Mimi ni Mkongo 🇨🇩 lakini nyimbo za kitanzania ziko moyoni mwangu, maana tangu ujana wangu nilikuwa mpenzi wa muziki wa Tanzania, shukrani zangu za dhati kwa wasanii wote.Watanzania kwa sababu unaifanya nchi yako iwe fahari .❤❤❤❤
Hawa ndo waliimba mziki halisi wa bongo fleva kabisa,kweli kabisa old is gold!!! ila hawa wa Leo wote wamekuwa mawakala wa inchi za kigeni na kusahau kwao!!!!!big up sana bro popote ulipo!!!! All the way from USA!!
Man maji man water. I just like this guy with his voice.Sauti yake inafaa kuimba reggae.Ananirudisha pale Shinyanga maeneo ya Kolandoto college of health sciences kando na rami yakwenda Rock City
20% ulipiga bonge moja la ‘metaphor ‘....wengi wanajua umelenga humtaki demu’ kumbe ulipiga fumbo la figisufigisu zilivyoanza kwa maboss wa muziki ‘ Na Ndio ukaondoka kabisaaaa ‘ UKAJIWEKA PEMBENI...!

Hii ngoma haichuji aisee, maisha ni yale yale yanaendelea, gonga like Kama bado unaielewa hii nyimbo
Tunaoichek hii ngoma 2023 button >>>>>>>>
🎉hongera sana kaka,,nyimbo zako zanipa uwepo wa kesho ,,,still on tune till now 2024❤
Jamaa huyu amekosa bahati, binafsi bado sijaona kama yeye maana nyimbo zake zoooote zina ujumbe na hazipitwi na muda
Wa 2020 kama upo gonga like twende sawa
Up to 2024 tunaruka nayo ngoma kalii
Ya nini malumbano 2020 gonga like
Hawa ndo waliimba mziki halisi wa bongo fleva kabisa,kweli kabisa old is gold!!! ila hawa wa Leo wote wamekuwa mawakala wa inchi za kigeni na kusahau kwao!!!!!big up sana bro popote ulipo!!!! All the way from USA!!
Daah nyimbo za 20% percent zote zimejaa ujumbe asee no any one like u in bongo music .
Still listening to this song 2024....
Ambao tunaish na hii ngoma hii 2020 tia like jap kdg jmn
Man maji man water. I just like this guy with his voice.Sauti yake inafaa kuimba reggae.Ananirudisha pale Shinyanga maeneo ya Kolandoto college of health sciences kando na rami yakwenda Rock City
20% ulipiga bonge moja la ‘metaphor ‘....wengi wanajua umelenga humtaki demu’ kumbe ulipiga fumbo la figisufigisu zilivyoanza kwa maboss wa muziki ‘ Na Ndio ukaondoka kabisaaaa ‘ UKAJIWEKA PEMBENI...!
2022 still a lit 🔥 when songs were originally released
Tunaotizama mwaka 2024 tujuane ❤❤❤❤
Old is gold kama uko hapa 2024feb you are a legend of old school bongo music ❤❤❤
15.01.2020
Kam mdaa uu unausikiliza like me 2024
Ambao tunaangalia saiv gonga tano 👊👊👊👊👊