Mbongo ukitaka sifa nenda kafanye mambo yako kwa nchi zao ulaya, wao wanasifiwa hapa kwashauri ni wazungu, wakiwa kwao hawasifiwi kama wewe. Na wewe unataka sifa tambaa ulaya ukasifiwe. Na kwa akili za wabongo, mnafanya jambo dhamira inakuwa usifiwe, mzungu anafanya jambo ili atimize malengo. Kama hupati sifa kanunue sifa zinauzwa
Naomba kama Kuna yeyote anajua hzo dirt bike (Enduro) zinahtajika za engine ukubwa gani(cc ngapi ?) , Bei zinakua ni kiasi gani kulingana na ukubwa wa engine. Kwa mfano: Honda cbr250 year 2005 inauzwa kwa kiasi gani??
ndo tujifunze watanzania tunauwa sana vipaji vya watoto tunangangana kusema mtoto asome aajilowe na serikali je iyo serikali itaajili watu wangapi?? tunasahau kua vipaji navyo nifursa kuumia ama kufa nichangamoto tu kweny maisha ya mwanadam na hatuwezi kamwe kuzuia hatma za maisha yetu kufa utakufa tuuu ata ukiishi bila kufanya chochote duniani ila lazma ufe uwoga wetu ndio unatufanya tunakua maskini kilasku
Why and why ?? Tumewasubir Tanzania kwenye mashindano ya CAC inchin Uganda lakin hamjaja ! Guys motocross won't grow in Tanzania if u don't engage in international races , Uganda inazidi kupanda kisa mambo kama hayo
daaah ebwana mimi naipongeza sana chanel hii ya ayo tv kwahabari zake nzuuli sana na taarifa wanazozitoa. na pia kwa jambo hiliapa watanzania tujifunze kitu. kiukweli watanzania wengi tunaishi kinyuuuma sana na dunia inavyoenda na mambo yanavokua kilacku wazaz tumekua ndo kipaumbeele wazuuli kabisa wa kuuwa vipaji vya watoto na kumfanya mtoto aone uwezo au kipaji alichonacho kumbe sio kitu chamaana kwamfano huu mfupi bac tujifunze jamani,sisi tunang'ang'ana tuuu kusema mtoo asome aajiliwe ba serikali je ungekua wewe ndo iyo selikali ungeweza kuwaajili watanzania wooote serikalini kwako?? vipaji pia ni fursa na niajira tosha tuamkee watanzania
We ayo, dogo kashindwa kujieleza, kasema alianza mazoezi ya pikipiki sasa imetimia miaka miwili. Wewe umemuelewa eti alianza akiwa na umri wa miaka miwili. Sasa kwa akili ya haraka haraka mtoto wa miaka miwili si bado ananyonya au ndio anamalizia kunyonya.
ndo ivyo wabongo tuna copy na ku pest hatujiongezi inatakiwa mtoto akionyesha kipaji chake huko huko umpeleke ata kama ni kuchonga miiko iyo ndo itakuwa kula yake asizuiwe
Nilikua nasubiri sana kwa hamu hii video kutoka kwa ripota wangu wa nguvu #milardy_ayo, kwakua sikupata nafasi ya kwenda kiangalia japo nipo moshi Ubarikiwe sana kaka
Millad unasimulia vizuri, inavutia kuendelea kusikiliza.
