RADDI KWA WANAOTAKA KUBORESHA MAULIDI BILA DALILI || Muhammad Bachu.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 146

  • @fatmasalim7132
    @fatmasalim7132 21 วันที่ผ่านมา +8

    Allah akuhifadhi Muhammad na akuweke mbali na hasad!

  • @MussaMussa-fs3vn
    @MussaMussa-fs3vn 21 วันที่ผ่านมา +5

    Mashaallah...Jazaaka Allah Khazraj yaa Shaikh Muhammad Nassoro Bachu Allah Mtukufu Akuhifadhi Shaikh wetu, ili tuendelee kunufaika na wewe Al_Akhi
    Shukran🙏 sana

  • @saadasaleh3177
    @saadasaleh3177 20 วันที่ผ่านมา +7

    Allah auzidishe faswaha ulimi wako tuzidi kuelimika. Baraka Llahu fiyk

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 21 วันที่ผ่านมา +7

    Walahy mi nakupenda shekh bachu kwaajil ya allah huwa nkikusikiliza nafsi yangu inatulia sana mzee wetu mpendwa marhumu nasoro bachu ametuachia kiumbe mimi namwitaga simba wa kuchana chana batwil, na ww ni simba pia kama baba yako

  • @tariksalim2659
    @tariksalim2659 21 วันที่ผ่านมา +5

    Tuko pamoja Sheikh bachu,zidi kusmama na haki,
    InshaAllah waja wataingia Zaidi katika njia ya Sawa,zidi kuwatoa watu taka kwenye masikio

  • @MohamediNdwata
    @MohamediNdwata 21 วันที่ผ่านมา +12

    Shekh Allah akuhifadhi nashangaa wanaokusema vibaya kwa matusi Allah awaongoze

    • @hassanWanjiku
      @hassanWanjiku 21 วันที่ผ่านมา

      Kweli Hawa n kumwachia Allah subhannahu wa taala kazi yetu huku n kuwaambia hapa hapana wasiposkia hawatakua n jambo la kujitetea nalo kua hawakuambiwa

  • @AliJabal-fx8pd
    @AliJabal-fx8pd 21 วันที่ผ่านมา +7

    بارك الله فيك وزادك علما.

  • @nassirzamzam9312
    @nassirzamzam9312 20 วันที่ผ่านมา +3

    Sheikh mohd bachu usichoke kuwaongoza umma wa kiislamu mpaka pumzi ya mwisho ndugu yangu, kama babako alivyomaliza daawa mpaka pumzi ya mwisho jaza yako ni kwa mwenyezimgu .

  • @swadaamiri8109
    @swadaamiri8109 20 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu akujaze kheli shekhe❤❤

  • @CfhfjzggHdfdvbvc
    @CfhfjzggHdfdvbvc 21 วันที่ผ่านมา +15

    Wewe unatowa dalili katika vitabu wao maneno matupu bila dalili

  • @HashimSalim-qj7zn
    @HashimSalim-qj7zn 21 วันที่ผ่านมา +11

    KWA KWELI BACHU UNAJITAHIDI NA KWA KILA MWENYE AKILI NA KUTAKA HAKKI AMESHAKUELEWA NA INGEKUA SI KIZAZI KINACHOKUJA NINGALIKWAMBIA PUMZIKA UJUMBE USHAFIKA NA WANAOKATAA TUWAOMBEE DUA TU ALLAH AWATOWE KWENYE KIZA HICHO CHA UZUSHI

  • @sakinasakku8340
    @sakinasakku8340 20 วันที่ผ่านมา

    MAASHAA ALLAH SHEIKH ALLAH AKUZIDISHIA

  • @Cherehanitanzania
    @Cherehanitanzania 21 วันที่ผ่านมา +12

    Masufi na makhurafi niwatu waajab sana halafu niwavivu wakuisoma dini yao kazi ushabiki mashairi na visa vyauongo😂

  • @JamalAli-tz6pj
    @JamalAli-tz6pj 21 วันที่ผ่านมา +2

    Bachu ndugu yangu tuangalieni mada nyengine ulimwengu umechafuka tusiwe wenye kuongea maulid huku waislamu wazoroteka

