadhili nitasaidiwaje

  • @mirajisalehe742
    @mirajisalehe742 3 ปีที่แล้ว

    Baada ya kusoma Bibilia bado hujagundua kuwa Yesu Kiristo anakoa ? Ndiye mwokozi wa ulimwengu Ukamjia?fuatilia nchi za kiarabu wanamjia Yesu makundi kwa makundi. Yesu anatuita sisi waisilam tukabatizwe na kuzishika amri zake ili tuingie mbinguni ,Bila Shaka tukimkataa yeye naye atatukataa sisi siku ya hukumu,tuchukue uamuzi Sasa.

    • @binahmedjuma8681
      @binahmedjuma8681 3 ปีที่แล้ว

      Una uhakika na uliyoyaongea? Sasa kwanini mwokozi alishindwa kujiokoa mwenyewe pale msalabani?

  • @charlesjoseph2092
    @charlesjoseph2092 3 ปีที่แล้ว +1

    Ukisoma Biblia Vizuri Na ukasoma Qurani Vizuri huwezi kubakia Muislam hata Siku moja

    • @kababayeemc6714
      @kababayeemc6714 3 ปีที่แล้ว

      Chizi wewe

    • @sonaratanzania5573
      @sonaratanzania5573 3 ปีที่แล้ว

      Tena qhafili kabisa

    • @sonaratanzania5573
      @sonaratanzania5573 3 ปีที่แล้ว

      Cjui limekujaje huku

    • @mutomubaya
      @mutomubaya 3 ปีที่แล้ว +1

      Unajaribu kupotosha Dini kama walivyokuwa wanajaribu kufanya wapotoshi (Wafarisayo na Makuhani) waliokuwa katika enzi ya Mtume Isa, Ambaye sasa mnangangana mnavyongangana mkitaka kumbadilisha jina, eti aitwe Yesu. Bidii ya kuwapotosha watu.....mnadhani ....itawapeleka wapi?

    • @charlesjoseph2092
      @charlesjoseph2092 3 ปีที่แล้ว

      @@mutomubaya kwani ukweli upo wapi?

  • @hafsaali7976
    @hafsaali7976 3 ปีที่แล้ว

    "Mashaallah mashaallah ALLAH AKUEKE shekh wetu mazinge.. Amiin🙏🙏.

  • @gharibislam1586
    @gharibislam1586 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah

  • @alicesamson6316
    @alicesamson6316 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah

  • @AliMohamed-ng5ps
    @AliMohamed-ng5ps 9 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah