VIONGOZI WA DINI WAIBUKA NA MAKONDA, MAANDAMANO YA CHADEMA "SUKARI IMEPANDA BEI, HAIJASHUKA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 65

  • @SilaMinanda
    @SilaMinanda 7 หลายเดือนก่อน +5

    Mashekhe na Maaskofu wte vimeo wanafiki hawaongei ukweli wamekuwa machawa wa sami

  • @usafiaps318
    @usafiaps318 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mbona Hapo Nyuma Hamjajitokeza Mlikua Wapi????

  • @officialkinghimself2637
    @officialkinghimself2637 7 หลายเดือนก่อน +3

    Mashehe ni wanafiki sana maana waishauri serikari wanaogopa kwamba mwenzao nao ni muisilam

    • @user-xn1nw5cm1h
      @user-xn1nw5cm1h 7 หลายเดือนก่อน

      Ni wapuuzitu yaan tuna upumbavu wa kusifia sifia tu hakunaga anakosoa

  • @benjo_brighter
    @benjo_brighter 7 หลายเดือนก่อน +4

    Hapo kwenye hofu ya Mungu,kwa viongozi wetu bado sana.

    • @musa-v3f
      @musa-v3f 7 หลายเดือนก่อน +1

      shekhe Haruna Hussein ni CCM kindaki ndaki hatuna maneno nae kama mwana ccm lakini usijishe kanzu ya ushekhe kujipatia umaarufu wa kiasiasa unachafua dini

  • @BakariMtangenange
    @BakariMtangenange 7 หลายเดือนก่อน +3

    Nyie ccm2 mmejivika usheikh wanafki wakubwa

  • @saiditasher8362
    @saiditasher8362 7 หลายเดือนก่อน +4

    Watu wakijitokeza kutetea inchi nyinyi mnawapinga kumbe mnakufa natayi shingoni

  • @onetwo12981
    @onetwo12981 7 หลายเดือนก่อน +4

    Hapo nawe si unaongea Yale Yale tu, nawe ushaunga maandamano apo

  • @mosesmacha1080
    @mosesmacha1080 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mamluki tuu Hawa wanajifanya wapi na sie

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 7 หลายเดือนก่อน

      Wangekuwa kina mwamakula mngewasifia

    • @mosesmacha1080
      @mosesmacha1080 7 หลายเดือนก่อน

      @@jumakapilima7295 Mtu unaita Press unaongelea sukari, badala ya kuongelea Katiba, ambayo ndio itaondoa mfumuko wa bei, halafu nikuangalie tuu

    • @Shedrackwilfred
      @Shedrackwilfred 7 หลายเดือนก่อน

      Auoni huyu ni mwna ccm

    • @vitusjumah
      @vitusjumah 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@jumakapilima7295utafananisha haya maelezo na mwamakula au sheikh ponda?.

  • @aediayumgo8546
    @aediayumgo8546 7 หลายเดือนก่อน

    Kalime miwa viwanda vipate malighafi shekh kupiga kelele hakusaidii😮😮

  • @eliajimmy95
    @eliajimmy95 7 หลายเดือนก่อน +2

    Sio kukaa meza moja na serikali, suluhu hapa kupunguza kodi kwenye mafuta ya magari na kuondoa Ile muswada mibovu bungeni

  • @zabronmwaipungu2212
    @zabronmwaipungu2212 7 หลายเดือนก่อน +2

    Vigeu geu hawa??

  • @andreauisso3225
    @andreauisso3225 7 หลายเดือนก่อน

    Siyonyie mlipinga waraka wa maasikofu leo mnalalamika maisha magumu bado hamjasemaaaà

  • @ulimbagakipole3971
    @ulimbagakipole3971 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mshangao sana. Mlisubiri maandamano ndipo mseme?. Mnadhani mtasikiwa kwa kukaa kwenye viti ati mtasikiwa. Mnadhani hiyo mama mama, mama ndiyo dawa.

  • @juliusmsangi6849
    @juliusmsangi6849 7 หลายเดือนก่อน +2

    Kwani serikali haijui kuwa sukari imepanda bei?