  • @nasorotunda
    @nasorotunda 16 วันที่ผ่านมา

    Allah akuhifadhi bacho

  • @shanimpenike7568
    @shanimpenike7568 21 วันที่ผ่านมา +1

    Allah atupe macho ya ndani tuone haq jmn tunajipoteza wenyewe tusomen dini tuache uvvu

  • @وزيرهالوزير-ذ8س
    @وزيرهالوزير-ذ8س 18 วันที่ผ่านมา

    Waleykum salam warahmatullah wabarakatuh

  • @DenisTaki
    @DenisTaki 21 วันที่ผ่านมา

    Sheikh Allah akuhifadhi
    Naomba unioneshe katika Qur'an au suna penye panasema kuwa karne ni miaka 100

  • @znzmawaidh8702
    @znzmawaidh8702 21 วันที่ผ่านมา

    Sheikh bachu nakuusiya achana nambo yako ya kuwarad masheikh wezako

  • @nassirzamzam9312
    @nassirzamzam9312 20 วันที่ผ่านมา

    Na hao wanao kukashifu waombe mwenyezimgu kwa sababu akili wanazo lakini senses zao zimekufa mwenyezimgu azihuyishe senses zao Amin, wajue uislamu wao.

  • @stengthisgoldengift
    @stengthisgoldengift 21 วันที่ผ่านมา

    HAYYAKA LLAH YAA HABIYB😍
    NUHIBBUKA FIY LLAH YAA AKHIY🤩
    YAAA HABIYB😇

  • @mfalmenajjash2128
    @mfalmenajjash2128 21 วันที่ผ่านมา

    Hii ilikuwa niwapi ?. watu wamtaa ambao ilitolewa hutba hii wallah walipata faida sana masha Allah

  • @CfhfjzggHdfdvbvc
    @CfhfjzggHdfdvbvc 21 วันที่ผ่านมา +1

    Baraka lhau fika

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qv 21 วันที่ผ่านมา

    #Maulid🌹🌹🌹🌹

  • @bagalucha
    @bagalucha 17 วันที่ผ่านมา

    Tatizo wamekosa kuyafahamu nini Amali/muamala na ibada,wamesahau ibada inatoka kwa mwenyewe Allah Subhana wataalla na mtume wake,sasa wao wao wametwisha utukufu,ati wanaboresha,wanamtengenezea Allah ibada mpya,wanaingiza na kuitangazia Ibada mpya,hawa ni watu waajabu,watu wa makarama.

  • @MariamUmande
    @MariamUmande 21 วันที่ผ่านมา +1

    Sheikh wetu Sheikh Muhammad bacho
    Maulid ni bidah na yataendelea kuwa bidah

  • @AliJuma-k2t
    @AliJuma-k2t 21 วันที่ผ่านมา

    Huyu bachu jamaniyukosawaaaa lakini

  • @OmarAlly-iz8ot
    @OmarAlly-iz8ot 21 วันที่ผ่านมา +1

    Shekhe Muhammad kwakweli endelea tu na Da'wah hatakama watu wanakubeza ili urudi nyuma, lkn hii khutba kwa atakae izingatia Wallaahi itamnufaisha sana.
    Khutba nzito sana hii, binafsi yangu natetemeka kwa khofu juu ya ndugu zetu wanao jifanya viziwi kanakwamba hawayasikii mambo kama haya, khalafu na inadi juu wanaifanya, na kuendelea na uzushi wao wa maulid, kwakweli sijuwi wanaizingatia vipi hii siku ya kukutana na Allaah .........!!!

  • @barakakeis9160
    @barakakeis9160 16 วันที่ผ่านมา

    Wapi Allah na mtume wake wamesema watu waweke vpaza sauti msikitini

  • @JumaSalimin
    @JumaSalimin 21 วันที่ผ่านมา +1

    Loo! Watu wanaichukua haki mpaka mzungumzaji anatukanwa kisa kusema kweli.