Mungu aikuze kazi yako!🙏
Millard ayo kwakweli shoo umekua kali sana hasante.❤
Napakubali sana Kwetu Moshi tunao michezo ka ya mbeleeani
Nature will bring harmony. 💙💙💙
Mtoto na baba yake wapo vizuri sana 🌹
Kweli, wametisha
Uyo sio key uyoooooo 😂😂😂😂asee HOM SWEET
😂😂😂 Boda Boda mnanini lakini 😂😂😂 Alafu waarusha mnyamaze kidogo 😂😂😂mnachekesha bhana
wabongo wanasifia izi kaz adi zikifanywa na wazungu, zikifanywa na wabingo wanaonekana wanacheza michezo isiyofaa watafute Kaz
Tatiizo wabongo wanafanya sehemu ambazo sio sahihi na pia hawana vifaa vya kijilinda
Mbongo ukitaka sifa nenda kafanye mambo yako kwa nchi zao ulaya, wao wanasifiwa hapa kwashauri ni wazungu, wakiwa kwao hawasifiwi kama wewe. Na wewe unataka sifa tambaa ulaya ukasifiwe. Na kwa akili za wabongo, mnafanya jambo dhamira inakuwa usifiwe, mzungu anafanya jambo ili atimize malengo. Kama hupati sifa kanunue sifa zinauzwa
Masha'allah mungu awalinde na ajali ktk KAZI zenu
Kabisa kabisa !! ajali namba mbili na moja kidogo nitupe camera
@@millardayoTZA sio mchezo kabisaaa sasa watoto zetu waendelee kusoma haiba na michezo😂😂😂
Kweli baba ni baba mungu ni mwema
Noma sana
Hiyo tuzo ya Michael ya mbao aitunze kweli iwe kumbukumbu yake vyenginevyo atagombana na mchwa bure…😅
😁 doooh
Awekee laminations 😌ni ushauri tu 😊
@@catherinesamwel2446 🤣🤣🤣mbao inanukia vizuri kwa mchwa.
@@millardayoTZA 😀
🤣🤣🤣🤣 Jamani
Ma man kelvin Akyooo nakupendaga buree tu
Mambo mazuri nafatilia habari zako kinoma noma✈️✈️✈️✈️✈️✈️
pamoja sana Kaaya, asante sana
Nakubali braza kaz poa
Shukrani sana Danny
Huyu mtoto niliona maajabu yake aiseee
Home kabisa..
Naomba kama Kuna yeyote anajua hzo dirt bike (Enduro) zinahtajika za engine ukubwa gani(cc ngapi ?) , Bei zinakua ni kiasi gani kulingana na ukubwa wa engine.
Kwa mfano: Honda cbr250 year 2005 inauzwa kwa kiasi gani??
Milladiayo naomba namba ya simu ya Mshindi wa kwanza Maico huyo aliyesema ni fundi pikipiki
Hiyo pikipiki naipataje😄😄
Kibongo bongo dogo angepigwa sana na wazazi sababu anachezea vyombo vya moto, kwa hiyo kipaji kingefia hapo hapo
ndo tujifunze watanzania tunauwa sana vipaji vya watoto tunangangana kusema mtoto asome aajilowe na serikali je iyo serikali itaajili watu wangapi?? tunasahau kua vipaji navyo nifursa kuumia ama kufa nichangamoto tu kweny maisha ya mwanadam na hatuwezi kamwe kuzuia hatma za maisha yetu kufa utakufa tuuu ata ukiishi bila kufanya chochote duniani ila lazma ufe uwoga wetu ndio unatufanya tunakua maskini kilasku
🇹🇿🇹🇿👍
Mim naogopa 😢
kama movie vile🎉🔥🔥🔥
Why and why ?? Tumewasubir Tanzania kwenye mashindano ya CAC inchin Uganda lakin hamjaja ! Guys motocross won't grow in Tanzania if u don't engage in international races , Uganda inazidi kupanda kisa mambo kama hayo
Hiyo yenye camera ya milard ayo ndioo alikuwa anaendesha milard 🤣🤣
😁 unajua sana
Machali wa chuga wana balaa nimesikia chali akisema hiyo ndo helaa😂😂
❤
Unapewa mbao......
Ndo Tuzo Gan Iyo Ya Mbao😂😂😂😂
37 my blood
kaupiga mwingi
Mtoto ni balaaa
Da nge pata nafasi na mimi
Mjomba hiyo ndio elaaaaa😂😂😂
Haya ni mashindano ya leo 14/7/2024
Sio hayo wewe. Ni Mwaka ,2023. Huyu Dogo Corin ni balaa.
