BSS 2022 S13EP02 FULL SHOW

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024
  • Tazama Full Episodes mpya za BSS SEASON 13 kwa wakati kwenye ST Swahili kila Jumapili saa 3 usiku, kupitia dikoda ya Startimes au App ya Startimes ON
    :Vionjo vipya (BSS EXTRA) ni kila jumatatu, jumatano na Ijumaa saa 2:30 usiku ndani ya StarTimes Swahili Channel
    Bongo Star Search All Star
    Follow Our Pages
    Facebook: / bongostarsearch
    Twitter: / bongostarsearch
    Instagram: / bongostarsearch
    SnapChat: BongoStarSearch
    TikTok: bongostarsearch
    Channel Administered by Slide Digital
    Instagram: / slidedigitaltz

ความคิดเห็น • 190

  • @benjaminmaryson5580
    @benjaminmaryson5580 ปีที่แล้ว +3

    I think these guys are confined into their own. Kenyans love love good music regardless of the language. We are diverse and yes, it's a win.

  • @alimajaliwa6049
    @alimajaliwa6049 ปีที่แล้ว +10

    Master show ni kubwa sio ya Tanzania tu..Acha kuangalia watu wenye wako kwa show tu.sisi tunafatilia kwa mbali..from 🇰🇪

  • @cynthiaomondi6125
    @cynthiaomondi6125 ปีที่แล้ว +8

    Asangwile sang so well, I am Kenyan and I enjoyed his performance, the essence of one being a star is to be diverse and captivate all corners. I do not buy Master J's notion of the participants singing only in Tanzanian dialect that is so limiting. Many participants have sung so well, remember this is not just a Tanzanian show, so the judges really need to get out of that cacoon and allow participants explore. Music is music, let us be diverse and embrace all genres!

  • @kenty101
    @kenty101 ปีที่แล้ว +8

    Yeah.. What she said is true.. You guys should judge her voice that's what these competition are for.. Language has nothing to do with it.. Au basi andikeni mkija mje kuimba kiswahili master J saying kwamba kama kuimba kiswahili in Russia.. It is out of point.. Music is one language that everyone understands... We all sing bloody despacito.. Do we even knw what the freakin he'll that is. But the molody the voices mahn.. So y'all judges com on u can do better.. If u wanna crush something because you simply hater or dislike her.. Be bold to say it.. Don't call these people to come sing and disrespect their opinion or choice of songs. .. Shilole.. What vocal range does she have.. Come on.. She is amazing business wise but music wise and I say this respectively.. Shut the hell up.. Still love u but no.. That was rude

  • @andrewwandera186
    @andrewwandera186 ปีที่แล้ว +3

    Nairobi gossip club ndio imenileta hapa!!🤨🤨🤨

  • @DIANAPHENNY-Kenya
    @DIANAPHENNY-Kenya ปีที่แล้ว +7

    Theo is a star. Ata iyo band yake ya yamoto ni moto kabisa. He is a good perfomer, and his voice is unique

  • @elvislangat6464
    @elvislangat6464 ปีที่แล้ว +4

    SEMA waTZ mpo vizuri sana napenda kila mtu hapa kwenye bss,afanye vizuri ama vibaya me nkpnda❤️❤️❤️coz I know pia mastar wakubwa pia walianzia chini....hakuna mtu aliamka 2 Leo akasema nataka kuwa star mkubwa no lazima upitie mahali wengine walipitia,uki_fail Leo kesho ni siku never give up in this life polepole ndio mwendo hurry hurry as no blessings lv u TZ🥰🥰🔥🔥

  • @janeatieno9423
    @janeatieno9423 ปีที่แล้ว

    Asangwile sang so well... Aliimba nyimbo nzuri sana la Kikenya

  • @beatricewanja6967
    @beatricewanja6967 ปีที่แล้ว +3

    It's so sad to see how we Kenya's support this Tz artists yet they can't return the support back

  • @amandasamba1287
    @amandasamba1287 ปีที่แล้ว +1

    Ingependeza sana kama wanapo jitambulisha waseme social media names zao na watangaze nyimbo ambazo wameimba so far .

  • @ufundi_tz
    @ufundi_tz ปีที่แล้ว

    BARNABA the Best Judge big Up...!!!