  • @chamamahassan8669
    @chamamahassan8669 20 วันที่ผ่านมา

    Jamaaani wenzetu wapaletine kwa niini hatuwazungumziii kama tunavyozungumza mambo haaya
    Waisilamu tuko waaapiiii
    Hivi hatuna uchungu wenzeetu wanakuufa tuuu
    Sie tupo katika kugawana makuundi tuuu
    Hivi haitokei siku moja tukaaacha tofauti zetu tukawafikiria ndugu zeetu wapalestine na walebanooon
    Wallah yauma khasaaa

  • @salmaanfaqiih
    @salmaanfaqiih 21 วันที่ผ่านมา +1

    Mara hii maulid yamezidi zaidi ya mwaka uliopita, na mara ijayo itakuwa zaidi na zaidi, na kila siku zikiendelea yatazidi Inshaa Allaah wajapobweka watakaobweka

    • @JumaOmar-ku6cr
      @JumaOmar-ku6cr 20 วันที่ผ่านมา

      Tasmini yako mbovu maulidi yanakufa vijijini mitaani mote mlikuwa na maulidi sasa yamekufa batil haidumu

  • @nassirzamzam9312
    @nassirzamzam9312 21 วันที่ผ่านมา

    Mwenyezimgu atawaongoza hawa watu wazushi wanao ivuruga dini ya mwenyezimgu alio tuachia kipenzi chetu bora wa viumbe ulimwenguni dini safi.

  • @SalamaKhamis-un8vn
    @SalamaKhamis-un8vn 21 วันที่ผ่านมา

    Mhh! Wee mtoto wee Ulimi utakuponza huo

  • @isaack100
    @isaack100 21 วันที่ผ่านมา

    Bhachu kuna sidi ulotowa kuhusu fadhla ya swala ya mtume

  • @AhmedmartiniMartin
    @AhmedmartiniMartin 21 วันที่ผ่านมา

    Sheikh said akusubiri uje ukiwa na elmi ya hadithi ujibu hadithi maudhui

    • @edyiddy4711
      @edyiddy4711 21 วันที่ผ่านมา

      Sheikh said au dj said😂

    • @MbwanaHusein
      @MbwanaHusein 20 วันที่ผ่านมา

      Julize swali ukiwa unajitambuwa lile swali la dj alilo uliza yupo shekhe yoyote aliye jimbu

    • @mfalmenajjash2128
      @mfalmenajjash2128 20 วันที่ผ่านมา

      kwako dj said 😂

  • @MbwanaHusein
    @MbwanaHusein 21 วันที่ผ่านมา +1

    Ww unaye mtukana shekhe unajitambu kweli tuacheni kushabikiya kitu ambacho akina ushaidi katika kibu na suna

  • @FahdIbnyussuf
    @FahdIbnyussuf 21 วันที่ผ่านมา

    Zanzibar saiv umeachiwa

  • @AliAbdalla-k1y
    @AliAbdalla-k1y 21 วันที่ผ่านมา +4

    Dini ya uislamu inakwenda kwa dalili toeni dalili nasisi tupate faida.

    • @IbraahJuma-dl2rd
      @IbraahJuma-dl2rd 21 วันที่ผ่านมา

      Kwel.kaka
      Izo dalili hawatoi

    • @jakuabdull34
      @jakuabdull34 21 วันที่ผ่านมา

      Mbona nyinyi hammtoi dalili ya kutofaaa

    • @hassanWanjiku
      @hassanWanjiku 21 วันที่ผ่านมา

      Ila masufi makhurafi n mashia wanafanya bidii kupoteza watu ili hukmu ya Allah ikifika wasiwe pekee yao

    • @hassanWanjiku
      @hassanWanjiku 21 วันที่ผ่านมา

      ​@@jakuabdull34mtume salallahu alayhi wasalaam amesema bidaa zote ni upotovu dalili gani tena mnataka hiii kutoka kwa mtume salallahu alayhi wasalaam haya adabu ikipatikana huwezi ivunja hii

    • @HashimSalim-qj7zn
      @HashimSalim-qj7zn 21 วันที่ผ่านมา

      ​@@jakuabdull34Kwa mujibu wa uislam wewe unaefanya ndio unaetakikana ulete dalili sio anaepinga kwa sababu ibada zote zina dalili kwa mfano Swala, Zaka, Funga n.k

