LIVE: RAIS DKT. JOHN P. MAGUFULI AWAAPISHA VIONGOZI WATEULE IKULU CHAMWINO, DODOMA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ก.ค. 2020

ความคิดเห็น • 24

  • @majaliwakessy7086
    @majaliwakessy7086 4 ปีที่แล้ว +1

    Rais magufuli kazi umeifanya na unazidi kuifanya maana watanzania tunaona.Mungu akubaliki sana.

  • @ericgeorge7405
    @ericgeorge7405 4 ปีที่แล้ว +6

    My president👍🏻......my GOD bless you🙌🏻

  • @antonykashube2065
    @antonykashube2065 4 ปีที่แล้ว +4

    Rais John Pombe Magufuli kafanya kazi iliyotukuka. 2015-2020 imefanyika kazi ya miaka 100.

  • @revocatusedward5739
    @revocatusedward5739 4 ปีที่แล้ว +2

    I'M PROUD TO HAVE A PRESIDENT LIKE MAGUFULI, I'M ALSO HAPPY TO TANZANIAN CITIZEN SINCE JOHN TAKE ALL OVER THE POWER

  • @alexchandi2335
    @alexchandi2335 4 ปีที่แล้ว +3

    Hivi kwa Tanzania yetu, kuna kiumbe ambacho hampendi JPM? Huyo asiyempenda JPM atakuwa ni JIZI au Lichawi..Mungu mbariki JPM, Dunia nzima inakutambua na dunia nzima wanatega masikio kukusikiliza Mh. JPM pindi uongeapo. I wish you my president all good health and a long life.

  • @cindylove231
    @cindylove231 4 ปีที่แล้ว +5

    Tanzania yangu🤝

  • @paulswala6151
    @paulswala6151 4 ปีที่แล้ว +4

    samahan jamani naiomba hiyo beat ya kizalendo

  • @mangegervas9651
    @mangegervas9651 4 ปีที่แล้ว +1

    Nakwamin rais wangu jpm... Tuongoze Mkuu tuwe na uchumi mzuri

  • @geja8708
    @geja8708 4 ปีที่แล้ว +2

    Wewe mtu ni mkuu wa mkoa unaacha unaenda gombea ubunge yaaan unatoka kuwa boss wa wilaya Zaid ya 5 au 6 mfano unaenda gombea kajimbo ambapo, ndani yake kuna kata kadhaa Kama mm siwezi aisee love you Mr president wangu

    • @ndiozetu1712
      @ndiozetu1712 4 ปีที่แล้ว +1

      Mzee watu wanaangalia maslahi zaidi

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 4 ปีที่แล้ว +1

    Kabudi, so smart

  • @saidomar6806
    @saidomar6806 4 ปีที่แล้ว

    Huyu ndo Rais imara Tz 🇹🇿🇹🇿🤗🤗👮👮

  • @sinaichugamashala9915
    @sinaichugamashala9915 4 ปีที่แล้ว +2

    👏👏👏

  • @roberthinju6634
    @roberthinju6634 4 ปีที่แล้ว +1

    asante saaana

  • @selemanseed2476
    @selemanseed2476 4 ปีที่แล้ว +2

    Huwa najiuliza Endapo Muda wa Raisi wetu kipenzi utafikia tamati je sisi watanzania masikini tutampata mkombozi kama huyu?? Eeh Mungu tusaidie sana tupate kama MAGUFULI na tulindie Raisi wetu awe na afya njema na maisha marefu..🙌

    • @mangegervas9651
      @mangegervas9651 4 ปีที่แล้ว

      Tutaandamana aongeze miaka kumi tena au mitano tu

    • @mangegervas9651
      @mangegervas9651 4 ปีที่แล้ว

      Tutaandamana aongeze miaka kumi tena au mitano tu

  • @omarisjuma3198
    @omarisjuma3198 4 ปีที่แล้ว

    Mollah Ibariki Tanzania

  • @nelmisana919
    @nelmisana919 4 ปีที่แล้ว

    Mshua am so proud of you to the grave🙏

  • @emanuelshayayi54
    @emanuelshayayi54 4 ปีที่แล้ว

    Furaha na raha kwa nchi yangu.Mh.Rais utakuwa hapo mpaka ushindwe kuongea kwa uzee.Ndiyo tuchague mwingine tena.

  • @mayaltv9441
    @mayaltv9441 4 ปีที่แล้ว

    Vinywaji na viburudisho

  • @albertinamichael6123
    @albertinamichael6123 3 ปีที่แล้ว

    Mi Niko nje ya nchi natamani nirudi hata jana JPM juu zaidi

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 4 ปีที่แล้ว

    jmni Mh. Jafo kuna zahanati inayojengwa kule iringa ulienda ukakuta 950Mil walipewa ila jengo ni lidogo na halijaisha...sasa ukalalamika ila hatujaona ukimfuatilia huyo msimamizi ambae ulisem; "kwanza miwani yako ni meusi kwelikwel" ila hukutoa solution ya hizo pesa zilizotumika jmni

  • @japhetseth4179
    @japhetseth4179 4 ปีที่แล้ว

    Hapa kaz tu