Waandaaji kuweni criaz katuzo hata mvuto hakana😏😏😏
Pikipiki m37 mpk m40 htr sana
noma na nusu Ndugu yangu
Huyo mtoto nikivutio kufanya jambo kubwa hivo na udogo huo
kapambania kombe kwa njaa sana
daaah ebwana mimi naipongeza sana chanel hii ya ayo tv kwahabari zake nzuuli sana na taarifa wanazozitoa. na pia kwa jambo hiliapa watanzania tujifunze kitu. kiukweli watanzania wengi tunaishi kinyuuuma sana na dunia inavyoenda na mambo yanavokua kilacku wazaz tumekua ndo kipaumbeele wazuuli kabisa wa kuuwa vipaji vya watoto na kumfanya mtoto aone uwezo au kipaji alichonacho kumbe sio kitu chamaana kwamfano huu mfupi bac tujifunze jamani,sisi tunang'ang'ana tuuu kusema mtoo asome aajiliwe ba serikali je ungekua wewe ndo iyo selikali ungeweza kuwaajili watanzania wooote serikalini kwako?? vipaji pia ni fursa na niajira tosha tuamkee watanzania
Hilo toto hatari sana
Mzungu mzungukeni haki yake mpenn 😂
Afazali bhna milliard vijana wa kule kwetu wapate sehemu za kuonyesha vipaji vyao
Bora uende uholanzi ukaendeshe huko utapiga hela!!hapa utapewa cheti na mbao 😂😂
😁 dooooh
@@millardayoTZA hiyo dooh yako Sasa unaipenda
Ile ace of diamond si walismkuma saivi wameshindwa tena😅
Smoker ni hatari jamn
milard hyo kevo aloishiwa mafuta niwamoto klko alioshinda,,, yan wanabaat hyo jomba niwamoto
klko kawaida
Mashidano mazuri sana vijana wanachangamkia fursa
Sana, Bodaboda wamepiga njaa sana humu ndani
We ayo, dogo kashindwa kujieleza, kasema alianza mazoezi ya pikipiki sasa imetimia miaka miwili. Wewe umemuelewa eti alianza akiwa na umri wa miaka miwili. Sasa kwa akili ya haraka haraka mtoto wa miaka miwili si bado ananyonya au ndio anamalizia kunyonya.
Wenzangu Na miye vifaa awana lkn wameshinda
mtoto wa nyoka
ndo ivyo wabongo tuna copy na ku pest hatujiongezi inatakiwa mtoto akionyesha kipaji chake huko huko umpeleke ata kama ni kuchonga miiko iyo ndo itakuwa kula yake asizuiwe
Hili nifunzo kubwa kwa wazazi wasiotambua
Kwisha
Mwamba huyu apa mirad Ayo
Kama dawa Ndugu yangu, asante kwa kutazama pia
Dar bikers saf kwa kushiriki hatuwez kushinda sisi kila siku
Chu ni mbele
Millard uwe unakuja kila mashindano hata yakiwa kisongo, unajua sana
shukrani sana Joachim, nitafanya hivyo
Huyo chalii ni shiiiida!
Acha kabisa
@@millardayoTZA Nakukubali sana kaka Millard, Mungu azidi kukufungulia njia 🥺😍
Nina shida na wewe millad ayoo
Ayo wew ni hatar huna mbamba kwenye habar
shukrani sana Moses
Nilijua tu sio mtu mweusi😂😂
kwanini Ndugu ? 😁
@@millardayoTZA watoto weusi ni kusoma tu ,hakuna michezo michezo 😝😝
Mtu wangu wa nguvu nakukbal san
shukrani sana Nexto, asante kwa kutazama hii episode
Pamoj mkuu
Hii simchezo
Nilikua nasubiri sana kwa hamu hii video kutoka kwa ripota wangu wa nguvu #milardy_ayo, kwakua sikupata nafasi ya kwenda kiangalia japo nipo moshi
Ubarikiwe sana kaka
Pamoja sana Ndugu yangu, Asante sana kwa kutazama pia
Watoto watu sasa kazi kudokoa mboga tu shenzi 😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡😡
😂😂😂😂😂😂Nimecheka😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
😅😅😅
Yaani wa kwanza babaake harafu anafuata mwanae
Walishiriki vipengele tofaouti Ndugu