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c 21 วันที่ผ่านมา

    Samaki ukimchunguza sana utashndwa kumla,,tumia akili alizokupa mungu chagua upande..dili nao

  • @OmaryallyMngoma
    @OmaryallyMngoma 15 วันที่ผ่านมา

    Zama zetu tusubili kiama tu

  • @MachanoAme-it6cs
    @MachanoAme-it6cs 20 วันที่ผ่านมา +1

    Nyie masufi mistake dalili ya kukataza maulid tafuta kwanza Aya ilo yakubali maulidi halaf jiulizen mtume yy hakuweka maulidi Wala maswahaba zake. Nynyi mmeatolea wapi Karne

  • @barakakeis9160
    @barakakeis9160 16 วันที่ผ่านมา

    Ushamkosoa baba Yako ktk membari iyoiyo unayohutubu Leo hivyo ni wazi kuwa huna njdhamu wa dini

  • @nassoraliy3871
    @nassoraliy3871 20 วันที่ผ่านมา

    Usufi ni uvundo

  • @AlhajiMswaki-de3kb
    @AlhajiMswaki-de3kb 19 วันที่ผ่านมา

    Nyie wapuuz mawahabi

  • @sheeqassim6274
    @sheeqassim6274 17 วันที่ผ่านมา

    Haahaha mzeee wakujikojolea Debe tupu halikosi kelele

    • @NoorAli-vj4gn
      @NoorAli-vj4gn 16 วันที่ผ่านมา

      Hakuna Jambo litaingiza watu peponi kama tabia nzuri

  • @khamisbadru614
    @khamisbadru614 21 วันที่ผ่านมา

    Ww sema sijui 🤌🤌🤌😂😂😂

    • @MbwanaHusein
      @MbwanaHusein 20 วันที่ผ่านมา

      Ss ww ukiona dj kauliza swali lakielimu au lakizushi2 mpa leo alijajibiwa na shekhe yote ata yeye dj alijui jubulake ule ulikuwa nimtegu waushindi kwa dj

    • @MbwanaHusein
      @MbwanaHusein 20 วันที่ผ่านมา

      Dj akutaka kuteteya maulidi umarufu kupitiya shekh ndimana akatengeneza mtego ukijibu nitashinda usipojibu nitashinda2

  • @abuually-ol2xc
    @abuually-ol2xc 17 วันที่ผ่านมา +1

    Waislamu hawapendezi kubughudhiana huo ni ujinga unaoufanya wewe mtoto wa bachuu kama jambo hujaliwafik usifanye tu ila usilazimishe watu wote wafate mtazamo wako ,kuwa na adabuu wewe kama unataka umaarufuu basi subiri roho yako itakapotenganishwa na kiwili wili nipoo utakapo jutia Kwa unayoyafanya 😢 wewe endelea tu si unatafuta sifaa na umaarufu Kwa watu basi subiri jazaa yako Kwa mwenyezimungu 😢

    • @NoorAli-vj4gn
      @NoorAli-vj4gn 16 วันที่ผ่านมา

      Amekhutubia suala tatanishi katika umma wewe wajishughulisha naye, hoja hupingwa kwa hoja.Hakuanza yeye na akiondoka kwa mgongo wa ardhi bado kutakuja wengine watalingania kuweka haqi juu

  • @FayzKarayu
    @FayzKarayu 21 วันที่ผ่านมา

    Ama maswahaba walikua waarabu wote

  • @hashimkale3215
    @hashimkale3215 21 วันที่ผ่านมา +5

    Wewe hutaki dalili bali ushabiki ndio wakusumbua

    • @HashimSalim-qj7zn
      @HashimSalim-qj7zn 21 วันที่ผ่านมา +1

      Mwisho wake ndio utajua ukweli kua makini na hii dini na jitahidi ufuate sunna

    • @khamisbadru614
      @khamisbadru614 21 วันที่ผ่านมา

      Sunna ya haqqi ni twariqa ​@@HashimSalim-qj7zn

    • @mohagurey2214
      @mohagurey2214 21 วันที่ผ่านมา +1

      Ndugu yangu dini ni kufuata sunnah na kuacha kisicho sunnah, na kama husikii basi endelea hadi urudi kwa mola wako na majuto ya mwisho. Think before it is late

    • @jumamohamed3168
      @jumamohamed3168 20 วันที่ผ่านมา

      Ya wezekana wewe ni miongoni mwa wale ambao huwa hawafungi Jumatatu siku aliyozalima Mtume Muhammadi lakini unakwenda kwenye kusherehekea Maulidi .