  • @frankpeter-of8xp
    @frankpeter-of8xp 7 หลายเดือนก่อน +1

    ukiona maic ya itv ipo ujue hapo hamna Cha maana zaidi ya uchawa tu

  • @saiditasher8362
    @saiditasher8362 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nyinyi viongoxi wadini mulipiga mahandamano kumbe alii ngumu yamaishanayo smtamtuache unafiki

  • @ramadhanijuma4130
    @ramadhanijuma4130 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hawa nao wanafiki wanaleta imani kwenye vitu vya msingi,

  • @jaanjaan111
    @jaanjaan111 7 หลายเดือนก่อน

    Ww muhumi huna ushehe wala nini ww chawa unafikiri ccm hawafahamu kama maisha magumu kama kama kaupiga mwingi unalalamikia nini

  • @TwahaShehe
    @TwahaShehe 7 หลายเดือนก่อน +2

    Wanafiki wakubwa nyie mpaka chadema wajitokeze wanafik

  • @Shedrackwilfred
    @Shedrackwilfred 7 หลายเดือนก่อน +1

    Wanafiki wakubwaa hawa

  • @joojombi2341
    @joojombi2341 7 หลายเดือนก่อน

    Mmekosa kazi kwakweli badala ya kuhangaikia maisha na mambo ya dini mnaingilia mambo ya Serekali wacheni mambo yenu akhuani

  • @rashidyusuphwewenimtotowam1761
    @rashidyusuphwewenimtotowam1761 7 หลายเดือนก่อน +2

    Bado hamjasema na mtasema nyie jifanyeni mnakaza na huku mnakufa njaa😂😂😂

    • @andreauisso3225
      @andreauisso3225 7 หลายเดือนก่อน

      We jamaa umeamua kuwalipua viongozi wako

  • @RamadhaniLukambuzi
    @RamadhaniLukambuzi 7 หลายเดือนก่อน

    Viongozi wapatikane kwa misingi ya haki,tuwachague viongozi wetu wale wenye hofu na Mungu,Viongozi wanaojua hali ya maisha inavyokwenda na Wenye mapenzi,Viongozi wenye huruma na Viumbe hasa hasa wenye huruma na watu wake,sio Viongozi masilahi tu.Tume ya Uchaguzi isimamie kura za wananchi kwa haki hii wakipita viongozi waliochagulia na Wananchi kwa usahihi hao viongozi watafanya kazi za wananchi kwa hofu ya Mungu.Tunataka Viongozi wanaojua shida za Wananchi sio Viongozi mishahara tu,wanaojipenda wao tu hapana ikiwezekana hao viongozi tuwapime kupitia hata imani zao za dini tuwapime kwa utu wao!

  • @mbwanahasan2971
    @mbwanahasan2971 7 หลายเดือนก่อน +1

    Leo ndio mnayaona baadae ya maandamano

  • @stanslausmteme8455
    @stanslausmteme8455 7 หลายเดือนก่อน +1

    Unaheshimwa Kwa cheo chako uwe unakaa kimya

  • @nizwaoman8378
    @nizwaoman8378 7 หลายเดือนก่อน +1

    Uyu shehe ajielewi wanaonge uongo yani kiufupi ni machawa amna walichoongea

  • @ga2revocatus91
    @ga2revocatus91 7 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂Balabalani lazima tuingieee:::Viongozi wa dini mnakula swadaka/sadaka zawaumini hamjui kama hali ngumuuuu😅😅😅au mapato yamepunguaaa kwa kanisaaa😊Msiktin Mnakufa jee natai shingoni fungukeni acheni upimbi nchi yetu sotee

  • @salama1113
    @salama1113 7 หลายเดือนก่อน

    Hawa mashekhe wachama sio wa dini😂😂😂😂

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 7 หลายเดือนก่อน

    Sheikh kwamakonda niko naww ila hawa wengine hamna kitu ila naona mnasifu tu ila mabaya hamsemi

  • @deodathsilayo3639
    @deodathsilayo3639 7 หลายเดือนก่อน

    Wawapongeze na viongozi wa chadema kama wameanza na kupongeza wa ccm

  • @shaddybmc8342
    @shaddybmc8342 7 หลายเดือนก่อน

    SUKARI IKO JUU JAMANI . LOOOOOOH

  • @user-cd5sq1dz4u
    @user-cd5sq1dz4u 7 หลายเดือนก่อน

    Shehe unakastaili kazur kutafta ela yaugali ila uyasemayo huenda yakakuponza akhira dini sio kachama au kastail flan mwogopenu allah au ikifaa mtoke kwenye uislamu muingie kwenye mambo yenu vizuri

  • @vitusjumah
    @vitusjumah 7 หลายเดือนก่อน

    Viongozi gani wa dini hawa eti maandamano siyo picha nzuri kukatika katika umeme ni picha nzuri uchaguzi wa 2019/2020 walikuwa wapi kusema au kwao ni picha nzuri...sukari wanadai imepanda mlikuwa wapi kusema siyo picha nzuri?.