  • @rabekamwanja1747
    @rabekamwanja1747 ปีที่แล้ว +5

    Naipenda bss♥️♥️♥️

  • @abujhene254
    @abujhene254 ปีที่แล้ว +1

    This master J WILL FOREVER BE LOCAL

  • @MoyiSanJose-eg1nr
    @MoyiSanJose-eg1nr 6 หลายเดือนก่อน

    "Lakini nawahakikishieni mnaenda kutoka na mawimbo yenyu mabovu.''😂😂😂Master unamaliza sana, we mkali kweli.

  • @ngwacahnyagwaswa9979
    @ngwacahnyagwaswa9979 ปีที่แล้ว +5

    Jaman Bruce black beauty na Dimpoz zake so cute am your Fan umeimba vzr

    • @SADEE._
      @SADEE._ ปีที่แล้ว

      Hivi beautiful hutumikaga hata kwa wanaume me sijui 😂

    • @asmahassan5661
      @asmahassan5661 ปีที่แล้ว

      @@SADEE._ ndio my

  • @janeatieno9423
    @janeatieno9423 ปีที่แล้ว

    Waaimbaji wa master leo wameimba vibaya sana

  • @mrishomkolela4633
    @mrishomkolela4633 ปีที่แล้ว +27

    Sioni kama shilole anafaa KUWA jaji Hana hekima, maarifa, na kutoa maamuz yatayomtia moyo mtu, bt Barnaba big up

    • @chakuboyofficial9720
      @chakuboyofficial9720 ปีที่แล้ว

      Naku Bali shilole ajuwi ku jaji kabisa 💯💯

    • @SpizesMuzik
      @SpizesMuzik ปีที่แล้ว

      Ukweli

    • @ngwacahnyagwaswa9979
      @ngwacahnyagwaswa9979 ปีที่แล้ว +2

      Yaan hajapewa chance ya kuongea yeye anakurupuka

    • @SADEE._
      @SADEE._ ปีที่แล้ว +3

      Ye mwenyewe kuimba hajui ndo atajua kujaji ao anao wajaji wanaimba kuliko hata yeye

    • @beautyibrahim8428
      @beautyibrahim8428 ปีที่แล้ว +4

      Sijui ata waliangalia vigezo gan wakamuweka shishi

  • @westcijosh
    @westcijosh ปีที่แล้ว

    Bongo star search ya saiv imefanyika kimya kimya sana au imeisha m ndio sjui?

  • @aishakimaro9758
    @aishakimaro9758 ปีที่แล้ว +3

    Shishi wew mwenyewe hujui kuimba

  • @catherinemasiga6666
    @catherinemasiga6666 ปีที่แล้ว +2

    Kweli kaimba vibaya

  • @hansmosses9422
    @hansmosses9422 ปีที่แล้ว +11

    Dada alieimba helo 😅😅 kaona awachane tu... kwamba Bss wako local

    • @robsondalink6206
      @robsondalink6206 ปีที่แล้ว

      Aimba english na shilole ata hajui huon kam ni mateso kwa judge shilole😂😂😂

    • @lucialeonard2675
      @lucialeonard2675 ปีที่แล้ว

      Alichosema kinamaana kwel na nimempenda

    • @housnayousif780
      @housnayousif780 ปีที่แล้ว

      @@robsondalink6206 🤣🤣🤣🤣🤣🤣kuna kaukwel ndan yake

    • @nzeyimanaabdallah131
      @nzeyimanaabdallah131 ปีที่แล้ว +1

      Uvumilivu ulimshinda 😅

  • @mumyhendry2919
    @mumyhendry2919 ปีที่แล้ว +4

    Yaan ukitaka kujua km kitu ni kizur soma comment kwanza you'll not lose your MB

  • @victorjoseph3898
    @victorjoseph3898 ปีที่แล้ว

    Wanajudge kuhusu uwezo wa kuimba au aina ya nyimbo za kuimba inaonesha wako kwa ajili ya kupromote local songs na sio kuimprove uwezo wao wa kuimba