    • @mfalmenajjash2128
      @mfalmenajjash2128 20 วันที่ผ่านมา

      Bwana hashim itakuwa anakwenda maulidini na hafungi juma 3 😂😂

  • @Mbarkakombo
    @Mbarkakombo 21 วันที่ผ่านมา

    amma ubaabu huu hausikii

  • @RamadhaniKileo
    @RamadhaniKileo 16 วันที่ผ่านมา

    Mudi unahisi wewe ndo mwenye elimu kuliko wote
    Kama Baba ako umemkosoa kamwe hautopata nuru ya dunia na akhera kwetu maulidi twapata thawabu so tuache tu😂😂😂😂

  • @Mbarkakombo
    @Mbarkakombo 21 วันที่ผ่านมา

    wataka dalili kwani haujapewa ?

  • @barakakeis9160
    @barakakeis9160 16 วันที่ผ่านมา

    Mashekhe wa mitandaoni nyny hamna nidhamu ya dini, Bali mnatafuta wafuac tu, wacheni ujinga cmamieni dini kwa mujibu wa elimu alizokupeni ALLAH kwani cku Moja mtakuja kuulizwa vp mlizitumia elimu zenu.

  • @iddimutua420
    @iddimutua420 20 วันที่ผ่านมา

    Maulid malipo Yake Ni WALI au mpunga ukishusha na maji ya tamu baasi hakuna zaidi hasara kubwa kwa yule atakae kosa wali kwisha huyo mana hakuna kingine zaidi si hapa sio akhera.

    • @sakinasakku8340
      @sakinasakku8340 20 วันที่ผ่านมา

      Ushasema hahahaaaahahaaa

  • @3moory-rr2wx
    @3moory-rr2wx 21 วันที่ผ่านมา

    #semasijui 😂

  • @MuftiahmedbinnyandweMuftiahmed
    @MuftiahmedbinnyandweMuftiahmed 21 วันที่ผ่านมา

    Soma kwanza kijana mwezangu

  • @OmarMuhammad-h7l
    @OmarMuhammad-h7l 21 วันที่ผ่านมา

    Katwaliii mwanzo mustalahi hadhi

    • @HashimSalim-qj7zn
      @HashimSalim-qj7zn 21 วันที่ผ่านมา

      Allah akuongoze katika hakki maana upo kiushabiki Zaid sio kutafuta hakki

  • @KhamisBakar-ge4sp
    @KhamisBakar-ge4sp 21 วันที่ผ่านมา

    Maulid yaendelee 😅

  • @BinAli-m8e
    @BinAli-m8e 18 วันที่ผ่านมา

    Bachu wacha kujitia Aibu
    Hao walio kaa hpo hakuna ht mmoja unae muweza kielimu..

  • @barakakeis9160
    @barakakeis9160 16 วันที่ผ่านมา

    Ata ufanyeje ww huwezi kuizima Nuru ya ALLAH. CC tutamsifu mtume kwa kusoma maulid asubihi na jioni nawe zidi kupiga kelele, hazituzidishii Wala hazitupunguzi ktk jitihada hizi za kusoma maulid

  • @HijaMussa-v5r
    @HijaMussa-v5r 21 วันที่ผ่านมา +1

    Kweli hii dunia ya mwisho, yani watu wanaumia kwa sababu ya kumtukuza na kumsalia Mtume. 😅
    Ingekua tunayatukuza masanamu yaliyoabudiwa kule makka sijui ingekuajee.