  • @OdiloMagungu-uf5is
    @OdiloMagungu-uf5is 7 หลายเดือนก่อน

    Ccm hawataki mabadiliko katiba mpya na tume huru ya uchaguzi kwani wanajua wakikibali hayo ccm itashindwa uchaguzi

  • @Masele85207
    @Masele85207 7 หลายเดือนก่อน

    Hapo kwenye ki mama mama😂😂😂😂😂

  • @HasaniKitumba
    @HasaniKitumba 7 หลายเดือนก่อน

    Kwani hujui kila mwaka via zikinyesha sukari inapanda mafuta ni dua zima ulizini tataifa megine mafuta vipi

  • @mohamedamini4268
    @mohamedamini4268 7 หลายเดือนก่อน

    makada hao

  • @abuushakiraddausiy8666
    @abuushakiraddausiy8666 7 หลายเดือนก่อน

    Hawa sio mashekh ni vichaatuu... Muislam huruhusiwi maandamano hata kama serekali nijeuri ...huu uislam wenu mwautoa kwa mtume yupii!??? Mahovyoo sana ..

  • @user-df9ue7ko3u
    @user-df9ue7ko3u 7 หลายเดือนก่อน

    Mnatafuta kuteuliwa?

  • @user-xn1nw5cm1h
    @user-xn1nw5cm1h 7 หลายเดือนก่อน

    Hamna Kila tu nyie ni kofia ndo inawafany tofauti mnabaki kusifia sifia tu hapo

  • @athumanbalozi9748
    @athumanbalozi9748 7 หลายเดือนก่อน

    Mandamano niupuuzit
    Sukari ipandet
    Mbona pombe haipungui

  • @mamafaiza1720
    @mamafaiza1720 7 หลายเดือนก่อน

    Hawa niwale mashehe wabakaji watoto wetu pumbavu zaoo

  • @joojombi2341
    @joojombi2341 7 หลายเดือนก่อน

    Habari ya sukari kwani hujamsikia Makonda leo??? Wacheni kupotosha umma nyie

  • @laulianmeneja5923
    @laulianmeneja5923 7 หลายเดือนก่อน

    Kama hawataki kukaa mezani si lazima kuandamana

  • @erastomathias911
    @erastomathias911 7 หลายเดือนก่อน

    Hili jamaa halijielewi kabixa

  • @vitusjumah
    @vitusjumah 7 หลายเดือนก่อน

    Tumeaswa tujihadhari na wanafiki ninyi ni wanafiki

  • @marcokaroje8980
    @marcokaroje8980 7 หลายเดือนก่อน

    Mwaipopo naye ni sheikh?au ni balozi wa chama cha siasa?

  • @ChristerShao
    @ChristerShao 7 หลายเดือนก่อน

    Huyu shekhe,vipi?

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 7 หลายเดือนก่อน

    Wangekuwa kina mwamakula mngewasifia

  • @mmake30
    @mmake30 7 หลายเดือนก่อน

    kuna haja ya kufanya mapinduzi ili raia akili zifanye kazi,,,,,,,,,,,mimi mbona sielewiiiii?

  • @malleplatnumz9949
    @malleplatnumz9949 7 หลายเดือนก่อน

    👏🏻

  • @TheAlman
    @TheAlman 7 หลายเดือนก่อน

    Kibokoooooooooo......😂😂😂😂😂😂

  • @stanslausmteme8455
    @stanslausmteme8455 7 หลายเดือนก่อน

    Sioni kipya

  • @mahanjisanga3077
    @mahanjisanga3077 7 หลายเดือนก่อน

    Munafiki wewe .ulikuwa wapi siku zote .tunasema kupitia maandamano

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 7 หลายเดือนก่อน

    Iiiiiii eeeeer kumbe

  • @mmake30
    @mmake30 7 หลายเดือนก่อน

    nonsenssseeeesiiiiiii

  • @ismailissa3996
    @ismailissa3996 7 หลายเดือนก่อน

    Shehe kofia huna ujualo kenge wewe

  • @jumamagoma1743
    @jumamagoma1743 7 หลายเดือนก่อน +1

    Acha.upumbavu.sisi.maandamano.yapo.palepale.nyie.ccm.endeleeni.kulamba.miguu.ya.viongozi.wenu