  • @kitunganolwebo7570
    @kitunganolwebo7570 ปีที่แล้ว +8

    Tatizo mnakawiya sana ku UpLoad maana kipindi hichi kina siku nyingi

    • @Momo_96
      @Momo_96 ปีที่แล้ว +1

      Waambie Waige Hata BGT Na AGT Wanavyo Upload On Time Wanabore😏😏

    • @kitunganolwebo7570
      @kitunganolwebo7570 ปีที่แล้ว

      Habari imewafikiya 👍

  • @elizabethmwikali7341
    @elizabethmwikali7341 ปีที่แล้ว

    Iyo nyimbo ya nani

  • @msauzbusiness558
    @msauzbusiness558 ปีที่แล้ว +1

    Mko vizur xn 💪

  • @andersonnyonyi3859
    @andersonnyonyi3859 ปีที่แล้ว +6

    Majaji wafungue BSS wasiangalie uimbaji unaojikita Tanzania tu, let it be a great forum for talents at global level, mtoe mtu Kwa vigezo vya kipaji

  • @johnco8756
    @johnco8756 ปีที่แล้ว +1

    Judging according to language is unfair as long as they want all of africa to watch this

  • @robertadrian2559
    @robertadrian2559 ปีที่แล้ว

    Ila we master jay na wewe msenge msenge sana sana lugha wanyokoooo

  • @mbelecibarbia7271
    @mbelecibarbia7271 ปีที่แล้ว +4

    Habari yenu mimi ninawafatilia sana kwa nini munakataza wasanii kuimba kingereza na kipindi ninyi munaongea kengreza?

  • @wyckiewicked219
    @wyckiewicked219 ปีที่แล้ว

    Master Jay ni judge namtambua sana. Lakini kusema nyimbo za Kenya hazifai Bongo star search ni makosa. ni yetu sote haswa sisi tunaojua kiswahili

  • @justinekahindo2083
    @justinekahindo2083 ปีที่แล้ว +2

    Brus nakupendaka sana

  • @elliyawilliam2521
    @elliyawilliam2521 ปีที่แล้ว +1

    Bruce elias jitaid uwe una chagua nyimbo nzuri hiyo ulio imba ume zingua kweli mbona una jua afu una chagua nyimbo mbovu badilika kulingana na nyakati

  • @moviekaa
    @moviekaa ปีที่แล้ว +2

    Dah kweli kila mtu na shughuli yake!! mtu anaimba vizuri majaji wanamkataa!!.....

  • @sarahmavura2617
    @sarahmavura2617 ปีที่แล้ว +1

    Yani ana comment shilole mm napata aibu mimi

  • @KeiboChampion
    @KeiboChampion ปีที่แล้ว +3

    Master J hata Kenya wana hit song don't disregard persons just because they sing Kenyan songs or international we are competing the world ....

  • @catherinemasiga6666
    @catherinemasiga6666 ปีที่แล้ว +2

    Ashura bado jamani

  • @mamafaty6190
    @mamafaty6190 ปีที่แล้ว +1

    Muwe mnaweka full kama iv na sio vipande vipande

  • @Raphael99
    @Raphael99 ปีที่แล้ว +5

    Shishi food buree😆😆😆😆😆😆

  • @kasiisomi1821
    @kasiisomi1821 ปีที่แล้ว

    right elbow ya koti la masterJ sijaelewa au ndioo style @5:32

  • @eliasbihemo2425
    @eliasbihemo2425 ปีที่แล้ว +1

    Hamjui nyie majudge kujudge,, ebu token hapa asangwile kaimba vzr

  • @brymoh0422
    @brymoh0422 ปีที่แล้ว +1

    Iko sawa

  • @Assah_732
    @Assah_732 ปีที่แล้ว +3

    It's high time we need music professional to judge people not just watu maarufu. Sielewi kabisa vitu anavyoongea Shilole.

  • @nusrajacob356
    @nusrajacob356 ปีที่แล้ว

    Nice but majudge wanabid wawe flexible na sio static

  • @ibrahimamani3352
    @ibrahimamani3352 ปีที่แล้ว +3

    Shilole miyeyushooooo

  • @naamanbenzema9227
    @naamanbenzema9227 ปีที่แล้ว +1

    Minaali cjui km ndo unvoitwa ila nmeeleweka nakupenda sana.