    • @JumaOmar-ku6cr
      @JumaOmar-ku6cr 20 วันที่ผ่านมา

      Nyinyi hamna tafauti toeni dalili msiicheze dini kila mwenye lake atie mnaharibu dini

    • @nassoraliy3871
      @nassoraliy3871 20 วันที่ผ่านมา

      Masufi ni waganga hao waacheni

    • @nassoraliy3871
      @nassoraliy3871 20 วันที่ผ่านมา

      Masufi hawajui watendalo

    • @JumaOmar-ku6cr
      @JumaOmar-ku6cr 20 วันที่ผ่านมา

      @@nassoraliy3871 hawa jamaa sasa wako kwenye ushindani wanaona wanashindana na bachoo na bb ake

  • @HamisOman-s8h
    @HamisOman-s8h 21 วันที่ผ่านมา

    Muhamedi bichwa acha ujinga

  • @shilingi-Ahmadi
    @shilingi-Ahmadi 21 วันที่ผ่านมา

    Uliambiwa utwalii ukiwa Sawa umwambie ustadh Said Yuko tayari kwa niqaash.

  • @MuftiahmedbinnyandweMuftiahmed
    @MuftiahmedbinnyandweMuftiahmed 21 วันที่ผ่านมา

    Sasa tahidi yenu

  • @FayzKarayu
    @FayzKarayu 21 วันที่ผ่านมา

    Kwaivyo mtume alikikhutubu kiswahili ama jamani tusaidianeni

    • @salumzaharanjuma6927
      @salumzaharanjuma6927 21 วันที่ผ่านมา +1

      Kwa kiarabu tayar tumekusaidia

    • @FayzKarayu
      @FayzKarayu 20 วันที่ผ่านมา

      @@salumzaharanjuma6927 sasa tunapokhutubu kiswahili hiyo khutba itakua imeswibu khutba ya mtume na kama apana inaswihi

    • @FayzKarayu
      @FayzKarayu 20 วันที่ผ่านมา

      Na hakukhutubu kiswahili na sisi tunapokhutubu kiswahili tunakua tumeswibu khutba ya mtume na ikiwa hapana bac khutbah hii inaswihi?

    • @mfalmenajjash2128
      @mfalmenajjash2128 20 วันที่ผ่านมา

      Kweli wajinga wapo wengi 😢

    • @FayzKarayu
      @FayzKarayu 19 วันที่ผ่านมา

      Inaezakua ww nimmoja wao

  • @RayaAli-y9j
    @RayaAli-y9j 21 วันที่ผ่านมา +1

    Were kujikojolya

  • @makameally1962
    @makameally1962 21 วันที่ผ่านมา

    Leteni dalili za tawheed tatu

    • @JumaShundi-tn9pf
      @JumaShundi-tn9pf 20 วันที่ผ่านมา

      Lete dalili za nguzo 14 za swala

  • @barakakeis9160
    @barakakeis9160 16 วันที่ผ่านมา

    Kufunga na kusoma maulid ni vtu vwili tofauti Bali na namna tu za kumsifu na kumuadhimisha Mtume

  • @Mbarkakombo
    @Mbarkakombo 21 วันที่ผ่านมา

    kamwambie abuu ruduud akupe dalili basi

  • @SadaKassm
    @SadaKassm 21 วันที่ผ่านมา

    Kwani hasa huyu jamaa anazungumza nini , mbona haeleweki? Kwa nini hendi Kwa sheikh Said wa Kenya kupata TAALUMA na kama alijikojolea basi mara ya pili anaweza kutoka mavi hasaaaaaa.

    • @mohammadswaleh6900
      @mohammadswaleh6900 21 วันที่ผ่านมา

      Hata huna haya mwanamke ww huna dini unaongea nn hapa nyinyi musiemjua DJ Said Ana ilmu ya mziki Alafu Muogopeni Allah nyinyi Masufi kwa kumzulia uongo eti Amejikojolea unaweza kusimama mbele ya Allah na Na hao Mashekhe zenu makhurafi kua amejikojolea?? Hakuna Ajabu Munamzulia Mtume kumzulia Bachu Kuna Ajabu gani? Muogopeni Allah kesho Kuna hesabu

    • @mfalmenajjash2128
      @mfalmenajjash2128 20 วันที่ผ่านมา

      We mwanamke ww itaqi llah naomba nikulize jee unafunga jumatatu ktk maishayako yote au ndo unakwenda kwenye ibada ya maulid mfano wa maruhubani