    • @lonada830
      @lonada830 11 หลายเดือนก่อน

      Anaitwa MEENA ALLY NAMPENDA SANA

  • @jimmymeshack8725
    @jimmymeshack8725 ปีที่แล้ว +4

    Huyu mama ntilie kafwata nini hapo 😅

    • @rehemaothman2475
      @rehemaothman2475 ปีที่แล้ว

      😅🤣🤣🤣🤣🤣🤣Huja wahi kumuelewa au

  • @latipharamadhani7576
    @latipharamadhani7576 ปีที่แล้ว +2

    Sababu ya kumchukua shilole kuwepo hapo kujaji vipaji sion Kama anajua kuusu maswala ya muziki sijapenda kozi sioni talent ya music kwa shilole pia ajui kuimba Wala ajui mwimbaji mzuri yukoje ninacho hona yeye anasikiliza midundo nansio uimbaj

  • @momylaviel
    @momylaviel ปีที่แล้ว +1

    Aseeeee bunzari ni kibokoo

  • @emmanuelmlyuka5321
    @emmanuelmlyuka5321 ปีที่แล้ว +2

    Hivi mwaka hii amma bss

  • @lyndahashley9114
    @lyndahashley9114 ปีที่แล้ว

    Sangwilo sang very well,what's the issue with these judges.

  • @Nezia_Simulizi
    @Nezia_Simulizi ปีที่แล้ว +2

    Shishi anazingua sana😆😆😆

  • @afyandogo
    @afyandogo ปีที่แล้ว

    Bruce Elias 🙌🏾

  • @mariebakari6692
    @mariebakari6692 ปีที่แล้ว

    Hivi shilole mwimbaji wakiwa judge au mfanyabiashara?

  • @paschalcleophace5677
    @paschalcleophace5677 ปีที่แล้ว +1

    Ivi ni simu yangu au nn make kuna vipande sauti inakata

  • @restitutatarimo4943
    @restitutatarimo4943 ปีที่แล้ว +3

    Shishi yeye mwenyewe kuimba hajui sasa sijui kawaje jaji sijapenda anavyojaji watu hata kama mtu hana voko mpe moyo tu basi

  • @catherinemasiga6666
    @catherinemasiga6666 ปีที่แล้ว

    Yamoto umetisha safiii

  • @jumakalinga4422
    @jumakalinga4422 ปีที่แล้ว +1

    Brus anaweza ira nyimbo anazo chagua zinamuangusha

  • @stephenndilla1162
    @stephenndilla1162 ปีที่แล้ว

    💖💖😗

  • @elifurahayona1452
    @elifurahayona1452 ปีที่แล้ว +1

    Eti shilole nae jaj EB achen utan

  • @SADEE._
    @SADEE._ ปีที่แล้ว +4

    Yan shishi hata akiwa seriously bado utasema anafanya utani

  • @gospelafricatv
    @gospelafricatv ปีที่แล้ว

    Jamani Shilole mziki kaujulia wapi kuweni sirius jamani

  • @bertrandhorimbereofficiel1815
    @bertrandhorimbereofficiel1815 ปีที่แล้ว

    I think someone who knows sings we hear them in their voice but you watch them in their performances I don't know what you are watching judging them

  • @ezirabatu2734
    @ezirabatu2734 ปีที่แล้ว +1

    Niliwamic sanaaa

  • @domykimata5768
    @domykimata5768 ปีที่แล้ว

    Bora wangempa ata lady jaydee kuwa judge shirole

  • @yvonnealusa5300
    @yvonnealusa5300 ปีที่แล้ว

    Saa uku shishi anaimba wimbo inakaa aje mbn musiite akin dimond mbosso shishi muache akapike be wise bss is a big thing

  • @jacquesmulalirya1704
    @jacquesmulalirya1704 ปีที่แล้ว

    Guitar iko sawa bro kuja 🇨🇩 uneza pata nafasi

  • @godefreyamos3408
    @godefreyamos3408 ปีที่แล้ว

    Master j ni mnafiki kwani bss inafuatiliwa na wa Tanzania pekee?

  • @sarahgaula2220
    @sarahgaula2220 ปีที่แล้ว +1

    Huyu shilole wangemtoa kuwa judge

  • @josephlwagi9370
    @josephlwagi9370 ปีที่แล้ว +2

    Cku nyengine msimuweke shishi hafai

  • @christinembeye5489
    @christinembeye5489 ปีที่แล้ว

    Theophile to the TOP💯✔

  • @mziziwabahariahmad980
    @mziziwabahariahmad980 ปีที่แล้ว

    Acha niseme ukweli kuimba luggage ya kizungu haimanishi kua yuko juu hii ni mashindano na mashindano haiangalii yaimba luggage gani mtazami nikuangalia kua yuko off keys ama sauti zake pengine hajui kuzirekebisha

  • @bakaritsuma2190
    @bakaritsuma2190 ปีที่แล้ว +1

    Master j umbwaaa tu sasa yeye kama jugde hio ni ki2 anaweza ongelea on camera really?? Thats how chuki inaenea kwa wasanii umbwa master j

  • @witnesstarimo4399
    @witnesstarimo4399 ปีที่แล้ว

    Hapo shilole tatizo alafu kakutana na master J Tena duh sijui ila shilole jamaani sijamwelewa kabisaa

  • @alicebanele1196
    @alicebanele1196 ปีที่แล้ว

    Shishi hamna kitu kabisaa hajui lolote kaniboa mnooo

  • @GloryKimambo-hf2nv
    @GloryKimambo-hf2nv 11 หลายเดือนก่อน

    Shilole anabwekaga 2 ajui kuimba

  • @witnesstarimo4399
    @witnesstarimo4399 ปีที่แล้ว

    Naombeni sauti zetu viewers zisikike please... Shilole tatizo alafu swala la lugha... Sijaona kama Kuna tatizo mtu akiimba kingerezaa ila Cha msingi judges waangalie kipaji Cha mtu ila shilole hapanaa

  • @번영바이
    @번영바이 10 หลายเดือนก่อน

    Hawa wakenya kwa kulalamika dah😂😂. Mnapenda nyimbo za kibongo, tuambie ni muimbaji gani wa bongo maarufu anaimbaga kiingereza. Hawa majaji wako sahihi, lazima uangalie audience wanaokusikiliza na uimbe wanachokielewa. Na mziki wa bongo unapendwa kwa sababu tunaimba kiswahili. Hatusemi mtu asiimbe kiingereza, ila angalia audience.

  • @haidarufarhan7822
    @haidarufarhan7822 ปีที่แล้ว

    Mm kiukweli s shabiki wa mziki ila kitendo Cha Mr jay kuka na shilole eti wakijaji n kumdhalilisha kabisa
    Maana Hawa n levo tofauti

  • @bayyomartin7
    @bayyomartin7 ปีที่แล้ว +2

    Wakwanzaaa

  • @therealcedo193
    @therealcedo193 ปีที่แล้ว +2

    Funny how Tanzania are jealous of us 🇰🇪😂

  • @vanshizzoofficial9002
    @vanshizzoofficial9002 ปีที่แล้ว

    .nyinyi mnapima uwezo wa kuimba na sauti ama mziki unaoimbwa..hamjudge inavyostahili

  • @yvonnealusa5300
    @yvonnealusa5300 ปีที่แล้ว

    Master j stop confusing people wimbo n wimbo ww judge kaa umeshindwa toka apo c n wimbo ama alitowa shairi wimbo zenyu zinge hit bila mchango y kenyan song dont be sily u are a dad and icone wacha wimbo zenyu zinge hit ivyo bila mchango y wakenya kwenda uko

  • @inearclassictz1233
    @inearclassictz1233 ปีที่แล้ว

    Zanael true vocalist

  • @ilungasalle
    @ilungasalle ปีที่แล้ว +1

    Hivi ninyi waandaaji mnatsfuta pesa tu au mko serious na swala la vipaji. Kama mko makini mnaletaje mamburura kama majaji, M J hajui mziki kabisaa shilole ndiyo usiseme. Acheni ufala mnaua vipaji mbwa ninyi