  • @OmarAlly-iz8ot
    @OmarAlly-iz8ot 21 วันที่ผ่านมา

    Masufi ni wasaidizi wa iblis ktk kuiharibu Dini ya Allaah, na akhlaaq njema zenye heshima ndani yake, zinazo tofautisha baina ya Dini yetu tukufu ya Uislamu, na madili mengine ya watu wanayo yaita dini!.
    Uislamu umevurugika kwa wapotofu hawa wakisufi wakiiga kwa ndugu zao na vipenzi vyao, mayahudi, wakristo, na mashia

    • @fadhilimusa9732
      @fadhilimusa9732 21 วันที่ผ่านมา

      Wew namawahabi wenzio na sheikh wenu wa mchongo ndio maibilisi khaswaa muraqab

  • @Mussarashidi-b4f
    @Mussarashidi-b4f 21 วันที่ผ่านมา +1

    Ww mm sikutukani ila mbona ikiitwa fes tufes huna unalojibu ukitoka unaenda kupiga kelele huko tumuite ustdh saidia tena fujolote una mpiga mtume vita asi swaliwe acha uongo muongozo upo ila muendelezo hiyo nikanuni yasheriy kila kifanyacho ww hukukifundishwa na mwalimu au baba ako ila ulipewa muongozo tu

    • @fakihkhsaid9353
      @fakihkhsaid9353 19 วันที่ผ่านมา +2

      Wee janaa hata uletewe pepo hapo uambiwe uwacha maulidi ili uingie basi huachi

    • @Smart_jarm
      @Smart_jarm 18 วันที่ผ่านมา

      Fes tu fesi na dj!?yule alieulizwa swali badala yakujibu nayeye akauliza,Akawa anataka jibu alilonalo yeye kichwani 😢USUFI NI UPUNBAVU

  • @jakuabdull34
    @jakuabdull34 21 วันที่ผ่านมา

    Kama unafanya hayo kwa kutafuta viewer bac utawapata lkn kwa kufarakannisha umaa wa kiislam hayo yako mnyewe na c sehemu ya sunna

    • @hassanWanjiku
      @hassanWanjiku 21 วันที่ผ่านมา

      Na mtachoka kweli bachu kazi yake hata masheikh wa kisufi hamumfiki Allah subhannahu wa taala amwongoze na amzidishie nguvu sababu mkichafua tunasafisha mpooo

    • @MbwanaHusein
      @MbwanaHusein 20 วันที่ผ่านมา +1

      Kweli shkhe anafakanisha haki na nabatili wasiyojitambuwa wajitambuwe haki ni ipi nabatili niipi naiyondiyo kazi yamitume tujitambuni jamani tunakokwenda nikuzito tuacheni kushabikiya uzushi

    • @hassanWanjiku
      @hassanWanjiku 20 วันที่ผ่านมา

      @@MbwanaHusein bro ongeza sauti mashaallah Allah subhannahu wa taala atuongoze sote na wao wenye kutotaka haki waitambue waifuate ili kesho kusiwe kuzito

  • @JumaShundi-tn9pf
    @JumaShundi-tn9pf 20 วันที่ผ่านมา

    Bachu uko nondo

  • @nassirzamzam9312
    @nassirzamzam9312 20 วันที่ผ่านมา

    Sense ni hisia in swahili language.

  • @NuruMuhammad-jf2ug
    @NuruMuhammad-jf2ug 21 วันที่ผ่านมา

    Utakufanacho kijiba cha Moyo maulidi yaendeleta nakula kuchapo yaongezaka subiri kiyama

  • @sadickmguruka
    @sadickmguruka 18 วันที่ผ่านมา

    Wewe mbona ukiona watu wamekaa kwa ajili ya kuzungumzia mazazi ya mtume inakuuuma sana au unataka wazungumze mazazi yako ,haiwezekani hiyo ukiona inakuuuma sana chukua kamba jinyonge mtume na sisi ,sisi na mtume hadi peponi inshaaaallah

  • @Sunnahchannelkenya
    @Sunnahchannelkenya 21 วันที่ผ่านมา

    th-cam.com/video/UR9Zome0QWA/w-d-xo.htmlsi=gMmpADb902BBOPF4
    Ushaona hiii😂😂😂😂

  • @fadhilimusa9732
    @fadhilimusa9732 21 วันที่ผ่านมา +1

    Acha kuongea pekeyako utakavyo muite ust saidi tuone ukitoka kwenye tundu la ngamia.