  • @favorednasongaofficial5352
    @favorednasongaofficial5352 ปีที่แล้ว +1

    Asagwile mkali sana

  • @kanikalata4560
    @kanikalata4560 ปีที่แล้ว

    Kwanza tutambue MZIKI nini?
    Jamani kuwa producer sio eti ndio kufahamu kila kitu kwenye mziki
    Kuna baadhi ya mambo hao majaji lazima wafahamu kitu kabisa kwenye mashindano kama hayo auwezi mkataza mtu kuimba kingereza au kumchagulia lugha MZIKI ni fujo bali inategemeana na anaye usikiliza au kupokea anaupokeaje tambueni ilo mtu anaweza kuimba kiswahili lakini mimi ninaye msikiliza nikaona kama mitani tu na mwengine akaimba kingereza lakini nikasikia vizuri acheni mambo kama hayo tunafuatilia mashindano mengi sana ya mataifa tofauti haya sio mashindano sasa
    Music definition ni fujo ambayo inapita kwenye masikio ya mtu kama nilivyo sema inategemeana na anaye sikia anapokea vip sio eti hadi kuelewa lugha no huo sio mziki acheni utani

  • @alphahappy3501
    @alphahappy3501 ปีที่แล้ว

    Yani 😂Master J na Salama ndo wanafanya naipenda BSS mpk leo..BSS imeanza kuchangamka sasaa

  • @amandasamba1287
    @amandasamba1287 ปีที่แล้ว

    Shilole anaangalia tabasamu za watu , dimple's,yaana mambo yenye hayana msingi , na kukataa wenye wanaimba nyimbo za Kenya

  • @kasiisomi1821
    @kasiisomi1821 ปีที่แล้ว

    @40:07 Huyu christian bella wa mchongooo mshkaji kauuuuuuaaaaaa huyu ningempaa ushindiiii wa mojakwamoja

  • @elliyawilliam2521
    @elliyawilliam2521 ปีที่แล้ว +2

    Pia master j kiukweli huyo Bruce elias niwaz una mchukia toka season iliyopita acha chuki binafsi

    • @fedrickshiuga6180
      @fedrickshiuga6180 ปีที่แล้ว

      Bruce me mwenyewe naona anapendwa tu ila kuimba hamna kitu

    • @robertadrian2559
      @robertadrian2559 ปีที่แล้ว +1

      @@fedrickshiuga6180 WE SI FALA NDO MAANA

  • @akiliwatendere3560
    @akiliwatendere3560 ปีที่แล้ว

    Kwa shilole wame bugi mlevi malaya mkosa heshima

  • @kendrickabel7901
    @kendrickabel7901 ปีที่แล้ว +1

    Kitu emmy amezungumza ni ukweli bado tuko nyuma sana and we still need judges proffesional mtu kua kwenye game for long haimfanyi awe judge mzuri...i hate the fact mtu anakosolewa ety kisa kaimba kiingereza ni upuuzi tu bss now is booooring😏😏😏

  • @fedrickshiuga6180
    @fedrickshiuga6180 ปีที่แล้ว +1

    Walitumia vigezo gani kumpa shilole ujaji

  • @jimwafula4733
    @jimwafula4733 ปีที่แล้ว

    BBS please when choosing people to help in judging get ones who know but not putting streat feeling coz it kills our talent. Shilole was not good at all, am a fun from Kenya n have been since season 1 till now

  • @catherinemasiga6666
    @catherinemasiga6666 ปีที่แล้ว

    Wimbo uliochagua umepooza hauchangamshi jitahidi uimbe nyimbo za kuchangamsha

  • @RNWALTER.
    @RNWALTER. ปีที่แล้ว

    hapa wakenya tunahitaji apology... mbona master j umetukosea heshima hivyo na sisi pia ni mashabiki wa BSS?? WAKENYA UMETUKOSEA HESHIMA MASTER J... NA TUMEKUCHUKIA...

  • @attiyakhalfan8027
    @attiyakhalfan8027 ปีที่แล้ว

    Mpaka mnanichosha kwenye 'ra' mnaweka 'la', na bado hamjirekebishi

  • @allysudi4429
    @allysudi4429 ปีที่แล้ว

    Sasa shishi ww unaweza kufanya kitu gan kwenye mziki? BSS Mtafute majaji wenye kujua mziki bwana sio kutafutiana kick za ajabu. Tunaua game

  • @alinejeremaih1146
    @alinejeremaih1146 ปีที่แล้ว +2

    Shilole hafai kua jaji