    • @eddieeddie2755
      @eddieeddie2755 20 วันที่ผ่านมา

      Dj Said , hakutoa dalili hata 1.

  • @sadickmguruka
    @sadickmguruka 18 วันที่ผ่านมา

    Komaaas na njia yako fanya ibada kwa njia unayoiamini wewe lkn sisi tuache na mtume wetu

  • @sadickmguruka
    @sadickmguruka 18 วันที่ผ่านมา

    Hata ukipewa dalili utazikubali au unataka ubishi

  • @MkwizuMkufya
    @MkwizuMkufya 19 วันที่ผ่านมา

    Watoe dalili uzipeleke wap

  • @seifmohd5357
    @seifmohd5357 21 วันที่ผ่านมา

    Kama chuki zenu ni kwa ajili ya maulid basi mtachukia san mtapasuka vifua bure

    • @medimisi6930
      @medimisi6930 21 วันที่ผ่านมา

      kibri acha.

    • @MbwanaHusein
      @MbwanaHusein 20 วันที่ผ่านมา +1

      Ss tuna chukiya sana kuchezewa Diniyetu na Mtumewetu tunauchugu kumsingiziya uongo 😢😂😂ilo jambo atuto linyamaziya inshaAllaha n

  • @AbasiShariff
    @AbasiShariff 17 วันที่ผ่านมา

    Kila anaimsapot bachudi nayy nmzuka kama yy huyu nsawa nakatuni navicuekesho huyo alkojoa kwakiti siku ya mujadala

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 21 วันที่ผ่านมา +1

    Kuna mwanazuoni anasema roho za wwtu wa bidaah zipo motoni kabla ya moto mkubwa. Allah amegonga muhuri katika vifua vyao hawaoni hakki

    • @hassanWanjiku
      @hassanWanjiku 21 วันที่ผ่านมา

      Hiii kweli tena

    • @seifmohd5357
      @seifmohd5357 21 วันที่ผ่านมา

      Wacha kuwahukumu waislam wenzio wakat ww mwenyewe unangoj kuhukumiwa

    • @mfalmenajjash2128
      @mfalmenajjash2128 20 วันที่ผ่านมา +1

      pindipo wakifa na bidaazao

  • @musaswadiq520
    @musaswadiq520 21 วันที่ผ่านมา

    Wewe watowa khutba Kiswahili dalili yako niipi???
    Wewe pia Mohamed bachu ni katika amthaluhum

  • @JumaOmar-ku6cr
    @JumaOmar-ku6cr 20 วันที่ผ่านมา

    Nyinyi watu wa mabidaa masikio yenu mmetiwa risasi bachoo anataka dalili wapi wanyama walisema , au watu wote walikuwa viziwi hawajawadikia mmewasikie nyie tu uchizi mtupu

  • @salmaswaleh
    @salmaswaleh 20 วันที่ผ่านมา

    acha mbwembwe zako bachu ......sisi tutasoma maulid mpaka kundoka duniyani.....wewe kama kweli hunge ondoka kwa kiti ulipokuwa mombasa .....kujadiliyana na ustadh said omar.....hacha mbwe mbwe .....wewe wajifanya usoma wapi kitabu isema utykuna mawali zukaa

  • @SaidMadai
    @SaidMadai 21 วันที่ผ่านมา

    Kijana unaji22mua cn 😂 kwn nn maulid utakufa n chuki zako kw kucfiwa mtume

    • @hassanWanjiku
      @hassanWanjiku 21 วันที่ผ่านมา

      Acheni ujinga hata akafa saii hakuna chuki atakua nayo kwa watu sababu ya kusema maulid n bidaa

    • @mfalmenajjash2128
      @mfalmenajjash2128 20 วันที่ผ่านมา

      Ww Nuruhbani mtupu